• Kwenye viwango vya timu bora barani Afrika chini ya CAF, Yanga tuna alama 34 mpaka sasa na ikitokea Yanga tumefuzu kwenda robo fainali tutafikisha alama 39 na kuzishusha timu 2 kwenye top 10 ya CAF.

    Na ikitokea Yanga tumefika nusu fainali basi tutaingia Moja Kwa moja kwenye 5 bora ya CAF. Misimu 3 ya KIBABE.

    Mwaka huu tunaenda kufyeka kichaka Cha Makolo Cha CAF ranking ndo walikuwa wamejificha Kwa mda mrefu

    Pichani hapo chini ni Aziz Ki Stephanie Pamoja na Clement Mzize mzee wa maloketi wote watafunga kwenye mchezo wetu wa tarehe 18/1/2025 dhidi ya MC ALGER kwenye uwanja wa Mkapa.

    #neliudcosiah
    Kwenye viwango vya timu bora barani Afrika chini ya CAF, Yanga tuna alama 34 mpaka sasa na ikitokea Yanga tumefuzu kwenda robo fainali tutafikisha alama 39 na kuzishusha timu 2 kwenye top 10 ya CAF. Na ikitokea Yanga tumefika nusu fainali basi tutaingia Moja Kwa moja kwenye 5 bora ya CAF. Misimu 3 ya KIBABE. Mwaka huu tunaenda kufyeka kichaka Cha Makolo Cha CAF ranking ndo walikuwa wamejificha Kwa mda mrefu 🤣🤭 Pichani hapo chini ni Aziz Ki Stephanie 🔑 Pamoja na Clement Mzize mzee wa maloketi wote watafunga kwenye mchezo wetu wa tarehe 18/1/2025 dhidi ya MC ALGER kwenye uwanja wa Mkapa. #neliudcosiah
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·332 Views
  • JE UNAFAHAMU: Wachezaji wanakumbana na mambo mengi sana uwanjani hivyo ukiona ghafla kiwango kinashuka usimtukane muombee.

    Iko hivi kuna siku Real Madrid walikuwa wanaenda kukutana na Atletico Madrid, kumbuka ni dabi hii hivyo lazima mtifuano uwe mkubwa.

    Wachezaji huwa wanapeana mbinu mbalimbali ili kushinda sasa beki Filipe Luis aliamua kutafuta udhaifu wa Di Maria ili aweze kumtawala, akapewa mbinu Sergio Aguero ambaye alikuwa anacheza Taifa Moja na Di Maria ambayo hadi leo anajutia.

    Filipe Luis anasema: "Majuto yangu makubwa katika kazi yangu? Ilikuwa na Di Maria.

    "Ikiwa kuna kitu najuta kukifanya, labda ndicho kitu pekee ninachojutia, ilikuwa dhidi ya Di Maria na ningependa kurejesha nyuma ili nisurudie...

    "Tulikuwa tunaenda kucheza dhidi ya Real Madrid na Agüero aliniambia: 'Filipe, zungumza naye kuhusu mke wake (vitu vibaya), atapoteza, ataacha mchezo.

    “Wakati wa mchezo, NILIMTUKANA, nilizungumza kuhusu MKE wake, Alinitazama, alikuwa AMEPOTEA, nilishinda mchezo mzima dhidi yake.

    “Nilirudi nyumbani na KUJUTA sana. Samahani kwa kufanya hivyo na Maria. Di Maria, samahani, samahani nilifanya hivyo, samahani."
    JE UNAFAHAMU: Wachezaji wanakumbana na mambo mengi sana uwanjani hivyo ukiona ghafla kiwango kinashuka usimtukane muombee. Iko hivi kuna siku Real Madrid walikuwa wanaenda kukutana na Atletico Madrid, kumbuka ni dabi hii hivyo lazima mtifuano uwe mkubwa. Wachezaji huwa wanapeana mbinu mbalimbali ili kushinda sasa beki Filipe Luis aliamua kutafuta udhaifu wa Di Maria ili aweze kumtawala, akapewa mbinu Sergio Aguero ambaye alikuwa anacheza Taifa Moja na Di Maria ambayo hadi leo anajutia. Filipe Luis anasema: "Majuto yangu makubwa katika kazi yangu? Ilikuwa na Di Maria. "Ikiwa kuna kitu najuta kukifanya, labda ndicho kitu pekee ninachojutia, ilikuwa dhidi ya Di Maria na ningependa kurejesha nyuma ili nisurudie... "Tulikuwa tunaenda kucheza dhidi ya Real Madrid na Agüero aliniambia: 'Filipe, zungumza naye kuhusu mke wake (vitu vibaya), atapoteza, ataacha mchezo. “Wakati wa mchezo, NILIMTUKANA, nilizungumza kuhusu MKE wake, Alinitazama, alikuwa AMEPOTEA, nilishinda mchezo mzima dhidi yake. “Nilirudi nyumbani na KUJUTA sana. Samahani kwa kufanya hivyo na Maria. Di Maria, samahani, samahani nilifanya hivyo, samahani."
    0 Comments ·0 Shares ·291 Views
  • WAMISRI WANA WA CHUKULIA MAFARAO KAMA WANAISHI SIO MIZIMU WALA MAREHEMU
    Kesho macho ya ulimwengu yanaelekezwa Afrika hasa Misri
    Kwamara ya kwanza tunaenda kushuhudia tukio kubwa katika maisha yetu.
    Ulimwengu wote unangojea hafla hii ya maandamano makubwa yaliyo ongozana na mummy /wafalme mafarao wakuu na mamalkia wakubwa Duniani kwa pamoja wanahama kutoka Jumba la kumbukumbu la zamani la Misri kwenda Makumbusho mapya ya Ustaarabu huko Cairo Tukio hilo litatangaza njia 400 za raia wa kigeni kutoka nchi zote ulimwenguni.

    Tukio hili kubwa zaidi litafanyika tarehe 3 Aprili.
    Kati ya wafalme na malkia.

    mfalme Ramses wa Pili, Ramses wa Tatu, Mfalme Seqnen Ra, Mfalme Ahmose, Mfalme Tuthmosis III, Malkia Hatshepsut, Malkia Nefertari, Mfalme Amenhotep wa IV na Mfalme Siti wa Kwanza

    Mummies watahamishwa kwa gari zilizojengwa maalum kwa maandamano, yenye nembo na jina la mummy wa kifalme aliyepo kwenye gari kwa Kiarabu, Kiingereza, na hieroglyphs.

    Magari ya vita, pia yaliyoundwa kwa hafla hiyo, na watakuwepo pande zote za barabara wakati wa gwaride, pamoja na farasi.

    Kabla ya kuanza kwa gwaride, zitapigwa saluti 21 za bunduki itafanyika kwa heshima ya watawala wa zamani, na kuanza kutoka kwa gari, moja baada ya nyingine, kutoka lango kuu la makumbusho.
    Hizi gari zitatembea kwa umbo la mviringo katika Mraba wa Tahrir yenyewe, na huzunguka kwenye obelisk ambayo sasa iko katikati ya mraba.

    Wakati huo huo, obelisk na majengo yaliyo karibu nayo yatawashwa kwa hafla hiyo, kabla ya kuona maandamano yakiendeshwa kando ya Mto Nile.
    Njia ya maandamano ni pamoja na alama nane, ambazo muhimu zaidi ni Tahrir Square na Ziwa la Ain Sira.
    Sherehe na gwaride litatangazwa, na kurushwa live kwenye skrini zitakazo wekwa barabarani.

    Maandamano hayo yatashirikisha muziki wa kijeshi, na onyesho la kisanii la kupendeza litaonyeshwa kusherehekea kutoka kifalme katika jumba la kumbukumbu.
    Waigizaji kadhaa watashiriki katika sherehe hiyo, watakua wakiongea kutoka maeneo tofauti ya utalii, pamoja na Sawsan Badr, Hussein Fahmy, Mona Zaki, na wengine.
    WAMISRI WANA WA CHUKULIA MAFARAO KAMA WANAISHI SIO MIZIMU WALA MAREHEMU Kesho macho ya ulimwengu yanaelekezwa Afrika hasa Misri🇪🇬 Kwamara ya kwanza tunaenda kushuhudia tukio kubwa katika maisha yetu. Ulimwengu wote unangojea hafla hii ya maandamano makubwa yaliyo ongozana na mummy /wafalme mafarao wakuu na mamalkia wakubwa Duniani kwa pamoja wanahama kutoka Jumba la kumbukumbu la zamani la Misri kwenda Makumbusho mapya ya Ustaarabu huko Cairo Tukio hilo litatangaza njia 400 za raia wa kigeni kutoka nchi zote ulimwenguni. Tukio hili kubwa zaidi litafanyika tarehe 3 Aprili. Kati ya wafalme na malkia. mfalme Ramses wa Pili, Ramses wa Tatu, Mfalme Seqnen Ra, Mfalme Ahmose, Mfalme Tuthmosis III, Malkia Hatshepsut, Malkia Nefertari, Mfalme Amenhotep wa IV na Mfalme Siti wa Kwanza Mummies watahamishwa kwa gari zilizojengwa maalum kwa maandamano, yenye nembo na jina la mummy wa kifalme aliyepo kwenye gari kwa Kiarabu, Kiingereza, na hieroglyphs. Magari ya vita, pia yaliyoundwa kwa hafla hiyo, na watakuwepo pande zote za barabara wakati wa gwaride, pamoja na farasi. Kabla ya kuanza kwa gwaride, zitapigwa saluti 21 za bunduki itafanyika kwa heshima ya watawala wa zamani, na kuanza kutoka kwa gari, moja baada ya nyingine, kutoka lango kuu la makumbusho. Hizi gari zitatembea kwa umbo la mviringo katika Mraba wa Tahrir yenyewe, na huzunguka kwenye obelisk ambayo sasa iko katikati ya mraba. Wakati huo huo, obelisk na majengo yaliyo karibu nayo yatawashwa kwa hafla hiyo, kabla ya kuona maandamano yakiendeshwa kando ya Mto Nile. Njia ya maandamano ni pamoja na alama nane, ambazo muhimu zaidi ni Tahrir Square na Ziwa la Ain Sira. Sherehe na gwaride litatangazwa, na kurushwa live kwenye skrini zitakazo wekwa barabarani. Maandamano hayo yatashirikisha muziki wa kijeshi, na onyesho la kisanii la kupendeza litaonyeshwa kusherehekea kutoka kifalme katika jumba la kumbukumbu. Waigizaji kadhaa watashiriki katika sherehe hiyo, watakua wakiongea kutoka maeneo tofauti ya utalii, pamoja na Sawsan Badr, Hussein Fahmy, Mona Zaki, na wengine.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·402 Views
  • Takwimu za michezo ya 15 ya mzunguko ya kwanza tukiwa KILELENI chini ya Kocha Fadlu.

    Tunaenda hivyo

    #paulswai
    Takwimu za michezo ya 15 ya mzunguko ya kwanza tukiwa KILELENI chini ya Kocha Fadlu. Tunaenda hivyo 🏆😋 #paulswai
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·325 Views
  • SHALOM Builders TANZANIA.
    Karibu tufanye kazi na wewe za UJENZI na FINISHING Bora zilizo tukuka.
    #Call:0656807732||0756509772.
    #Mikoanitunaenda.
    SHALOM Builders TANZANIA. Karibu tufanye kazi na wewe za UJENZI na FINISHING Bora zilizo tukuka. #Call:0656807732||0756509772. #Mikoanitunaenda.
    0 Comments ·0 Shares ·392 Views
  • SHALOM Builders TANZANIA.
    Tunajishughulisha na UJENZI NA FINISHING za kisasa aina zote. #0656807732||0756509772
    Tupo Dar es salaam #Tunaenda_sehemu_yoyote
    SHALOM Builders TANZANIA. Tunajishughulisha na UJENZI NA FINISHING za kisasa aina zote. #0656807732||0756509772 Tupo Dar es salaam #Tunaenda_sehemu_yoyote
    0 Comments ·0 Shares ·329 Views ·9
  • SHALOM Builders TANZANIA.
    Unahitaji nyumba ndogo ya Kuanzia maisha?
    Je, unahitaji kujengewa nyumba?
    Je,unahitaji nyumba yako ifanyiwe finishing za kisasa?
    Je,unahitaji paving blocks?
    #Call us:0656807732||0756509772.
    Tupo Dar es salaam,na mikoani tunaenda.
    SHALOM Builders TANZANIA. Unahitaji nyumba ndogo ya Kuanzia maisha? Je, unahitaji kujengewa nyumba? Je,unahitaji nyumba yako ifanyiwe finishing za kisasa? Je,unahitaji paving blocks? #Call us:0656807732||0756509772. Tupo Dar es salaam,na mikoani tunaenda.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·345 Views
  • Tunaenda na wale tu waliochagua kwenda na sisi.
    Tunaenda na wale tu waliochagua kwenda na sisi.
    Like
    Love
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·274 Views
  • DoX #tunaenda
    DoX😈 #tunaenda🚶🏃‍♂️
    Like
    5
    · 1 Comments ·0 Shares ·356 Views