• Wakuu ndo nini hii!!!!!
    Wakuu ndo nini hii!!!!!
    0 Comments ·0 Shares ·28 Views
  • Eberechi Eze apewa jezi namba 10 ndani ya Arsenal

    Mashabiki wanatarajia makubwa kutoka kwake akiwa sehemu ya kikosi cha Mikel Arteta.

    Eze amesema: "Ninajua majina makubwa yaliyowahi kuivaa jezi hii kabla yangu. Nafasi hii naiona kama baraka kubwa. Kuwa hapa ni heshima, na nitatoa kila kitu nilichonacho kulipa heshima hii."

    #AFC #Eze10 #PremierLeague

    ---------follow Csmahona update

    #SportsElite
    🔴⚪✨ Eberechi Eze apewa jezi namba 10 ndani ya Arsenal Mashabiki wanatarajia makubwa kutoka kwake akiwa sehemu ya kikosi cha Mikel Arteta. 🙌🔥 🗣️ Eze amesema: "Ninajua majina makubwa yaliyowahi kuivaa jezi hii kabla yangu. Nafasi hii naiona kama baraka kubwa. Kuwa hapa ni heshima, na nitatoa kila kitu nilichonacho kulipa heshima hii." #AFC #Eze10 #PremierLeague ---------follow Csmahona update #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·120 Views
  • Hii ni picha inayoonyesha Son Heung-min akisherehekea katika dakika za mwanzo za pambano lao dhidi ya FC Dallas – ambapo alifunga goli lake la kwanza kwa LAFC.

    #SportsElite
    Hii ni picha inayoonyesha Son Heung-min akisherehekea katika dakika za mwanzo za pambano lao dhidi ya FC Dallas – ambapo alifunga goli lake la kwanza kwa LAFC. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·76 Views
  • MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA

    "Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine."

    #SportsElite
    🚨🚨MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA "Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine." #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·130 Views
  • Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

    🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

    Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

    Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

    Humble N'golo


    #SportsElite
    😄📱🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·147 Views
  • Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini?

    Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake.

    Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili.

    Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana

    #SportsElite
    🚨🚨Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini? Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake. Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili. ✍️Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana🤕 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·197 Views
  • Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18), amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo.

    Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina.

    Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.

    Kesho inaandaliwa

    #SportsElite
    🚨🚨Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18)🇦🇷, amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo. Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina. Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣. Kesho inaandaliwa🇦🇷🔥 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·88 Views
  • RASMI

    Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli.

    Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo.

    #SportsElite
    RASMI ✍️ Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli. Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·98 Views
  • Games Fans

    Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte.

    Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati.

    Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji.

    Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii.


    #SportsElite
    Games Fans Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte. Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati. Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji. Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·247 Views
  • Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami

    Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini.

    Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi.

    Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi:

    1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga.

    2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia.

    3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote.

    #SportsElite
    ❌⛔🇪🇸Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini. Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi. Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi: 1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga. 2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia. 3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·279 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan bado wanavutiwa na beki ya kati wa Leicester Caleb Okoli na wako tayari kufungua mazungumzo ndani ya wiki hii..

    Okoli tayari ameonesha nia ya kujiunga na AC Milan kwa miaka 5 na mshahara wa €1.8-2M/mwaka

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AC Milan bado wanavutiwa na beki ya kati wa Leicester Caleb Okoli na wako tayari kufungua mazungumzo ndani ya wiki hii.. Okoli tayari ameonesha nia ya kujiunga na AC Milan kwa miaka 5 na mshahara wa €1.8-2M/mwaka #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·123 Views
  • Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.

    Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.

    Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
    Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.

    Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.

    "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.

    "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·358 Views
  • NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa.

    #Habakuki 2:2-3
    [2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

    [3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

    Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto .

    Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana.

    #Muhubiri 5:13
    *Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno*

    Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa.
    #Ebrania 1:11-14

    #Ayubu 33:14-16
    [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
    Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
    .
    [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku,
    Usingizi mzito uwajiliapo watu,
    Katika usingizi kitandani;
    ;
    [16]Ndipo huyafunua masikio ya watu,
    Na kuyatia muhuri mafundisho yao,

    Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja.,

    Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu.

    #Yeremia 29:13
    [13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

    Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia .

    #1 Kor 2:15 SUV
    Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

    Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba .

    Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni .

    Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako .

    Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa.

    Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni.

    Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku .

    Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia.

    Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia .

    Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo .

    Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho.

    Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia .

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi.

    Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group .

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #ndoto ni taarifa acha kupuuzia
    #restore men position
    #build new eden
    NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa. #Habakuki 2:2-3 [2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. [3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia. Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto . Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana. #Muhubiri 5:13 *Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno* Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa. #Ebrania 1:11-14 #Ayubu 33:14-16 [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. . [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani; ; [16]Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao, Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja., Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu. #Yeremia 29:13 [13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia . #1 Kor 2:15 SUV Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba . Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni . Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako . Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa. Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni. Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku . Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia. Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia . Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo . Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho. Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia . Nikutakie asubui njema na siku njema . Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi. Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group . Nikutakie asubui njema na siku njema . Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #ndoto ni taarifa acha kupuuzia #restore men position #build new eden
    0 Comments ·0 Shares ·772 Views
  • Naona kama sioni. Sijui hii picha inazungumza nini
    Naona kama sioni. Sijui hii picha inazungumza nini
    Like
    Yay
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·292 Views
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·444 Views
  • On fire

    Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.*

    Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*.

    Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*.

    Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki.

    #SportsElite
    On fire 🔥 Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.* Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*. Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*. Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·378 Views
  • Moja kati ya photo kali kabisa ambayo hii picha kupiga thamani yake ni USD 3MILION za kimarekan thamani yake kwa elà za kwetu ni over 6BILION TSHS

    MESSI GOAT LA MCHONGO AKIWA NA BABA YAKE PAPA FIFFA PRESIDENT

    #SportsElite
    Moja kati ya 📸 photo kali kabisa ambayo hii picha kupiga thamani yake ni USD 3MILION za kimarekan thamani yake kwa elà za kwetu ni over 6BILION TSHS MESSI GOAT LA MCHONGO AKIWA NA BABA YAKE PAPA FIFFA PRESIDENT #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·257 Views
  • Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG
    Manager wa Club ya PSG Luis Enrique amesema kuwa yuko mbioni katika sakata la kumsajiri aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga licha ya kuwa majeruhii hayo yamesemwa na Luis Enrique manager wa PSG
    0 Comments ·0 Shares ·225 Views


  • - Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United.

    - Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m.

    - RASMI:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka

    #SportsElite
    - Nottingham Forest wanapima uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho, ambaye hana nafasi Manchester United. - Rais wa Benfica anapanga kusafiri kwenda Brazil mwisho wa wiki hii kukamilisha dili la Richard Rios. Klabu ya Palmeiras imeweka bei ya €30m. - RASMI✅:Leeds United wamesajili kiungo Sean Longstaff kutoka #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·254 Views
  • Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi.

    Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025
    Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029

    Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo.

    Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025.
    Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa:

    Lionel Messi

    Jordi Alba

    Sergio Busquets

    Chanzo: GIVEMESPORT

    ---

    Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi.

    #SportsElite
    💣 Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi. 🔹 Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025 🔹 Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029 🔹 Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo. 🇦🇷🦩 ℹ️ Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025. Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa: Lionel Messi Jordi Alba Sergio Busquets 🔗 Chanzo: GIVEMESPORT --- Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·365 Views
More Results