• 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘

    #nbcpremierleague
    ⚽️ Young Africans SCNamungo FC
    13.05.2025
    🏟 KMC Complex
    10:15 Jioni

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #nbcpremierleague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·481 Vue
  • .DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA!

    Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF!

    ---

    WALIOSAJILIWA (RASMI):

    1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi.

    2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki!

    3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu.

    4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa.

    ---

    WALIOUZWA (CONFIRMED):

    Aziz Ki

    Djigui Diarra

    Clement Mzize

    Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa.

    ---

    HAWAMO KWENYE MPANGO:

    Kennedy Musonda

    Aboubakar Khomeiny

    Yao Kouassi

    Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao.

    ---

    WANAOWINDWA:

    Aishi Manula

    Pascal Msindo

    Kelvin Nashon

    Henock Inonga Baka

    Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi.

    ---

    WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit):

    Jonas Mkude

    Aziz Andambwile

    Sureboy

    Farid Musa

    Jonathan Ikangalombo

    Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.

    ---

    MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA!
    .DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA! Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF! --- ✅ WALIOSAJILIWA (RASMI): 1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi. ✍️ 2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki! ⚔️ 3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu. 🔥 4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa. 🧤 --- 🔁 WALIOUZWA (CONFIRMED): Aziz Ki Djigui Diarra Clement Mzize Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa. --- ⛔ HAWAMO KWENYE MPANGO: Kennedy Musonda Aboubakar Khomeiny Yao Kouassi Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao. --- 🎯 WANAOWINDWA: Aishi Manula Pascal Msindo Kelvin Nashon Henock Inonga Baka Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi. --- 🕵️‍♂️ WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit): Jonas Mkude Aziz Andambwile Sureboy Farid Musa Jonathan Ikangalombo Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho. --- MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA!
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·704 Vue
  • Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?

    1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .

    2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .

    Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .

    Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .

    NOTE :

    1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)

    2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )

    3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad

    4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )

    FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
    (Kelvin Rabson).

    Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson).
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·859 Vue
  • Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE
    Pakua gemu Bure
    https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/
    Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE 👇 Pakua gemu Bure https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·492 Vue
  • Rais wa Marekani , DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo.

    Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951.

    Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani.

    Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.

    Rais wa Marekani 🇺🇸, DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo. Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951. Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani. Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.
    0 Commentaires ·0 Parts ·847 Vue
  • #SportsElite
    Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    #SportsElite 🇹🇿 Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    0 Commentaires ·0 Parts ·768 Vue
  • #SportsElite
    #Matokeo ya mchezo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania

    #SportsElite🇹🇿 #Matokeo ya mchezo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·793 Vue
  • #SportsElite
    #NBCPREMIERLIGUE
    #Ratibanbc
    #SportsElite #NBCPREMIERLIGUE #Ratibanbc
    Like
    Yay
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • #SportsElite
    #NBCChampionship
    #SportsElite 🇹🇿 #NBCChampionship
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·820 Vue
  • #SportsElite
    #NBCPremierligue
    #SportsElite 🇹🇿 #NBCPremierligue
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·856 Vue
  • #SportsElite
    #NBCPremierligue FT
    #SportsElite🇹🇿 #NBCPremierligue FT
    Like
    Yay
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·969 Vue
  • Msimamo wa NBC
    Msimamo wa NBC
    Like
    1
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·401 Vue
  • #SportsElite
    #NBC YOUTH Ligue
    #SportsElite🇹🇿 #NBC YOUTH Ligue
    Yay
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·392 Vue
  • #SportsElite
    #NBC YOUTH Ligue
    #SportsElite🇹🇿 #NBC YOUTH Ligue
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·374 Vue
  • #SportsEliteMsimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    #SportsElite🇹🇿Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·524 Vue
  • #SportsElite
    ##NBC baada ya Pamba kujichapia
    #SportsElite🇹🇿 ##NBC baada ya Pamba kujichapia
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·315 Vue
  • RASMI : Young Africans vs Ken Gold ni Khalid Aucho na Maokoto Day....

    Mashabiki wa klab ya Young Africans wameuomba Uongozi wa klab yao Juu ya kumtaarifu kiungo wao Mkabaji Raia wa Uganda Khalid Aucho 'Doctor' kuwa ndiye watakaye mpa zawadi ya pesa 'Maokoto kwenye kibegi' siku ya Jumatano kwenye mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Klab ya Ken Gold,

    Ameyasema hayo Mkuu wa kitengo cha habari Ali kamwe baada ya kupokea maombi hayo kutoka kwa mashabiki wa klab yao,

    Mashabiki wa klab ya Yanga wamekuwa na utaratibu huo na baadhi ya wachezaji ambao wamepata maokoto hayo ni:

    Bacca
    Kibwana
    Mzize
    Maxi
    Pacome

    Next game:

    🫶Young Africans vs Ken Gold
    05-02-2025
    16:00 Hrs
    Kmc Complex
    RASMI : Young Africans vs Ken Gold ni Khalid Aucho na Maokoto Day.... Mashabiki wa klab ya Young Africans wameuomba Uongozi wa klab yao Juu ya kumtaarifu kiungo wao Mkabaji Raia wa Uganda Khalid Aucho 'Doctor' kuwa ndiye watakaye mpa zawadi ya pesa 'Maokoto kwenye kibegi' siku ya Jumatano kwenye mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Klab ya Ken Gold, Ameyasema hayo Mkuu wa kitengo cha habari Ali kamwe baada ya kupokea maombi hayo kutoka kwa mashabiki wa klab yao, Mashabiki wa klab ya Yanga wamekuwa na utaratibu huo na baadhi ya wachezaji ambao wamepata maokoto hayo ni: 👉Bacca 👉Kibwana 👉Mzize 👉Maxi 👉Pacome Next game: 🫶Young Africans vs Ken Gold 📌05-02-2025 🕑16:00 Hrs ⛳Kmc Complex
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·891 Vue
  • David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi.

    DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders.

    #paulswai
    David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·728 Vue
  • Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake.

    Hali ipo hivi

    #paulswai
    📈 Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake. Hali ipo hivi 😎 #paulswai
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·735 Vue
  • Starting point ni NBC
    Starting point ni NBC
    0 Commentaires ·0 Parts ·355 Vue
Plus de résultats