Upgrade to Pro

  • Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone.

    1. Burna Boy
    2. Wizkid
    3. Davido
    4. Rema
    5. Diamond Platnumz

    6. Mohamed Ramadan
    7. Amr Diab
    8.Tems
    9.Tamer Hosny
    10. Cheb Khaled

    11. Saad Lamjarred
    12. Sherine
    13. Black Coffee
    14. Ayra Starr
    15. Asake

    16. Seether
    17. Soolking
    18. Fally Ipupa
    19. Tyla
    20. Omah Lay

    21.Tiwa Savage
    22. Ahmed Saad
    23. CKay
    24. Yemi Alade
    25. Angelique Kidjo

    26. Hassan Shakosh
    27. Kizz Daniel
    28. Ruger
    29. Joeboy
    30. Spinall

    31. Uncle Waffles
    32. Black Sherif
    33. Rayvanny
    34. Harmonize
    35. Zuchu

    36. Libianca
    37. Amaarae
    38. Adekunle Gold
    39. yler ICU

    NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....

    Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone. 1. Burna Boy 🇳🇬 2. Wizkid 🇳🇬 3. Davido 🇳🇬 4. Rema 🇳🇬 5. Diamond Platnumz 🇹🇿 6. Mohamed Ramadan 🇪🇬 7. Amr Diab 🇪🇬 8.Tems 🇳🇬 9.Tamer Hosny 🇪🇬 10. Cheb Khaled 🇩🇿 11. Saad Lamjarred 🇲🇦 12. Sherine 🇪🇬 13. Black Coffee 🇿🇦 14. Ayra Starr 🇳🇬 15. Asake 🇳🇬 16. Seether 🇿🇦 17. Soolking 🇩🇿 18. Fally Ipupa 🇨🇩 19. Tyla 🇿🇦 20. Omah Lay 🇳🇬 21.Tiwa Savage 🇳🇬 22. Ahmed Saad 🇪🇬 23. CKay 🇳🇬 24. Yemi Alade 🇳🇬 25. Angelique Kidjo 🇧🇯 26. Hassan Shakosh 🇪🇬 27. Kizz Daniel 🇳🇬 28. Ruger 🇳🇬 29. Joeboy 🇳🇬 30. Spinall 🇳🇬 31. Uncle Waffles 🇸🇿 32. Black Sherif 🇬🇭 33. Rayvanny 🇹🇿 34. Harmonize 🇹🇿 35. Zuchu 🇹🇿 36. Libianca 🇨🇲 37. Amaarae 🇬🇭 38. Adekunle Gold 🇳🇬 39. yler ICU 🇿🇦 NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....
    ·139 Views
  • Kwa mujibu wa Willy Paul, Diamond Platnumz hakulipwa dola milion moja bali ni Shilingi million 12 za Kenya.
    Kwa mujibu wa Willy Paul, Diamond Platnumz hakulipwa dola milion moja bali ni Shilingi million 12 za Kenya.
    ·152 Views
  • Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya .

    Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki.

    Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show".

    “$1M For Wedding Show In Mombasa ” - Diamond Platnumz via Instagram.

    Diamond Platnumz amefunguka kulipwa Dola milioni moja ($1 million) ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania ili kutumbuiza katika harusi inayofanyika leo hii huko Mjini Mombasa Nchini Kenya 🇰🇪. Aidha, Wahudhuriaji wa harusi hiyo na mashabiki wameonesha furaha yao kukutana uso kwa uso na Msanii huyo namba moja Nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Pamoja na Diamond Platnumz kulipwa fedha hizo, Wasanii wengine wakubwa wenye hadhi ya kidunia akiwemo Beyonce, Rihanna, Justin Bieber, Katty Perry, Pitbull walipotumbuiza katika harusi za Matajiri walitoza pesa kubwa ili kulinda hadhi zao za muziki zisionekane ni za kutumbuiza katika harusi ili hata Waandamanaji wa matamasha makubwa waendelee kuwaweka viwango vya juu watakapowahitaji kwenye "show". “$1M For Wedding Show In Mombasa 🇰🇪” - Diamond Platnumz via Instagram.
    ·191 Views
  • Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF.

    Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF. Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.
    ·152 Views
  • " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond

    Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!

    #socialpop
    #trending
    David Atto
    " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]
    Like
    1
    ·286 Views
  • Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake.

    “Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii
    kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK

    Toa maoni yako
    Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake. “Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK Toa maoni yako
    Like
    1
    ·242 Views
  • Matokeo ya "droo" ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Duniani 2025.

    GROUP A
    Palmeiras
    FC Porto
    Al Ahly FC
    Inter Miami CF

    GROUP B
    Paris Saint Germainy
    Atletico Madrid
    Botafogo
    Seattle Sounders FC

    GROUP C
    Bayern Munich
    SL Benfica
    Boca Juniors
    Auckland City

    GROUP D
    Framingo
    Chelsea FC
    Club Leon
    Esperance De Tunis

    GROUP E
    River Plate
    Inter Milan
    CF Monterrey
    Urawa Red Diamonds

    GROUP F
    Fluminense FC
    Borussia Dortmund
    Ulsan HD FC
    Mamelodi Sundowns

    GROUP G
    Manchester City
    Juventus
    Wydad Athletic
    Al ain

    GROUP H
    Real Madrid CF
    RB Salzburg
    Al Hilal
    CF Pachuca

    Matokeo ya "droo" ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Duniani 2025. GROUP A 🇧🇷 Palmeiras 🇵🇹 FC Porto 🇪🇬 Al Ahly FC 🇺🇸 Inter Miami CF GROUP B 🇫🇷 Paris Saint Germainy 🇪🇸 Atletico Madrid 🇧🇷 Botafogo 🇺🇸 Seattle Sounders FC GROUP C 🇩🇪 Bayern Munich 🇵🇹 SL Benfica 🇦🇷 Boca Juniors 🇳🇿 Auckland City GROUP D 🇧🇷 Framingo 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea FC 🇲🇽 Club Leon 🇹🇳 Esperance De Tunis GROUP E 🇦🇷 River Plate 🇮🇹 Inter Milan 🇲🇽 CF Monterrey 🇯🇵Urawa Red Diamonds GROUP F 🇧🇷 Fluminense FC 🇩🇪 Borussia Dortmund 🇰🇷 Ulsan HD FC 🇿🇦 Mamelodi Sundowns GROUP G 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City 🇮🇹 Juventus 🇲🇦 Wydad Athletic 🇶🇦 Al ain GROUP H 🇪🇸 Real Madrid CF 🇦🇹 RB Salzburg 🇸🇦 Al Hilal 🇲🇽 CF Pachuca
    ·273 Views
  • Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz ✍️
    Like
    2
    ·67 Views
  • Katika historia ya Muziki wa Bongo fleva, maisha ya Diamond Platinumz, Rich Mavoco na Harmonize matukio ya wasanii hawa kufanya kazi pamoja na kutengeneza moments zilizowaaminisha wananchi kwamba ushirikiano wao utadumu muda mrefu alafu wakapishana ghafla na kupelekana hadi Basata aisee ni katika mambo yaliotengeneza pressure kubwa baina yao na hata mitaani.

    Maranyingi nimekua nikimtaja Harmonize kama msanii aliotoka WCB na kufanikiwa kutengeneza mianya mingi ya biashara na mafanikio nje ya WCB tofauti na ilivyokua ikizungumzwa na wengi.

    Rich Mavoco nimemvulia kofia kwa sababu ni ngumu sana msanii kupitia mapito yake alafu akafanikiwa kurudi kwenye game na kua na nguvu kama ambayo anayo lakini umewahi kufikiria upande wa Diamond Platinumz ambae ali invest kuwapa thamani zaidi wasanii hawa na baadae akawapoteza katika mazingira ambayo naamini kabisa hata yeye hakua tayari.

    Kuna tetesi kwamba Harmonize alikua na migogoro na Sallam SK kabla hajaondoka WCB na CEO alijikuta kaekwa kwenye kona ambayo ilimlazimu afanye maamuzi magumu la sivyo mambo yangezidi kuharibika. Nimeshuhudia wasanii wengi wakiua lebo zao kutokana na migogoro kama hio lakini pia wadau wengi wameachana na biashara ya muziki kutokana na sintofahamu nyingi zilizopo ndani ya Game.

    Upande wa Diamond Platinumz ni tofauti kidogo, pamoja na drama zote anazopitia bado lebo yake ipo imara na wasanii waliobaki kama Mbosso, Zuchu, Lavalava na D Voice wanafanya vizuri kila mtu kwa nafasi yake.

    Kwa kijana kutoka Tandale kuana uvumilivu, mbinu na mipango ya kukabiliana na changamoto zote alizokumbana nazo Diamond Platinumz anastahili pongezi maana inaonesha ukomavu wake na weledi mkubwa alionao kwenye field anayojihusisha nayo.
    (Jr Junior)

    Katika historia ya Muziki wa Bongo fleva, maisha ya Diamond Platinumz, Rich Mavoco na Harmonize matukio ya wasanii hawa kufanya kazi pamoja na kutengeneza moments zilizowaaminisha wananchi kwamba ushirikiano wao utadumu muda mrefu alafu wakapishana ghafla na kupelekana hadi Basata aisee ni katika mambo yaliotengeneza pressure kubwa baina yao na hata mitaani. Maranyingi nimekua nikimtaja Harmonize kama msanii aliotoka WCB na kufanikiwa kutengeneza mianya mingi ya biashara na mafanikio nje ya WCB tofauti na ilivyokua ikizungumzwa na wengi. Rich Mavoco nimemvulia kofia kwa sababu ni ngumu sana msanii kupitia mapito yake alafu akafanikiwa kurudi kwenye game na kua na nguvu kama ambayo anayo lakini umewahi kufikiria upande wa Diamond Platinumz ambae ali invest kuwapa thamani zaidi wasanii hawa na baadae akawapoteza katika mazingira ambayo naamini kabisa hata yeye hakua tayari. Kuna tetesi kwamba Harmonize alikua na migogoro na Sallam SK kabla hajaondoka WCB na CEO alijikuta kaekwa kwenye kona ambayo ilimlazimu afanye maamuzi magumu la sivyo mambo yangezidi kuharibika. Nimeshuhudia wasanii wengi wakiua lebo zao kutokana na migogoro kama hio lakini pia wadau wengi wameachana na biashara ya muziki kutokana na sintofahamu nyingi zilizopo ndani ya Game. Upande wa Diamond Platinumz ni tofauti kidogo, pamoja na drama zote anazopitia bado lebo yake ipo imara na wasanii waliobaki kama Mbosso, Zuchu, Lavalava na D Voice wanafanya vizuri kila mtu kwa nafasi yake. Kwa kijana kutoka Tandale kuana uvumilivu, mbinu na mipango ya kukabiliana na changamoto zote alizokumbana nazo Diamond Platinumz anastahili pongezi maana inaonesha ukomavu wake na weledi mkubwa alionao kwenye field anayojihusisha nayo. (Jr Junior)
    Like
    1
    ·359 Views
  • Diamond Platnumz amechapisha maneno aliyoandika Zuchu kama yalivyo kuhusu kuachana kwao kisha kuongeza "from the Queen her self" yaani kutoka kwa Malkia (Zuchu ) mwenyewe.

    NB:Hii ni Kiki mana siyo mara ya kwanza
    Diamond Platnumz amechapisha maneno aliyoandika Zuchu kama yalivyo kuhusu kuachana kwao kisha kuongeza "from the Queen her self" yaani kutoka kwa Malkia (Zuchu ) mwenyewe. NB:Hii ni Kiki mana siyo mara ya kwanza
    ·173 Views
  • Diamond kwa p Diddy
    Diamond kwa p Diddy
    Like
    Love
    2
    ·277 Views
  • Afisa mmoja wa Polisi Nchini Uganda amesema kuwa Mume wa Zari, Shakib Chams ana uwezo wa kisheria kumfungulia kesi Zari kutokana na changamoto wanazopitia katika ndoa yao. Hii imekuja baada ya Zari na Shakib kutofautiana kufuatia hatua ya Diamond kuhudhuria "birthday" ya Binti yake Latifa nyumbani kwa Zari Nchini Afrika Kusini .

    Siku kadhaa Zari alingia "live" mtandaoni na kudai kuwa Shakib ni msumbufu katika mahusiano yake na hakutoa mwaliko kwa diamond kuja nyumbani kwake huku amtishia kutengana na Shakib na kuweka wazi kuwa hana mchango wa maana katika mahusiano yao na hana anachohudumia familia yake.

    Hata hivyo, Shakib alikanusha madai kuwa anamtegemea Zari katika maisha yake na kuweka wazi kuwa mara ya mwisho zari kumpa shilingi ni wakati wa ziara yake Nchini Tanzania na alimpa dola 2000 baada ya kupata dili la dola 40,000.

    Afisa mmoja wa Polisi Nchini Uganda 🇺🇬 amesema kuwa Mume wa Zari, Shakib Chams ana uwezo wa kisheria kumfungulia kesi Zari kutokana na changamoto wanazopitia katika ndoa yao. Hii imekuja baada ya Zari na Shakib kutofautiana kufuatia hatua ya Diamond kuhudhuria "birthday" ya Binti yake Latifa nyumbani kwa Zari Nchini Afrika Kusini 🇿🇦. Siku kadhaa Zari alingia "live" mtandaoni na kudai kuwa Shakib ni msumbufu katika mahusiano yake na hakutoa mwaliko kwa diamond kuja nyumbani kwake huku amtishia kutengana na Shakib na kuweka wazi kuwa hana mchango wa maana katika mahusiano yao na hana anachohudumia familia yake. Hata hivyo, Shakib alikanusha madai kuwa anamtegemea Zari katika maisha yake na kuweka wazi kuwa mara ya mwisho zari kumpa shilingi ni wakati wa ziara yake Nchini Tanzania 🇹🇿 na alimpa dola 2000 baada ya kupata dili la dola 40,000.
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·202 Views
  • Aliyekuwahi kuwa "Bodygard" wa Diamond Platnumz na sasa wa Kiboko ya Wachawi, Mwarabu Fighter
    Aliyekuwahi kuwa "Bodygard" wa Diamond Platnumz na sasa wa Kiboko ya Wachawi, Mwarabu Fighter ✍️
    Like
    1
    ·152 Views
  • "Diamond Platnumz hakuwahi kuwa mshikaji wangu isipokuwa alikuwa akiniita kaka kipindi nakutana nae, Queen Darleen ndie alinikutanisha nae na kumtambulisha kwangu. Pia naweza kusema mimi ndio nilitoa ruhusa kwa Bob Junior ampe nafasi ya kurekodi kwenye studio za Sharobaro Records na kipindi hicho Bob Junior na mimi tulikuwa na kabineti yetu

    Bob Junior alikuwa hawezi kufanya kazi na mtu studio bila kutoa ruhusa yangu kutokana na utaratibu tuliojiwekea pale studio lakini pia Diamond Platnumz kuwa juu kimuziki hainiumi wala kunikera isipokuwa l'm so proud Kwa kazi nzuri anazofanya" - Alikiba, Msanii wa muziki wa Tanzania via Crown FM.
    "Diamond Platnumz hakuwahi kuwa mshikaji wangu isipokuwa alikuwa akiniita kaka kipindi nakutana nae, Queen Darleen ndie alinikutanisha nae na kumtambulisha kwangu. Pia naweza kusema mimi ndio nilitoa ruhusa kwa Bob Junior ampe nafasi ya kurekodi kwenye studio za Sharobaro Records na kipindi hicho Bob Junior na mimi tulikuwa na kabineti yetu Bob Junior alikuwa hawezi kufanya kazi na mtu studio bila kutoa ruhusa yangu kutokana na utaratibu tuliojiwekea pale studio lakini pia Diamond Platnumz kuwa juu kimuziki hainiumi wala kunikera isipokuwa l'm so proud Kwa kazi nzuri anazofanya" - Alikiba, Msanii wa muziki wa Tanzania via Crown FM.
    ·264 Views
  • Huyu jamaa unamkumbuka?? Na nyimbo Gani yakwake unaikubali mpaka leo
    #souls
    #20percent
    #afandesele
    #Diamondplatnumz
    Huyu jamaa unamkumbuka?? Na nyimbo Gani yakwake unaikubali mpaka leo🇹🇿 #souls #20percent #afandesele #Diamondplatnumz
    Like
    1
    ·706 Views
  • Pogba vs diamond platnumz
    Pogba vs diamond platnumz 🦁
    Like
    Love
    Haha
    4
    ·257 Views ·26 Views
  • "Mimi siwezi kuhubiri Watu waache dhambi hiyo sio kazi yangu siwezi kuhubiri watu waache dhambi wakati sadaka napata kwa Watu wanaopewa na michepuko yao, mimi nahubiri ambacho naona nafanikiwa basi, wale wanaohubiri utakatifu na kwenda mbinguni kila la kheri ila mimi napambana na Wachawi tu"- Pastor Dominic (Nabii kiboko ya Wachawi, Mchungaji Tanzania.

    Mchungaji huyo Kanisa lake lipo maeneo ya Buza Jijini Dar es Salaam huku Wafuasi wengi wakiwa ni Wanawake ambao wametokea kumkubali Mchungaji huyo na wamekuwa wakiongezeka kila kukicha. Kiboko ya Wachawi analindwa na ulinzi mkali yaani "Mabaunsa" akiwemo Mwarabu Fighter aliyekuwa kuwa Mlinzi wa Diamond Platnumz.
    "Mimi siwezi kuhubiri Watu waache dhambi hiyo sio kazi yangu siwezi kuhubiri watu waache dhambi wakati sadaka napata kwa Watu wanaopewa na michepuko yao, mimi nahubiri ambacho naona nafanikiwa basi, wale wanaohubiri utakatifu na kwenda mbinguni kila la kheri ila mimi napambana na Wachawi tu"- Pastor Dominic (Nabii kiboko ya Wachawi, Mchungaji Tanzania. Mchungaji huyo Kanisa lake lipo maeneo ya Buza Jijini Dar es Salaam huku Wafuasi wengi wakiwa ni Wanawake ambao wametokea kumkubali Mchungaji huyo na wamekuwa wakiongezeka kila kukicha. Kiboko ya Wachawi analindwa na ulinzi mkali yaani "Mabaunsa" akiwemo Mwarabu Fighter aliyekuwa kuwa Mlinzi wa Diamond Platnumz.
    ·141 Views
  • Harmonize Karusha Kijembe Kwa Diamond Platnumz.
    Harmonize Karusha Kijembe Kwa Diamond Platnumz.
    ·169 Views
  • Diamond Platnumz Na Paul Pogba Wakutana Dubai
    Diamond Platnumz Na Paul Pogba Wakutana Dubai
    Like
    Love
    2
    ·129 Views ·13 Views
  • Comments za mashabiki wengi kutoka sehemu tofauti duniani ambao waliudhuria tamasha la Afronation wakiisuta vibaya baada ya kumpa Diamond Platnumz dakika chache jukwaani.

    Comments za mashabiki wengi kutoka sehemu tofauti duniani ambao waliudhuria tamasha la Afronation wakiisuta vibaya baada ya kumpa Diamond Platnumz dakika chache jukwaani.
    ·123 Views
More Results