• IMANI KUBWA.

    Imani ni uhakika wa jambo bayana ya lile lisilo onekana.

    #Waebrania 11:1
    [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

    Imani kubwa ni imani ya kulitazama neno na kutokea kwenye neno kila jawabu lako unaliona hapo.

    Mfano uhalisia madaktari wanasema huwezi kupona kisukari lakini neno linasema alichukua magonjwa yetu ,madhaifu yetu hivyo basi lwa kupigwa kwake sisi tumepona.

    Imani kubwa ni kuvuka mstari wa wanayo onekana na kisha kutazama neno na kuliishi.

    Akida alikuwa mfano wa jambo hili.

    #Luka 7:7
    [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona.

    Huyu akida akuhitaji kabisa hata Yesu aende eneo lile badala yake aliitaji alitume neno tu na yule mtumwa wake apone.

    Hii ndiyo imani kubwa ni wakati uhalisia unakataa lakini ndo kipindi ambacho unaona jibu hapo hapo.

    #Luka 7:7,9
    [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona.

    [9]Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona imani kubwa namna hii.

    Wanao pokea wote kwa ukubwa lazima wawe na imani kubwa sana na chanzo cha imani kubwa ni kusikia neno la Mungu na kuligeuza kuwa lako la maisha.

    Kwa sababu Mungu huwa ana asili ya kulituma neno lake lake kisha likabadilisha yote.

    #Zaburi 107:20
    [20]Hulituma neno lake, huwaponya,
    Huwatoa katika maangamizo yao.

    Ko kama huamini neno Mungu hawezi kulituma neno ni lazima ufike kipindi uamue kulituma neno ili kutokea kwenye neno libadilishe yote.

    Mfano mwingine .

    Petro alipo kiuhalisia petro alikuwa mtaalamu wa uvuvi na kiasi cha kuwa amekesha kabisa kutafuta samaki .

    Na kanuni ya uvuvi samaki wanapatikana usiku , Yesu ameenda muda ambao hualisia wa kawaida haukubali kuvua.

    Na anamwambia Petro shusha nyavu kilindini,
    Petro sababu ya imani kubwa alimwambia kwa neno lako nashusha nyavu.

    #Luka 5:5
    [5]Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.

    Na kutokea kushusha nyavu walipata samaki wengi kiasi cha nyavu kukatika.

    #Luka 5:6-7
    [6]Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
    .
    [7]wakawapungia mikono washirika wao waliokuwa katika chombo cha pili, kuwasaidia; wakaja, wakavijaza vyombo vyote viwili, hata vikataka kuzama.

    Kumbe hata wewe upati majibu sababu utaki kujenga imani kubwa katika jambo unalo lifanya.

    Mfano moyoni mwako kila ukiwaza unasikia kuwa na real estate na uhalisia uoni lakini una kakiwanja mahali au unapo ishi kumbe imani kubwa ni kuanza hata na vyumba viwili ndo vitabadilisha maisha yako.

    Ni neno la uzima peke yake ndilo Lina badilishaga yote .

    Jifunze kutii kile unacho kiona kwenye neno na kutokea hapo maisha yako yote yatabadilika.

    Jitahidi sana kuomba kwa Mungu neno la uzima linabdailishaga yote.

    Imani inabadilisha yote kabisa na ukiamua kumfuata Yesu na ukalipenda neno maisha yako yatabadilika kabisa.

    Kuwa na imani kubwa harafu uone matokeo makubwa

    NAKUOMBEA MUNGU WANGU AKUPE NEEMA YA KUWA NA IMANI KUBWA KTIKA NENO LAKE NA KUTOKEA HAPO JANA YAKO IBADILIKE KABISA NA KUWA KESHO NJEMA KWA JINA LA YESU.

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Naitwa sylvester Mwakabende
    Build new eden ministry
    0622625340

    #build new eden
    #restore men position
    IMANI KUBWA. Imani ni uhakika wa jambo bayana ya lile lisilo onekana. #Waebrania 11:1 [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Imani kubwa ni imani ya kulitazama neno na kutokea kwenye neno kila jawabu lako unaliona hapo. Mfano uhalisia madaktari wanasema huwezi kupona kisukari lakini neno linasema alichukua magonjwa yetu ,madhaifu yetu hivyo basi lwa kupigwa kwake sisi tumepona. Imani kubwa ni kuvuka mstari wa wanayo onekana na kisha kutazama neno na kuliishi. Akida alikuwa mfano wa jambo hili. #Luka 7:7 [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona. Huyu akida akuhitaji kabisa hata Yesu aende eneo lile badala yake aliitaji alitume neno tu na yule mtumwa wake apone. Hii ndiyo imani kubwa ni wakati uhalisia unakataa lakini ndo kipindi ambacho unaona jibu hapo hapo. #Luka 7:7,9 [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona. [9]Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona imani kubwa namna hii. Wanao pokea wote kwa ukubwa lazima wawe na imani kubwa sana na chanzo cha imani kubwa ni kusikia neno la Mungu na kuligeuza kuwa lako la maisha. Kwa sababu Mungu huwa ana asili ya kulituma neno lake lake kisha likabadilisha yote. #Zaburi 107:20 [20]Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. Ko kama huamini neno Mungu hawezi kulituma neno ni lazima ufike kipindi uamue kulituma neno ili kutokea kwenye neno libadilishe yote. Mfano mwingine . Petro alipo kiuhalisia petro alikuwa mtaalamu wa uvuvi na kiasi cha kuwa amekesha kabisa kutafuta samaki . Na kanuni ya uvuvi samaki wanapatikana usiku , Yesu ameenda muda ambao hualisia wa kawaida haukubali kuvua. Na anamwambia Petro shusha nyavu kilindini, Petro sababu ya imani kubwa alimwambia kwa neno lako nashusha nyavu. #Luka 5:5 [5]Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Na kutokea kushusha nyavu walipata samaki wengi kiasi cha nyavu kukatika. #Luka 5:6-7 [6]Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; . [7]wakawapungia mikono washirika wao waliokuwa katika chombo cha pili, kuwasaidia; wakaja, wakavijaza vyombo vyote viwili, hata vikataka kuzama. Kumbe hata wewe upati majibu sababu utaki kujenga imani kubwa katika jambo unalo lifanya. Mfano moyoni mwako kila ukiwaza unasikia kuwa na real estate na uhalisia uoni lakini una kakiwanja mahali au unapo ishi kumbe imani kubwa ni kuanza hata na vyumba viwili ndo vitabadilisha maisha yako. Ni neno la uzima peke yake ndilo Lina badilishaga yote . Jifunze kutii kile unacho kiona kwenye neno na kutokea hapo maisha yako yote yatabadilika. Jitahidi sana kuomba kwa Mungu neno la uzima linabdailishaga yote. Imani inabadilisha yote kabisa na ukiamua kumfuata Yesu na ukalipenda neno maisha yako yatabadilika kabisa. Kuwa na imani kubwa harafu uone matokeo makubwa NAKUOMBEA MUNGU WANGU AKUPE NEEMA YA KUWA NA IMANI KUBWA KTIKA NENO LAKE NA KUTOKEA HAPO JANA YAKO IBADILIKE KABISA NA KUWA KESHO NJEMA KWA JINA LA YESU. Nikutakie asubui njema na siku njema . Naitwa sylvester Mwakabende Build new eden ministry 0622625340 #build new eden #restore men position
    0 Commentaires ·0 Parts ·642 Vue
  • Sijui kwanini nimesikia kuandika haya , ila naamini kuna mtu atajifunza kitu na inawezekana huyo mtu akawa wewe.

    Nimekuwa nikikaana watu wengi sana hasa vijana mara nyingi wananiuliza nini mtazamo wangu kuhusu mahusiano mpaka ndoa .

    Leo nitaongea machache sana kabla ya kutoa mtazamo natamani ujue haya pengine utajua naelekea wapi katika kutoa mtizamo wangu.

    Naomba nizungumzie vipindi vitatu muhimu vya mahusiano (ndoa).

    1.love
    Kipindi cha upofu wa mapenzi .kipindi kinacho anza urafiki mpka uchumba.

    Ni kipindi ambacho unahisi girl/boy friend wako unamjua lakini uhalisia bado ujaanza kumjua .

    Hiki ndicho kipindi ambacho unaongozwa na hisia zaidi kuliko akiri .

    Ndo kipindi pekee unaweza kosana na kila mtu ili kulinda pendo lenu.

    Waswahili tunakiita love bila kunyumbua lakini wagiriki walinyumbua wanakiita Eros's wakimaanisha kipindi cha mahaba wazungu wanakiita romantic love.

    Kipindi cha pili kinaitwa realization.

    Hiki ndicho kipindi muhimu sana katika maisha .

    Kipindi ambacho unamjua mwenzako uhalisia wake wote tofauti na vile ulivyo kuwa unamuona kwa nje.

    Ndo kipindi ambacho unaijionea rangi halisi ya mwenzako na wakati huo huo uko ndani ya kiapo ambacho kifo uwatenganisha .

    Kipindi hiki ndicho kinaitwa kipinndi cha kuchukuliana na kuvumiliana .

    Hiki ndicho kipindi ambacho familia inaweza tengenezwa kwa amani au lah.

    Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Kipindi cha tatu: Redemption period

    Kipindi cha majuto ,hiki ndicho kipindi kigumu sana katika mahusiano au ndoa .

    Ni kipindi kinacho tokea na makosa yaliyo zalishwa zaidi na kipindi cha kwanza kabisa yaani love .

    Hiki ndicho kipindi unakuwa na machaguo mawili tu moja uamue kuacha ufe kiroho au uamue kuvumilia ili uwe imara zaidi.

    Kutokea hapo ndipo neno mwili mmoja linakamilika kwa maana ya kuchukuliana na mwenzako katika madhaifu yake kama yako na yako kama yake.

    Nimeandika kwa uchache sana lakini kwa mtazamo wangu vijana kutokujua vipindi hivi ndio matokeo ya migogoro katika ndoa au mahusiano

    Mfano ukishavuka kipindi cha uhalisia (, realization) unapasw usiingie katika majuto bali uingie kipindi cha kuchukuliana na kuvumiliana mtazaa kitu kinaitwa kutendeana na hapo ndipo upendo wa kimaisha ule usio na sababu unazaliwa .

    Nashusha karamu yangu chini ila nakukumbusha kabla ujawaza kuoa au kuolewa au hata kama umeshaolewa au kuoa tambua vipindi hivi na anza kuishi uku ukiwa na maarifa ya kila kipindi ili uje uinusuru familia yako kesho.

    Take care,, naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden ministry)

    Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    #build new eden
    #restore men position
    Sijui kwanini nimesikia kuandika haya , ila naamini kuna mtu atajifunza kitu na inawezekana huyo mtu akawa wewe. Nimekuwa nikikaana watu wengi sana hasa vijana mara nyingi wananiuliza nini mtazamo wangu kuhusu mahusiano mpaka ndoa . Leo nitaongea machache sana kabla ya kutoa mtazamo natamani ujue haya pengine utajua naelekea wapi katika kutoa mtizamo wangu. Naomba nizungumzie vipindi vitatu muhimu vya mahusiano (ndoa). 1.love Kipindi cha upofu wa mapenzi .kipindi kinacho anza urafiki mpka uchumba. Ni kipindi ambacho unahisi girl/boy friend wako unamjua lakini uhalisia bado ujaanza kumjua . Hiki ndicho kipindi ambacho unaongozwa na hisia zaidi kuliko akiri . Ndo kipindi pekee unaweza kosana na kila mtu ili kulinda pendo lenu. Waswahili tunakiita love bila kunyumbua lakini wagiriki walinyumbua wanakiita Eros's wakimaanisha kipindi cha mahaba wazungu wanakiita romantic love. Kipindi cha pili kinaitwa realization. Hiki ndicho kipindi muhimu sana katika maisha . Kipindi ambacho unamjua mwenzako uhalisia wake wote tofauti na vile ulivyo kuwa unamuona kwa nje. Ndo kipindi ambacho unaijionea rangi halisi ya mwenzako na wakati huo huo uko ndani ya kiapo ambacho kifo uwatenganisha . Kipindi hiki ndicho kinaitwa kipinndi cha kuchukuliana na kuvumiliana . Hiki ndicho kipindi ambacho familia inaweza tengenezwa kwa amani au lah. Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Kipindi cha tatu: Redemption period Kipindi cha majuto ,hiki ndicho kipindi kigumu sana katika mahusiano au ndoa . Ni kipindi kinacho tokea na makosa yaliyo zalishwa zaidi na kipindi cha kwanza kabisa yaani love . Hiki ndicho kipindi unakuwa na machaguo mawili tu moja uamue kuacha ufe kiroho au uamue kuvumilia ili uwe imara zaidi. Kutokea hapo ndipo neno mwili mmoja linakamilika kwa maana ya kuchukuliana na mwenzako katika madhaifu yake kama yako na yako kama yake. Nimeandika kwa uchache sana lakini kwa mtazamo wangu vijana kutokujua vipindi hivi ndio matokeo ya migogoro katika ndoa au mahusiano Mfano ukishavuka kipindi cha uhalisia (, realization) unapasw usiingie katika majuto bali uingie kipindi cha kuchukuliana na kuvumiliana mtazaa kitu kinaitwa kutendeana na hapo ndipo upendo wa kimaisha ule usio na sababu unazaliwa . Nashusha karamu yangu chini ila nakukumbusha kabla ujawaza kuoa au kuolewa au hata kama umeshaolewa au kuoa tambua vipindi hivi na anza kuishi uku ukiwa na maarifa ya kila kipindi ili uje uinusuru familia yako kesho. Take care,, naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden ministry) Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #build new eden #restore men position
    0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC.

    "Kwann Gamooo kafukuzwa??!

    Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo

    Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi

    Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa

    Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi

    Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye

    Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC. "Kwann Gamooo kafukuzwa??! Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    0 Commentaires ·0 Parts ·658 Vue
  • *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.

    Share tafadhali ukipenda
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako. Share tafadhali ukipenda *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Sina wa kumuomba, kwa hii dunia...
    Zaid Sana ni familia na mungu...
    Acha nimoke, Acha nilewe ila muda wa Sala N lazma nisujudu...
    sna budi kumnyenyekea coz yy ndo kaumba ardhi na mbingu...
    Nta Pit njia ZTE yaan chcho ZTE, ila ya mwsho N kurud kwa mungu...
    ndoto nkuwa na maisha bora Mbingu...
    na si kwa hii dunia tambala bovu...
    Nafanya yte IL npunguze adhabu...
    nisije kufa kibudu...
    Sna tym ya kujiombea maish marfu...
    coz yy tyl ksha andka kwny chke kitabu...
    Na baba N Zaid y psa na dhahabu...
    kwngu N m2 muhim...
    Na kumhdumia N langu jukum...
    pia xjkmlika ,Nina yang madhaifu...
    mungu atnsmhe,km ntkw na kufuru..
    Sina wa kumuomba, kwa hii dunia... Zaid Sana ni familia na mungu... Acha nimoke, Acha nilewe ila muda wa Sala N lazma nisujudu... sna budi kumnyenyekea coz yy ndo kaumba ardhi na mbingu... Nta Pit njia ZTE yaan chcho ZTE, ila ya mwsho N kurud kwa mungu... ndoto nkuwa na maisha bora Mbingu... na si kwa hii dunia tambala bovu... Nafanya yte IL npunguze adhabu... nisije kufa kibudu... Sna tym ya kujiombea maish marfu... coz yy tyl ksha andka kwny chke kitabu... Na baba N Zaid y psa na dhahabu... kwngu N m2 muhim... Na kumhdumia N langu jukum... pia xjkmlika ,Nina yang madhaifu... mungu atnsmhe,km ntkw na kufuru..
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·482 Vue
  • Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu
    Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu
    Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu
    Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu
    Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu
    Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu
    Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu
    Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu
    Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu
    Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu
    Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu
    Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu
    Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu
    Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu
    Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu
    Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu
    Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu
    Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu
    Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu
    Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club
    Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu
    Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu🎤 Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    0 Commentaires ·0 Parts ·2KB Vue
  • Kutambua na Kukubali madhaifu yako kutakupa nguvu ya kupambana na wabaya wako.

    #Merciful
    Kutambua na Kukubali madhaifu yako kutakupa nguvu ya kupambana na wabaya wako. #Merciful
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·794 Vue
  • Wale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali.
    Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao.
    Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe,
    wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao.
    Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa. #motivation
    Wale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali. Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao. Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe, wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao. Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa. #motivation
    Love
    2
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Mama alinambia ukimzarau mtu Kwa dhaifu mmoja utakutana na mtu mwenye madhaifu kumu na mmoja
    Mama alinambia ukimzarau mtu Kwa dhaifu mmoja utakutana na mtu mwenye madhaifu kumu na mmoja
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·275 Vue
  • Ukijuwa udhaifu wa unae mpenda usimzarau unatakiwa ulinde madhaifu yake ili kuepuka madhaifu ya mwengine Hakuna mkosa mazaifu
    Ukijuwa udhaifu wa unae mpenda usimzarau unatakiwa ulinde madhaifu yake ili kuepuka madhaifu ya mwengine Hakuna mkosa mazaifu
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·272 Vue
  • Nimeamua kuishi nae ili kuepuka madhaifu ya wengine???
    Nimeamua kuishi nae ili kuepuka madhaifu ya wengine???
    0 Commentaires ·0 Parts ·286 Vue
  • Ushauli wangu kwa socialPOP .. naomba ungefanya mpango ui UPDET hii social media.. kun madhaifu nayo yaona ... ni kwamba endapo nita click back baahat mbaya hii apk ina jitoa kbsa na nikilud yan inaaza kufunguka upya kbsa kwann isiwe kama muundo wa FB hvi

    USHAULI TU
    Ushauli wangu kwa socialPOP .. naomba ungefanya mpango ui UPDET hii social media.. kun madhaifu nayo yaona ... ni kwamba endapo nita click back baahat mbaya hii apk ina jitoa kbsa na nikilud yan inaaza kufunguka upya kbsa😢😢 kwann isiwe kama muundo wa FB hvi🙏🙏 USHAULI TU
    Like
    Love
    Haha
    5
    · 2 Commentaires ·0 Parts ·679 Vue