0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·71 Visualizações
-
Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni.
.
Itakuwa ni mara ya kwanza mchezo Huu wa Mzizima Derby ndani ya Ligi Kuu ya NBC kupigwa katika uwanja wa KMC Complex.
#paulswai🚨 Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni. . Itakuwa ni mara ya kwanza mchezo Huu wa Mzizima Derby ndani ya Ligi Kuu ya NBC kupigwa katika uwanja wa KMC Complex. #paulswai -
Tabora United imekamilisha usajili wa nahodha wa Mbarara City, Joseph Akandwanaho raia wa Uganda
Akandwanaho amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo.
#NBCPLTabora United 🇹🇿 imekamilisha usajili wa nahodha wa Mbarara City, Joseph Akandwanaho raia wa Uganda 🇺🇬 ➡️ Akandwanaho amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu hiyo. #NBCPL -
TUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI
Nakuja tu na maswali chokonozi
1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi?
2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu?
Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani?
3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi?
nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi
MAJADILIANO COMPILED
RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!!
Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake ..................
1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic)
We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government.
2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc.
3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma)
http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html
4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color.
5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria
https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/
6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."-
7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.)
"bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino.
8. Kuna Baadhi ya nchi;
i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk).
ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen)
iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.)
iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini
In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers.
v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan.
mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi.
Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyarakaTUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI Nakuja tu na maswali chokonozi 1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi? 2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu? Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani? 3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi? nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi MAJADILIANO COMPILED RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!! Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake .................. 1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic) We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government. 2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc. 3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma) http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html 4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color. 5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/ 6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."- 7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.) "bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino. 8. Kuna Baadhi ya nchi; i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk). ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen) iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.) iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers. v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan. mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi. Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyaraka -
NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01
SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI
MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3
#paulswaiNBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01 SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3 #paulswai -
UPDATES:- Afisa wa Bodi ya Ligi kuu ya NBC, Karim Boimanda amethibitisha kupokea barua kutoka kwa Simba SC juu ya kutaka kuhama uwanja wa KMC Complex na kwenda uwanja wa Azam Complex .
Simba Sc wametuma barua ya kuhama uwanja wa KMC Complex ili kuweza kuhamia uwanja wa Azam Complex .
#paulswai🚨UPDATES:- Afisa wa Bodi ya Ligi kuu ya NBC, Karim Boimanda amethibitisha kupokea barua kutoka kwa Simba SC juu ya kutaka kuhama uwanja wa KMC Complex na kwenda uwanja wa Azam Complex . Simba Sc wametuma barua ya kuhama uwanja wa KMC Complex ili kuweza kuhamia uwanja wa Azam Complex . #paulswai -
Vinara wa kuchangia mabao kwenye timu zao ligi kuu ya NBC.
▪︎ Feisal Salum 1️⃣3️⃣
- Magoli 0️⃣4️⃣
- Assist 0️⃣9️⃣
▪︎ Jean Ahoua 1️⃣2️⃣
- Magoli 0️⃣7️⃣
- Assist 0️⃣5️⃣
▪︎ Pacome Zouzoua 0️⃣9️⃣
- Magoli 0️⃣5️⃣
- Assist 0️⃣4️⃣
#paulswaiVinara wa kuchangia mabao kwenye timu zao ligi kuu ya NBC. ▪︎ Feisal Salum 1️⃣3️⃣ - Magoli 0️⃣4️⃣ - Assist 0️⃣9️⃣ ▪︎ Jean Ahoua 1️⃣2️⃣ - Magoli 0️⃣7️⃣ - Assist 0️⃣5️⃣ ▪︎ Pacome Zouzoua 0️⃣9️⃣ - Magoli 0️⃣5️⃣ - Assist 0️⃣4️⃣ #paulswai -
-
"Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi.
Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki.
Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii" - Farhan JR, Mchambuzi.
"Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi. Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki. Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii😀" - Farhan JR, Mchambuzi.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·198 Visualizações -
MAPUMZIKO NBCPREMIERLEAGUE SINGIDA BLACK STARS 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC #paulswai
-
KIKOSI CHA MNYAMA. NBCPREMIERLEAGUE #paulswai
-
SELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ.
#paulswaiSELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ. #paulswai -
Michezo 10 ya mwisho kukutana na Kagera Sugar. NBCPREMIERLEAGUE #paulswai
-
ALLY SALIM "MAANDALIZI YOTE YA MCHEZO YAMEKAMILIKA" NBCPL: KAGERA SUGAR FC VS SIMBA SC. #paulswai
-
Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ?
Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka .
Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) .
Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi .
Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga .
Kibwana Shomari amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome
FT : Yanga 3-2 Mashujaa
Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ? Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka . Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) . Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi . Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga . Kibwana Shomari 👏 amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome 👍 FT : Yanga 3-2 Mashujaa0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·310 Visualizações -
Kikosi cha leo. NBCPREMIERLEAGUE #paulswai
-
AWESU AWESU " MCHEZO WA KESHO UTAKUA BORA" | NBCPL: SIMBA SC VS KEN GOLD FC. #paulswai
-
FADLU DAVIS KOCHA MKUU WA SIMBA SC KUHUSU MAANDALIZI YA NBCPL DHIDI YA KENGOLD FC. #paulswai0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·353 Visualizações
-
Kesho tunarudi ligi kuu NBCPREMIERLEAGUE #paulswai0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·330 Visualizações
-
Páginas Impulsionadas