Upgrade to Pro

  • MSIMAMO KWENYE RANK ZA CAF

    Baada ya timu za Yanga na Simba kufanikiwa kufuzu makundi ya CAF kama nchi (Tanzania) tumeongeza pointi 7.5 (Yanga pointi 5, Simba Pointi 2.5) na kufikisha pointi 60 nafasi ya sita kwenye Association Ranking na tumezidiwa na mataifa matano (Misri-135.5, Morocco-104.5, Algeria-95, Afrika Kusini-83.5, Tunisia-72.5).

    Nafasi ya 7 wapo DR Congo na Angola wakiwa na pointi 45 kila mmoja huku anayeshika nafasi ya 13 ana pointi 18.5 hivyo tuna misimu 2 hadi 3 mbele ya kupeleka timu 4 kwenye mashindano ya CAF (2 klabu bingwa Afrika na 2 kombe la shirikisho) hata timu zetu hazitafanya vizuri kwa kufika makundi ya kombe la shirikisho au klabu bingwa.

    Kwenye Club Ranking mpaka sasa timu ya Simba ipo nafasi ya saba ikiwa na pointi 30.5 na Yanga ipo nafasi ya 11 ikiwa na pointi 29 kama nchi tuna pointi 60 (Simba 30.5, Yanga 29, Namungo 0.5) wanaongoza ni 1-Ahly-63, 2-Esperance-47, 3-Mamelodi-42, 4-Wydad-39, 5-Zamalek-34.5, 6-Belouizadad-31, 7-Mazembe & Simba 30.5, 9-Berkane & USM Alger-29.5, 11-Yanga 29.

    Kwenye hizo timu 11 za juu timu moja tu ya Wydad ndio haipo kwenye mashindano zingine zote zipo kwenye hatua ya makundi ikiwa Ahly, Esperance, Mamelodi, Belouizdad, Mazembe na Yanga zipo makundi ya klabu bingwa Afrika huku Zamalek, Simba, Berkane na USM Alger zipo makundi ya kombe la shirikisho.

    Timu ambazo zipo makundi zinaweza kuongeza pointi kulingana na performance yao kwa msimu huu kulingana na nafasi ambayo wataishia. Pointi huwa zinapatikana kama ifuatavyo kila pointi unayoipata kila msimu kulingana na nafasi uliyoishia unazidisha na coefficient code ya msimu husika
    Zifuatavyo ni code kwa msimu mitano inayopigiwa hesabu kutafuta pointi 2024/25=5 2023/24=4 2022/23=3 2021/22=2 2020/21=1

    Pointi zinapatikana kama ifuatavyo >Kwenye klabu bingwa Afrika (CAF Champion League) Bingwa=6 Mshindi wa pili = 5 Nusu fainali =4 Robo fainali =3 Nafasi 3 kwenye kundi = 2 Nafasi ya 4 kwenye kundi =1

    Kwenye kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) Bingwa=5 Mshindi wa pili = 4 Nusu fainali =3 Robo fainali =2 Nafasi 3 kwenye kundi = 1 Nafasi ya 4 kwenye kundi =0.5

    Pointi zinapatikana kwa kuchukua pointi ya nafasi uliyoishia unazidisha na coefficient code ya msimu husika

    Simba ina pointi 30.5 ikiwa 2024/25 Makundi (Shirikisho) 0.5×5 = 2.5 2023/24 Robo (Klabu Bingwa) 3×4 = 12 2022/23 Robo (Klabu Bingwa) 3×3 = 9 2021/22 Robo (Shirikisho) 2×2= 4 2020/21 Robo (Klabu Bingwa) 3×1 = 3 Chukua 3+4+9+12+2.5 = 30.5

    Yanga ina pointi 29 ikiwa 2024/25 Makundi (Klabu Bingwa) 1×5 = 5 2023/24 Robo (Klabu Bingwa) 3×4 = 12 2022/23 Mshindi 2(Shirikisho) 4×3 = 12 2021/22 Haikufuzu Makundi = 0 2020/21 Haikufuzu Makundi = 0 Chukua 0+0+12+12+5 = 29

    Rejea kwenye aya ya kwanza huko juu nilisema Yanga imetengeneza pointi 5 huku Simba imetengeneza pointi 2.5 msimu huu kwa kufanikiwa kufuzu makundi, ukishafuzu makundi tapewa pointi za awali za kufuzu makundi, Yanga pointi 5 zimepatikana kwa kuchukua pointi 1 ya kufuzu makundi ya klabu bingwa zidisha na code ya msimu huu 5 (1×5=5) unapata pointi 5. Simb pointi 2.5 zinapatikana kwa kuchukua pointi 0.5 ya kufuzu makundi ya shirikisho zidisha na code ya msimu huu 5 (0.5×5= 2.5) unapata 2.5
    Naomba tuelewe kuwa pointi za awali za kufuzu makundi ni sawa na timu uliyoishia nafasi ya nne kwenye kundi ila ukafanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye kundi au kufuzu robo fainali pointi zinaongezeka ila huwezi kupewa pointi zote za hatua hiyo wanajumlisha pointi ambazo bado mfano kufuzu robo klabu bingwa pointi 15 hawatajumlisha 15 zote watajumlisha 10 kwa sababu 5 ulipewa baada ya kufuzu makundi.
    Yanga inaweza kuidizi Simba kwenye Club Ranking kivip? Twende pamoja iwapo timu zote zitafanikiwa kufuzu robo fainali ya klabu bingwa kwa Yanga na kombe la shirikisho kwa Simba zitakuwa na pointi zifuatazo.

    Yanga kwa sasa ina pointi 29 ikifanikiwa kufuzu robo fainali ya klabu bingwa itakuwa imetengeneza pointi 15 (3×5) msimu huu chukua 29 toa 5 ambazo iliwekewa mwanzoni baada ya kufuzu makundi ya klabu bingwa zinabaki 24 jumlisha na 15 iwapo itafuzu robo (24+15 = 39) jumla Yanga inakuwa na pointi 39.

    Simba kwa sasa ina pointi 30.5 ikifanikiwa kufuzu robo fainali ya kombe la shirikisho itakuwa imetengeneza pointi 10 (2×5) msimu huu chukua 30.5 toa 2.5 ambazo aliwekewa mwanzoni baada ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho zinabaki 28 jumlisha na 10 iwapo itafuzu robo (28+10=38) jumla Simba inakuwa na pointi 38

    Je 38 na 39 ipi kubwa?

    Ila iwapo timu zote Yanga na Simba zitafanikiwa kufuzu nusu fainali, Yanga klabu bingwa itakuwa na pointi 44 huku Simba kombe la shirikisho utakuwaa na pointi 43 iwapo Yanga itafuzu nusu na Simba ikaishia robo Yanga itakuwa na pointi 44, Simba itakuwa na pointi 38 na Iwapo Simba itafuzu nusu na Yanga ikaishia robo, Simba itakuwa na pointi 43 na Yanga itakuwa na pointi 39.
    MSIMAMO KWENYE RANK ZA CAF Baada ya timu za Yanga na Simba kufanikiwa kufuzu makundi ya CAF kama nchi (Tanzania) tumeongeza pointi 7.5 (Yanga pointi 5, Simba Pointi 2.5) na kufikisha pointi 60 nafasi ya sita kwenye Association Ranking na tumezidiwa na mataifa matano (Misri-135.5, Morocco-104.5, Algeria-95, Afrika Kusini-83.5, Tunisia-72.5). Nafasi ya 7 wapo DR Congo na Angola wakiwa na pointi 45 kila mmoja huku anayeshika nafasi ya 13 ana pointi 18.5 hivyo tuna misimu 2 hadi 3 mbele ya kupeleka timu 4 kwenye mashindano ya CAF (2 klabu bingwa Afrika na 2 kombe la shirikisho) hata timu zetu hazitafanya vizuri kwa kufika makundi ya kombe la shirikisho au klabu bingwa. Kwenye Club Ranking mpaka sasa timu ya Simba ipo nafasi ya saba ikiwa na pointi 30.5 na Yanga ipo nafasi ya 11 ikiwa na pointi 29 kama nchi tuna pointi 60 (Simba 30.5, Yanga 29, Namungo 0.5) wanaongoza ni 1-Ahly-63, 2-Esperance-47, 3-Mamelodi-42, 4-Wydad-39, 5-Zamalek-34.5, 6-Belouizadad-31, 7-Mazembe & Simba 30.5, 9-Berkane & USM Alger-29.5, 11-Yanga 29. Kwenye hizo timu 11 za juu timu moja tu ya Wydad ndio haipo kwenye mashindano zingine zote zipo kwenye hatua ya makundi ikiwa Ahly, Esperance, Mamelodi, Belouizdad, Mazembe na Yanga zipo makundi ya klabu bingwa Afrika huku Zamalek, Simba, Berkane na USM Alger zipo makundi ya kombe la shirikisho. Timu ambazo zipo makundi zinaweza kuongeza pointi kulingana na performance yao kwa msimu huu kulingana na nafasi ambayo wataishia. Pointi huwa zinapatikana kama ifuatavyo kila pointi unayoipata kila msimu kulingana na nafasi uliyoishia unazidisha na coefficient code ya msimu husika Zifuatavyo ni code kwa msimu mitano inayopigiwa hesabu kutafuta pointi 2024/25=5 2023/24=4 2022/23=3 2021/22=2 2020/21=1 Pointi zinapatikana kama ifuatavyo >Kwenye klabu bingwa Afrika (CAF Champion League) Bingwa=6 Mshindi wa pili = 5 Nusu fainali =4 Robo fainali =3 Nafasi 3 kwenye kundi = 2 Nafasi ya 4 kwenye kundi =1 Kwenye kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) Bingwa=5 Mshindi wa pili = 4 Nusu fainali =3 Robo fainali =2 Nafasi 3 kwenye kundi = 1 Nafasi ya 4 kwenye kundi =0.5 Pointi zinapatikana kwa kuchukua pointi ya nafasi uliyoishia unazidisha na coefficient code ya msimu husika Simba ina pointi 30.5 ikiwa 2024/25 Makundi (Shirikisho) 0.5×5 = 2.5 2023/24 Robo (Klabu Bingwa) 3×4 = 12 2022/23 Robo (Klabu Bingwa) 3×3 = 9 2021/22 Robo (Shirikisho) 2×2= 4 2020/21 Robo (Klabu Bingwa) 3×1 = 3 Chukua 3+4+9+12+2.5 = 30.5 Yanga ina pointi 29 ikiwa 2024/25 Makundi (Klabu Bingwa) 1×5 = 5 2023/24 Robo (Klabu Bingwa) 3×4 = 12 2022/23 Mshindi 2(Shirikisho) 4×3 = 12 2021/22 Haikufuzu Makundi = 0 2020/21 Haikufuzu Makundi = 0 Chukua 0+0+12+12+5 = 29 Rejea kwenye aya ya kwanza huko juu nilisema Yanga imetengeneza pointi 5 huku Simba imetengeneza pointi 2.5 msimu huu kwa kufanikiwa kufuzu makundi, ukishafuzu makundi tapewa pointi za awali za kufuzu makundi, Yanga pointi 5 zimepatikana kwa kuchukua pointi 1 ya kufuzu makundi ya klabu bingwa zidisha na code ya msimu huu 5 (1×5=5) unapata pointi 5. Simb pointi 2.5 zinapatikana kwa kuchukua pointi 0.5 ya kufuzu makundi ya shirikisho zidisha na code ya msimu huu 5 (0.5×5= 2.5) unapata 2.5 Naomba tuelewe kuwa pointi za awali za kufuzu makundi ni sawa na timu uliyoishia nafasi ya nne kwenye kundi ila ukafanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye kundi au kufuzu robo fainali pointi zinaongezeka ila huwezi kupewa pointi zote za hatua hiyo wanajumlisha pointi ambazo bado mfano kufuzu robo klabu bingwa pointi 15 hawatajumlisha 15 zote watajumlisha 10 kwa sababu 5 ulipewa baada ya kufuzu makundi. Yanga inaweza kuidizi Simba kwenye Club Ranking kivip? Twende pamoja iwapo timu zote zitafanikiwa kufuzu robo fainali ya klabu bingwa kwa Yanga na kombe la shirikisho kwa Simba zitakuwa na pointi zifuatazo. Yanga kwa sasa ina pointi 29 ikifanikiwa kufuzu robo fainali ya klabu bingwa itakuwa imetengeneza pointi 15 (3×5) msimu huu chukua 29 toa 5 ambazo iliwekewa mwanzoni baada ya kufuzu makundi ya klabu bingwa zinabaki 24 jumlisha na 15 iwapo itafuzu robo (24+15 = 39) jumla Yanga inakuwa na pointi 39. Simba kwa sasa ina pointi 30.5 ikifanikiwa kufuzu robo fainali ya kombe la shirikisho itakuwa imetengeneza pointi 10 (2×5) msimu huu chukua 30.5 toa 2.5 ambazo aliwekewa mwanzoni baada ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho zinabaki 28 jumlisha na 10 iwapo itafuzu robo (28+10=38) jumla Simba inakuwa na pointi 38 Je 38 na 39 ipi kubwa? Ila iwapo timu zote Yanga na Simba zitafanikiwa kufuzu nusu fainali, Yanga klabu bingwa itakuwa na pointi 44 huku Simba kombe la shirikisho utakuwaa na pointi 43 iwapo Yanga itafuzu nusu na Simba ikaishia robo Yanga itakuwa na pointi 44, Simba itakuwa na pointi 38 na Iwapo Simba itafuzu nusu na Yanga ikaishia robo, Simba itakuwa na pointi 43 na Yanga itakuwa na pointi 39.
    Like
    Angry
    2
    2 Commentarii ·379 Views
  • Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco .

    Timu nyingine ni Al Ahly, Mamelodi, Zamalek, Dreams FC, Petro Athletico, Esparance De Tunis, TP Mazembe na RS Berkane.

    #paulswai
    Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco 🇲🇦. Timu nyingine ni Al Ahly, Mamelodi, Zamalek, Dreams FC, Petro Athletico, Esparance De Tunis, TP Mazembe na RS Berkane. #paulswai
    Like
    Angry
    2
    ·77 Views
  • CAF Confederation Cup Group

    𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀:
    - Simba SC
    - CS Sfaxien
    - CS Constantine
    - FC Bravos do Maquis

    𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁:
    - RS Berkane
    - Stade Malien
    - Stellenbosch
    - CD Luanda

    𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂:
    - USM Alger
    - ASEC Mimosas 🇨🇮
    - ASC Jaraaf
    - Orapa United

    𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃:
    - Zamalek SC
    - Al Masry
    - Enyimba FC
    - Black Bulls

    #TotalEnergiesCAFCC
    #paulswai
    🚨 CAF Confederation Cup Group 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: - Simba SC 🇹🇿 - CS Sfaxien 🇹🇳 - CS Constantine 🇩🇿 - FC Bravos do Maquis 🇦🇴 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: - RS Berkane 🇲🇦 - Stade Malien 🇲🇱 - Stellenbosch 🇿🇦 - CD Luanda 🇦🇴 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: - USM Alger 🇩🇿 - ASEC Mimosas 🇨🇮 - ASC Jaraaf 🇸🇳 - Orapa United 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: - Zamalek SC 🇪🇬 - Al Masry 🇪🇬 - Enyimba FC 🇳🇬 - Black Bulls 🇲🇿 #TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Like
    1
    ·395 Views
  • SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
    .
    1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
    2. Esperance (Tunisia) – 61 points
    3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
    4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
    5. Zamalek (Egypt) – 48 points
    6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
    7. Simba (Tanzania) – 39 points
    8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
    9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
    10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
    .
    Chama lako namba ngapi hapo __!!??
    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane (Morocco) – 42 points 7. Simba (Tanzania) – 39 points 8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points 9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points 10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points . Chama lako namba ngapi hapo __!!??
    Like
    1
    ·292 Views
  • SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
    .
    1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
    2. Esperance (Tunisia) – 61 points
    3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
    4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
    5. Zamalek (Egypt) – 48 points
    6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
    7. Simba (Tanzania) – 39 points
    8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
    9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
    10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
    .
    Chama lako namba ngapi hapo __!!
    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane (Morocco) – 42 points 7. Simba (Tanzania) – 39 points 8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points 9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points 10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points . Chama lako namba ngapi hapo __!!👇
    Like
    Love
    3
    1 Commentarii ·224 Views
  • SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
    .
    1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
    2. Esperance (Tunisia) – 61 points
    3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
    4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
    5. Zamalek (Egypt) – 48 points
    6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
    7. Simba (Tanzania) – 39 points
    8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
    9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
    10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
    .
    Chama lako namba ngapi hapo __!!
    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane (Morocco) – 42 points 7. Simba (Tanzania) – 39 points 8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points 9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points 10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points . Chama lako namba ngapi hapo __!!👇
    Like
    Love
    2
    2 Commentarii ·207 Views
  • Huu ni msimamo wa timu zote kubwa Africa ki soka kuanzia 1 July 2023 mpaka 30 June 2023.
    #Alahly
    #zamalek
    Huu ni msimamo wa timu zote kubwa Africa ki soka⚽ kuanzia 1 July 2023 mpaka 30 June 2023. #Alahly #zamalek
    Like
    2
    ·211 Views
  • Leo Julai 11, Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri.

    Ni timu 5 tu ambazo hazitakuwepo kwenye hatua ya awali kwenye Ligi ya mabingwa (CAFCL) ambazo ni:
    Al Ahly
    ES Tunis
    Mamelodi Sundowns
    Petro de Luanda
    TP Mazembe
    Timu zingine zitaanzia hatua ya awali

    Kwa Upande Wa Kombe la Shirikisho (CAFCC) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ambazo ni :

    Simba Sc
    RS Berkane
    Zamalek
    Asec Mimosas
    Enyimba
    Stade Malien
    USM Alger
    El Masry
    CS Sfaxien
    AS Vita
    Sekhukhune Utd
    FC Lupopo

    *Weka Emoji Ya Timu Ambayo Unaipa Sapoti Yako Kwenye Michuano Hii Ya Kimataifa*
    Leo Julai 11, Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri. Ni timu 5 tu ambazo hazitakuwepo kwenye hatua ya awali kwenye Ligi ya mabingwa (CAFCL) ambazo ni: ⭐Al Ahly ⭐ES Tunis ⭐Mamelodi Sundowns ⭐Petro de Luanda ⭐TP Mazembe ➡️Timu zingine zitaanzia hatua ya awali 💥Kwa Upande Wa Kombe la Shirikisho (CAFCC) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ambazo ni : ⭐Simba Sc ⭐RS Berkane ⭐Zamalek ⭐Asec Mimosas ⭐Enyimba ⭐Stade Malien ⭐USM Alger ⭐El Masry ⭐CS Sfaxien ⭐AS Vita ⭐Sekhukhune Utd ⭐FC Lupopo *Weka Emoji Ya Timu Ambayo Unaipa Sapoti Yako Kwenye Michuano Hii Ya Kimataifa* ⤵️
    Like
    1
    ·443 Views
  • Kwa upande wa CAFCC ( kombe la Shirikisho) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ya Kombe hilo :-

    Simba
    RS Berkane
    Zamalek
    🇨🇮 Asec Mimosas
    Enyimba
    Stade Malien
    USM Alger
    El Masry
    CS Sfaxien
    AS Vita
    Sekhukhune utd
    FC Lupopo
    Kwa upande wa CAFCC ( kombe la Shirikisho) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ya Kombe hilo :- 🇹🇿 Simba 🇲🇦 RS Berkane 🇪🇬 Zamalek 🇨🇮 Asec Mimosas 🇳🇬 Enyimba 🇲🇱 Stade Malien 🇩🇿 USM Alger 🇪🇬 El Masry 🇹🇳 CS Sfaxien 🇨🇩 AS Vita 🇿🇦 Sekhukhune utd 🇨🇩FC Lupopo
    Like
    1
    ·348 Views