Upgrade to Pro

  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kylian Mbappe andai kiasi cha €240 kutoka Paris Saint Germain huku Paris Saint Germain wamesema hata wao wanamdai €180m kwa kusema uongo ya kwamba hawezi kuondoka klabuni hapo kwa mkataba wa bila malipo

    Source Le Parisien
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kylian Mbappe andai kiasi cha €240 kutoka Paris Saint Germain huku Paris Saint Germain wamesema hata wao wanamdai €180m kwa kusema uongo ya kwamba hawezi kuondoka klabuni hapo kwa mkataba wa bila malipo Source Le Parisien
    ·244 Views
  • #Barcelona
    #Yamal
    #Mbappe
    #Barcelona 😁 #Yamal😆 #Mbappe😭
    Like
    Love
    2
    ·920 Views
  • Kilabu ya Real Madrid umekuwa bingwa wa mabara kwa kunishinda Pachuca.
    Magoli ya Madrid yamefungwa na
    Mbappe 37'
    Rodrygo 53'
    Vini Jr 84'
    FT Real Madrid 3-0 Pachuca

    Kilabu ya Real Madrid umekuwa bingwa wa mabara kwa kunishinda Pachuca. Magoli ya Madrid yamefungwa na ⚽Mbappe 37' ⚽Rodrygo 53' ⚽Vini Jr 84' FT Real Madrid 3-0 Pachuca
    Like
    3
    ·601 Views
  • Mbappe & Vini jr
    Mbappe & Vini jr 🔥
    Like
    3
    1 Comments ·819 Views
  • Hivi ni mimi tu au kuna mwingine amegundua Kylian Mbappe hayupo kwenye kiwango ambacho tulikitatajia kwenye hii EURO
    Hivi ni mimi tu au kuna mwingine amegundua Kylian Mbappe hayupo kwenye kiwango ambacho tulikitatajia kwenye hii EURO😀
    Like
    1
    ·472 Views
  • Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani
    1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m)

    2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m)

    3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m)

    4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m)

    5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m)

    6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m)

    7. Neymar, Soka: $108m (£85m)

    8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m)

    9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m)

    10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports view
    Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 1. Cristiano Ronaldo, football: $260m (£205m) 2. Jon Rahm, Gofu: $218m (£172m) 3. Lionel Messi, Soka: $135m (£107m) 4. LeBron James, Mpira wa vikapu: $128.2m (£101m) 5. Giannis Antetokounmpo, Mpira wa vikapu: $111m (£88m) 6. Kylian Mbappe, Soka $110m (£87m) 7. Neymar, Soka: $108m (£85m) 8. Karim Benzema, Soka: $106m (£84m) 9. Stephen Curry, Mpira wa vikapu $102m (£80m) 10. Lamar Jackson, Soka ya Marekani: $100.5m (£79m). # #Sports view
    Love
    Like
    3
    ·852 Views