HIVI ULIKUA UNALIJUA ILI?
KABLA NCHI AMBAYO PESA ZIPO KILA MAHALI!
Karibu kwenye Somaliland nchi isiyo rasmi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia.
Hapa, pesa si kitu cha kuvutia ni kama karatasi tu.
Kila mtu anatembea na maburungutu ya noti mfukoni, kwenye mifuko ya plastiki au hata kwenye ndoo!
Kwenye maduka, huwezi kuona "Lipa kwa Simu" au POS za swipe.
Hii ni kwa sababu uchumi wao unategemea sana pesa taslimu.
Mfumo wa mabenki haujasambaa, na watu wengi hawana akaunti ya benki kabisa.
Sasa fikiria hili:
Unataka kununua mbuzi sokoni bei ni 600,000 Somaliland Shillings.
Unatoa maburungutu yako kwenye mfuko wa nailoni na kuhesabu huku unatokwa na jasho.
Lakini kwanini watu wabebe noti nyingi kiasi hicho?
Kwa sababu sarafu yao haina thamani kabisa!
1 USD ni zaidi ya 8,000 SLSH.
Yaani, hata ukitoa noti laki moja, huwezi kununua soda 3 vizuri.
Na cha ajabu zaidi:
Hakuna ATM nyingi, hakuna mabenki ya kisasa, na watu wengi hawana access na huduma za kifedha.
Wanalazimika kutegemea cash economy, iliyojaa risks kama wizi au usumbufu.
Sasa unaweza kujiuliza:
“Hii si inawapa tabu sana?”
Ni kweli. Lakini pia kuna upande mwingine:
Kwa sababu hakuna mifumo ya kisasa, Watu wa Somaliland wamejenga ustahimilivu wa kipekee.
Wanajua kuishi kwa pesa isiyo na nguvu.
Kuna bidhaa haziuzwi kwa SLSH hata kidogo.
Wenye maduka wanakataa kabisa.
Wanaomba malipo kwa Dola au shilingi ya Ethiopia sarafu zenye nguvu zaidi.
Ili kuepuka matatizo, kuna watu waliamua KUCHAPISHA PESA KUBWA!
Yaani noti za SLSH 5,000 au 10,000, ambazo hazina hata security features za maana.
Ni kama kupiga photostat ya pesa.
Matokeo? Pesa nyingi, thamani hakuna!
Somaliland inatufundisha kitu muhimu sana:
Pesa inaweza kuwa nyingi sana mpaka ukaichoka lakini bila thamani ya kweli, haina maana.
Hii ni reality ya taifa linaloishi kwenye mzigo wa fedha zisizo na nguvu.
Kama uliwahi kufikiri una pesa nyingi lakini huna kitu karibu Somaliland, utajua maana halisi.
Je, unadhani ni bora kuwa na hela nyingi zisizo na thamani, au kidogo zenye nguvu?
Comment
Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites

0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·30 Visualizações