*Nguvu iliyoko katika kumsikia Mungu.*
Kutoka 15:26
[26]akawaambia, Kwamba *utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako*, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, *mimi sitatia juu yako maradhi yo yote* niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.
Wanaislaeri walipo toka misri na kuvuka mpaka bahari ya shamu.
Walipo fika mbele wakakutana na maji machungu wakaendelea nungunikia musa.
Na katika hayo Musa alimlilia Bwana na maji yalipatikana.
Lakini andiko letu linasema ikiwa utasikiliza sauti ya bwana kwa bidiii kuna matokeo utayapata
Kumbe ukiokoka na ukataka utembee katika nguvu zake za neno lake, watu waponywe kupitia wewe lazima ujifunze kumsikia Bwana Mungu wako kwanza.
Jicho na sikio lake liko kil mahali sema ni wachache wanao lisikia na kuona kile anacho kisema na kulifanyia kazi lile wanaloliona na sababu kubwa ni kukosa bidii katika kumtafuta Bwana au kukosa maarifa sahihi juu ya neno au kukosa imani kabisa katika neno lake.
Zaburi 91:14-15
[14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,
Kwa kuwa amenijua Jina langu.
.
[15]Ataniita nami nitamwitikia;
Nitakuwa pamoja naye taabuni,
Nitamwokoa na kumtukuza;
Kumbe kama tukilijiua jina la Bwana lazima atatupa matokeo yenye tija katkka maisha .
Hatupati matokeo katika wokovu sababu hatutaki kuweka imani kwa Mungu wetu na kumtukuza katika kila hatua na kuliishi kusudi lake .
Maradhi na zaifu nimatokeo ya mtu kutoiishi bidii katika yeye .
Kumbe iko siri kubwa sana katika kutii na kufuata yale aliyo kuagiza ili akulipe matokeo ya ,kustawi kiafya ,kiuchumi kifamilia na kila hatua.
Najaribu kukuonesha namna gani mtu akiokoka anapaswa kusitawi kwa kukufunuliw siri hii ya kufuata maagizo ,kusikia sauti ya bwana na kumtazama yeye kabla ya kutazama wengine.
Hesabu 21:2-3
[2]Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, *Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa*.
[3]BWANA akasikiza *sauti ya Israeli*, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma.
Kwa kuwa islaeri walimtambua Bwana naye akawatambua kwa kuwatimiliza neno walilo liomba .
Tumekuwa watu tuliokosa matokeo sababu tunaishi nje ya mapenzi ya Bwana wetu kristo au htutaki kumsikiliza ,kumtii na kumfuata arafu tunataka atupe matokeo.
Daudi kwenye zaburi anasema kwa kuwa umenipenda
[14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
*Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu*
Kumbe ujapata kuwa juu sababu tu ujampenda bwana au ujalijua jina lake .
Watu wengi wanamfamu Mungu wakati wa kutoa mapepo lakini hawamfahamu Mungu wakati wa kilimo au biashara zao na kwa kuwa hujamjua Mungu ktika kilimo basi na yeye anakupa nguvu au mafuta katika kuomba lakini katika kukuweka juu anakuacha kwa kuwa pia kuna kanuni zake pia.
Asubui njema na baraka tele katika ijumaa ya leo .
Tusiache kujifunza jambo jipya katika maisha kwa majina na itwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
Kwa mafundisho zaidi karibu tujifunze kupitia watsap group kwa kujiunga na link hii hapa chini .
#build new eden
#restore men position @

0 Comments
·0 Shares
·52 Views