• Hivi ni lazima mtu aote Ndoto usiku? Maana kuna mtu kila anaposema "USIKU MWEMA" anaongeza na neno NDOTO NJEMA."
    Hivi ni lazima mtu aote Ndoto usiku? Maana kuna mtu kila anaposema "USIKU MWEMA" anaongeza na neno NDOTO NJEMA."
    Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 219 Ansichten
  • #socialpop #afyayetu #Elimukwanza
    #socialpop #afyayetu #Elimukwanza
    Like
    Love
    7
    3 Kommentare 0 Anteile 1KB Ansichten
  • #socialpop #afyayetu #Elimukwanza
    #socialpop #afyayetu #Elimukwanza
    Like
    Love
    9
    0 Kommentare 0 Anteile 1KB Ansichten
  • OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani.
    .
    Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
    🚨 OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani. . Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
    Like
    3
    0 Kommentare 1 Anteile 555 Ansichten
  • HADI SASA SAJILI ZILIZOFANYWA NA SIMBASC KWENYE DIRISHA HILI NI HAWA

    .Lameck Lawi
    .Joshua Mutale
    .Steven Mukwala
    .Ahoua Jean Charles
    . Abdulrazack Hamza
    . Valentino Mashaka
    . Augustine Okajepha
    . Deborah Fernandes
    . Omar Omar
    HADI SASA SAJILI ZILIZOFANYWA NA SIMBASC KWENYE DIRISHA HILI NI HAWA 🚨.Lameck Lawi ⏳ 🚨.Joshua Mutale✅ 🚨.Steven Mukwala✅ 🚨.Ahoua Jean Charles✅ 🚨. Abdulrazack Hamza✅ 🚨. Valentino Mashaka ✅ 🚨. Augustine Okajepha✅ 🚨. Deborah Fernandes✅ 🚨. Omar Omar✅
    Like
    2
    0 Kommentare 0 Anteile 112 Ansichten
  • Chupa ya maji ya golikipa wa England Jordan Pickford ilikuwa na orodha ya wapiga penalti wa timu ya taifa ya Uswisi ikiwa ni mikakati ya kuivusha Wajukuu hao wa Malkia kwenda hatua ya nusu fainali.

    England imefuzu hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa penalti 5-3 huku Pickford akiokota moja ya penalti za Uswisi na kuisaidia timu yake kukata tiketi ya nusu fainali ya EURO 2024.

    Mwamba aliingia na NONDO zake kwenye chumba cha mtihani
    Chupa ya maji ya golikipa wa England Jordan Pickford ilikuwa na orodha ya wapiga penalti wa timu ya taifa ya Uswisi ikiwa ni mikakati ya kuivusha Wajukuu hao wa Malkia kwenda hatua ya nusu fainali. England imefuzu hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa penalti 5-3 huku Pickford akiokota moja ya penalti za Uswisi na kuisaidia timu yake kukata tiketi ya nusu fainali ya EURO 2024. ✍️ Mwamba aliingia na NONDO zake kwenye chumba cha mtihani
    Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 539 Ansichten
  • Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 113 Ansichten
  • 👊🏼 👊🏼
    👊🏼 👊🏼
    Like
    2
    0 Kommentare 0 Anteile 115 Ansichten

  • "Penye nia pana njia." - (Where there's a will, there's a way.)
    "Penye nia pana njia." - (Where there's a will, there's a way.)
    Like
    4
    0 Kommentare 0 Anteile 115 Ansichten
  • Ni ndani ya lisaa tu, vijana kama hawa ndio kama Taifa tunasema tunawategemea??

    Ni ndani ya lisaa tu, vijana kama hawa ndio kama Taifa tunasema tunawategemea?? 😂😂😂😂🙌
    Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 114 Ansichten