• Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu

    Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:

    “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.”

    “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.”

    “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.”

    #SportsElite
    🔴 Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu 👉Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema: 🗣️ “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.” 🗣️ “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.” 🗣️ “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.” #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·282 Views
  • 🆕️ Liverpool wamewasilisha ofa mpya kwa Newcastle United kwa ajili ya kumsajili Alexander Isak msimu huu wa kiangazi.

    Ofa hiyo mpya inazidi ile ya awali ya £120 milioni, na ina masharti bora zaidi ya malipo ikilinganishwa na pendekezo la awali.

    Mkataba kati ya Isak na Liverpool hadi Juni 2030 tayari umeafikiwa, na mchezaji huyo anashinikiza dili hilo, akifanya kila juhudi kuhakikisha anajiunga na Liverpool msimu huu.

    Liverpool wana uhakika kuwa ofa hii inaweza kuwa ya kuamua hatima ya usajili, huku Newcastle United wakitarajiwa kutoa majibu ndani ya siku chache zijazo.

    (Chanzo: Enock Kobina Essel)

    #SportsElite
    🚨🚨🆕️‼️ Liverpool wamewasilisha ofa mpya kwa Newcastle United kwa ajili ya kumsajili Alexander Isak msimu huu wa kiangazi. 💰 Ofa hiyo mpya inazidi ile ya awali ya £120 milioni, na ina masharti bora zaidi ya malipo ikilinganishwa na pendekezo la awali. 📝 Mkataba kati ya Isak na Liverpool hadi Juni 2030 tayari umeafikiwa, na mchezaji huyo anashinikiza dili hilo, akifanya kila juhudi kuhakikisha anajiunga na Liverpool msimu huu. 🔴 Liverpool wana uhakika kuwa ofa hii inaweza kuwa ya kuamua hatima ya usajili, huku Newcastle United wakitarajiwa kutoa majibu ndani ya siku chache zijazo. (Chanzo: Enock Kobina Essel) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·206 Views
  • Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote... Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu

    Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani
    🌀Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote...✊ Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu😀 Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani ❔❓😀
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·259 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham's new bid for Savinho is around €80 million (£69.2m).

    Manchester City will accept an offer of at least £70 million for the winger.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham's new bid for Savinho is around €80 million (£69.2m). Manchester City will accept an offer of at least £70 million for the winger.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·106 Views
  • Wachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21

    Lionel Messi – 1264
    Cristiano Ronaldo – 1196
    Robert Lewandowski – 841
    Luis Suarez – 836
    Zlatan Ibrahimovic – 726
    Karim Benzema – 689
    🚨🚨Wachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21 🔥 🇦🇷 Lionel Messi – 1264 🇵🇹 Cristiano Ronaldo – 1196 🇵🇱 Robert Lewandowski – 841 🇺🇾 Luis Suarez – 836 🇸🇪 Zlatan Ibrahimovic – 726 🇫🇷 Karim Benzema – 689
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·197 Views
  • Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    🚨Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·312 Views
  • BREAKING

    Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.

    Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.

    Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.

    Mkataba uheshimiwe

    Source {David Ornstein}.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe😅 Source {David Ornstein}. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·189 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini
    inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rico Lewis bado ataendelea kusalia Manchester City, pamoja kuwa Nottingham Forest ilionesha nia ya kumuhitaji lakini inaelezwa kuwa huwenda kaongeza kandarasi hadi 2030. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·113 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City imeitupilia mbali ofa ya 70 million euros kutoka Tottenham kumsajili Savinho.

    Mazungumzo bado yanaendelea muda sio mrefu ofa mpya inaweza kutolewa na klabu hiyo...


    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City imeitupilia mbali ofa ya 70 million euros kutoka Tottenham kumsajili Savinho. Mazungumzo bado yanaendelea muda sio mrefu ofa mpya inaweza kutolewa na klabu hiyo... #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·223 Views
  • Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.

    Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·502 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri.

    City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million.

    photo credit Madridista

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri. City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million. 📷 photo credit Madridista 🙏 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·186 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027.

    Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses..

    #SportsElite
    🚨🇬🇭 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027. Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses.. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·159 Views
  • A space made just for them

    Welcome to our Ampang outlet, thoughtfully designed to support every child’s journey. With a sensory-friendly playground, climbing area and mock classrooms for both group and 1-on-1 sessions. We make space for different ways of learning for your child to thrive.

    Located in KL Trillion
    Visit Now:- https://abcautism.com.my/
    ✨A space made just for them✨ Welcome to our Ampang outlet, thoughtfully designed to support every child’s journey. With a sensory-friendly playground, climbing area and mock classrooms for both group and 1-on-1 sessions. We make space for different ways of learning for your child to thrive. 📍Located in KL Trillion 🌐 Visit Now:- https://abcautism.com.my/
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·318 Views
  • Savinho Kutimkia Spurs *

    Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho.

    Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo.

    #SportsElite
    🚨Savinho Kutimkia Spurs 🤝* Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho. Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·189 Views
  • Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.

    Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.

    Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
    Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.

    Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.

    "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.

    "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·438 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hojlund amefikia makubaliano ya kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa mkopo akitokea Manchester United kwa ada ya €5 million f


    #sportselite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hojlund amefikia makubaliano ya kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa mkopo akitokea Manchester United kwa ada ya €5 million f #sportselite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·132 Views
  • AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez!

    Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro , lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi .

    Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni , huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya .

    #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro

    #SportsElite
    🚨 AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez! Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro 🏟️, lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia 🇸🇦 ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi 💰. Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni 💸, huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya 🌍. #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro #SportsElite
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·470 Views
  • Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi.

    Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi. Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·345 Views
  • Discover the Real Stalekracker Net Worth and His Rise to Fame

    Curious about Stalekracker net worth? The internet sensation known for his bold Cajun cooking and viral catchphrases has taken social media by storm. With millions of followers across platforms, Stalekracker has turned his passion for food into a successful brand.

    Read more: https://theportfolio.ai/stalekracker-net-worth/
    Discover the Real Stalekracker Net Worth and His Rise to Fame Curious about Stalekracker net worth? The internet sensation known for his bold Cajun cooking and viral catchphrases has taken social media by storm. With millions of followers across platforms, Stalekracker has turned his passion for food into a successful brand. Read more: https://theportfolio.ai/stalekracker-net-worth/
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·528 Views
  • ⚪️𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento.

    Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento.

    Graeme Bailey/ TBR football/ Goal.

    #SportsElite
    ⚪️🔵🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento. Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento. Graeme Bailey/ TBR football/ Goal. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·390 Views
Arama Sonuçları