0 Comments
路0 Shares
路54 Views
-
Movie Name: Den of Thieves 2: Pantera (2025)
Rating: 219
Quality: 480p | 720p | 1080p HD
Duration: 144 min.
Language: English
Subtitles: English
Credit Cast: Gerard Butler Diamond Film Productions
Stars: Gerard Butler, O'Shea Jackson, Jr., Evin Ahmad, Salvatore Esposito, Orli Shuka, Stéphane Coulon
Genres: Action, Crime, Thriller
Download link https://leakedcinema.com/en/movie/604685/DenofThieves2PanteraMovie Name: Den of Thieves 2: Pantera (2025) Rating: 219 Quality: 480p | 720p | 1080p HD Duration: 144 min. Language: English Subtitles: English Credit Cast: Gerard Butler Diamond Film Productions Stars: Gerard Butler, O'Shea Jackson, Jr., Evin Ahmad, Salvatore Esposito, Orli Shuka, Stéphane Coulon Genres: Action, Crime, Thriller Download link 馃憠 https://leakedcinema.com/en/movie/604685/DenofThieves2Pantera0 Comments 路0 Shares 路175 Views -
Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi .
Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).
Kama uliangalia vizuri zile picha za "Best Man na Woman) kwenye harusi ya Jux, huenda ukaelewa hii "Posti" ya Diamond Platnumz. Sijui kwa nini Baba Lebo hajatoboa siri hii wakati tunajua kuwa Friji lake haligandishi 馃槅. Mimi naishi na huyo mstari wa pili (2).0 Comments 路0 Shares 路144 Views -
Baada ya kuwa "Best Man & Woman" wa Ndoa ya Jux na Priscy kutoka Nchini Nigeria , tunaambiwa Diamond Platnumz na Zuchu nao wamepanga kujibu mashambulizi kwa kufunga Ndoa.
Baada ya kuwa "Best Man & Woman" wa Ndoa ya Jux na Priscy kutoka Nchini Nigeria 馃嚦馃嚞, tunaambiwa Diamond Platnumz na Zuchu nao wamepanga kujibu mashambulizi kwa kufunga Ndoa.0 Comments 路0 Shares 路138 Views -
Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.
Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond?
Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu.
Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond.
Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini?
Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani . Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer . Chezea wapare tunavyopenda kesi .Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.
Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi. Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond? Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu. Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond. Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini? Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani 馃ぃ. Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer 馃ぃ. Chezea wapare tunavyopenda kesi 馃ぃ馃ぃ.Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.0 Comments 路0 Shares 路720 Views -
Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu.
Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo.
Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup).
Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana
#tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetuMshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu -
#JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE).
Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali.
Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani.
Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii.
#tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia#JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia -
Mshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania
Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza
Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATESMshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATES -
-
-
"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz.
"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" - diamond Platnumz. -
0 Comments 路0 Shares 路423 Views
-
0 Comments 路0 Shares 路325 Views
-
Jay Melody amemchana Mwijaku kisa madai yake kuwa Diamond Platnumz akifanya collabo na Msanii wa Tanzania basi Msanii huyo anapokea.
Mwijaku anadai kuwa toka Diamond Platnumz amshirikishe Jay Melody kwenye wimbo wa "Mapozi", Jay Melody amepotea mazima.
Jay Melody amemchana Mwijaku kisa madai yake kuwa Diamond Platnumz akifanya collabo na Msanii wa Tanzania basi Msanii huyo anapokea. Mwijaku anadai kuwa toka Diamond Platnumz amshirikishe Jay Melody kwenye wimbo wa "Mapozi", Jay Melody amepotea mazima. -
"The Unforgetable THROW BACK
Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa
NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa
Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
"The Unforgetable THROW BACK 馃敟馃敟馃敟 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa 馃憫 NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa馃挭馃挭馃挭 Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania -
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone.
1. Burna Boy
2. Wizkid
3. Davido
4. Rema
5. Diamond Platnumz
6. Mohamed Ramadan
7. Amr Diab
8.Tems
9.Tamer Hosny
10. Cheb Khaled
11. Saad Lamjarred
12. Sherine
13. Black Coffee
14. Ayra Starr
15. Asake
16. Seether
17. Soolking
18. Fally Ipupa
19. Tyla
20. Omah Lay
21.Tiwa Savage
22. Ahmed Saad
23. CKay
24. Yemi Alade
25. Angelique Kidjo
26. Hassan Shakosh
27. Kizz Daniel
28. Ruger
29. Joeboy
30. Spinall
31. Uncle Waffles
32. Black Sherif
33. Rayvanny
34. Harmonize
35. Zuchu
36. Libianca
37. Amaarae
38. Adekunle Gold
39. yler ICU
NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone. 1. Burna Boy 馃嚦馃嚞 2. Wizkid 馃嚦馃嚞 3. Davido 馃嚦馃嚞 4. Rema 馃嚦馃嚞 5. Diamond Platnumz 馃嚬馃嚳 6. Mohamed Ramadan 馃嚜馃嚞 7. Amr Diab 馃嚜馃嚞 8.Tems 馃嚦馃嚞 9.Tamer Hosny 馃嚜馃嚞 10. Cheb Khaled 馃嚛馃嚳 11. Saad Lamjarred 馃嚥馃嚘 12. Sherine 馃嚜馃嚞 13. Black Coffee 馃嚳馃嚘 14. Ayra Starr 馃嚦馃嚞 15. Asake 馃嚦馃嚞 16. Seether 馃嚳馃嚘 17. Soolking 馃嚛馃嚳 18. Fally Ipupa 馃嚚馃嚛 19. Tyla 馃嚳馃嚘 20. Omah Lay 馃嚦馃嚞 21.Tiwa Savage 馃嚦馃嚞 22. Ahmed Saad 馃嚜馃嚞 23. CKay 馃嚦馃嚞 24. Yemi Alade 馃嚦馃嚞 25. Angelique Kidjo 馃嚙馃嚡 26. Hassan Shakosh 馃嚜馃嚞 27. Kizz Daniel 馃嚦馃嚞 28. Ruger 馃嚦馃嚞 29. Joeboy 馃嚦馃嚞 30. Spinall 馃嚦馃嚞 31. Uncle Waffles 馃嚫馃嚳 32. Black Sherif 馃嚞馃嚟 33. Rayvanny 馃嚬馃嚳 34. Harmonize 馃嚬馃嚳 35. Zuchu 馃嚬馃嚳 36. Libianca 馃嚚馃嚥 37. Amaarae 馃嚞馃嚟 38. Adekunle Gold 馃嚦馃嚞 39. yler ICU 馃嚳馃嚘 NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....0 Comments 路0 Shares 路707 Views -
0 Comments 路0 Shares 路422 Views
-
Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya .
Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show".
“$1M For Wedding Show In Mombasa ” - Diamond Platnumz via Instagram.
Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya 馃嚢馃嚜. Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show". “$1M For Wedding Show In Mombasa 馃嚢馃嚜” - Diamond Platnumz via Instagram.0 Comments 路0 Shares 路552 Views -
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF.
Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF. Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.0 Comments 路0 Shares 路375 Views -
" Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond
Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!
#socialpop
#trending
David Atto" Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]
More Results