• 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan iko kwenye majadiliano na Bayer Leverkusen juu ya uwezekano wa kumpata Victor Boniface kwa mkopo na chaguo la kumnunua kabisa.

    #SportsElite
    🚨🇳🇬💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan iko kwenye majadiliano na Bayer Leverkusen juu ya uwezekano wa kumpata Victor Boniface kwa mkopo na chaguo la kumnunua kabisa. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Douglas Luiz amekamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest kwa ada ya €30m.

    #SportsElite
    🚨 🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Douglas Luiz amekamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest kwa ada ya €30m. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: FC Barcelona imetupia jicho kwa full beki wa Palmeiras Luis Benedetti, pia Arsenal FC na SSC Napoli zinavutiwa na huduma ya beki huyo kwa ada ya €10M.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: FC Barcelona imetupia jicho kwa full beki wa Palmeiras Luis Benedetti, pia Arsenal FC na SSC Napoli zinavutiwa na huduma ya beki huyo kwa ada ya €10M. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: AS Roma imekamilisha uhamisho wa Leon Bailey (28) kutoka Aston Villa. Kwa mkopo wa €2m na chaguo la kuununua mkataba wa kiasi cha €22m

    #SportsElite
    🚨🇯🇲 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: AS Roma imekamilisha uhamisho wa Leon Bailey (28) kutoka Aston Villa. Kwa mkopo wa €2m na chaguo la kuununua mkataba wa kiasi cha €22m 🔴🟡 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views
  • kutokana na vyanzo mbalimbali vya Kuaminika ni kwamba Man United imeongeza jina la kiungo wa Real Madrid Edward Camavinga baada ya kumkosa Kiungo wa Brighton Baleba mwnye thamani ya €140m

    #SportsElite
    🥴🚨 kutokana na vyanzo mbalimbali vya Kuaminika ni kwamba Man United imeongeza jina la kiungo wa Real Madrid Edward Camavinga baada ya kumkosa Kiungo wa Brighton Baleba mwnye thamani ya €140m #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini
    inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Roma bado iko kwenye majadiliano na Manchester United ili kukamilisha dili la Jadon Sancho.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Roma bado iko kwenye majadiliano na Manchester United ili kukamilisha dili la Jadon Sancho. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • Kijana ameanza matusi yake huko kwa wazee wa pensheni
    🚨🚨Kijana ameanza matusi yake huko kwa wazee wa pensheni
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views