Upgrade to Pro

  • ⬛️BODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni.

    Young Africans Simba SC
    DATE: 01.03.2026
    TIME: 17:00 EAT

    ...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
    🟩🟨⬛️BODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni. Young Africans 🆚 Simba SC DATE: 01.03.2026 TIME: 17:00 EAT ...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
    ·191 Views
  • 🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

    MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!
    🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika. MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!
    ·497 Views
  • Klabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee.

    FC St-Éloi Lupopo
    Stade Malien de Bamako
    Young Africans
    Simba SC
    Mamelodi Sundowns
    Al Hilal SC

    Rivers United
    Power Dynamos
    Atlético Petróleos de Luanda
    Al Ahly
    AS FAR
    JS Kabylie
    MC Alger
    Esperance Sportive de Tunis

    Al Ahly Tripoli 1-1 RS Berkane
    Ethiopian Insurance 1-1 Pyramids FC
    Klabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee. 🇨🇩 FC St-Éloi Lupopo 🇲🇱 Stade Malien de Bamako 🇹🇿 Young Africans 🇹🇿 Simba SC 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 🇸🇩 Al Hilal SC ⁠🇳🇬 Rivers United 🇿🇲 Power Dynamos 🇦🇴 Atlético Petróleos de Luanda 🇪🇬 Al Ahly 🇲🇦 AS FAR 🇩🇿 JS Kabylie 🇩🇿 MC Alger 🇹🇳 Esperance Sportive de Tunis 🇱🇾 Al Ahly Tripoli 1-1 🇲🇦 RS Berkane 🇪🇹 Ethiopian Insurance 1-1 🇪🇬 Pyramids FC
    Love
    1
    ·488 Views
  • GOLI LA TATU LA SIMBA SC HILI HAPA
    GOLI LA TATU LA SIMBA SC HILI HAPA
    ·704 Views
  • GOLI LA PILI LA SIMBA SC HILI HAPA

    KIBU MKANDAJI

    Nsingizini 0-[2] Simba SC
    GOLI LA PILI LA SIMBA SC HILI HAPA ⚽KIBU MKANDAJI 🇸🇿 Nsingizini 0-[2] Simba SC 🇹🇿
    ·737 Views
  • GOLI LA KWANZA LA SIMBA SC

    ⚽️ Wilson Nangu

    Nsingizini 0-1 Simba SC
    GOLI LA KWANZA LA SIMBA SC ⚽️ Wilson Nangu 🇸🇿 Nsingizini 0-1 Simba SC 🇹🇿
    ·742 Views
  • Viwanjani : Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya taarifa za Kocha wa Simba kutokuwa na leseni ya Kuifundisha simba kama Kocha mkuu hili ndilo la Kocha Dimitr Puntev, Meneja Mkuu wa Simba akijibu swali la Waandishi wa habari jana Airport.

    “Kama kisheria sina leseni ya kukidhi kufundisha kama Kocha Mkuu basi huenda wakanitumia kama Mtunza Vifaa sijui sana ila nadhani hilo swali aulizwe Rais wa Klabu”

    #SportsElite
    Viwanjani ⚽ 📸: Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya taarifa za Kocha wa Simba kutokuwa na leseni ya Kuifundisha simba kama Kocha mkuu hili ndilo la Kocha Dimitr Puntev, Meneja Mkuu wa Simba akijibu swali la Waandishi wa habari jana Airport. “Kama kisheria sina leseni ya kukidhi kufundisha kama Kocha Mkuu basi huenda wakanitumia kama Mtunza Vifaa sijui sana ila nadhani hilo swali aulizwe Rais wa Klabu” #SportsElite
    ·681 Views
  • Jiunge na group la Whatsapp la {Tusaidiane Foundation } bure, weka namba zako za Whatsapp tukuunge uweze kuwahi nafasi na utaratibu utapewa mala baada ya kujiunga.
    Usidanyanywe na matapeli kujiunga ni Bure kabisa na ukihitaji maelekezo zaidi tupigie simu ama njoo Whatsapp 0625007469.
    #yangasc
    #simba
    #sindaboyproentertainment
    #sokachampions
    #diamondplatnumz
    #betpawatz #Betikatz #DigitalComedy #betpawa #mchome #Tusaidianefaundation #KAILASA #JUWA #AzamTVMAX
    Jiunge na group la Whatsapp la {Tusaidiane Foundation } bure, weka namba zako za Whatsapp tukuunge uweze kuwahi nafasi na utaratibu utapewa mala baada ya kujiunga. Usidanyanywe na matapeli kujiunga ni Bure kabisa na ukihitaji maelekezo zaidi tupigie simu ama njoo Whatsapp 0625007469. #yangasc #simba #sindaboyproentertainment #sokachampions #diamondplatnumz #betpawatz #Betikatz #DigitalComedy #betpawa #mchome #Tusaidianefaundation #KAILASA #JUWA #AzamTVMAX
    1 Commentarios ·2K Views
  • SACKED

    Fadlu Davids ameondoka Simba SC

    Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa.

    Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania.

    FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo.
    Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola

    Thank you Fadlu

    Ozil Kiiza Morris
    Kita A Kita
    SACKED Fadlu Davids ameondoka Simba SC Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa. ✍️ Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania. FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo. Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola Thank you Fadlu Ozil Kiiza Morris Kita A Kita
    Yay
    1
    ·714 Views
  • Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini.

    Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua.

    Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable

    Hans Rafael
    Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini. Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua. Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable 🖐️ Hans Rafael
    Angry
    1
    ·483 Views
  • Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete

    Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC.

    THE SAGA…!
    Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…!

    Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa.

    Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal.

    Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️

    Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde!

    Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea!

    Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco

    95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free!

    MTAZAMO WANGU!?
    Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi.

    Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza!

    Salaaam!
    Ameandika Mtangazaji wa kabumbu Nazareth Upete ✍️ Sikutaka kuandika update yoyote ya Fadlu kwa Jana kwa sababu Simba walikuwa na mechi ngumu, muhimu na serious zaidi ambayo isingekuwa vyema kuandika chochote chenye mapelekeo yoyote hasi kwa mtu yoyote anayehusiana na Simba SC. THE SAGA…! Tarehe 07/09 siku 3 kabla ya Simba Day kuna mtu ninayemwamini sana kutoka Morocco alinipatia taarifa ya Fadlu kuridhiana na klabu ya Raja Casablanca kwenda kuhudumu hapo…! Pamoja na kutoachana vyema sana na Raja akiwa Kocha msaidizi haikuwarudisha nyuma huku inaelezwa Wydad pia waliulizia upatikanaji wake lakini mkataba wa Raja ulikuwa na sababu nyingi za kuridhiwa kuliko kukataliwa. Tarehe 11 baada ya Simba Day, Wydad walikuwa serious kuulizia taarifa za Fadlu kwa baadhi ya watu hususani mwenendo wake kwenye maeneo yote ya msingi…! Wakataka kuingilia kati deal. Bado Ofa ya Raja ikasimama kiume…! Fadlu yupo tayari kuibeba Ofa ya Raja na project yao ya #BringBackCasablanca⚽️ Wakati hali ikiwa hivyo inaelezwa mmoja wa wasaidizi wake anataka kusalia Msimbazi akiamini project yao italipa punde! Inaelezwa Fadlu anahisi kuna vitu havipo sawa na zigo la lawama analitupa kwa uongozi wa timu huku yeye akitafuta mlango wa kutokea! Kwa sasa kuna urafiki wa mashaka baina ya pande mbili na Simba wamefanya kila kitu kumbakisha ila msimamo wa Fadlu umebebwa mazima na Ofa za waManga pale Morocco ✍️ 95% mechi ya Jana ilikuwa ya mwisho kwa Fadlu kama Kocha wa Simba na sasa kilichobaki ni yeye tu awalipe Simba SC kuvunja mkataba ingali analazimisha wamruhusu aende Free! MTAZAMO WANGU!? Simba hawatakuwa na Pengo kuondoka kwa Fadlu…! Amefanya kazi nzuri ila makocha ni wengi sana barani Afrika! Kikubwa ni kutuliza Kichwa wakati wa uchaguzi wa Kocha na kuachana na % za maslahi. Fadlu ni Kocha mzuri ila kwa mtazamo wangu pengo linazibika…! Bahati nzuri hajacheza mechi yoyote ya Ligi…! Yoyote atakayekuja ni rahisi tu kuendeleza kitu bora kwa sababu wachezaji Quality yao sio ya kubeza! Salaaam!
    Love
    1
    ·763 Views
  • 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Champions League

    GABORONE UNITED 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB
    ⚽️ 16" Mpanzu
    🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : CAF Champions League GABORONE UNITED 🇧🇼 0️⃣➖️1️⃣ SIMBA SPORTS CLUB 🇹🇿 ⚽️ 16" Mpanzu
    ·425 Views
  • NGAO YA JAMII 2025

    YANGA SC SIMBA SC
    17:00
    Benjamin Mkapa.
    NGAO YA JAMII 2025 🏆 🟢 YANGA SC 🆚 SIMBA SC 🔴 ⏰ 17:00 🏟️ Benjamin Mkapa.
    Like
    1
    ·1K Views
  • Karibu Simba SC, Neo Maema.

    Karibu Simba SC, Neo Maema.🦁💪
    Love
    1
    ·773 Views
  • NEO MAEMA NI WA SIMBA SC
    Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns

    Si mmemuona ona juzi!?

    @kanzu_estate
    🚨 NEO MAEMA NI WA SIMBA SC Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns✍️ Si mmemuona ona juzi!? @kanzu_estate
    ·301 Views
  • Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.

    Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja.

    #SportsElite
    🚨🚨Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣. Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja. #SportsElite
    ·397 Views
  • Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union #SportsElite
    ·690 Views
  • MORICE ABRAHAM NI MNYAMA KWENYE MBUGA YA BUNJU

    Ni yule Kiungo mdambwi dambwi mBongo aliyekuwa nje huko

    Alianza mazoezi na Simba kabla ligi haijaisha…!

    Anajua boli

    #SportsElite
    🚨MORICE ABRAHAM NI MNYAMA KWENYE MBUGA YA BUNJU Ni yule Kiungo mdambwi dambwi mBongo aliyekuwa nje huko✅ Alianza mazoezi na Simba kabla ligi haijaisha…! Anajua boli ✅ #SportsElite
    ·494 Views
  • Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k.

    Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae.

    Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender

    Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma

    Super Signing

    #SportsElite
    🚨🚨Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k. Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae. Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender🙌 Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma🖐️ Super Signing🔥 #SportsElite
    ·669 Views
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    ·1K Views
Resultados de la búsqueda