• Kila mwanadamu aliye wahi kupendwa na Mungu zawadi kubwa Mungu aliyo mpa huyo mtu ni watu.
    Isaya 43:4
    [4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.

    Hivi umewahi kujiuliza kuwa pamoja na ujemedari wote wa Nahamani lakini ukoma wake ulibadilishwa kutoka kwa mtu aliye mpa code ya kuwa kuna mtu wa Mungu anaitwa Elisha.

    Musa pamoja na nguvu nyingi sana za Mungu alizo kuwa nazo bado alihitaji watu ili aweze kutimiza kusudi lake na Mungu akamchagulua Haruni ,wakina Yoshua ,Huri na wengine.

    Elia pamoja na kuwa na nguvu ya kusimamisha mvua lakini kuna muda alihitaji mtu ili apate kula chakula.

    Watu ni funguo na watu ni kufuli ukichanganya nama ya kuishi na watu umechanganya maisha.

    Kila unacho kihitaji kiko mikononi mwa wengine ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe watu ili kupitia watu upate majibu.

    Unaomba Mungu akuoe kazi lakini uhalisia kazi unayo paswa kupewa iko mikononi mwa watu.

    Zaburi 2:8
    [8]Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
    Na miisho ya dunia kuwa milki yako.

    Usiogope omba Mungu ni mwaminifu atakupa watu ambao ndio watabadilisha maisha yako.

    Kuna kundi la watu wanaitwa destiny helper's,divine connector na destiny shapers kila unapo omba muombe Mungu akusogezeee watu hawa maisha yako hayatabaki kama ulivyo.

    Wanaweza wasiwe matajiri ila wanajua njia za kupita ambazo ukipita utakuwa gumzo kwa dunia.

    YESU pamoja na nafasi yake ya uungu lakini pia alihitaji watu ili akamilishe kusudi lake duniani.

    Nikutakie asubui njema na siku njema

    BNE , Sylvester mwakabende
    0622625340
    #buidneweden
    #restoremenposition
    Kila mwanadamu aliye wahi kupendwa na Mungu zawadi kubwa Mungu aliyo mpa huyo mtu ni watu. Isaya 43:4 [4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Hivi umewahi kujiuliza kuwa pamoja na ujemedari wote wa Nahamani lakini ukoma wake ulibadilishwa kutoka kwa mtu aliye mpa code ya kuwa kuna mtu wa Mungu anaitwa Elisha. Musa pamoja na nguvu nyingi sana za Mungu alizo kuwa nazo bado alihitaji watu ili aweze kutimiza kusudi lake na Mungu akamchagulua Haruni ,wakina Yoshua ,Huri na wengine. Elia pamoja na kuwa na nguvu ya kusimamisha mvua lakini kuna muda alihitaji mtu ili apate kula chakula. Watu ni funguo na watu ni kufuli ukichanganya nama ya kuishi na watu umechanganya maisha. Kila unacho kihitaji kiko mikononi mwa wengine ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe watu ili kupitia watu upate majibu. Unaomba Mungu akuoe kazi lakini uhalisia kazi unayo paswa kupewa iko mikononi mwa watu. Zaburi 2:8 [8]Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako. Usiogope omba Mungu ni mwaminifu atakupa watu ambao ndio watabadilisha maisha yako. Kuna kundi la watu wanaitwa destiny helper's,divine connector na destiny shapers kila unapo omba muombe Mungu akusogezeee watu hawa maisha yako hayatabaki kama ulivyo. Wanaweza wasiwe matajiri ila wanajua njia za kupita ambazo ukipita utakuwa gumzo kwa dunia. YESU pamoja na nafasi yake ya uungu lakini pia alihitaji watu ili akamilishe kusudi lake duniani. Nikutakie asubui njema na siku njema BNE , Sylvester mwakabende 0622625340 #buidneweden #restoremenposition
    0 Comments ยท0 Shares ยท145 Views
  • HAYA HAPA MATAIFA YALIYOFUZU KOMBE LA DUNIA FIFA WORLD CUP 2026

    OFFICIAL Timu Zilizofuzu kucheza Kombe La Dunia 2026

    DUA Nyingi Kwa Sasa DR Congo wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff.

    Mexico
    United States
    Canada

    Japan
    Iran
    South Korea
    Australia
    Qatar
    Uzbekistan
    Saudi Arabia
    Jordan
    Morocco
    Senegal
    Egypt
    Algeria
    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast
    Tunisia
    South Africa
    Cabo Verde
    Ghana
    ARGENTINA
    Brazil
    Colombia
    Uruguay
    Ecuador
    Paraguay
    New Zealand
    England
    FRANCE
    Croatia
    Portugal
    Norway
    HAYA HAPA MATAIFA YALIYOFUZU KOMBE LA DUNIA FIFA WORLD CUP 2026 OFFICIAL Timu Zilizofuzu kucheza Kombe La Dunia 2026 DUA Nyingi Kwa Sasa DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ Qatar ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Saudi Arabia ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด Jordan ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป Cabo Verde ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ARGENTINA ๐Ÿ† ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Colombia ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Uruguay ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Ecuador ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Paraguay ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท FRANCE ๐Ÿฅˆ ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Croatia ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway
    0 Comments ยท0 Shares ยท150 Views
  • Congo DRC wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0.

    ๐Ÿšจ Congo DRC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
    0 Comments ยท0 Shares ยท294 Views
  • Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27).

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars.

    Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo.

    Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini.

    Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa.

    Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
    Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah (27). Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, Al-Ahli Tripoli imekuwa ikimfuatilia Feisal tangu mwezi Agosti 2025, baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha juu katika Ligi Kuu ya NBC na timu ya taifa, Taifa Stars. Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilituma barua ya kwanza rasmi ya maombi kwa klabu anayochezea Feisal mnamo tarehe 14 Septemba 2025, ikiwa ni hatua ya awali kuelekea mazungumzo ya kuhitimisha dili hilo. Endapo mchakato huo utakamilika, Feisal Salum ataungana na wachezaji kadhaa wa Afrika Mashariki waliowahi kucheza katika ligi ya Libya, ligi inayojulikana kwa malipo mazuri na ushindani mkubwa katika ukanda wa Afrika Kaskazini. Feisal, ambaye pia ni mchezaji muhimu wa Taifa Stars, ameendelea kuvutia vilabu kadhaa vya nje kutokana na ubora wake wa kiufundi, nidhamu, na uzoefu mkubwa katika soka la kimataifa. Kwa sasa, klabu anayochezea Feisal haijatoa tamko rasmi kuhusu ofa hiyo, huku mashabiki wakiendelea kusubiri matokeo ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
    0 Comments ยท0 Shares ยท336 Views
  • Cristiano Ronaldo amkingia kifua Garnacho: “Waacheni Watoto wafurahie mpira”.

    Cristiano Ronaldo ameibuka na kutetea kijana wa Manchester United, Alejandro Garnacho, kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Argentina wanaompinga kuiga mtindo wa kusherehekea mabao wa Ronaldo anapofunga mabao.

    Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Ronaldo alionyesha mshangao wake juu ya jinsi mashabiki wa Argentina wanavyomshambulia Garnacho kwa sababu ya kusherehekea kama yeye badala ya Lionel Messi, ambaye ni Mchezaji wa taifa lao.

    “Nchini Argentina, wanasema Garnacho asisherehekee kama Cristiano, kwamba si jambo jema. Ninaliona hilo kuwa la ajabu, ni Mtoto tu, waacheni acheze,” alisema Ronaldo kwa msisitizo.

    Nyota huyo mwenye mafanikio makubwa pia aliongeza kuwa hajawahi kuwazuia Wachezaji wa Ureno kumpenda Messi, akisema: "Sijawahi kumwambia Mchezaji yeyote wa Ureno asimpenda Messi.”

    Kauli hii ya Ronaldo imepokelewa kwa hisia tofauti mtandaoni, huku wengi wakimpongeza kwa kukubali tofauti na kuonyesha ukomavu wa hali ya juu katika soka. Ronaldo na Messi wamekuwa wakilinganishwa kwa miaka mingi, lakini kauli hii inaonesha dalili ya kuheshimiana zaidi kuliko ushindani.

    Mashabiki wanaendelea kufuatilia kwa karibu uhusiano huu unaoibuka kati ya kizazi kipya kama Garnacho na Wachezaji wakongwe waliowatangulia.
    Cristiano Ronaldo amkingia kifua Garnacho: “Waacheni Watoto wafurahie mpira”. Cristiano Ronaldo ameibuka na kutetea kijana wa Manchester United, Alejandro Garnacho, kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Argentina wanaompinga kuiga mtindo wa kusherehekea mabao wa Ronaldo anapofunga mabao. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Ronaldo alionyesha mshangao wake juu ya jinsi mashabiki wa Argentina wanavyomshambulia Garnacho kwa sababu ya kusherehekea kama yeye badala ya Lionel Messi, ambaye ni Mchezaji wa taifa lao. “Nchini Argentina, wanasema Garnacho asisherehekee kama Cristiano, kwamba si jambo jema. Ninaliona hilo kuwa la ajabu, ni Mtoto tu, waacheni acheze,” alisema Ronaldo kwa msisitizo. Nyota huyo mwenye mafanikio makubwa pia aliongeza kuwa hajawahi kuwazuia Wachezaji wa Ureno kumpenda Messi, akisema: "Sijawahi kumwambia Mchezaji yeyote wa Ureno asimpenda Messi.” Kauli hii ya Ronaldo imepokelewa kwa hisia tofauti mtandaoni, huku wengi wakimpongeza kwa kukubali tofauti na kuonyesha ukomavu wa hali ya juu katika soka. Ronaldo na Messi wamekuwa wakilinganishwa kwa miaka mingi, lakini kauli hii inaonesha dalili ya kuheshimiana zaidi kuliko ushindani. Mashabiki wanaendelea kufuatilia kwa karibu uhusiano huu unaoibuka kati ya kizazi kipya kama Garnacho na Wachezaji wakongwe waliowatangulia.
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท379 Views
  • NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo.

    Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo.

    Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa:

    "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA.

    Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia.

    Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu.

    Toa maoni yako
    NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo. Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo. Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa: "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA. Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia. Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu. Toa maoni yako
    0 Comments ยท0 Shares ยท395 Views
  • Liverpool FC wanazingatia usajili wa wachezaji wawili wa safu ya ushambuliaji: Anthony Gordon wa Newcastle na timu ya taifa ya England, pamoja na Antoine Semenyo wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana.

    Wachezaji hao wote wanathaminiwa sana na kamati ya usajili ya Liverpool, ambayo imevutiwa na uwezo wao wa kushambulia na kucheza katika nafasi mbalimbali za mbele.

    (Chanzo: Football Insider)
    ๐Ÿšจ Liverpool FC wanazingatia usajili wa wachezaji wawili wa safu ya ushambuliaji: Anthony Gordon wa Newcastle na timu ya taifa ya England, pamoja na Antoine Semenyo wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana. Wachezaji hao wote wanathaminiwa sana na kamati ya usajili ya Liverpool, ambayo imevutiwa na uwezo wao wa kushambulia na kucheza katika nafasi mbalimbali za mbele. (Chanzo: Football Insider)
    0 Comments ยท0 Shares ยท576 Views
  • Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita.

    Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani.

    Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema:

    “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.”

    Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza.

    Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita.

    Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo:

    “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.”

    Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel.

    Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya.

    Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi?

    Toa maoni yako
    Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita. Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani. Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema: “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.” Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza. Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita. Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo: “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.” Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel. Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya. Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi? Toa maoni yako
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท632 Views
  • Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Brazil Thiago Silva ameitwa kwa mara ya kwanza kimataifa...

    Iago Silva, ambaye anachezea akademi ya Chelsea, ni beki wa kati kama baba yake maarufu na atakuwa akiichezea timu ya U15 ya Uingereza.

    Tuseme THIAGO SILVA Mpya Anakuja

    ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Brazil Thiago Silva ameitwa kwa mara ya kwanza kimataifa... Iago Silva, ambaye anachezea akademi ya Chelsea, ni beki wa kati kama baba yake maarufu na atakuwa akiichezea timu ya U15 ya Uingereza. ๐Ÿ‘ Tuseme THIAGO SILVA Mpya Anakuja
    0 Comments ยท0 Shares ยท306 Views
  • Iran yakataa mazungumzo na Trump, yakanusha madai ya uharibifu wa nyuklia.

    Katika kile kinachoonekana kuwa kuendelea kwa mvutano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Iran, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameibuka hadharani na kukataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

    Akizungumza kupitia vyombo vya habari vya Serikali, Khamenei alisema wazi kuwa pendekezo la Trump halikuwa la kweli, bali ni jaribio la kulazimisha makubaliano kwa njia ya vitisho.

    "Trump anasema yeye ni Mtaalamu wa kufanikisha makubaliano, lakini kama makubaliano hayo yanaambatana na shinikizo na matokeo yake tayari yameamuliwa, basi hiyo siyo makubaliano bali ni kulazimisha na vitisho," - Ayatollah Ali Khamenei.

    Kauli hiyo ya Khamenei imekuja kufuatia hotuba ya Trump wiki iliyopita, ambapo aliwaambia Wabunge wa Israel kwamba Marekani ingependa kufanikisha makubaliano ya amani na Tehran, hasa baada ya kutangazwa kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas huko Gaza. Katika hotuba hiyo, Trump pia alidai kuwa:

    "Marekani imeharibu kabisa maeneo ya nyuklia ya Iran."

    Lakini Khamenei alikanusha vikali kauli hiyo, akisema:

    "Rais wa Marekani anajivunia kusema kuwa wamebomoa na kuharibu sekta ya nyuklia ya Iran. Vizuri, endeleeni kuota!"

    Kauli hizi zinaashiria kuwa uhusiano kati ya Tehran na Washington bado uko katika hali ya sintofahamu, huku Iran ikionekana kuchukua msimamo mkali dhidi ya kile inachokiona kama mbinu za mabeberu.

    Kwa sasa, haijafahamika kama juhudi za kidiplomasia zitaendelea, hasa ikizingatiwa kuwa Iran bado inashikilia haki yake ya kuendesha mpango wake wa nyuklia kama nchi huru.

    Je, unadhani mvutano huu unaweza kuzua mgogoro mpya wa kimataifa?

    Toa maoni yako
    Iran yakataa mazungumzo na Trump, yakanusha madai ya uharibifu wa nyuklia. Katika kile kinachoonekana kuwa kuendelea kwa mvutano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Iran, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameibuka hadharani na kukataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Akizungumza kupitia vyombo vya habari vya Serikali, Khamenei alisema wazi kuwa pendekezo la Trump halikuwa la kweli, bali ni jaribio la kulazimisha makubaliano kwa njia ya vitisho. "Trump anasema yeye ni Mtaalamu wa kufanikisha makubaliano, lakini kama makubaliano hayo yanaambatana na shinikizo na matokeo yake tayari yameamuliwa, basi hiyo siyo makubaliano bali ni kulazimisha na vitisho," - Ayatollah Ali Khamenei. Kauli hiyo ya Khamenei imekuja kufuatia hotuba ya Trump wiki iliyopita, ambapo aliwaambia Wabunge wa Israel kwamba Marekani ingependa kufanikisha makubaliano ya amani na Tehran, hasa baada ya kutangazwa kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas huko Gaza. Katika hotuba hiyo, Trump pia alidai kuwa: "Marekani imeharibu kabisa maeneo ya nyuklia ya Iran." Lakini Khamenei alikanusha vikali kauli hiyo, akisema: "Rais wa Marekani anajivunia kusema kuwa wamebomoa na kuharibu sekta ya nyuklia ya Iran. Vizuri, endeleeni kuota!" Kauli hizi zinaashiria kuwa uhusiano kati ya Tehran na Washington bado uko katika hali ya sintofahamu, huku Iran ikionekana kuchukua msimamo mkali dhidi ya kile inachokiona kama mbinu za mabeberu. Kwa sasa, haijafahamika kama juhudi za kidiplomasia zitaendelea, hasa ikizingatiwa kuwa Iran bado inashikilia haki yake ya kuendesha mpango wake wa nyuklia kama nchi huru. Je, unadhani mvutano huu unaweza kuzua mgogoro mpya wa kimataifa? Toa maoni yako
    0 Comments ยท0 Shares ยท468 Views
  • Burkina Faso yatangaza utaratibu mpya wa kusimamia fedha za mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).

    Serikali ya Burkina Faso imechukua hatua mpya ya kuhakikisha uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha zinazotumiwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) Nchini humo. Kuanzia sasa, mashirika yote yatahitajika kufungua akaunti katika Benki ya Kitaifa ya Amana ya Hazina (National Bank of Deposits of the Treasury).

    Uamuzi huo unalenga kufuatilia kwa karibu michakato ya kifedha ya mashirika hayo, na kuhakikisha kuwa fedha zinazotoka kwa wahisani zinatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa kwa uwazi na uwajibikaji wa hali ya juu.

    Hatua hii imezua mijadala kwenye majukwaa ya kijamii na ndani ya mashirika husika, ambapo baadhi wanaitazama kama njia ya kuimarisha nidhamu ya kifedha, huku wengine wakihofia kuingiliwa kwa uhuru wa mashirika ya kiraia.

    Serikali bado haijatoa taarifa ya kina kuhusu jinsi utekelezaji wa agizo hili utakavyofanyika, wala ikiwa kutakuwepo na muda maalum wa mpito kwa mashirika hayo kuhamia mfumo huo mpya wa kifedha.

    Toa maoni yako
    Burkina Faso yatangaza utaratibu mpya wa kusimamia fedha za mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs). Serikali ya Burkina Faso imechukua hatua mpya ya kuhakikisha uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha zinazotumiwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) Nchini humo. Kuanzia sasa, mashirika yote yatahitajika kufungua akaunti katika Benki ya Kitaifa ya Amana ya Hazina (National Bank of Deposits of the Treasury). Uamuzi huo unalenga kufuatilia kwa karibu michakato ya kifedha ya mashirika hayo, na kuhakikisha kuwa fedha zinazotoka kwa wahisani zinatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa kwa uwazi na uwajibikaji wa hali ya juu. Hatua hii imezua mijadala kwenye majukwaa ya kijamii na ndani ya mashirika husika, ambapo baadhi wanaitazama kama njia ya kuimarisha nidhamu ya kifedha, huku wengine wakihofia kuingiliwa kwa uhuru wa mashirika ya kiraia. Serikali bado haijatoa taarifa ya kina kuhusu jinsi utekelezaji wa agizo hili utakavyofanyika, wala ikiwa kutakuwepo na muda maalum wa mpito kwa mashirika hayo kuhamia mfumo huo mpya wa kifedha. Toa maoni yako
    0 Comments ยท0 Shares ยท450 Views
  • AYRA STARR AANDIKA HISTORIA KWENYE YOUTUBE KUPITIA WIMBO WAKE “RUSH”.

    Nyota wa muziki kutoka Nigeria, Ayra Starr, ameweka rekodi ya kipekee na kuandika jina lake kwenye vitabu vya historia ya burudani barani Afrika. Kupitia wimbo wake maarufu Rush, Ayra Starr amekuwa Msanii wa kwanza wa kike barani Afrika kufikisha zaidi ya Watazamaji milioni 500 kwenye mtandao wa YouTube kwa wimbo mmoja wa solo.

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Ayra alishiriki furaha yake kwa mafanikio hayo na kusema:

    “Sauti ya Gen-Z kutoka Afrika inasikika! Rush imefanya historia, na hii ni mwanzo tu.”

    Kwa mafanikio haya, Rush imejiunga na orodha ya video tano bora za muziki za Kiafrika zilizotazamwa zaidi kila wakati kwenye YouTube.

    - Calm Down : Rema
    - Jerusalema : Master KG ft. Nomcebo Zikode
    - Love Nwantiti : CKay
    - Magic In The Air : Magic System

    Kinachovutia zaidi ni kwamba, licha ya umaarufu wa Wasanii kama Burna Boy, Wizkid, Davido, pamoja na wakali wa kimataifa kama NBA YoungBoy, Polo G, Lil Tjay, NLE Choppa, na Lil Durk, hakuna hata mmoja wao ambaye amewahi kufikisha Watazamaji zaidi ya milioni 500 kwa wimbo mmoja wa solo kwenye jukwaa la YouTube tofauti na Ayra Starr.

    Rekodi hii inaendelea kuimarisha nafasi ya Ayra Starr kama sauti muhimu ya kizazi kipya cha muziki barani Afrika, hasa kwa kizazi cha Gen-Z, na kuonyesha ukuaji wa ushawishi wa Wanawake kwenye tasnia ya muziki wa kimataifa.

    “Rush is not just a song, it’s a movement.” - Ayra Starr

    Pongezi kwa Ayra kwa kuwakilisha Afrika kwa kishindo duniani!
    AYRA STARR AANDIKA HISTORIA KWENYE YOUTUBE KUPITIA WIMBO WAKE “RUSH”. Nyota wa muziki kutoka Nigeria, Ayra Starr, ameweka rekodi ya kipekee na kuandika jina lake kwenye vitabu vya historia ya burudani barani Afrika. Kupitia wimbo wake maarufu Rush, Ayra Starr amekuwa Msanii wa kwanza wa kike barani Afrika kufikisha zaidi ya Watazamaji milioni 500 kwenye mtandao wa YouTube kwa wimbo mmoja wa solo. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Ayra alishiriki furaha yake kwa mafanikio hayo na kusema: “Sauti ya Gen-Z kutoka Afrika inasikika! Rush imefanya historia, na hii ni mwanzo tu.” Kwa mafanikio haya, Rush imejiunga na orodha ya video tano bora za muziki za Kiafrika zilizotazamwa zaidi kila wakati kwenye YouTube. - Calm Down : Rema - Jerusalema : Master KG ft. Nomcebo Zikode - Love Nwantiti : CKay - Magic In The Air : Magic System Kinachovutia zaidi ni kwamba, licha ya umaarufu wa Wasanii kama Burna Boy, Wizkid, Davido, pamoja na wakali wa kimataifa kama NBA YoungBoy, Polo G, Lil Tjay, NLE Choppa, na Lil Durk, hakuna hata mmoja wao ambaye amewahi kufikisha Watazamaji zaidi ya milioni 500 kwa wimbo mmoja wa solo kwenye jukwaa la YouTube tofauti na Ayra Starr. Rekodi hii inaendelea kuimarisha nafasi ya Ayra Starr kama sauti muhimu ya kizazi kipya cha muziki barani Afrika, hasa kwa kizazi cha Gen-Z, na kuonyesha ukuaji wa ushawishi wa Wanawake kwenye tasnia ya muziki wa kimataifa. “Rush is not just a song, it’s a movement.” - Ayra Starr Pongezi kwa Ayra kwa kuwakilisha Afrika kwa kishindo duniani!
    0 Comments ยท0 Shares ยท811 Views
  • Arnold Schwarzenegger awasilisha mpango wa kuokoa demokrasia Marekani.

    Mwigizaji Nguli wa Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Schwarzenegger, ameibuka na pendekezo la kina la kuimarisha demokrasia Nchini Marekani. Katika mahojiano yake kwenye kipindi maarufu cha Real Time with Bill Maher, Schwarzenegger alifichua mpango wa hatua tatu ambao anauona kama njia ya “kupatanisha pande zote mbili” yaani Republican na Democratic. Katika maelezo yake rasmi, Schwarzenegger alisema:

    “Tunapaswa kutangaza Siku ya Uchaguzi kuwa likizo ya kitaifa, kuhakikisha kuwa ramani za kisiasa zinatengenezwa na tume huru zisizoegemea upande wowote, na kuimarisha mifumo ya utambulisho wa wapiga kura.”

    Mpango huu, ambao una lengo la kuhamasisha ushiriki mpana wa Wananchi na kulinda uadilifu wa chaguzi, umeungwa mkono na hoja za kisera zinazoegemea misingi ya haki, usawa na uwazi.

    Schwarzenegger pia hakusita kuelezea wasiwasi wake kuhusu Pendekezo la 50 la California, akiliona kama:

    “Hila kubwa ambayo inaweza kurudisha ramani za uchaguzi mikononi mwa Wanasiasa badala ya Wataalamu huru.”

    Kwa mujibu wake, hatua hiyo ya kuruhusu Wanasiasa kushiriki katika uundwaji wa ramani ya majimbo inaweza kuathiri vibaya uwakilishi wa haki kwa Wananchi.

    Mpango huu wa Schwarzenegger una mvuto wa kipekee kwa kuwa unachanganya ushawishi wa jina kubwa na hoja nzito za kisera. Hata hivyo, utekelezaji wake unategemea mabadiliko ya kisheria, mjadala wa kina wa kitaifa, na maridhiano kati ya vyama viwili vikuu vya siasa.

    Kwa mujibu wa Wachambuzi wa siasa za Marekani, hoja za Schwarzenegger zinaibua maswali mapana kuhusu:

    - Usawa katika chaguzi,
    - Usalama wa mfumo wa upigaji kura,
    - Na mwelekeo wa demokrasia ya Marekani kwa vizazi vijavyo.

    Mpaka sasa, bado haijajulikana iwapo pendekezo hili litaungwa mkono na Wabunge, lakini bila shaka, Schwarzenegger amejipambanua tena, safari hii siyo kwenye sinema au siasa za majimbo tu, bali kwenye uwanja mpana wa mustakabali wa kidemokrasia wa taifa lake.
    Arnold Schwarzenegger awasilisha mpango wa kuokoa demokrasia Marekani. Mwigizaji Nguli wa Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Schwarzenegger, ameibuka na pendekezo la kina la kuimarisha demokrasia Nchini Marekani. Katika mahojiano yake kwenye kipindi maarufu cha Real Time with Bill Maher, Schwarzenegger alifichua mpango wa hatua tatu ambao anauona kama njia ya “kupatanisha pande zote mbili” yaani Republican na Democratic. Katika maelezo yake rasmi, Schwarzenegger alisema: “Tunapaswa kutangaza Siku ya Uchaguzi kuwa likizo ya kitaifa, kuhakikisha kuwa ramani za kisiasa zinatengenezwa na tume huru zisizoegemea upande wowote, na kuimarisha mifumo ya utambulisho wa wapiga kura.” Mpango huu, ambao una lengo la kuhamasisha ushiriki mpana wa Wananchi na kulinda uadilifu wa chaguzi, umeungwa mkono na hoja za kisera zinazoegemea misingi ya haki, usawa na uwazi. Schwarzenegger pia hakusita kuelezea wasiwasi wake kuhusu Pendekezo la 50 la California, akiliona kama: “Hila kubwa ambayo inaweza kurudisha ramani za uchaguzi mikononi mwa Wanasiasa badala ya Wataalamu huru.” Kwa mujibu wake, hatua hiyo ya kuruhusu Wanasiasa kushiriki katika uundwaji wa ramani ya majimbo inaweza kuathiri vibaya uwakilishi wa haki kwa Wananchi. Mpango huu wa Schwarzenegger una mvuto wa kipekee kwa kuwa unachanganya ushawishi wa jina kubwa na hoja nzito za kisera. Hata hivyo, utekelezaji wake unategemea mabadiliko ya kisheria, mjadala wa kina wa kitaifa, na maridhiano kati ya vyama viwili vikuu vya siasa. Kwa mujibu wa Wachambuzi wa siasa za Marekani, hoja za Schwarzenegger zinaibua maswali mapana kuhusu: - Usawa katika chaguzi, - Usalama wa mfumo wa upigaji kura, - Na mwelekeo wa demokrasia ya Marekani kwa vizazi vijavyo. Mpaka sasa, bado haijajulikana iwapo pendekezo hili litaungwa mkono na Wabunge, lakini bila shaka, Schwarzenegger amejipambanua tena, safari hii siyo kwenye sinema au siasa za majimbo tu, bali kwenye uwanja mpana wa mustakabali wa kidemokrasia wa taifa lake.
    0 Comments ยท0 Shares ยท642 Views
  • Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .

    Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .

    Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"

    Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .

    Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake

    #SportsElite
    Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili ๐Ÿ˜Ž. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท683 Views
  • Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia.

    Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

    Source: TNTSsportsBR
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจโš ๏ธโ€ผ๏ธ Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia. ๐Ÿ˜ฌ Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Source: โ„น๏ธTNTSsportsBR
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท530 Views
  • Usajili: Bakambu kuwindwa Brazil… kwenye nyayo za Bolasie

    Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Cédric Bakambu, amewekwa kwenye rada za klabu ya Brazil Atlético-MG.

    Kwa mujibu wa taarifa za Bolavip la Brazil, Bakambu ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na mabingwa hao wa soka kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao.
    Kocha mpya wa Atlético-MG, Jorge Sampaoli, raia wa Argentina, amempa Bakambu kipaumbele katika usajili. Wawili hawa wana historia ya kufanya kazi pamoja wakiwa Olympique de Marseille nchini Ufaransa na wanaheshimiana sana.

    Takwimu za Bakambu akiwa Real Betis

    Bakambu alijiunga na Real Betis mwaka 2024 akitokea Galatasaray kwa ada ya euro milioni 5.
    Amecheza jumla ya michezo 52 kwenye mashindano yote, akifunga mabao 12 na kutoa asisti 4.
    Kwa sasa ana mkataba na Real Betis hadi mwaka 2026, huku thamani yake sokoni ikikadiriwa kuwa euro milioni 1.5.
    Usajili: Bakambu kuwindwa Brazil… kwenye nyayo za Bolasie Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Cédric Bakambu, amewekwa kwenye rada za klabu ya Brazil Atlético-MG. Kwa mujibu wa taarifa za Bolavip la Brazil, Bakambu ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na mabingwa hao wa soka kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao. Kocha mpya wa Atlético-MG, Jorge Sampaoli, raia wa Argentina, amempa Bakambu kipaumbele katika usajili. Wawili hawa wana historia ya kufanya kazi pamoja wakiwa Olympique de Marseille nchini Ufaransa na wanaheshimiana sana. Takwimu za Bakambu akiwa Real Betis Bakambu alijiunga na Real Betis mwaka 2024 akitokea Galatasaray kwa ada ya euro milioni 5. Amecheza jumla ya michezo 52 kwenye mashindano yote, akifunga mabao 12 na kutoa asisti 4. Kwa sasa ana mkataba na Real Betis hadi mwaka 2026, huku thamani yake sokoni ikikadiriwa kuwa euro milioni 1.5.
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท397 Views
  • Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool

    Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool.

    Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba.

    Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool.

    Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    ๐Ÿ‘€Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool ๐Ÿ‘‰Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool. ๐Ÿ‘‰Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba. ๐Ÿ‘‰Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool. ๐Ÿ‘‰Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    0 Comments ยท0 Shares ยท570 Views
  • ... ๐—ž๐—ฌ๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก ๐— ๐—•๐—”๐—ฃ๐—ฃ๐—˜

    Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .

    57 04 132 - Olivier Giroud
    52 12 092 - Kylian Mbappé
    51 02 123 - Thierry Henry

    Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium .

    Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa .

    โ—‰ 92 - Games.
    โ—‰ 52 - Goals (second top scorer)
    โ—‰ 33 - Assists (best assist provider)
    โ—‰ 85 - Goals/assists.
    โ—‰ 12 - Penalty.
    โ—‰ 03 - Hat trick.

    Key .......
    _______________
    - Games
    - Goals
    - Penalty

    Follow us.

    #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    ... ๐—ž๐—ฌ๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก ๐— ๐—•๐—”๐—ฃ๐—ฃ๐—˜ ๐Ÿ”ฅ Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry . โšฝ 57 ๐Ÿฅ… 04 ๐ŸŽฎ 132 - Olivier Giroud โšฝ 52 ๐Ÿฅ… 12 ๐ŸŽฎ 092 - Kylian Mbappé โšฝ 51 ๐Ÿฅ… 02 ๐ŸŽฎ 123 - Thierry Henry Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช . Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต . โ—‰ 92 - Games. โ—‰ 52 - Goals (second top scorer) โ—‰ 33 - Assists (best assist provider) โ—‰ 85 - Goals/assists. โ—‰ 12 - Penalty. โ—‰ 03 - Hat trick. Key ....... ๐Ÿ”‘ _______________ ๐ŸŽฎ - Games โšฝ - Goals ๐Ÿฅ… - Penalty Follow us. #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
  • Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika

    1๏ธโƒฃ Morocco [12]
    2๏ธโƒฃ Senegal [19]
    3๏ธโƒฃ Egypt [32]
    4๏ธโƒฃ Algeria [39]
    5๏ธโƒฃ Ivory Coast [44]
    6๏ธโƒฃ Nigeria [45]
    7๏ธโƒฃ Tunisia [47]
    8๏ธโƒฃ Cameroon [52]
    9๏ธโƒฃ South Africa [55]
    Mali [56]

    Source FIFA
    ๐Ÿ’ฃ๐Ÿšจ Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika 1๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco [12] 2๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal [19] 3๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt [32] 4๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria [39] 5๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Ivory Coast [44] 6๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria [45] 7๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia [47] 8๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Cameroon [52] 9๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa [55] ๐Ÿ”Ÿ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali [56] Source FIFA
    0 Comments ยท0 Shares ยท426 Views
  • Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024.

    Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco.

    Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania katika anga ya kimataifa.

    | @errymars_

    #ManaraTV
    #ManaraTVUpdates
    Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024. Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco. Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ katika anga ya kimataifa. โœ๏ธ| @errymars_ #ManaraTV #ManaraTVUpdates
    0 Comments ยท0 Shares ยท1K Views
More Results