0 Комментарии
·0 Поделились
·66 Просмотры
-
0 Комментарии ·0 Поделились ·328 Просмотры
-
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .
(Source: Sky Sports)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·148 Просмотры -
Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea.
Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United .
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsElite🚨 Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea. Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United . (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·106 Просмотры -
Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.
(Source: Daily Mail Sport)
#SportsElite🚨 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·232 Просмотры -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz
Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·358 Просмотры -
AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho.
(Source: La Gazzetta dello Sport)
#SportsElite🚨 AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho. (Source: La Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·60 Просмотры -
BREAKING
Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.
Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.
Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.
Mkataba uheshimiwe
Source {David Ornstein}.
#SportsElite🚨 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe😅 Source {David Ornstein}. #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·402 Просмотры -
VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.
The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.
(Source: Mirror Football)🚨 VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)0 Комментарии ·0 Поделились ·654 Просмотры -
Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...
Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.
Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.
Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao
#SportsElite🚨🚨Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao 📌 #SportsElite0 Комментарии ·0 Поделились ·208 Просмотры