0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·98 Views
-
#CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025
#NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi
#SportsElite🚨#CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025 #NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·662 Views -
✍🏿RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni
Manu Rodriguez - kocha msaidizi
Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo
#BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
#SportsElite🚨📜✍🏿🔰RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·744 Views -
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.
Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.
Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.
"Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.
#SportsElite🚨🚨Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·679 Views -
-
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘
#nbcpremierleague
⚽️ Young Africans SCNamungo FC
13.05.2025
🏟 KMC Complex
10:15 Jioni
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #nbcpremierleague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko -
.DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA!
Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF!
---
WALIOSAJILIWA (RASMI):
1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi.
2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki!
3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu.
4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa.
---
WALIOUZWA (CONFIRMED):
Aziz Ki
Djigui Diarra
Clement Mzize
Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa.
---
HAWAMO KWENYE MPANGO:
Kennedy Musonda
Aboubakar Khomeiny
Yao Kouassi
Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao.
---
WANAOWINDWA:
Aishi Manula
Pascal Msindo
Kelvin Nashon
Henock Inonga Baka
Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi.
---
WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit):
Jonas Mkude
Aziz Andambwile
Sureboy
Farid Musa
Jonathan Ikangalombo
Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.
---
MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA!.DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA! Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF! --- ✅ WALIOSAJILIWA (RASMI): 1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi. ✍️ 2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki! ⚔️ 3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu. 🔥 4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa. 🧤 --- 🔁 WALIOUZWA (CONFIRMED): Aziz Ki Djigui Diarra Clement Mzize Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa. --- ⛔ HAWAMO KWENYE MPANGO: Kennedy Musonda Aboubakar Khomeiny Yao Kouassi Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao. --- 🎯 WANAOWINDWA: Aishi Manula Pascal Msindo Kelvin Nashon Henock Inonga Baka Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi. --- 🕵️♂️ WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit): Jonas Mkude Aziz Andambwile Sureboy Farid Musa Jonathan Ikangalombo Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho. --- MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA! -
Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?
1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .
2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .
Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .
Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .
NOTE :
1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)
2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )
3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad
4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )
FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
(Kelvin Rabson).
Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson). -
Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE
Pakua gemu Bure
https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE 👇 Pakua gemu Bure https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/ -
Rais wa Marekani , DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo.
Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951.
Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani.
Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.
Rais wa Marekani 🇺🇸, DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo. Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951. Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani. Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views -
#SportsElite 🇹🇿 Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·985 Views
-
#SportsElite🇹🇿 #Matokeo ya mchezo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
-
#SportsElite #NBCPREMIERLIGUE #Ratibanbc
-
#SportsElite 🇹🇿 #NBCChampionship
-
#SportsElite 🇹🇿 #NBCPremierligue
-
#SportsElite🇹🇿 #NBCPremierligue FT
-
-
-
-
#SportsEliteMsimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
#SportsElite🇹🇿Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
Αναζήτηση αποτελεσμάτων