*Namna ya kuwa na nguvu rohoni na kuweza kushinda*
Shalom shalom!!!
Ni jumatatu nyingine BWANA anataka kuendelea kutengeneza washindi na ushindi unapatikana kwa wenye nguvu zake tu.
Kuna mmbo mengi sana hayawezi kwenda kwa kutumia maarifa yetu ,hekima zetu au hata uzoefu wetu bali yanaitaji nguvu kutoka juu ili itupe ushindi.
Isaya 40:29-31
[29] *Huwapa nguvu wazimiao*, *humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.*
.
[30]Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
[31]bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Kuna vitu vingi tunavitaka lakini uhalisia hatuwezi kuvipata bila kuwa na nguvu kwani sheria y kupata ni katika kushindana wenzio wanapatia utajiri kwa waganga na wachawi swali wewe unapatia utajiri wapi?
Unakuta kwa Mungu pia una imani thabiti unajikuta unashindwa kupata nguvu zinazo weza zalisha matokeo.
Vitu vingi vinavyo milikiwa na watu ambao tegemezi ni wachawi na waganga sisi tunavipata kwa kuongeza nguvu ya Mungu ndani yetu na ile nguvu inazalisha matokeo .
Mfano mwepesi sana unafanya biashara moja na mtu ambae mwenzio nguvu yake ipo katika waganga yeye anadawa inayo walazimisha wateja waje hata kama hawataki ila wewe ukiwa na nguvu uliyo pewa na Bwana kuwa na hakika utauza na utamshinda sababu maandiko yanasema *hakuna mchawi wala mganga juu ya Yakobo na islaeri*
*bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia* na nguvu za mungu tunaziatamia kwa kuomba na kumngojea Bwana yeye kwa wakati wake utokea na kuwashangaza wengine.
Mfano Daudi alishinda vita lakini ukweli kama ungemtafuta msomi na mchmbuzi wa maswala ya vita angekwambia kuwa Goliaths lazima ashinde vita kwa sababu.
Goliath alikuwa anamzidi daudi karibuni kila kitu.
-Muonekano
-Nguvu za mwili(uhodari)
-miundombinu ya vita (silaha)
-uweza
-uzoefu katika uwanja wa vita.
Kumbuka Goliath alikuwa jemedari wa jeshi na mtu hodari sana katika uwanja wa vita.
Ko hakukua na namna ambayo ungeweza kumuona Daudi anashinda vita lakini sababu *Daudi alikuwa anatembea n nguvu za Mungu na alijawa na hizo nguvu katikati ya mazingira ya kushindwa aliibuka kuwa mshindi*
Daudi alishinda vita sababu ya mambo makubwa mawili tu .
-Alijawa na neno la Mungu (ikazaa imani katika neno)
-Nguvu za rohoni...
Kumbe kuna baadhi ya mambo elimu zetu ,uzoefu wetu , connection zetu haziwezi kutusaidia lakini neno la Bwana na Nguvu zake vinatosha kuwa msaada kwetu.
Lazima ujifunze kumngojea Bwana katika kila jambo ndipo nguvu za Bwana zitakuwa na wewe.
Yawezekana asubui ya leo umeamka ukitazama kwa kawaida unaona kabisa kuna watu wamekuzidi kila kitu na nafasi ni moja tu katika hiyo kazi natakaukiwa na nguvu wewe utaichuka na wao na GPA zao watabaki wakisubiri.
Wanauza nguo bei ndogo kuliko wewe lakin i ukiwa na Nguvu za Bwana utauza wewe kuliko wao na wao wataanza kuliimba jina lako .
Ok nashukuru sana. Omba mungu akupe nguvu zake zikufunike na uanze kuona matunda ya nguvu ya Bwana jumatatu hii .
Ahsante sana,,naitwa sylvester kutoka (build new eden).
Karibu tujifunze neno la Mungu kupitia online platform za watsap group.
https://chat.whatsapp.com/HhjVJc0bcdY5i5LCZnjHZ6
#build new eden
#Restoremenposition

0 Commenti
·0 condivisioni
·13 Views