Atualizar para Plus

  • DORTMUND LINEUP; Hiki ndicho kikosi kilicho anza cha Borussia Dortmund Bologna wakikaa mkao wa 3-4-2-1, tutegemee kuona goli ngapi? katika huu mchezo waleo wa champions league.
    #SokaChampions
    DORTMUND LINEUP; Hiki ndicho kikosi kilicho anza cha Borussia Dortmund 🆚 Bologna wakikaa mkao wa 3-4-2-1, tutegemee kuona goli ngapi? katika huu mchezo waleo wa champions league. #SokaChampions
    Like
    Love
    4
    ·130 Visualizações
  • GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    #shortsvideos
    🇹🇿GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU🤝: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal 🆚 Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025. #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo #shortsvideos
    Like
    Love
    7
    1 Comentários ·482 Visualizações
  • AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?
    Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS .
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?🤣 Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana🤣🤣 poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS 🖐️💚💛💚💛. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Wow
    9
    2 Comentários ·416 Visualizações
  • KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya.
    Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele.
    #sokachampions
    #milardayo
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya. Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele🤣🤣. #sokachampions #milardayo #cafchampionsleague2024 #soccersportstz
    Like
    Love
    Sad
    4
    3 Comentários ·404 Visualizações
  • ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII
    JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII👇 JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA👇 https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo
    Like
    Love
    6
    ·484 Visualizações
  • ROBO FINAL 8%; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???.
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #milardayo
    #Sports
    ROBO FINAL 8%🌔; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???✍️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏. #sokachampions #cafchampionsleague2024 #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #milardayo #Sports
    Like
    4
    1 Comentários ·656 Visualizações
  • TUSHA JUA; Wengi hawaelewi kwanini yanga imeshuka ghafla kiwango Cha wachezaji kipo low kabisa, Baada ya uchunguzi wetu mfupi tumegundua kunakitu kinaitwa matabaka kitu hiki yumekiona katika timu ya yanga hii ya mwisho wa mwezi wa GAMONDI na timu hii ya RAMOVIC, Kuna mchezaji kama DJIGUI DIARA hivi sasa hakubariki na Wachezaji wenzake, chunguza Kwa kina Diara akifungwa saivi Hana Ile mudi ya kulalamika kama ilivyo kuwa zamani.
    Ukiangalia mechi ya NAMUNGO Na YANGA alidaka KHOMEINI ABUBAKHAR Na YANGA ikapata ushindi na mchezo wa Yanga ulibadilika Kwa kiasi kikubwa mnoo!! Kwanini Jana Alivyo daka DIARA yanga ikafungwa tena magoli yakizembe WHY!!?
    Dondosha comment hapo chini Kisha follow page yetu #sokachampions
    TUSHA JUA🫂; Wengi hawaelewi kwanini yanga imeshuka ghafla kiwango Cha wachezaji kipo low kabisa💪, Baada ya uchunguzi wetu mfupi tumegundua kunakitu kinaitwa matabaka kitu hiki yumekiona katika timu ya yanga hii ya mwisho wa mwezi wa GAMONDI na timu hii ya RAMOVIC, Kuna mchezaji kama DJIGUI DIARA hivi sasa hakubariki na Wachezaji wenzake, chunguza Kwa kina Diara akifungwa saivi Hana Ile mudi ya kulalamika kama ilivyo kuwa zamani. Ukiangalia mechi ya NAMUNGO Na YANGA alidaka KHOMEINI ABUBAKHAR Na YANGA ikapata ushindi na mchezo wa Yanga ulibadilika Kwa kiasi kikubwa mnoo!! Kwanini Jana Alivyo daka DIARA yanga ikafungwa tena magoli yakizembe WHY!!? Dondosha comment hapo chini Kisha follow page yetu #sokachampions
    Like
    2
    1 Comentários ·531 Visualizações
  • SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA BUT TOMORROW 3:1.
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA🤐 BUT TOMORROW 3:1. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    3
    ·578 Visualizações
  • IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo😭😭😭 #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    2
    ·616 Visualizações
  • MC ALGER YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku keshoYANGA BINGWA
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #sports
    MC ALGER 🆚 YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku💪💚💛💚💛 kesho👏YANGA BINGWA✍️ #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #sports
    Like
    3
    1 Comentários ·621 Visualizações ·1 Compartilhamentos
  • MC ALGER VS YANGA
    Ukiangalia takwimu hizi utagundua kuwa Point 3 ni za Dar young Africans
    2017 Benjamin mkapa
    Yanga 1:0 Mc Alger FT.
    2017Stade Du 5 Juillet 1962
    Mc Alger 4:0 Young Africans FT.
    #soccersportstz
    #milardayo
    #sokachampions
    #sports
    MC ALGER🇩🇿 VS YANGA 🇹🇿 Ukiangalia takwimu hizi utagundua kuwa Point 3 ni za Dar young Africans👇 2017🪐 Benjamin mkapa Yanga 1:0 Mc Alger FT. 2017🪐Stade Du 5 Juillet 1962 Mc Alger 4:0 Young Africans FT. #soccersportstz #milardayo #sokachampions #sports
    Love
    Yay
    2
    ·540 Visualizações
  • KENNEDY MUSONDA; Huyu ndo yule musonda anakadiliwa kuachwa dirisha dogo, Acheni utani nyie huyu akiachwa akina Baleke, Aziz ki wabaki
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    #soccersportstz
    KENNEDY MUSONDA; Huyu ndo yule musonda anakadiliwa kuachwa dirisha dogo🤔🤔, Acheni utani nyie huyu akiachwa akina Baleke, Aziz ki wabaki🤔🤔 #sokachampions #cafchampionsleague2024 #milardayo #soccersportstz
    Like
    Love
    6
    ·555 Visualizações
  • RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Comentários ·864 Visualizações
  • DJIGUI DIARA SCREEN PROTECTOR; Taarifa ya muhimu hii, Enyi uongozi wa yanga, tunawaomba mfanye kitu Kwa huyu fundi Djigui Diara apumzishwe baadhi ya match sio kila match lazima yeye tu kuna mwingine acheze mshery/Komeni pale yanga Kuna 3 Goal Keeper na kilammoja anajua wajibu wake lakini hii ya kumtegemea DIARA pekee nawakati anatumika saaana pegeni hesabu huu mwaka wangapi Anasimama golini muda mwingi Katika ligi na Nje kwenye majukumu ya Taifa lake hivyo unakuta katumika saana na anachoka.. kweli. NOTE: Wapeane zamu
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #tanzania
    #sports
    #uefachampionsleague2024
    DJIGUI DIARA SCREEN PROTECTOR; Taarifa ya muhimu hii, Enyi uongozi wa yanga, tunawaomba mfanye kitu Kwa huyu fundi Djigui Diara apumzishwe baadhi ya match sio kila match lazima yeye tu kuna mwingine acheze mshery/Komeni pale yanga Kuna 3 Goal Keeper na kilammoja anajua wajibu wake lakini hii ya kumtegemea DIARA pekee nawakati anatumika saaana pegeni hesabu huu mwaka wangapi Anasimama golini muda mwingi Katika ligi na Nje kwenye majukumu ya Taifa lake hivyo unakuta katumika saana na anachoka.. kweli. NOTE: Wapeane zamu👍 #sokachampions #soccersportstz #tanzania #sports #uefachampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    7
    1 Comentários ·636 Visualizações
  • Unavyo hisi hii pisi ni kabila Gani??
    #lovezone
    #soccersports
    #sokachampions
    Unavyo hisi hii pisi ni kabila Gani??🤣 #lovezone💞 #soccersports #sokachampions
    Love
    2
    3 Comentários ·487 Visualizações
  • Unanionaje nimependezaa!!???
    #lovezone
    #soccersports
    #sokachampions
    Unanionaje nimependezaa!!???💋 #lovezone💞 #soccersports #sokachampions
    Love
    Like
    3
    1 Comentários ·482 Visualizações
  • Huyu jamaa umeanza kumfahamu ukiwa wapi?
    #masaubwire
    #lovezone
    #soccersports
    #sokachampions
    Huyu jamaa umeanza kumfahamu ukiwa wapi? #masaubwire #lovezone #soccersports #sokachampions
    Love
    2
    ·516 Visualizações
  • CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #chadomasta
    CHADO MASTA KITENGO; Huyu mwamba kanishangaza katoa movie nyingi tu na hatuna habari nae, ila kafyatua Goma la *MISSION IMPOSSIBLE* kama kaanza leo kilakona anaimbwa na vitoto vya miaka mi3 mpaka mi4 yaani kama una mtoto wa umri huu na hakusumbui weka CHADO MASTA nyosha kidole juuu👆. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #chadomasta
    Love
    Like
    4
    ·795 Visualizações
  • BYE BYE GUARDIOLA; Kwani hawa kocha vipara wamepatwa na nini!!? Mbona timu zao zinaharibu tu kilasiku!!? Kwabongo uyu kocha bye-bye inaonekana boss bado anampenda PEP GUARDIOLA.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    BYE BYE GUARDIOLA🖐️; Kwani hawa kocha vipara wamepatwa na nini!!? Mbona timu zao zinaharibu tu kilasiku!!? Kwabongo uyu kocha bye-bye inaonekana boss bado anampenda 🔥PEP GUARDIOLA. #sokachampions #soccersportstz
    Like
    Love
    5
    2 Comentários ·575 Visualizações
  • Jamani habari zenu, Tunaomba support yenu Kwa ku follow ukurasa wetu wa @soccersport ili kila leo tuweze kupata nguvu zakukuletea kilicho bora zaidi ya jana.
    #soccersports
    #sokachampions
    Jamani habari zenu🖐️, Tunaomba support yenu Kwa ku follow ukurasa wetu wa @soccersport ili kila leo tuweze kupata nguvu zakukuletea kilicho bora zaidi ya jana.🙏 #soccersports #sokachampions
    Like
    Love
    9
    ·565 Visualizações
Páginas impulsionada