0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·21 Views
-
Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG).
Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza.
Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa?
FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE
Ureno 2-2 Uhispania (P 5-3)
Mendes
Ronaldo
Zubimendi
Oyarzabal
#UCL
Barcelona 1-2 PSG
19' Torres
38' Mayulu( Mendes)
90' Ramos ( Hakimi)
#SportsEliteLamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG). Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza. ✍️ Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa? FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE Ureno 🇵🇹 2-2 🇪🇸 Uhispania (P 5-3) ⚽ Mendes ⚽ Ronaldo ⚽ Zubimendi ⚽ Oyarzabal #UCL Barcelona 🇪🇸 1-2 🇫🇷 PSG ⚽ 19' Torres ⚽ 38' Mayulu(🅰️ Mendes) ⚽ 90' Ramos (🅰️ Hakimi) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·522 Views -
Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio.
Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika.
(Source: Tanziloic)
#SportsElite🚨 Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio. Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika. (Source: Tanziloic) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·217 Views -
Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza
Chelsea
Paris Saint-Germain
Eintracht Frankfurt
Club Brugge
Olympiacos
Slavia Prague
Copenhagen
Newcastle
Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .
#SportsElite🚨Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza ❤️💙 🔥 ✈️ Chelsea 🏠 Paris Saint-Germain 🏠 Eintracht Frankfurt ✈️ Club Brugge 🏠 Olympiacos ✈️ Slavia Prague 🏠 Copenhagen ✈️ Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu 🥶. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·501 Views -
𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt.
Kwa ada €1M.
(Source: Paris FC)
#SportsElite📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt. Kwa ada €1M. 🧤🇩🇪 (Source: Paris FC) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·200 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG.
Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City.
photo credit Madridista
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG. Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City. 📷 photo credit Madridista 🙏 #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·288 Views -
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·216 Views
-
Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté.
Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili..
(Source: Diario AS)
#SportsElite🚨 Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté. 😳🇫🇷 Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili.. (Source: Diario AS) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·276 Views -
Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.
Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.
Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.
Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.
"Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.
"Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.
#SportsElite🚨🚨Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·792 Views -
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea
(Source: x/JanAageFjortoft)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea ✅ (Source: x/JanAageFjortoft) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·344 Views -
Club ya Manchester city imeweka dau la €60M na offer mbali Bali kwa golikipa wa FC Porto Diogo Costa na pia Club ya PSG imehusishwa juu ya kumuhitaji golikipa huyo
#SportsEliteClub ya Manchester city imeweka dau la €60M na offer mbali Bali kwa golikipa wa FC Porto Diogo Costa na pia Club ya PSG imehusishwa juu ya kumuhitaji golikipa huyo #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·234 Views -
:Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £𝟑𝟎𝟎𝐌 kumnunua Vinicius Junior
Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017
#SportsElite🚨⚪:Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £𝟑𝟎𝟎𝐌 kumnunua Vinicius Junior 😱💰 Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017 #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·336 Views -
Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSGManager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·315 Views
-
Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M —
Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG.
(Source: @DiMarzio)
#SportsElite🚨 Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M — Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG. 💰🤯 (Source: @DiMarzio) #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·281 Views -
𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜
Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.
Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. ✍🏻
#SportsElite𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜 ✅ Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.🔵🔴🇮🇹 Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. ✍🏻📝🆓 #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·321 Views -
Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.
Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.
#SportsElite🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·710 Views -
Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina.
Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG.
#SportsEliteBaada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina. Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG. #SportsElite -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain
Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain 💛💙🇹🇷 Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo🇪🇸🏁 #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·315 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·368 Views -
Today's Match 🏟
PSG vs REAL MADRID
⌚️ 22:00 EAT
Stream live here
https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch
> 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
▶︎ ●────────── 0:41Today's Match 🏟 PSG vs REAL MADRID ⌚️ 22:00 EAT Stream live here 👇👇 https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:410 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·814 Views
Αναζήτηση αποτελεσμάτων