• La kihistoria! Lionel Andrés Messi Cuccittini sasa ndiye mfungaji bora na mtoa asisti wa muda wote katika klabu ya Inter Miami, akiwa na mabao 52 na pasi 29 za mabao!

    ๐ŸŸ Mechi: 63
    โšฝ๏ธ Mabao: 52
    Pasi za mabao: 29

    Takwimu za Messi katika taaluma yake:

    Mechi: 1108
    โšฝ๏ธ Mabao: 868
    Pasi za mabao: 385
    Mchango wa goli kwa kila mechi: 1.13

    Bila shaka, ni mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea.

    #SportsElite
    La kihistoria! ๐Ÿคฏ Lionel Andrés Messi Cuccittini sasa ndiye mfungaji bora na mtoa asisti wa muda wote katika klabu ya Inter Miami, akiwa na mabao 52 na pasi 29 za mabao! ๐Ÿ ๐ŸŸ Mechi: 63 โšฝ๏ธ Mabao: 52 ๐ŸŽฏ Pasi za mabao: 29 Takwimu za Messi katika taaluma yake: โœ… Mechi: 1108 โšฝ๏ธ Mabao: 868 ๐Ÿ…ฐ๏ธ Pasi za mabao: 385 ๐Ÿ”ฅ Mchango wa goli kwa kila mechi: 1.13 Bila shaka, ni mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea. ๐Ÿ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท115 Views
  • Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka!

    Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka! ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ“‰ Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV ๐Ÿ“บ๐Ÿ”ฅ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท116 Views
  • #SportsElite

    - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..!
    .
    .
    - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! ๐Ÿฅน!
    .
    .

    …Endelea kupumzika, Diogo Jota. ๐Ÿ•Š
    #SportsElite - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..! ๐Ÿค . . - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! ๐Ÿฅน! . . …Endelea kupumzika, Diogo Jota. ๐Ÿ•Š
    0 Comments ยท0 Shares ยท267 Views
  • Leo Messi
    Leo Messi
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท156 Views ยท0
  • Lionel Andress Messi amefikisha magoli 50 kati ya mechi 61 tangu ajiunge Inter Miami.

    #SportsElite
    Lionel Andress Messi amefikisha magoli 50 kati ya mechi 61 tangu ajiunge Inter Miami. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ #SportsElite
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท163 Views
  • Uongozi wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Nchini Marekani , Major League Soccer (MLS), umempiga marufuku Mlinzi binafsi (Bodyguard) wa Lionel Messi, Yassine Cheuko, kuwa kando na kuingia katikati ya Uwanja wakati wa mechi za Inter Miami kwa lengo lake la kumlinda Mwajiri wake Messi.

    Ikumbukwe kwamba Yassine Cheuko, ni Mwanajeshi wa zamani wa kikosi maalumu cha operesheni za kijeshi cha Jeshi la Majini la Marekani (U.S. Navy) kinachobobea katika vita visivyo vya kawaida, kupambana na ugaidi, mashambulizi ya moja kwa moja, na upelelezi wa kijeshi. Tangu Yessine Cheuko aanze kufanya kazi na Messi amejizolea umaarufu mkubwa Duniani kwani ameonekana mara nyingi akiwadhibiti Wavamizi mbalimbali ambao wengi lengo lao huwa sio baya, zaidi wanataka kupiga picha na Messi.

    Tayari uongozi wa Ligi hiyo umemzuia kuingia Uwanjani, sasa ataruhusiwa tu kuwa kwenye Vyumba vya kubadilishia nguo na maeneo ya Waandishi wa habari siku za mechi. Uamuzi huu ni sehemu ya mpango wa (MLS) wa kuchukua mamlaka kamili ya usalama wa mechi.

    Baada ya katazo, Yassine Cheuko ameonyesha kutoridhishwa na hatua hiyo, akisema kuwa Wavamizi wa Uwanja ni tatizo kubwa zaidi Nchini Marekani kuliko Ulaya. Kwa mujibu wake, katika miaka saba aliyofanya kazi Ulaya, kulikuwa na matukio sita pekee ya uvamizi Uwanjani, ilhali katika miezi 20 Nchini Marekani, tayari yameshuhudiwa matukio 16.

    Mlinzi huyo ameendelea kusema kuwa Uongozi wa Ligi Kuu ya Marekani haukutakiwa kumzuia kufanye kazi yake bali walitakiwa kumpa ushirikiano ili kazi hiyo waifanye kwa pamoja kwa sababu eti kipindi yupo barani Ulaya, alipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye Uongozi na alifanya kazi yake kwa uhuru. Pamoja na kuzuiliwa kuingia Uwanjani au kukaa kando ya Uwanja, Cheuko amesema kuwa ataendelea kufanya kazi yake kama kawaida bila kuvunja sheria au utaratibu uliopo kwenye mchezo wa mpira wa miguu.

    Uongozi wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Nchini Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ, Major League Soccer (MLS), umempiga marufuku Mlinzi binafsi (Bodyguard) wa Lionel Messi, Yassine Cheuko, kuwa kando na kuingia katikati ya Uwanja wakati wa mechi za Inter Miami kwa lengo lake la kumlinda Mwajiri wake Messi. Ikumbukwe kwamba Yassine Cheuko, ni Mwanajeshi wa zamani wa kikosi maalumu cha operesheni za kijeshi cha Jeshi la Majini la Marekani (U.S. Navy) kinachobobea katika vita visivyo vya kawaida, kupambana na ugaidi, mashambulizi ya moja kwa moja, na upelelezi wa kijeshi. Tangu Yessine Cheuko aanze kufanya kazi na Messi amejizolea umaarufu mkubwa Duniani kwani ameonekana mara nyingi akiwadhibiti Wavamizi mbalimbali ambao wengi lengo lao huwa sio baya, zaidi wanataka kupiga picha na Messi. Tayari uongozi wa Ligi hiyo umemzuia kuingia Uwanjani, sasa ataruhusiwa tu kuwa kwenye Vyumba vya kubadilishia nguo na maeneo ya Waandishi wa habari siku za mechi. Uamuzi huu ni sehemu ya mpango wa (MLS) wa kuchukua mamlaka kamili ya usalama wa mechi. Baada ya katazo, Yassine Cheuko ameonyesha kutoridhishwa na hatua hiyo, akisema kuwa Wavamizi wa Uwanja ni tatizo kubwa zaidi Nchini Marekani kuliko Ulaya. Kwa mujibu wake, katika miaka saba aliyofanya kazi Ulaya, kulikuwa na matukio sita pekee ya uvamizi Uwanjani, ilhali katika miezi 20 Nchini Marekani, tayari yameshuhudiwa matukio 16. Mlinzi huyo ameendelea kusema kuwa Uongozi wa Ligi Kuu ya Marekani haukutakiwa kumzuia kufanye kazi yake bali walitakiwa kumpa ushirikiano ili kazi hiyo waifanye kwa pamoja kwa sababu eti kipindi yupo barani Ulaya, alipata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye Uongozi na alifanya kazi yake kwa uhuru. Pamoja na kuzuiliwa kuingia Uwanjani au kukaa kando ya Uwanja, Cheuko amesema kuwa ataendelea kufanya kazi yake kama kawaida bila kuvunja sheria au utaratibu uliopo kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
    0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
  • Mke wa Mchezaji wa kimataifa wa Burkina Faso n'a klabu ya Yanga SC, Hamisa Mobetto (Tanzania ) ameingia kwenye orodha ya WAGS (Wives And Girlfriends of Footballers) ambao ni Wake (Wapenzi au Wachumba) wa Wachezaji wenye Wafuasi (followers) wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Duniani.

    1. @georginagio (Mrs. Ronaldo) :+65.5M
    2. antonelaroccuzzo (Mrs. Messi) : +39.9M
    3. @iambeckyg (Mrs. Sebastian) : +37.2M
    4. @victoriabeckham (Mrs. Beckham) : +32.9M
    5. @perrieedwards (Mrs. Alex) :+19M

    6. @alishalehmann7 (Mrs. Douglas Luiz) : +16.6M
    7. @brunabiancardi (Mrs. Neymar Jr) : +13.6M
    8. @hamisamobetto (Mrs. Aziz Ki) : +12.1M
    9. @pilarrubio (Mrs. Sergio Ramos) : +11.1M
    10. @leighannepinnock (Mrs. Andre Gray) : +10M

    Mke wa Mchezaji wa kimataifa wa Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ n'a klabu ya Yanga SC, Hamisa Mobetto (Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ) ameingia kwenye orodha ya WAGS (Wives And Girlfriends of Footballers) ambao ni Wake (Wapenzi au Wachumba) wa Wachezaji wenye Wafuasi (followers) wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Duniani. 1. @georginagio (Mrs. Ronaldo) :+65.5M 2. antonelaroccuzzo (Mrs. Messi) : +39.9M 3. @iambeckyg (Mrs. Sebastian) : +37.2M 4. @victoriabeckham (Mrs. Beckham) : +32.9M 5. @perrieedwards (Mrs. Alex) :+19M 6. @alishalehmann7 (Mrs. Douglas Luiz) : +16.6M 7. @brunabiancardi (Mrs. Neymar Jr) : +13.6M 8. @hamisamobetto (Mrs. Aziz Ki) : +12.1M 9. @pilarrubio (Mrs. Sergio Ramos) : +11.1M 10. @leighannepinnock (Mrs. Andre Gray) : +10M
    0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
  • TBT ya Haji Manara

    "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China.
    Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki

    Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu,
    Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi.
    Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo.

    Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado,
    Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda

    Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam,
    Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu.
    Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu

    Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba "

    TBT ya Haji Manara "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China. Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€, Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi. Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo. Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado, Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu. Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu ๐Ÿ™๐Ÿ™ Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€"
    0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
  • #allymessi1 #everyone #funny #sosialpop
    #allymessi1 #everyone #funny #sosialpop
    Haha
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views ยท1
  • Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0).

    Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja.

    Mtoto wa Lionel Messi, Thiago Messi amefunga mabao (11) kwenye mchezo ulioikutanisha klabu yake ya Inter Miami ya Watoto wenye umri chini ya miaka (13) dhidi ya klabu ya Atlanta United ambapo mchezo umemaliza kwa ushindi Inter Miami wa mabao (12-0). Thiago Messi amefanya hivyo kwa kufunga mabao hayo (11) ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Junior kuifungia klabu yake ya Al Nasr (Watoto) mabao matano (5) kwenye mchezo mmoja.
    Like
    1
    ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท481 Views
  • “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.”

    “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.

    “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.” “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.
    0 Comments ยท0 Shares ยท524 Views
  • “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.”

    “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.

    “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.” “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท523 Views
  • Jose mourinho : "Naweza kusema kazi ngumu niliyokuwa nayo ni Messi, nikikuta kitabu kimeandikwa kwenye jalada lake "How to stop Messi" ningenunua vitabu vyote vya kusoma na kuwapa wachezaji wangu, nilifanya hivyo. sikumtafutia suluhu nikiwa Real Madrid ningenunua mabeki bora na mwisho ningewakuta wanaanguka chini na Messi anakimbia na kujisemea

    "kuna bora zaidi ya hawa wachezaji? Hakuna, kwa hiyo tatizo halipo kwangu wala kwao, tatizo ni kwamba hakuna namna ya kumzuia" Naomba tu Mungu afanye muujiza kwa muujiza huu wa soka maana masuluhisho ya dunia hayatafanya kazi naye, Nataka kumwambia kocha yeyote ambaye hajakutana na Messi “una bahati sana kwani unalala vizuri kwani timu unazocheza nazo hazina Messi”, makocha watakaokutana naye nataka kusema “Usijisumbue na usijaribu kumzuia, furahia tu au utajikuta umekaa ukiwaza usiku wa manane"

    Jose mourinho ๐Ÿ—ฃ๏ธ : "Naweza kusema kazi ngumu niliyokuwa nayo ni Messi, nikikuta kitabu kimeandikwa kwenye jalada lake "How to stop Messi" ningenunua vitabu vyote vya kusoma na kuwapa wachezaji wangu, nilifanya hivyo. sikumtafutia suluhu nikiwa Real Madrid ningenunua mabeki bora na mwisho ningewakuta wanaanguka chini na Messi anakimbia na kujisemea "kuna bora zaidi ya hawa wachezaji? Hakuna, kwa hiyo tatizo halipo kwangu wala kwao, tatizo ni kwamba hakuna namna ya kumzuia" Naomba tu Mungu afanye muujiza kwa muujiza huu wa soka maana masuluhisho ya dunia hayatafanya kazi naye, Nataka kumwambia kocha yeyote ambaye hajakutana na Messi “una bahati sana kwani unalala vizuri kwani timu unazocheza nazo hazina Messi”, makocha watakaokutana naye nataka kusema “Usijisumbue na usijaribu kumzuia, furahia tu au utajikuta umekaa ukiwaza usiku wa manane"
    Like
    2
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท711 Views
  • KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.

    Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.

    Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.

    Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.

    Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.

    Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.

    Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.

    Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.

    Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.

    Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.

    Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.

    Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.

    Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.

    Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka

    #neliudcosih
    ๐Ÿšจ KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. โœ๏ธKutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka ๐Ÿ™Œ #neliudcosih
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
  • Virgil van dijk: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri.

    Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote"

    Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi :

    Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia Kubwa Zaidi ya Wakati Wote

    #neliudcosiah

    Virgil van dijk๐Ÿ—ฃ๏ธ: "Pasi ya Messi kwenye Kombe la Dunia ilinivutia sana. Alifanyaje? Hata ukicheza PlayStation, hutafanya vizuri. Alifikiriaje kutoa pasi hiyo? Messi ana mfumo wa roboti akilini mwake unaomdhibiti. Mtu wa kawaida hawezi kufanya kitu kama hicho. Yeye ni mgeni. Kila wakati anaushangaza ulimwengu kwa mambo ya miujiza. Ninachopenda kwake ni unyenyekevu wake. Nilikutana naye kwenye sherehe ya Ballon d'Or na akaniambia kuwa mimi ni beki mzuri. Nilimwambia sijawahi kuogopa kukutana na mchezaji maishani mwangu hadi nilipocheza dhidi yako. Ulinipa usingizi usiku na kunifanya nifikirie mara mbilimbili. Yeye ndiye mchezaji bora, bila shaka. Nambari zake zinasema yote" Virgil Van Dijk alisema kuhusu Messi ๐Ÿ—ฃ๏ธ: Unapocheza dhidi ya Messi na yuko kwenye ubora wake, huwezi kufanya lolote. Ndiye mchezaji bora zaidi duniani. Na nina furaha sana Messi alishinda Kombe la Dunia โœจ๐Ÿ”ฅ Kubwa Zaidi ya Wakati Wote๐Ÿ˜ญโค๏ธ๐Ÿ #neliudcosiah
    Like
    2
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท942 Views
  • JE UNAFAHAMU: Katika dakika ya 80 ya fainali ya Wembley, Barcelona ilikuwa inaongoza Manchester United 3-1. Msaidizi wa Ferguson alisema:

    "Tufanye mabadiliko, Messi, Iniesta, na Xavi wamechoka sana katika ulinzi wetu."

    Ferguson alijibu: "Kaa chini na ufurahie mpira wa miguu wanaocheza. Yote ni juu ya. Wangeweza kumiliki mpira kwa siku tatu mfululizo."

    Messi alipata alama ya juu zaidi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa katika mechi hiyo, 10/10 kamili, na hakuna mchezaji aliyerudia mafanikio haya hadi sasa.
    JE UNAFAHAMU: Katika dakika ya 80 ya fainali ya Wembley, Barcelona ilikuwa inaongoza Manchester United 3-1. Msaidizi wa Ferguson alisema: "Tufanye mabadiliko, Messi, Iniesta, na Xavi wamechoka sana katika ulinzi wetu." Ferguson alijibu: "Kaa chini na ufurahie mpira wa miguu wanaocheza. Yote ni juu ya. Wangeweza kumiliki mpira kwa siku tatu mfululizo." Messi alipata alama ya juu zaidi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa katika mechi hiyo, 10/10 kamili, na hakuna mchezaji aliyerudia mafanikio haya hadi sasa.
    Like
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท611 Views
  • Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.

    Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.
    0 Comments ยท0 Shares ยท454 Views
  • ๐—™๐—”๐—–๐—ง๐—ฆ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—”

    โžœ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    โžœ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    โžœ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    โžœ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    โžœ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    โžœ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    โžœ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    โžœ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    โžœ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    โžœ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    โžœ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    โžœ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    โžœ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    โžœ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    โžœ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    โžœ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    โžœ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    โ™  Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    ๐Ÿšจ๐—™๐—”๐—–๐—ง๐—ฆ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” โžœ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท na Cristiano Ronaldo ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น โžœ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. โžœ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 โšฝ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. โžœ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). โžœ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). โžœ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. โžœ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! โžœ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. โžœ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). โžœ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. โžœ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). โžœ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake ๐Ÿ˜€ โžœ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) โžœ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. โžœ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! ๐Ÿ˜€ โžœ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. โžœ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? ๐Ÿ˜Ž
    0 Comments ยท0 Shares ยท2K Views
  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    โšฝ๏ธ 20
    10

    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). ๐ŸŸ๏ธ 19 โšฝ๏ธ 20 ๐ŸŽฏ 10
    0 Comments ยท0 Shares ยท502 Views
  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    โšฝ๏ธ 20
    10
    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). ๐ŸŸ๏ธ 19 โšฝ๏ธ 20 ๐ŸŽฏ 10
    Like
    2
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท517 Views
More Results