Atualize para o Pro

  • Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani
    1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m)

    2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m)

    3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m)

    4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m)

    5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m)

    6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m)

    7. Neymar, Soka: $108m (£85m)

    8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m)

    9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m)

    10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports view
    Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m) 2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m) 3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m) 4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m) 5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m) 6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m) 7. Neymar, Soka: $108m (£85m) 8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m) 9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m) 10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports view
    Love
    Like
    3
    ·837 Visualizações
  • Mashabiki wa Al Hilal wanaimba 'Messi, Messi' mbele ya Ronaldo.

    Sports view # #
    Mashabiki wa Al Hilal wanaimba 'Messi, Messi' mbele ya Ronaldo. Sports view # #
    Like
    Love
    2
    1 Comentários ·292 Visualizações
  • U may not know what is going to happen when you try but when you don't try nothing is going to happen
    U may not know what is going to happen when you try but when you don't try nothing is going to happen
    Love
    2
    1 Comentários ·608 Visualizações
  • Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja raia wa Mali Djingui Diarra.

    Yanga ipo tayari kumuuza kipa huyo na endapo Kaizer watafikia kiasi ambacho Yanga wanakihitaji basi mabingwa hao mara tatu mfululizo wataenda kumchukua Ley Matampi wa Coastal Union kama mbadala Diarra ambaye wanalingana katika clean sheet za ligi kuu bara.

    #Sports view
    Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja raia wa Mali Djingui Diarra. Yanga ipo tayari kumuuza kipa huyo na endapo Kaizer watafikia kiasi ambacho Yanga wanakihitaji basi mabingwa hao mara tatu mfululizo wataenda kumchukua Ley Matampi wa Coastal Union kama mbadala Diarra ambaye wanalingana katika clean sheet za ligi kuu bara. #Sports view
    Like
    Love
    4
    1 Comentários ·189 Visualizações
  • Love
    Like
    3
    ·622 Visualizações ·35 Visualizações
  • "UKIONA MTU ANAKUSEMA SANA UJUE UMEKUWA FUNZO KWAKE"
    "UKIONA MTU ANAKUSEMA SANA UJUE UMEKUWA FUNZO KWAKE"
    Like
    Love
    2
    ·163 Visualizações
  • Love
    2
    ·641 Visualizações
  • Robin van Persie amejiunga na klabu ya SC Heerenveen huko Uholanzi kama kocha mpya klabuni hapo##Sports view
    🚨Robin van Persie amejiunga na klabu ya SC Heerenveen huko Uholanzi kama kocha mpya klabuni hapo##Sports view
    Like
    Love
    3
    1 Comentários ·184 Visualizações
  • Haya wazee wa Baraza sasa
    Haya wazee wa Baraza sasa🧐
    Like
    Love
    3
    1 Comentários ·315 Visualizações ·31 Visualizações
  • Shule ilitudai Akili, Mitaa inatudai Mafanikio.

    God bless your day
    Shule ilitudai Akili, Mitaa inatudai Mafanikio. God bless your day 🙏
    Love
    Like
    3
    ·165 Visualizações