• Atlético Madrid tayari wametoa ofa mbili kwa Chelsea kumsajili Renato Veiga, ya hivi punde ikiwa ni €35 milioni ikijumuisha marupurupu.

    #SportsElite
    Atlético Madrid tayari wametoa ofa mbili kwa Chelsea kumsajili Renato Veiga, ya hivi punde ikiwa ni €35 milioni ikijumuisha marupurupu. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·7 مشاهدة
  • Jamal Musiala alionekana katika uwanja wa mazoezi wa Bayern Munich leo akiwa anatumia magongo ya kutembelea.

    Alikuwa ameandamana na Alphonso Davies pamoja na mfanyakazi wa klabu Johannes Mös mang.

    #SportsElite
    ✍️🇩🇪Jamal Musiala alionekana katika uwanja wa mazoezi wa Bayern Munich leo akiwa anatumia magongo ya kutembelea. Alikuwa ameandamana na Alphonso Davies pamoja na mfanyakazi wa klabu Johannes Mös mang. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·3 مشاهدة
  • ... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.

    ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.

    ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.

    ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).

    #SportsElite
    🙆‍♂️... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·15 مشاهدة
  • On fire

    Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.*

    Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*.

    Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*.

    Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki.

    #SportsElite
    On fire 🔥 Victor Osimhen akamilisha uhamisho mkubwa kwenda Galatasaray.* Klabu hiyo ya Uturuki imekubaliana kumsajili mshambuliaji huyo kwa jumla ya *euro milioni 75*. Malipo hayo yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili: *euro milioni 40 zitalipwa mara moja*, huku *euro milioni 35 zikilipwa baada ya mwaka mmoja*. Zaidi ya hayo, Napoli imehakikishiwa *asilimia 10 ya faida endapo Osimhen atauzwa tena kwa dau kubwa zaidi siku za usoni*. Mkataba huo pia umeweka *kizuizi cha miaka miwili* ambacho kinakataza Galatasaray kumuuza #Osimhen kwa klabu yoyote ya Italia. Hii inakuja baada ya Osimhen kuonyesha kiwango bora msimu uliopita kwa kufunga *mabao 37 katika mechi 41*, akiiwezesha Galatasaray kutwaa mataji ya ligi na kombe la Uturuki. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·12 مشاهدة
  • AS Roma imemsajili kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens kwa dau la €23 milioni. Mchezaji huyo atavaa jezi nambari 8.

    #SportsElite
    AS Roma imemsajili kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens kwa dau la €23 milioni. Mchezaji huyo atavaa jezi nambari 8. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·11 مشاهدة
  • Napoli imemsajili beki Sam Beukema kutoka Bologna kwa kiasi cha takriban €31 milioni. Amekubali kandarasi ya miaka mitano.

    #SportsElite
    Napoli imemsajili beki Sam Beukema kutoka Bologna kwa kiasi cha takriban €31 milioni. Amekubali kandarasi ya miaka mitano. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·10 مشاهدة
  • Moja kati ya photo kali kabisa ambayo hii picha kupiga thamani yake ni USD 3MILION za kimarekan thamani yake kwa elà za kwetu ni over 6BILION TSHS

    MESSI GOAT LA MCHONGO AKIWA NA BABA YAKE PAPA FIFFA PRESIDENT

    #SportsElite
    Moja kati ya 📸 photo kali kabisa ambayo hii picha kupiga thamani yake ni USD 3MILION za kimarekan thamani yake kwa elà za kwetu ni over 6BILION TSHS MESSI GOAT LA MCHONGO AKIWA NA BABA YAKE PAPA FIFFA PRESIDENT #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·12 مشاهدة
  • Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.

    Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.

    Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..

    #SportsElite
    Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba. Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia. Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko.. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·30 مشاهدة
  • Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti.

    Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti):
    1️⃣ Lionel Messi – mabao 764
    2️⃣ Cristiano Ronaldo – mabao 763

    Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja.

    #SportsElite
    Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti. 🐐 Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti): 1️⃣ Lionel Messi – mabao 764 🔝 2️⃣ Cristiano Ronaldo – mabao 763 Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·26 مشاهدة
  • Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5️⃣ kwa 1️⃣ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo

    Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist moja — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu!

    Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6️⃣) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli,

    Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS:

    ⚽ Magoli: 12
    Assist: 5
    Jumla ya magoli aliyochangia: 17


    #SportsElite
    🚨 Baada ya Inter Miami kuibuka na ushindi wa magoli 5️⃣ kwa 1️⃣ dhidi ya New York Red alfajiri ya leo 🌅⚽️ 👑 Lionel Messi akaibuka Mchezaji Bora wa mchezo huo baada ya kuisaidia timu yake kwa kufunga magoli mawili ⚽⚽ na kutoa assist moja 🎯 — akiwa amechangia jumla ya magoli matatu! 🔥🙌 📊 Katika michezo saba mfululizo ya Inter Miami, Lionel Messi amefunga kwenye michezo sita (6️⃣) — akiwa ana funga magoli mawili mawili katika mchezo mmoja, isipokuwa mchezo mmoja tu ndio hakuweza kufunga wala kutoa pasi ya goli, 📈 Takwimu za Messi katika michezo saba ya ligi kuu ya MLS: ⚽ Magoli: 12 🎯 Assist: 5 🔢 Jumla ya magoli aliyochangia: 17 #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·30 مشاهدة
  • Katika mechi (8) za mwisho Lion Messi amefunga mabao (12) na mabao ya usaidizi (5)

    #SportsElite
    Katika mechi (8) za mwisho Lion Messi amefunga mabao (12) na mabao ya usaidizi (5) #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·26 مشاهدة
  • Katika mechi (8) za mwisho Lion Messi amefunga mabao (12) na mabao ya usaidizi (5)

    #SportsElite
    Katika mechi (8) za mwisho Lion Messi amefunga mabao (12) na mabao ya usaidizi (5) #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·26 مشاهدة
  • Manchester City imeafikiana na FC Porto kumsajili kipa Diogo Costa kwa €65 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni. Mkataba huu umefuatia makubaliano ya awali yaliyofikiwa wiki chache zilizopita.

    Nyota mpya namba moja anawasili Etihad!

    #SportsElite
    Manchester City imeafikiana na FC Porto kumsajili kipa Diogo Costa kwa €65 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni. Mkataba huu umefuatia makubaliano ya awali yaliyofikiwa wiki chache zilizopita. Nyota mpya namba moja anawasili Etihad! #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·25 مشاهدة
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·114 مشاهدة
  • Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake.

    Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi huku yeye akiwa na uraia wa Australia .

    #SportsElite
    Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake. Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania 🇹🇿 kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi 🇧🇮 huku yeye akiwa na uraia wa Australia 🇦🇺. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·124 مشاهدة
  • *RASMI:* Klabu ya Como imekamilisha taratibu zote za kumsajili Máximo Perrone kutoka Manchester City kwa mkataba wa kudumu.

    Ada ya uhamisho ni €13 milioni na mchezaji atasaini mkataba hadi Juni 2029.

    #SportsElite
    🔵🇦🇷 *RASMI:* Klabu ya Como imekamilisha taratibu zote za kumsajili Máximo Perrone kutoka Manchester City kwa mkataba wa kudumu. 📝 Ada ya uhamisho ni €13 milioni na mchezaji atasaini mkataba hadi Juni 2029. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·101 مشاهدة
  • Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi.

    Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025
    Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029

    Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo.

    Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025.
    Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa:

    Lionel Messi

    Jordi Alba

    Sergio Busquets

    Chanzo: GIVEMESPORT

    ---

    Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi.

    #SportsElite
    💣 Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi. 🔹 Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025 🔹 Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029 🔹 Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo. 🇦🇷🦩 ℹ️ Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025. Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa: Lionel Messi Jordi Alba Sergio Busquets 🔗 Chanzo: GIVEMESPORT --- Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·179 مشاهدة
  • West Bromwich Albion wamemsajili beki wa kati George Campbell kutoka CF Montreal kwa ada ya pauni milioni 1 (£1m).

    #SportsElite
    West Bromwich Albion wamemsajili beki wa kati George Campbell kutoka CF Montreal kwa ada ya pauni milioni 1 (£1m). #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·95 مشاهدة
  • RASMI: Lille wamekamilisha usajili wa winga Félix Correia kutoka Gil Vicente kwa dau la €7 milioni!

    #SportsElite
    ✅ RASMI: Lille wamekamilisha usajili wa winga Félix Correia kutoka Gil Vicente kwa dau la €7 milioni! 🇵🇹➡️🇫🇷 #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·142 مشاهدة
  • HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo.

    Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.

    #SportsElite
    🚨HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo. 💰 Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.✨ #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·180 مشاهدة
الصفحات المعززة