Обновить до Про

  • TANGAZO TANGAZO.

    Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo:

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.

    2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako.

    3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe.

    4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga.

    5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas.

    6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo.

    7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa.

    8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza.

    9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu.

    10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi.

    11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu.

    12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti.

    Ahsanteni na karibuni sana
    🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe. 4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga. 5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas. 6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo. 7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa. 8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza. 9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu. 10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi. 11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu. 12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti. Ahsanteni na karibuni sana 🙏🙏😂
    Haha
    1
    ·147 Просмотры
  • Best top movies in Netflix #everyone #followers #movies #series #funny
    Best top movies in Netflix #everyone #followers #movies #series #funny
    Like
    Haha
    2
    ·235 Просмотры ·11 Просмотры
  • Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, Na ilivyo kawaida ya Mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "MPENZI" ujue atakuja na mwingine ili kukupa changamoto.

    Sasa basi utakuta Mmoja atakuwa na MVUTO lakini hana wazo la kuishi nawe, Mwingine hana MVUTO lakini anayo haja ya kuishi nawe kama MUME/MKE..!

    Hapo ndipo palipomshinda Binadam hata akajikuta anakuwa njia panda,

    *UFANYE NINI KUKABILIANA NA HILI?*

    Kwanza kabisa lazima ujue kuwa Mapenzi ni HISIA... Ni jambo la kwanza kwa Mtu yeyote, Sikiliza hisia zako kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Uangalie MOYO wako kama una furaha na nani Kati ya hao wanaosema I LOVE YOU...

    Jiweke mahala kuyaishi maisha ya AMANI kuliko chochote, Amani inatokana na utulivu wa moyo, Asiye na MVUTO kama una hisia nae pambana kumpa mvuto wako mwenyewe, Kama ni mwenye MVUTO basi itetee nafsi yako, Maana kwenye MAPENZI hakuna linaloshindikana ikiwa penzi litaongozwa na UKARIBU, MAELEWANO, UPOLE NA UVUMILIVU...!

    Hata chizi Ukiwa nae Karibu na mkaelewana sana, hawezi kukudhuru kwa asilimia kubwa... Wengi husimama njia panda na kushindwa kuamua vyema mwisho wao huwa mbaya, ni bora sana kujitafakari kabla ya kuamua ili kujiweka sehemu salama.

    Mapenzi yanayodumu ni yenye HISIA maana moyo huongea kwa mazuri tu, Ole wako UOE/UOLEWE na mtu asiye na hisia nawe then aje kumpata wa hisia zake Mweeee UTAJUTA MBONA... Hakunaga kusikilizwa wala kupewa nafasi ya kujieleza, Uwe na cheti cha NDOA ama mna MTOTO/WATOTO hayo hayatakuwa na nafasi tena maana mwenzio atakuwa anautetea moyo wake tu.

    Chagua zaidi kuwa na MTU MWENYE HISIA NAWE ili ufurahie Mapenzi, Vinginevyo UTAISHI KWA TAABU SANA JUU YA MAPENZI HAYA YA KARNE YA KIZAZI cha KIDUKU, VISHETI, SERIES NA UONGO MKUBWA....
    Mapenzi yana tabia ya kumuweka mtu njia panda, Na ilivyo kawaida ya Mapenzi unapokuwa huna mtu unakuwa salama kiafya na kiakili japo moyo unahangaika kutafuta faraja. Ukimpata mtu "MPENZI" ujue atakuja na mwingine ili kukupa changamoto. Sasa basi utakuta Mmoja atakuwa na MVUTO lakini hana wazo la kuishi nawe, Mwingine hana MVUTO lakini anayo haja ya kuishi nawe kama MUME/MKE..! Hapo ndipo palipomshinda Binadam hata akajikuta anakuwa njia panda, *UFANYE NINI KUKABILIANA NA HILI?* Kwanza kabisa lazima ujue kuwa Mapenzi ni HISIA... Ni jambo la kwanza kwa Mtu yeyote, Sikiliza hisia zako kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Uangalie MOYO wako kama una furaha na nani Kati ya hao wanaosema I LOVE YOU... Jiweke mahala kuyaishi maisha ya AMANI kuliko chochote, Amani inatokana na utulivu wa moyo, Asiye na MVUTO kama una hisia nae pambana kumpa mvuto wako mwenyewe, Kama ni mwenye MVUTO basi itetee nafsi yako, Maana kwenye MAPENZI hakuna linaloshindikana ikiwa penzi litaongozwa na UKARIBU, MAELEWANO, UPOLE NA UVUMILIVU...! Hata chizi Ukiwa nae Karibu na mkaelewana sana, hawezi kukudhuru kwa asilimia kubwa... Wengi husimama njia panda na kushindwa kuamua vyema mwisho wao huwa mbaya, ni bora sana kujitafakari kabla ya kuamua ili kujiweka sehemu salama. Mapenzi yanayodumu ni yenye HISIA maana moyo huongea kwa mazuri tu, Ole wako UOE/UOLEWE na mtu asiye na hisia nawe then aje kumpata wa hisia zake Mweeee UTAJUTA MBONA... Hakunaga kusikilizwa wala kupewa nafasi ya kujieleza, Uwe na cheti cha NDOA ama mna MTOTO/WATOTO hayo hayatakuwa na nafasi tena maana mwenzio atakuwa anautetea moyo wake tu. Chagua zaidi kuwa na MTU MWENYE HISIA NAWE ili ufurahie Mapenzi, Vinginevyo UTAISHI KWA TAABU SANA JUU YA MAPENZI HAYA YA KARNE YA KIZAZI cha KIDUKU, VISHETI, SERIES NA UONGO MKUBWA....
    ·441 Просмотры
  • Kwenye Ule Muendelezo wetu wa series ya CITADEL
    hii ni third story pia
    1: Citadel
    2: Citadel:Diana
    3: Citadel:Honey Bunny
    Enjoy The Weekend
    Kwenye Ule Muendelezo wetu wa series ya CITADEL hii ni third story pia 1: Citadel 2: Citadel:Diana 3: Citadel:Honey Bunny 🔥 Enjoy The Weekend 😊
    ·218 Просмотры
  • Phantom series (rolls royce) cost about $450K=Tsh1.2B #traviscroto#kelvinlauden#billionaremindset#bernaldpeter#paulswai#socialpop#dox#jeiva#intellectual_and_developmental_disability_ID@davidatto@omarhassan@abrahmanissa@social pop@drcharlestz@tr_croto
    Phantom series (rolls royce) cost about $450K=Tsh1.2B #traviscroto#kelvinlauden#billionaremindset#bernaldpeter#paulswai#socialpop#dox#jeiva#intellectual_and_developmental_disability_ID@davidatto@omarhassan@abrahmanissa@social pop@drcharlestz@tr_croto
    Like
    Love
    5
    3 Комментарии ·901 Просмотры
  • Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA.

    Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui.

    Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja

    Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia.

    Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program.

    Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA. Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui. Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja 😄 Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia. Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program. Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Like
    Love
    4
    1 Комментарии ·439 Просмотры
  • My best series 2024 #socialpop
    My best series 2024 #socialpop💪🔥🔥🔥
    Love
    Like
    4
    3 Комментарии ·406 Просмотры
  • #Short #Series #2024
    #Short #Series #2024
    Like
    Love
    6
    ·416 Просмотры ·73 Просмотры
  • New Series : Avatar: The Last Airbender (2024)
    PAKUENI HAPA BURE https://t.me/moviezilizotafsiliwa
    "Jifunze kudhibiti kipengele chako..."
    Mtoto mdogo anayejulikana kama Avatar lazima ajifunze nguvu za vipengele vinne ili kuokoa ulimwengu ulioko vitani — na kupigana na adui mkatili anayejitahidi kumzuia.

    IMETAFISIWA NA #DJ_SNEKKY 🎙 EPISOD 30 COMPLETE

    Nchi: USA
    Lugha: English
    Aina: Sci-Fi, Fantasy, Action, Adventure, Drama
    #Action #avatar #thelastairbender #movies2024 #moviezilizotafsiliwa
    Download zilizotafsiliwa
    Https://t.me/moviezilizotafsiliwa
    New Series : Avatar: The Last Airbender (2024) PAKUENI HAPA BURE 👉 https://t.me/moviezilizotafsiliwa "Jifunze kudhibiti kipengele chako..." Mtoto mdogo anayejulikana kama Avatar lazima ajifunze nguvu za vipengele vinne ili kuokoa ulimwengu ulioko vitani — na kupigana na adui mkatili anayejitahidi kumzuia. IMETAFISIWA NA #DJ_SNEKKY 🎙 EPISOD 30 COMPLETE Nchi: USA Lugha: English Aina: Sci-Fi, Fantasy, Action, Adventure, Drama #Action #avatar #thelastairbender #movies2024 #moviezilizotafsiliwa Download zilizotafsiliwa 👇 Https://t.me/moviezilizotafsiliwa
    Love
    5
    1 Комментарии ·2Кб Просмотры ·1 Поделились