• 👊🏼"I find that the harder I work, the more luck I seem to have." - Thomas Jefferson
    👊🏼"I find that the harder I work, the more luck I seem to have." - Thomas Jefferson
    Like
    Love
    5
    0 Commentarios 0 Acciones 136 Views
  • Harmonize Karusha Kijembe Kwa Diamond Platnumz.
    Harmonize Karusha Kijembe Kwa Diamond Platnumz.
    0 Commentarios 0 Acciones 1K Views
  • Like
    Love
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 120 Views
  • "Wakati mwalimu anasema hakuna maswali" (This meme typically features a surprised Pikachu meme alongside the text "Wakati mwalimu anasema hakuna maswali" which translates to "When the teacher says no questions").
    "Wakati mwalimu anasema hakuna maswali" (This meme typically features a surprised Pikachu meme alongside the text "Wakati mwalimu anasema hakuna maswali" which translates to "When the teacher says no questions").
    Like
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 441 Views
  • Love
    1
    0 Commentarios 0 Acciones 212 Views
  • 0 Commentarios 0 Acciones 204 Views 26
  • "Mimi siwezi kuhubiri Watu waache dhambi hiyo sio kazi yangu siwezi kuhubiri watu waache dhambi wakati sadaka napata kwa Watu wanaopewa na michepuko yao, mimi nahubiri ambacho naona nafanikiwa basi, wale wanaohubiri utakatifu na kwenda mbinguni kila la kheri ila mimi napambana na Wachawi tu"- Pastor Dominic (Nabii kiboko ya Wachawi, Mchungaji Tanzania.

    Mchungaji huyo Kanisa lake lipo maeneo ya Buza Jijini Dar es Salaam huku Wafuasi wengi wakiwa ni Wanawake ambao wametokea kumkubali Mchungaji huyo na wamekuwa wakiongezeka kila kukicha. Kiboko ya Wachawi analindwa na ulinzi mkali yaani "Mabaunsa" akiwemo Mwarabu Fighter aliyekuwa kuwa Mlinzi wa Diamond Platnumz.
    "Mimi siwezi kuhubiri Watu waache dhambi hiyo sio kazi yangu siwezi kuhubiri watu waache dhambi wakati sadaka napata kwa Watu wanaopewa na michepuko yao, mimi nahubiri ambacho naona nafanikiwa basi, wale wanaohubiri utakatifu na kwenda mbinguni kila la kheri ila mimi napambana na Wachawi tu"- Pastor Dominic (Nabii kiboko ya Wachawi, Mchungaji Tanzania. Mchungaji huyo Kanisa lake lipo maeneo ya Buza Jijini Dar es Salaam huku Wafuasi wengi wakiwa ni Wanawake ambao wametokea kumkubali Mchungaji huyo na wamekuwa wakiongezeka kila kukicha. Kiboko ya Wachawi analindwa na ulinzi mkali yaani "Mabaunsa" akiwemo Mwarabu Fighter aliyekuwa kuwa Mlinzi wa Diamond Platnumz.
    0 Commentarios 0 Acciones 631 Views
  • Kikosi cha Simba SC kimeanza mazoezi mara baada ya kuwasili katika jiji la Ismailia nchini Misri.
    Kikosi cha Simba SC kimeanza mazoezi mara baada ya kuwasili katika jiji la Ismailia nchini Misri.
    0 Commentarios 0 Acciones 203 Views
  • Kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Clotous Chota Chama akiwa kwenye picha na Pacome Zoauzou baada ya kuanza mazoezi rasmi na klabu yake mpya.

    Itakumbukwa mwanzoni mwa msimu uliopita ulizuka mdajala mkali wa nani bora kati ya Chama na Pacome wakati wawili hao wakiwa pande tofauti za timu mbili za Kariakoo, mmoja akiwa Simba Sc na mwingine Yanga Sc.

    Hivi sasa wawili hao wapo upande mmoja, Je ule mjadala bado unaendelea?
    Kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Clotous Chota Chama akiwa kwenye picha na Pacome Zoauzou baada ya kuanza mazoezi rasmi na klabu yake mpya. Itakumbukwa mwanzoni mwa msimu uliopita ulizuka mdajala mkali wa nani bora kati ya Chama na Pacome wakati wawili hao wakiwa pande tofauti za timu mbili za Kariakoo, mmoja akiwa Simba Sc na mwingine Yanga Sc. Hivi sasa wawili hao wapo upande mmoja, Je ule mjadala bado unaendelea?
    0 Commentarios 0 Acciones 130 Views
  • Yanga
    Yanga✍️✍️✍️
    0 Commentarios 0 Acciones 120 Views