• Liverpool wamepanga kuwatajirisha PSG..

    Kupitia Fichajes imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool ipo tayari kutoa dau kubwa la hadi €159M ili kumpata kiungo wa Paris Saint Germain, Joao Neves.

    Liverpool wapo tayari kutajirisha vilabu vya ulaya .

    Liverpool wamepanga kuwatajirisha PSG.. Kupitia Fichajes imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool ipo tayari kutoa dau kubwa la hadi €159M ili kumpata kiungo wa Paris Saint Germain, Joao Neves. Liverpool wapo tayari kutajirisha vilabu vya ulaya ๐Ÿ˜.
    0 Commenti 0 condivisioni 261 Views
  • Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.

    Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.

    Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
    Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
    Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
    Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.

    (Source: Telegraph)
    ๐Ÿšจ Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo. Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao. ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M. (Source: Telegraph)
    0 Commenti 0 condivisioni 563 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Willian Pacho amefikia makubaliano ya kuongeza kandarasi ya miaka 4 kusalia PSG hadi 2030.
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Willian Pacho amefikia makubaliano ya kuongeza kandarasi ya miaka 4 kusalia PSG hadi 2030.
    0 Commenti 0 condivisioni 648 Views
  • Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG).

    Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza.

    Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa?

    FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE
    Ureno 2-2 Uhispania (P 5-3)
    Mendes
    Ronaldo

    Zubimendi
    Oyarzabal

    #UCL
    Barcelona 1-2 PSG
    19' Torres
    38' Mayulu( Mendes)
    90' Ramos ( Hakimi)


    #SportsElite
    Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG). Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza. โœ๏ธ Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa? FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 2-2 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Uhispania (P 5-3) โšฝ Mendes โšฝ Ronaldo โšฝ Zubimendi โšฝ Oyarzabal #UCL Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 1-2 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท PSG โšฝ 19' Torres โšฝ 38' Mayulu(๐Ÿ…ฐ๏ธ Mendes) โšฝ 90' Ramos (๐Ÿ…ฐ๏ธ Hakimi) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio.

    Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika.

    (Source: Tanziloic)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio. Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika. (Source: Tanziloic) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 345 Views
  • Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza

    Chelsea
    Paris Saint-Germain
    Eintracht Frankfurt
    Club Brugge
    Olympiacos
    Slavia Prague
    Copenhagen
    Newcastle

    Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .

    #SportsElite
    ๐ŸšจMechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza โค๏ธ๐Ÿ’™ ๐Ÿ”ฅ โœˆ๏ธ Chelsea ๐Ÿ  Paris Saint-Germain ๐Ÿ  Eintracht Frankfurt โœˆ๏ธ Club Brugge ๐Ÿ  Olympiacos โœˆ๏ธ Slavia Prague ๐Ÿ  Copenhagen โœˆ๏ธ Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu ๐Ÿฅถ. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 861 Views
  • ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt.

    Kwa ada €1M.

    (Source: Paris FC)

    #SportsElite
    ๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt. Kwa ada €1M. ๐Ÿงค๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช (Source: Paris FC) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 255 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG.

    Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City.

    photo credit Madridista

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Gianluigi Donnarumma yuko mbioni kujiunga na Manchester City akitokea PSG. Golikipa huyo ameonesha nia ya kutaka kujiunga na miamba ya Manchester City. ๐Ÿ“ท photo credit Madridista ๐Ÿ™ #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 358 Views
  • Tunaendelea tulipo ishia
    PSG…

    …2-0 TOTTENHAM. โŒ›๏ธ
    Tunaendelea tulipo ishia PSG… ๐Ÿคฉ๐Ÿคฏ …2-0 TOTTENHAM. โณโŒ›๏ธ๐Ÿ†๐Ÿ†
    0 Commenti 0 condivisioni 265 Views
  • Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté.

    Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili..

    (Source: Diario AS)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili.. (Source: Diario AS) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 356 Views
  • Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.

    Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.

    Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
    Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.

    Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.

    "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.

    "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐ŸšจMeneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea

    (Source: x/JanAageFjortoft)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Manchester united bado wapo kwenye mazungumzo na PSG ili kumpata golikipa Gigi Donnarumma . Mchakato bado inaendelea โœ… (Source: x/JanAageFjortoft) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 396 Views
  • Club ya Manchester city imeweka dau la €60M na offer mbali Bali kwa golikipa wa FC Porto Diogo Costa na pia Club ya PSG imehusishwa juu ya kumuhitaji golikipa huyo

    #SportsElite
    Club ya Manchester city imeweka dau la €60M na offer mbali Bali kwa golikipa wa FC Porto Diogo Costa na pia Club ya PSG imehusishwa juu ya kumuhitaji golikipa huyo #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 282 Views
  • :Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £๐Ÿ‘๐ŸŽ๐ŸŽ๐Œ kumnunua Vinicius Junior

    Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017

    #SportsElite
    ๐Ÿšจโšช:Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £๐Ÿ‘๐ŸŽ๐ŸŽ๐Œ kumnunua Vinicius Junior ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ’ฐ Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017 #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 386 Views
  • Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG
    Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG
    0 Commenti 0 condivisioni 360 Views
  • Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M —
    Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG.

    (Source: @DiMarzio)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M — Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG. ๐Ÿ’ฐ๐Ÿคฏ (Source: @DiMarzio) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 334 Views
  • ๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ

    Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.

    Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. โœ๐Ÿป

    #SportsElite
    ๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ โœ… Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. โœ๐Ÿป๐Ÿ“๐Ÿ†“ #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 368 Views
  • Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    ๐ŸšจKlabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 906 Views
  • Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina.

    Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG.

    #SportsElite
    Baada ya kurejea timu yake ya zamani Rosario de Central, Angel de Maria leo ataanza kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Godoy Cruz mchezo wa ligi kuu nchini Argentina. Rosario de Central ndio timu iliyomtoa Di maria kabla ya kutimkia vilabu vya ulaya kama vile Benfica, Real Madrid, Manchester united pamoja na PSG. #SportsElite
    Love
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 603 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain

    Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
    Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain ๐Ÿ’›๐Ÿ’™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 363 Views
Pagine in Evidenza