0 Reacties
·0 aandelen
·28 Views
-
Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita.
Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani.
Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema:
“Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.”
Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza.
Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita.
Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo:
“Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.”
Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel.
Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya.
Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi?
Toa maoni yakoIsrael yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita. Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani. Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema: “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.” Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza. Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita. Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo: “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.” Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel. Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya. Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi? Toa maoni yako0 Reacties ·0 aandelen ·78 Views -
BREAKING:
Wachezaji wa Atlético Madrid waliondoka kwenye uwanja wa Emirates bila kuoga kutokana na kukosekana kwa maji ya moto.
Wachezaji walikuwa wametokwa jasho na wakakimbilia hotelini kuoga kwa sababu hakukuwa na maji ya moto baada ya kumaliza mazoezi rasmi.
Msafara wa Atlético umekasirishwa sana na tayari umepeleka malalamiko UEFA kuhusu ukosefu wa huduma muhimu katika uwanja wa Emirates.
Source [ Carusselderpotivo]
BREAKING: Wachezaji wa Atlético Madrid waliondoka kwenye uwanja wa Emirates bila kuoga kutokana na kukosekana kwa maji ya moto. Wachezaji walikuwa wametokwa jasho na wakakimbilia hotelini kuoga kwa sababu hakukuwa na maji ya moto baada ya kumaliza mazoezi rasmi. Msafara wa Atlético umekasirishwa sana na tayari umepeleka malalamiko UEFA kuhusu ukosefu wa huduma muhimu katika uwanja wa Emirates. Source [ Carusselderpotivo]0 Reacties ·0 aandelen ·146 Views -
Iran yakataa mazungumzo na Trump, yakanusha madai ya uharibifu wa nyuklia.
Katika kile kinachoonekana kuwa kuendelea kwa mvutano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Iran, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameibuka hadharani na kukataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
Akizungumza kupitia vyombo vya habari vya Serikali, Khamenei alisema wazi kuwa pendekezo la Trump halikuwa la kweli, bali ni jaribio la kulazimisha makubaliano kwa njia ya vitisho.
"Trump anasema yeye ni Mtaalamu wa kufanikisha makubaliano, lakini kama makubaliano hayo yanaambatana na shinikizo na matokeo yake tayari yameamuliwa, basi hiyo siyo makubaliano bali ni kulazimisha na vitisho," - Ayatollah Ali Khamenei.
Kauli hiyo ya Khamenei imekuja kufuatia hotuba ya Trump wiki iliyopita, ambapo aliwaambia Wabunge wa Israel kwamba Marekani ingependa kufanikisha makubaliano ya amani na Tehran, hasa baada ya kutangazwa kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas huko Gaza. Katika hotuba hiyo, Trump pia alidai kuwa:
"Marekani imeharibu kabisa maeneo ya nyuklia ya Iran."
Lakini Khamenei alikanusha vikali kauli hiyo, akisema:
"Rais wa Marekani anajivunia kusema kuwa wamebomoa na kuharibu sekta ya nyuklia ya Iran. Vizuri, endeleeni kuota!"
Kauli hizi zinaashiria kuwa uhusiano kati ya Tehran na Washington bado uko katika hali ya sintofahamu, huku Iran ikionekana kuchukua msimamo mkali dhidi ya kile inachokiona kama mbinu za mabeberu.
Kwa sasa, haijafahamika kama juhudi za kidiplomasia zitaendelea, hasa ikizingatiwa kuwa Iran bado inashikilia haki yake ya kuendesha mpango wake wa nyuklia kama nchi huru.
Je, unadhani mvutano huu unaweza kuzua mgogoro mpya wa kimataifa?
Toa maoni yakoIran yakataa mazungumzo na Trump, yakanusha madai ya uharibifu wa nyuklia. Katika kile kinachoonekana kuwa kuendelea kwa mvutano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Iran, Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameibuka hadharani na kukataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Akizungumza kupitia vyombo vya habari vya Serikali, Khamenei alisema wazi kuwa pendekezo la Trump halikuwa la kweli, bali ni jaribio la kulazimisha makubaliano kwa njia ya vitisho. "Trump anasema yeye ni Mtaalamu wa kufanikisha makubaliano, lakini kama makubaliano hayo yanaambatana na shinikizo na matokeo yake tayari yameamuliwa, basi hiyo siyo makubaliano bali ni kulazimisha na vitisho," - Ayatollah Ali Khamenei. Kauli hiyo ya Khamenei imekuja kufuatia hotuba ya Trump wiki iliyopita, ambapo aliwaambia Wabunge wa Israel kwamba Marekani ingependa kufanikisha makubaliano ya amani na Tehran, hasa baada ya kutangazwa kwa usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas huko Gaza. Katika hotuba hiyo, Trump pia alidai kuwa: "Marekani imeharibu kabisa maeneo ya nyuklia ya Iran." Lakini Khamenei alikanusha vikali kauli hiyo, akisema: "Rais wa Marekani anajivunia kusema kuwa wamebomoa na kuharibu sekta ya nyuklia ya Iran. Vizuri, endeleeni kuota!" Kauli hizi zinaashiria kuwa uhusiano kati ya Tehran na Washington bado uko katika hali ya sintofahamu, huku Iran ikionekana kuchukua msimamo mkali dhidi ya kile inachokiona kama mbinu za mabeberu. Kwa sasa, haijafahamika kama juhudi za kidiplomasia zitaendelea, hasa ikizingatiwa kuwa Iran bado inashikilia haki yake ya kuendesha mpango wake wa nyuklia kama nchi huru. Je, unadhani mvutano huu unaweza kuzua mgogoro mpya wa kimataifa? Toa maoni yako0 Reacties ·0 aandelen ·171 Views -
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amesema amejificha “mahali salama” baada ya jaribio la kumuua, kufuatia wiki kadhaa za maandamano yanayomtaka ajiuzulu.
Kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye Facebook, Rajoelina (51) alidai kuwa kundi la wanajeshi na wanasiasa lilipanga kumuua, bila kufichua alipo. Ripoti ambazo hazijathibitishwa zinadai huenda alitoroka nchini kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa.
Maandamano makubwa yanayoongozwa na vijana yamekuwa yakiendelea kote nchini, wakilalamikia hali ngumu ya kiuchumi na utawala wa kiimla. Serikali haijatoa tamko rasmi kuhusu jaribio hilo, huku hali ya taharuki ikiendelea katika mji mkuu, Antananarivo.
Tufuatilie kupitia YouTube ya NIOKOE TVRais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amesema amejificha “mahali salama” baada ya jaribio la kumuua, kufuatia wiki kadhaa za maandamano yanayomtaka ajiuzulu. Kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye Facebook, Rajoelina (51) alidai kuwa kundi la wanajeshi na wanasiasa lilipanga kumuua, bila kufichua alipo. Ripoti ambazo hazijathibitishwa zinadai huenda alitoroka nchini kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa. Maandamano makubwa yanayoongozwa na vijana yamekuwa yakiendelea kote nchini, wakilalamikia hali ngumu ya kiuchumi na utawala wa kiimla. Serikali haijatoa tamko rasmi kuhusu jaribio hilo, huku hali ya taharuki ikiendelea katika mji mkuu, Antananarivo. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya NIOKOE TV0 Reacties ·0 aandelen ·311 Views -
Mlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional
“Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha”
“Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote”
Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile
#SportsEliteMlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional “Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha” “Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote” Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·500 Views -
Alexander Isak akizungumza baada ya mchezo:
“Nadhani hatukuanza mchezo vizuri, lakini tulijaribu kurejea taratibu na kuingia kwenye mchezo. Tuliporejea kipindi cha pili, tulijitahidi kwa nguvu zote kutafuta matokeo. Mwishowe, ni jambo gumu kukubali kufungwa dakika za mwisho namna hiyo.”
#SportsEliteAlexander Isak akizungumza baada ya mchezo: “Nadhani hatukuanza mchezo vizuri, lakini tulijaribu kurejea taratibu na kuingia kwenye mchezo. Tuliporejea kipindi cha pili, tulijitahidi kwa nguvu zote kutafuta matokeo. Mwishowe, ni jambo gumu kukubali kufungwa dakika za mwisho namna hiyo.” #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·411 Views -
Leonardo Bonucci : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.”
Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia."
Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi."
#SportsElite🎙️Leonardo Bonucci🇮🇹 : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.” Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia." Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi." #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·585 Views -
Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .
Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .
Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"
Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .
Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake
#SportsEliteBaada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili 😎. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema 😅😅. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·525 Views -
Achraf Hakimi baada ya ushindi dhidi ya Barcelona:
"Inawezekana tumeshinda usiku wa leo, lakini kilichonivutia zaidi hakikuwa matokeo, bali mchezaji mmoja anayeitwa Pedri. Sijawahi kuona mchezaji kama yeye hapo kabla… Anaweza kudhibiti kasi na mwelekeo wa mechi, alitufanya tuhangaike kwa kila mpira, kama vile alikuwa na rimoti ya kuendesha kila kitu uwanjani. Nilishtuka sana kocha wao, Flick, alipoamua kumtoa. Kwangu mimi, alikuwa mchezaji bora zaidi uwanjani kuliko wote, kutoka pande zote mbili. Ana akili ya miaka ishirini ya uzoefu ndani ya mwili wa kijana mdogo."
"Hata Vitinha baada ya mechi aliniambia: Sijawahi kuona kitu kama hiki kabla, na hiyo ni kweli kabisa. Pedri hafanyi tu kazi ya kuunda nafasi, anakulazimisha kumkimbiza bila mafanikio. Sijui aliwezaje kushika nafasi ya 11 kwenye Ballon d’Or, lakini kwangu, kile anachokifanya uwanjani kinathibitisha kwamba atakuwa mmoja wa magwiji wa mpira wa miguu. Pedri ni akili na moyo halisi wa Barcelona. Na licha ya kushindwa kwao leo… hakuna anayeweza kupinga kwamba wao ni miongoni mwa wagombea wakuu wa ubingwa wa UEFA msimu huu.
#SportsEliteAchraf Hakimi baada ya ushindi dhidi ya Barcelona: 🗣️ "Inawezekana tumeshinda usiku wa leo, lakini kilichonivutia zaidi hakikuwa matokeo, bali mchezaji mmoja anayeitwa Pedri. Sijawahi kuona mchezaji kama yeye hapo kabla… Anaweza kudhibiti kasi na mwelekeo wa mechi, alitufanya tuhangaike kwa kila mpira, kama vile alikuwa na rimoti ya kuendesha kila kitu uwanjani. Nilishtuka sana kocha wao, Flick, alipoamua kumtoa. Kwangu mimi, alikuwa mchezaji bora zaidi uwanjani kuliko wote, kutoka pande zote mbili. Ana akili ya miaka ishirini ya uzoefu ndani ya mwili wa kijana mdogo."🤯❤️ 🗣️ "Hata Vitinha baada ya mechi aliniambia: Sijawahi kuona kitu kama hiki kabla, na hiyo ni kweli kabisa. Pedri hafanyi tu kazi ya kuunda nafasi, anakulazimisha kumkimbiza bila mafanikio. Sijui aliwezaje kushika nafasi ya 11 kwenye Ballon d’Or, lakini kwangu, kile anachokifanya uwanjani kinathibitisha kwamba atakuwa mmoja wa magwiji wa mpira wa miguu. Pedri ni akili na moyo halisi wa Barcelona. Na licha ya kushindwa kwao leo… hakuna anayeweza kupinga kwamba wao ni miongoni mwa wagombea wakuu wa ubingwa wa UEFA msimu huu. #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·514 Views -
Jiunge na group la Whatsapp la {Tusaidiane Foundation } bure, weka namba zako za Whatsapp tukuunge uweze kuwahi nafasi na utaratibu utapewa mala baada ya kujiunga.
Usidanyanywe na matapeli kujiunga ni Bure kabisa na ukihitaji maelekezo zaidi tupigie simu ama njoo Whatsapp 0625007469.
#yangasc
#simba
#sindaboyproentertainment
#sokachampions
#diamondplatnumz
#betpawatz #Betikatz #DigitalComedy #betpawa #mchome #Tusaidianefaundation #KAILASA #JUWA #AzamTVMAXJiunge na group la Whatsapp la {Tusaidiane Foundation } bure, weka namba zako za Whatsapp tukuunge uweze kuwahi nafasi na utaratibu utapewa mala baada ya kujiunga. Usidanyanywe na matapeli kujiunga ni Bure kabisa na ukihitaji maelekezo zaidi tupigie simu ama njoo Whatsapp 0625007469. #yangasc #simba #sindaboyproentertainment #sokachampions #diamondplatnumz #betpawatz #Betikatz #DigitalComedy #betpawa #mchome #Tusaidianefaundation #KAILASA #JUWA #AzamTVMAX1 Reacties ·0 aandelen ·1K Views -
SACKED
Fadlu Davids ameondoka Simba SC
Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa.
Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania.
FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo.
Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola
Thank you Fadlu
Ozil Kiiza Morris
Kita A KitaSACKED Fadlu Davids ameondoka Simba SC Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa. ✍️ Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania. FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo. Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola Thank you Fadlu Ozil Kiiza Morris Kita A Kita· 0 Reacties ·0 aandelen ·585 Views1
-
Zlatan Ibrahimovic: "Katika Inter Milan, kulikuwa na sheria hii: ukipoteza michezo miwili mfululizo, mishahara yako ya kila wiki itacheleweshwa hadi tutakapofanya sawa. Lakini sheria hiyo ilivunjwa na Mario Balotelli.
Tulipoteza kombe na mechi ya Seria A ndani ya siku tatu. Sote tulijua mishahara yetu ya kila wiki ingecheleweshwa. Wakati wa mazoezi, Balotelli hakupatikana popote. Mourinho alimpigia simu bila mafanikio.
Dakika 30 baadaye, rais alikuja na Balotelli akiwa amekasirika na kutuambia, ‘Je, Mario anaweza kusoma Kiitaliano?’.. tukasema ‘Ndiyo’ .. lakini alikuja ofisini kwangu kutafuta pesa zake. Nikamwambia ni kushindwa mara mbili mfululizo na ni kucheleweshwa kwa mshahara. Aliniambia, Yeye hajali ikiwa ni 100 mfululizo; anataka malipo yake tu. Kuanzia leo nitawalipa na kuwaachilia wote mkitenda kama yeye”
Tulilipwa kwa mara ya kwanza baada ya hasara mbili mfululizo. Tulianza kumpasia mpira zaidi ili kufunga kwa sababu alikuwa bora kuliko rais.”
FOLLOW US🎙️Zlatan Ibrahimovic: "Katika Inter Milan, kulikuwa na sheria hii: ukipoteza michezo miwili mfululizo, mishahara yako ya kila wiki itacheleweshwa hadi tutakapofanya sawa. Lakini sheria hiyo ilivunjwa na Mario Balotelli. Tulipoteza kombe na mechi ya Seria A ndani ya siku tatu. Sote tulijua mishahara yetu ya kila wiki ingecheleweshwa. Wakati wa mazoezi, Balotelli hakupatikana popote. Mourinho alimpigia simu bila mafanikio. Dakika 30 baadaye, rais alikuja na Balotelli akiwa amekasirika na kutuambia, ‘Je, Mario anaweza kusoma Kiitaliano?’.. tukasema ‘Ndiyo’ .. lakini alikuja ofisini kwangu kutafuta pesa zake. Nikamwambia ni kushindwa mara mbili mfululizo na ni kucheleweshwa kwa mshahara. Aliniambia, Yeye hajali ikiwa ni 100 mfululizo; anataka malipo yake tu. Kuanzia leo nitawalipa na kuwaachilia wote mkitenda kama yeye” Tulilipwa kwa mara ya kwanza baada ya hasara mbili mfululizo. Tulianza kumpasia mpira zaidi ili kufunga kwa sababu alikuwa bora kuliko rais.” FOLLOW US· 0 Reacties ·0 aandelen ·427 Views1
-
Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete
Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC.
THE SAGA…!
Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…!
Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa.
Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal.
Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️
Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde!
Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea!
Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco
95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free!
MTAZAMO WANGU!?
Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi.
Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza!
Salaaam!Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete ✍️ Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC. THE SAGA…! Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…! Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa. Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal. Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️ Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde! Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea! Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco ✍️ 95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free! MTAZAMO WANGU!? Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi. Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza! Salaaam!· 0 Reacties ·0 aandelen ·602 Views1
-
Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini.
WAFUNGAJI :
Feitoto
Kitambala
#SportsEliteKlabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini. WAFUNGAJI : ⚽ Feitoto ⚽ Kitambala #SportsElite· 0 Reacties ·0 aandelen ·437 Views1
-
🚨Alexander Anord huwenda akawa nje ya uwanja zaidi ya wiki 6-8 baada ya kuwa majeruhii. #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·449 Views
-
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.· 0 Reacties ·0 aandelen ·554 Views2
-
Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England
David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu.
Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham.
Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto:
Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024.
UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024.
Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja.
Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo
Usinisahau kunifollow basi familia yangu -----follow Csmahona update🚨 Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu. Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham. Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto: Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp. Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024. UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024. Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja. Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo 🤕 Usinisahau kunifollow basi familia yangu 👉-----follow Csmahona update· 0 Reacties ·0 aandelen ·885 Views1
-
· 0 Reacties ·0 aandelen ·408 Views1
-
_||𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...
Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.
Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!🚨_||💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki 🇬🇷 (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... 👨💼Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. 😮 Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! 😲· 0 Reacties ·0 aandelen ·370 Views1
Zoekresultaten