• Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 247 Ansichten
  • 0 Kommentare 0 Anteile 445 Ansichten
  • LEO YETU

    NYAKATI NGUMU ZINATUFUNZA MAMO MENGI. TUTAJUA RANGI HALISI YA WATU WANAOTUZUNGUKA. AKUFAAYE KWA DHIKI NDIYE RAFIKI WA KWELI.
    LEO YETU NYAKATI NGUMU ZINATUFUNZA MAMO MENGI. TUTAJUA RANGI HALISI YA WATU WANAOTUZUNGUKA. AKUFAAYE KWA DHIKI NDIYE RAFIKI WA KWELI.
    Like
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 251 Ansichten
  • KOCHA FADLU DAVIDS:
    “Timu imeimarika kila eneo na wachezaji tayari wameanza kuingia kwenye mfumo shida ya kutofunga ni sehemu ndogo ambayo inaweza kuisha kwa muda mfupi kwani wachezaji wamekuwa wakijitega vizuri kwenye nafasi,
    #paulswai
    🎙️ KOCHA FADLU DAVIDS: “Timu imeimarika kila eneo na wachezaji tayari wameanza kuingia kwenye mfumo shida ya kutofunga ni sehemu ndogo ambayo inaweza kuisha kwa muda mfupi kwani wachezaji wamekuwa wakijitega vizuri kwenye nafasi, #paulswai
    Like
    2
    0 Kommentare 0 Anteile 162 Ansichten
  • Ahmed Ally Kuna kitu cha kitaalamu sana timu yetu inakifanya,Waliofunga mechi ya kwanza sio waliofunga mechi ya pili na waliofunga mechi ya tatu sio waliofunga mechi ya kwanza wala ya pili

    Ipo namna Mwalimu Fadlu anatengeneza timu ya kufanya mashambulizi kwa pamoja na yeyeote aliyopo kwenye nafasi afunge.
    #paulswai
    Ahmed Ally 🗣️Kuna kitu cha kitaalamu sana timu yetu inakifanya,Waliofunga mechi ya kwanza sio waliofunga mechi ya pili na waliofunga mechi ya tatu sio waliofunga mechi ya kwanza wala ya pili Ipo namna Mwalimu Fadlu anatengeneza timu ya kufanya mashambulizi kwa pamoja na yeyeote aliyopo kwenye nafasi afunge. #paulswai
    Like
    2
    0 Kommentare 0 Anteile 148 Ansichten
  • Love
    1
    0 Kommentare 0 Anteile 243 Ansichten
  • 0 Kommentare 0 Anteile 233 Ansichten
  • Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Kaizer Chiefs ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, amesema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao wakati hawana mpira ni ilikuwa kitu kigumu kwao kuweza kuhimili.

    Chivaviro ambaye ana asili ya Zimbabwe, alisema walikutana na kipimo kigumu katika mchezo wa kwanza wa kirafiki tangu waanze maandalizi.

    "Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha waliyoitumia kutengeneza ushindi kama ule," alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Marumo Gallants.

    "Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenzetu walionekana kuwa wepesi kuliko sisi ilitufanya kuonekana hatukuwa tayari kukutana na watu kama wao, nadhani tutabadilika kwa kuwa tupo chini ya makocha wapya ambao wanaaanza kutupa falsafa mpya."
    Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Kaizer Chiefs ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, amesema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao wakati hawana mpira ni ilikuwa kitu kigumu kwao kuweza kuhimili. Chivaviro ambaye ana asili ya Zimbabwe, alisema walikutana na kipimo kigumu katika mchezo wa kwanza wa kirafiki tangu waanze maandalizi. "Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha waliyoitumia kutengeneza ushindi kama ule," alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Marumo Gallants. "Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenzetu walionekana kuwa wepesi kuliko sisi ilitufanya kuonekana hatukuwa tayari kukutana na watu kama wao, nadhani tutabadilika kwa kuwa tupo chini ya makocha wapya ambao wanaaanza kutupa falsafa mpya."
    0 Kommentare 0 Anteile 485 Ansichten
  • 0 Kommentare 0 Anteile 251 Ansichten 73
  • Madhara ya Bangi
    Madhara ya Bangi
    Haha
    1
    2 Kommentare 0 Anteile 222 Ansichten