0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·66 Visualizações
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·328 Visualizações
-
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .
(Source: Sky Sports)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·148 Visualizações -
Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea.
Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United .
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsElite🚨 Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea. Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United . (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·106 Visualizações -
Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.
(Source: Daily Mail Sport)
#SportsElite🚨 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·232 Visualizações -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz
Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake
#SportsElite🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·358 Visualizações -
AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho.
(Source: La Gazzetta dello Sport)
#SportsElite🚨 AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho. (Source: La Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·60 Visualizações -
BREAKING
Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.
Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.
Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.
Mkataba uheshimiwe
Source {David Ornstein}.
#SportsElite🚨 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe😅 Source {David Ornstein}. #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·402 Visualizações -
VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.
The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.
(Source: Mirror Football)🚨 VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·654 Visualizações -
Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...
Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.
Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.
Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao
#SportsElite🚨🚨Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao 📌 #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·208 Visualizações