Upgrade to Pro

David Davoo

  • Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda.

    Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa.

    Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake.


    #daviddavoo
    #davidatto
    #neliudcosian
    Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu yake ya TP Mazembe, lakini amekuwa hana namba katika kikosi cha kwanza kuanzia kwa kocha Miguel Gamondi hadi Sead Ramovic anayeinoa timu hiyo kwa sasa. Taarifa za ndani ya Yanga zinasema kuwa straika huyo yupo mbioni kupigwa chini katika dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Disemba 15, huku Namungo ikitajwa kutaka huduma yake. #daviddavoo #davidatto #neliudcosian
    Like
    1
    1 Comments ยท326 Views
  • Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo.

    "Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo."

    - Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga.

    Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
    Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo. "Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo." - Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga. Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
    Like
    1
    1 Comments ยท140 Views
  • Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat.

    Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Hivi karibuni mafanikio ya Tayla yameshitua watu wengi, Mwezi Novemba mwaka huu alishinda tuzo tatu za MTV EMA , Usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Billboard kipengele cha Msanii bora wa Afrobeat. Kama Tyla angekuwa Mwanaume basi baadhi ya Watu wangedai nyuma yake kuna watu kama Diddy, ila ni Mwanamke, wewe binafsi unahisi Tyla anastahili hizi tuzo anazopata au nyuma yake kuna watu? kama kuna Watu ni watu gani mbali na Management yake? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    1 Comments ยท373 Views
  • Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB.

    Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini?

    #socialpop
    #davidatto
    #daviddavoo
    Mrembo Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa Snapchat ameweka wazi kuwa amemzawadia Mama yake mzazi Gari la Kifahari #Prado pamoja na Iphone 16 Pro Max Storage ya 1TB. Vipi kwa upande wako zawadi kubwa kuwahi kumpa Mama yako ilikuwa ni nini? #socialpop #davidatto #daviddavoo
    Like
    1
    2 Comments ยท395 Views
  • Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo
    Updates

    #daviddavoo
    Unaona mabao mangapi kwa mnyama simba leo Updates ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ #daviddavoo
    Like
    1
    ยท151 Views
  • Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,.....
    Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo
    Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki.....
    Barakadaprince yupo sahihi?.......

    #daviddavoo
    Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,..... Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki..... Barakadaprince yupo sahihi?....... #daviddavoo
    Like
    2
    ยท244 Views
  • Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.

    Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.

    TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.

    FT: MC Alger 0-1 Al Hilal
    76' Fofana

    MATOKEO MENGINE #CAFCL
    FT: Esperance 2-0 Pyramids
    TP Mazembe 1-1 Yanga Sc
    Maniema Union 1-1 ASFAR
    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Stade d'Abidjan 1-1 Orlando Pirates

    #socialpop
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962. Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu. TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu. FT: MC Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ 0-1 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ Al Hilal โšฝ 76' Fofana MATOKEO MENGINE #CAFCL FT: Esperance ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ 2-0 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids TP Mazembe ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 1-1 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga Sc Maniema Union ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 1-1 ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ASFAR ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Stade d'Abidjan 1-1 ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Orlando Pirates #socialpop
    Like
    1
    ยท349 Views
  • Ivi ipo sawa hii ???
    Ivi ipo sawa hii ???๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
    Like
    1
    ยท67 Views
  • Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham.

    Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid.

    FOLLOW ME @david davoo
    ๐Ÿšจ Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham. Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid. FOLLOW ME @david davoo
    Like
    1
    1 Comments ยท157 Views
  • ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ž๐—œ๐—ข ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข (5) ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ฆ๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ฅ ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ข ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ง๐—˜๐—Ÿ๐—Ÿ๐—œ

    haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa

    Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.

    Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?

    Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.

    Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.

    tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    ๐— ๐—”๐—ง๐—จ๐—ž๐—œ๐—ข ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข (5) ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—จ ๐—ฆ๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ฅ ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ข ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ง๐—˜๐—Ÿ๐—Ÿ๐—œ haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    Like
    1
    ยท325 Views
  • Katika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake.

    Visit David Atto
    #socialpop
    Katika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake. Visit [Mefa] #socialpop
    Like
    1
    ยท250 Views
  • KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE ..

    "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga."

    Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe
    #socialpop
    David Atto
    ๐Ÿšจ KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ.. "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga." ๐ŸŽ™๏ธMoise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    1 Comments ยท227 Views
  • || NANI AMEMTAMBUA HUYU MCHEZAJI_____?||
    || NANI AMEMTAMBUA HUYU MCHEZAJI_____?||
    Like
    1
    ยท62 Views
  • Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo.

    Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic,

    Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo. Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic, Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Like
    1
    ยท217 Views
  • Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania.

    “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani
    Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania. “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani๐Ÿ˜
    Like
    1
    ยท141 Views
  • . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu.

    Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending David Atto
    . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu. Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending [Mefa]
    Like
    2
    ยท363 Views
  • Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda.

    Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita.

    Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji.

    Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.”

    Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000.

    Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja.

    Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika.

    #sports
    #trending
    #socialpop
    David Atto
    Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda. Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita. Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji. Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.” Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000. Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja. Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika. #sports #trending #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    2
    ยท462 Views
  • Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.

    Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop David Atto
    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja. Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    3
    ยท236 Views
  • " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond

    Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!

    #socialpop
    #trending
    David Atto
    " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]
    Like
    1
    ยท348 Views
  • Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo.

    Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop David Atto
    Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo. Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    ยท142 Views
  • Wananchi na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon David Atto #socialpop
    Wananchi ๐Ÿ”ฐ na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ [Mefa] #socialpop
    Like
    1
    ยท149 Views
  • Like
    1
    ยท177 Views
  • ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
    Like
    1
    ยท62 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹ ๐EWS

    @fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC.
    Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc

    Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.

    ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹ ๐EWS @fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC. Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.
    ยท190 Views
  • "Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena

    "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi hatuko tayari kuchukua jukumu hilo. Ninataka kufurahiya maisha yangu na kuwa na furaha bila mzigo wa kulea watoto. Tulifanya uamuzi huu kabla ya ndoa yetu, na tunashukuru sana kwamba tuliufanya, kwa sababu maisha yetu yamejaa furaha kwa zaidi ya miaka minne. Hatujali kuhusu kuacha watoto shuleni, kutengeneza kifungua kinywa kwaajili ya watoto, au kukaa nyumbani kutunza watoto, Sisi ni kufurahiya maisha tu. Kila mtu ana haki ya kuchagua anachotaka maishani, na kwa upande wangu, ni ndoa yenye furaha bila watoto."- John cena

    Toa maoni yako________________________
    "Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi hatuko tayari kuchukua jukumu hilo. Ninataka kufurahiya maisha yangu na kuwa na furaha bila mzigo wa kulea watoto. Tulifanya uamuzi huu kabla ya ndoa yetu, na tunashukuru sana kwamba tuliufanya, kwa sababu maisha yetu yamejaa furaha kwa zaidi ya miaka minne. Hatujali kuhusu kuacha watoto shuleni, kutengeneza kifungua kinywa kwaajili ya watoto, au kukaa nyumbani kutunza watoto, Sisi ni kufurahiya maisha tu. Kila mtu ana haki ya kuchagua anachotaka maishani, na kwa upande wangu, ni ndoa yenye furaha bila watoto."- John cena Toa maoni yako________________________
    ยท134 Views
More Stories