0 Reacties
路0 aandelen
路66 Views
-
0 Reacties 路0 aandelen 路328 Views
-
饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .
(Source: Sky Sports)
#SportsElite馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路148 Views -
Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea.
Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United .
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsElite馃毃 Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea. Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United . (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路106 Views -
Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.
(Source: Daily Mail Sport)
#SportsElite馃毃 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路232 Views -
饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz
Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake
#SportsElite馃毃 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路358 Views -
AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho.
(Source: La Gazzetta dello Sport)
#SportsElite馃毃 AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho. (Source: La Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路60 Views -
BREAKING
Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.
Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.
Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.
Mkataba uheshimiwe
Source {David Ornstein}.
#SportsElite馃毃 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe馃槄 Source {David Ornstein}. #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路402 Views -
VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.
The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.
(Source: Mirror Football)馃毃 VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)0 Reacties 路0 aandelen 路654 Views -
Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...
Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.
Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.
Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao
#SportsElite馃毃馃毃Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao 馃搶 #SportsElite0 Reacties 路0 aandelen 路208 Views