Upgrade to Pro

  • Dada wa Mo Dewj, ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Singida Black Stars
    Dada wa Mo Dewj, ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Singida Black Stars
    Like
    Love
    Haha
    10
    3 Commentarii ·348 Views ·1 Distribuiri
  • MAPUMZIKO
    NBCPREMIERLEAGUE

    SINGIDA BLACK STARS 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC

    #paulswai
    MAPUMZIKO NBCPREMIERLEAGUE SINGIDA BLACK STARS 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Commentarii ·479 Views ·1 Distribuiri
  • GOOOOOOOOOOOOOAL
    DK42
    Ngoma ⚽️

    SINGIDA BLACK STARS 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC

    #paulswai
    GOOOOOOOOOOOOOAL DK42 Ngoma ⚽️ SINGIDA BLACK STARS 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Commentarii ·284 Views
  • JE UNAJUA?

    Picha inaonesha Mwaka 1972, Dar es Salaam Rais Jaffery Nimeiry wa Sudan akikagua wachezaji wa Taifa Stars waliokuwa vifua wazi. Kapten Abrahaman Juma akimtambulisha kwa Omary Zimbwe, Mohamed Chuma, Kitwana Manara na Abdalla KIbadeni. Rais J. K. Nyerere alikuwa Jukwaa Kuu.

    Inasemekana, Jezi za Taifa Stars zilikuwa zimepelekwa kwa Mganga wa Kienyeji ili ishinde siku ya mechi. Meneja wa Taifa Stars alizifuata lakini bahati mbaya hakumkuta Mganga nyumbani kwake,

    Kwakuwa alikwenda na basi la timu, ilibidi wachezaji waende uwanja wa Taifa kwa miguu toka Hosteli ya Jeshi la Wokovu, Kurasini. Meneja wa taifa stars alikuwa ni Chambanga H. Dyamwale mnamo 1972.

    Kutokana na fedheha hiyo kubwa, inasemekana Rais Nyerere alisusa kukanyaga tena mpirani mpka kufa kwake.
    JE UNAJUA? Picha inaonesha Mwaka 1972, Dar es Salaam Rais Jaffery Nimeiry wa Sudan akikagua wachezaji wa Taifa Stars waliokuwa vifua wazi. Kapten Abrahaman Juma akimtambulisha kwa Omary Zimbwe, Mohamed Chuma, Kitwana Manara na Abdalla KIbadeni. Rais J. K. Nyerere alikuwa Jukwaa Kuu. Inasemekana, Jezi za Taifa Stars zilikuwa zimepelekwa kwa Mganga wa Kienyeji ili ishinde siku ya mechi. Meneja wa Taifa Stars alizifuata lakini bahati mbaya hakumkuta Mganga nyumbani kwake, Kwakuwa alikwenda na basi la timu, ilibidi wachezaji waende uwanja wa Taifa kwa miguu toka Hosteli ya Jeshi la Wokovu, Kurasini. Meneja wa taifa stars alikuwa ni Chambanga H. Dyamwale mnamo 1972. Kutokana na fedheha hiyo kubwa, inasemekana Rais Nyerere alisusa kukanyaga tena mpirani mpka kufa kwake.
    Like
    Love
    2
    ·188 Views
  • Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili.

    • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.

    • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya.

    #paulswai
    ℹ️ Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili. • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida. • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya. #paulswai
    Like
    1
    ·175 Views
  • RALLY BWALYA yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na PAMBA JIJI ya Mwanza akitokea Napsa Stars ya Zambia taarifa ni kuwa Maofisa wa Pamba Jiji wamesafiri kuelekea Zambia kukamilisha dili hilo huku mambo mengi ya msingi yakiwa yametimizwa na inaaminika Nyota huyo wa zamani wa Simba ataitumikia ardhi ya Sato na Sangara.

    🚨RALLY BWALYA yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na PAMBA JIJI ya Mwanza akitokea Napsa Stars ya Zambia 🇿🇲 taarifa ni kuwa Maofisa wa Pamba Jiji wamesafiri kuelekea Zambia kukamilisha dili hilo huku mambo mengi ya msingi yakiwa yametimizwa na inaaminika Nyota huyo wa zamani wa Simba ataitumikia ardhi ya Sato na Sangara.
    ·230 Views
  • .JEMEDARI SAID: MWENDA NI BONGE LA MCHEZAJI,YANGA WAMERAMBA DUME.
    .
    "Kumuona Israh kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga sio kitu cha ajabu sana maana tumewaona wengi mfano Feisal kutoka Yanga kwenda Azam ni vitu vya kawaida, Yanga wamepata mchezaji mzuri sana sina shaka nae"

    "Nina imani kocha amehusika kwa asilimia 100% maana wapo viongozi walisemaga kuwa sio rahisi kocha kusajili mwenyewe lazima ashirikishe viongozi ila inawezekana alimuhitaji mchezaji akaonyeshwa video zake nae akaridhika naye"

    "Ni ushamba tu wa mashabiki kuwasema wachezaji wakitanzania, watu walitaka kuona Simba au Yanga wanasajili wachezaji kutoka nje tu...huu ni ushamba na niwapongeze Yanga kufanya usajili wa Mwenda hata Kelvin Nashon"

    "Yanga wamefanya kitu cha maana isipokuwa wanahitaji kuvumilia hadi watakapokuwa vizuri kwenye kikosi chao"
    .
    “ Israel Mwenda ni mchezaji mzuri. Namjua tangu 2016. Dogo ana kipaji kizuri maana amefanya vyema akiwa na timu za Simba SC, KMC hadi timu ya Taifa. Kilichomuondoa Simba SC ni nafasi ya kucheza. Nifichue siri leo, hakuwa na mahusiano mazuri na Shomary Kapombe. Hawa wote ni wanangu. Muda mwingine unaona bora uondoke tu kutafuta changamoto nyingine"
    .
    "Kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga SC ni kitu cha kawaida kabisa. Lakini Yanga SC wamepata mchezaji mwenye uwezo, lakini arekebishwe mentality yake. Huyu ni mchezaji ambaye unaweza kumtumia katika mifumo mingi. Naamini kocha wa Yanga SC amehusika moja kwa moja na usajili huu “
    .
    JEMEDARI SAID,Mchambuzi CROWN FM.
    .JEMEDARI SAID: MWENDA NI BONGE LA MCHEZAJI,YANGA WAMERAMBA DUME. . "Kumuona Israh kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga sio kitu cha ajabu sana maana tumewaona wengi mfano Feisal kutoka Yanga kwenda Azam ni vitu vya kawaida, Yanga wamepata mchezaji mzuri sana sina shaka nae" "Nina imani kocha amehusika kwa asilimia 100% maana wapo viongozi walisemaga kuwa sio rahisi kocha kusajili mwenyewe lazima ashirikishe viongozi ila inawezekana alimuhitaji mchezaji akaonyeshwa video zake nae akaridhika naye" "Ni ushamba tu wa mashabiki kuwasema wachezaji wakitanzania, watu walitaka kuona Simba au Yanga wanasajili wachezaji kutoka nje tu...huu ni ushamba na niwapongeze Yanga kufanya usajili wa Mwenda hata Kelvin Nashon" "Yanga wamefanya kitu cha maana isipokuwa wanahitaji kuvumilia hadi watakapokuwa vizuri kwenye kikosi chao" . “ Israel Mwenda ni mchezaji mzuri. Namjua tangu 2016. Dogo ana kipaji kizuri maana amefanya vyema akiwa na timu za Simba SC, KMC hadi timu ya Taifa. Kilichomuondoa Simba SC ni nafasi ya kucheza. Nifichue siri leo, hakuwa na mahusiano mazuri na Shomary Kapombe. Hawa wote ni wanangu. Muda mwingine unaona bora uondoke tu kutafuta changamoto nyingine" . "Kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga SC ni kitu cha kawaida kabisa. Lakini Yanga SC wamepata mchezaji mwenye uwezo, lakini arekebishwe mentality yake. Huyu ni mchezaji ambaye unaweza kumtumia katika mifumo mingi. Naamini kocha wa Yanga SC amehusika moja kwa moja na usajili huu “ . JEMEDARI SAID,Mchambuzi CROWN FM.
    Like
    Love
    5
    ·297 Views
  • Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mchezo wa leo hii.

    FT' : Azam FC 2-1 Singida Black Stars

    39' Feisal Salum
    ⚽️ 57' Blanco

    ⚽️ 63' Elvis Rupia
    Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mchezo wa leo hii. FT' : Azam FC 2-1 Singida Black Stars ⚽ 39' Feisal Salum ⚽️ 57' Blanco ⚽️ 63' Elvis Rupia
    Like
    1
    ·119 Views
  • WACJEZAJI 4 HATIHATI KUKOSEKANA LEO
    .
    Daktari wa Yanga, Moses Etutu amethibitisha kuwa Boka, Aucho, Mzize na Aziz Andabwile ni majeruhi. Etutu amesema; “Aucho aliumia akiwa na timu ya taifa na Mzize aliumia Taifa Stars baada ya kurejea kambini tumewafanyia vipimo taarifa ya nini shida zao tutazitoa hivi karibuni.”
    .
    “Kuhusiana na Boka na Andabwile kama taarifa ilivyotolewa awali kuwa wataendelea kuwa nje hadi hapo hali zao zitakapotengamaa.”
    WACJEZAJI 4 HATIHATI KUKOSEKANA LEO . Daktari wa Yanga, Moses Etutu amethibitisha kuwa Boka, Aucho, Mzize na Aziz Andabwile ni majeruhi. Etutu amesema; “Aucho aliumia akiwa na timu ya taifa na Mzize aliumia Taifa Stars baada ya kurejea kambini tumewafanyia vipimo taarifa ya nini shida zao tutazitoa hivi karibuni.” . “Kuhusiana na Boka na Andabwile kama taarifa ilivyotolewa awali kuwa wataendelea kuwa nje hadi hapo hali zao zitakapotengamaa.”
    Like
    Love
    4
    ·292 Views
  • GAMONDI KUTUA SINGIDA BLACK STARS
    GAMONDI KUTUA SINGIDA BLACK STARS
    Love
    Like
    5
    ·235 Views
  • Mchezo wa Singida Black Stars ambao ulipangwa kuchezwa Desemba 01, 2024 umeondolewa kwenye ratiba na sasa utapangiwa tarehe nyingine.

    Simba Sports Club inatarajia kusafiri kuelekea Algeria kucheza dhidi ya CS Constantine Desemba 04.

    #paulswai
    Mchezo wa Singida Black Stars ambao ulipangwa kuchezwa Desemba 01, 2024 umeondolewa kwenye ratiba na sasa utapangiwa tarehe nyingine. Simba Sports Club inatarajia kusafiri kuelekea Algeria kucheza dhidi ya CS Constantine Desemba 04. #paulswai
    Love
    Like
    8
    1 Commentarii ·317 Views
  • Timu ya Singida Black Stars imemfuta kazi kocha wake mkuu Patrick Aussems pamoja na msaidizi wake Denis Kitambi.

    Kocha Patrick Aussems na Denis Kitambi wamefutwa kazi kutokana na matokeo yasioridhisha katika michezo yao ya ligi kuu ya NBC.

    #paulswai
    Timu ya Singida Black Stars imemfuta kazi kocha wake mkuu Patrick Aussems pamoja na msaidizi wake Denis Kitambi. Kocha Patrick Aussems na Denis Kitambi wamefutwa kazi kutokana na matokeo yasioridhisha katika michezo yao ya ligi kuu ya NBC. #paulswai
    Like
    Love
    Wow
    8
    1 Commentarii ·232 Views
  • Hizi kauli wanazotoa Maafisa habari:- ipo siku zitawaponnza waache haraka kutoa ahadi kwenye mpira.

    👉🏿Afisa habari wa Tabora United - Singida Black Stars wakitufunga utanioa

    👉🏿Afisa habari wa Singida Black Stars - Tabora United wakitufunga ntavaa wigi lako

    👉🏿Afisa habari wa Dodoma Jiji - Kmc wangetufunga nilipanga nivue nguo niingie Uwanjani Uchi

    Umegundua nini ?

    #paulswai
    Hizi kauli wanazotoa Maafisa habari:- ipo siku zitawaponnza waache haraka kutoa ahadi kwenye mpira. 👉🏿Afisa habari wa Tabora United - Singida Black Stars wakitufunga utanioa 👉🏿Afisa habari wa Singida Black Stars - Tabora United wakitufunga ntavaa wigi lako 👉🏿Afisa habari wa Dodoma Jiji - Kmc wangetufunga nilipanga nivue nguo niingie Uwanjani Uchi Umegundua nini ? #paulswai
    Like
    Love
    5
    1 Commentarii ·216 Views
  • TABORA UNITED NI KAMA FARASI MWEUSI.

    Tabora United baada ya kuwafunga Vijana wa Jangwani baada ya siku kadhaa Kocha wa Yanga Miguel Gamondi na Kocha wake Msaidi wakafurushwa kwenye timu hiyo.

    Leo Singida Black Stars baada ya Kupata matokeo ya Sare na Tabora asubuhi Jioni Singida wametoa Tangazo la kuwatimua Kocha Mkuu na Kocha Msaidizi.

    KAMA KOCHA WAKO NI MZURI NGOJA AKUTANE NA TABORA.
    TABORA UNITED NI KAMA FARASI MWEUSI. Tabora United baada ya kuwafunga Vijana wa Jangwani baada ya siku kadhaa Kocha wa Yanga Miguel Gamondi na Kocha wake Msaidi wakafurushwa kwenye timu hiyo. Leo Singida Black Stars baada ya Kupata matokeo ya Sare na Tabora asubuhi Jioni Singida wametoa Tangazo la kuwatimua Kocha Mkuu na Kocha Msaidizi. KAMA KOCHA WAKO NI MZURI NGOJA AKUTANE NA TABORA.
    ·117 Views
  • Klabu ya Singida Black Stars imefikia uamuzi wa kumfuta kazi kocha Mkuu wao Patrick Aussems "Uchebe" pamoja na Denis Kitambi kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo katika michezo tatu mfululizo licha ya jitihada zote kufanyika kutoka kwa uongozi wa klabu kuwapatia Benchi la Ufundi

    Taarifa ya leo Novemba 25, 2024 iliyotolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu, Singida Black Stars imebainisha kwamba kwa kipindi chote ambacho Aussems na Kitambi hawatakuwa kazini, klabu itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nsanzurwimo kama Kocha Mkuu na Muhibu Kanu kama Kocha Msaidizi.
    Klabu ya Singida Black Stars imefikia uamuzi wa kumfuta kazi kocha Mkuu wao Patrick Aussems "Uchebe" pamoja na Denis Kitambi kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo katika michezo tatu mfululizo licha ya jitihada zote kufanyika kutoka kwa uongozi wa klabu kuwapatia Benchi la Ufundi Taarifa ya leo Novemba 25, 2024 iliyotolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu, Singida Black Stars imebainisha kwamba kwa kipindi chote ambacho Aussems na Kitambi hawatakuwa kazini, klabu itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nsanzurwimo kama Kocha Mkuu na Muhibu Kanu kama Kocha Msaidizi.
    Like
    1
    ·84 Views
  • Klabu ya Singida black stars imemsimamisha kazi kocha Patrick Aussems na Denis kitambi Leo trh 25/11/2024
    Klabu ya Singida black stars imemsimamisha kazi kocha Patrick Aussems na Denis kitambi Leo trh 25/11/2024
    ·54 Views
  • FT: TABORA UTD 2-2 SINGIDA BLACK STARS

    #paulswai
    FT: TABORA UTD 2-2 SINGIDA BLACK STARS #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·233 Views
  • Nani kuvunja rekodi ya MRISHO NGASSA kati ya SAMATA NA MSUVA, ikiwa hd sasa samata ana magoli22 na msuva akiwa amefikisha magoli24 na ikumbukwe kuwa ngasa ameacha kuichezea timu ya Taifa stars akiwa na mabao 25 sasa ni nani ata tangulia kuivunja hiy rekodi kati ya samata au msuva#TAIFASTARS
    Nani kuvunja rekodi ya MRISHO NGASSA kati ya SAMATA NA MSUVA, ikiwa hd sasa samata ana magoli22 na msuva akiwa amefikisha magoli24 na ikumbukwe kuwa ngasa ameacha kuichezea timu ya Taifa stars akiwa na mabao 25 sasa ni nani ata tangulia kuivunja hiy rekodi kati ya samata au msuva#TAIFASTARS🇹🇿
    Like
    1
    ·87 Views
  • Wahenga bhana Eti kidole kimoja hakivunji chawa daah kama kuna ka ukweli vile #Stars #Taifa stars
    Wahenga bhana Eti kidole kimoja hakivunji chawa daah kama kuna ka ukweli vile 😂😂😂 #Stars #Taifa stars
    Like
    Haha
    2
    1 Commentarii ·143 Views
  • "Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini.

    Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa.

    Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.

    "Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini. Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa. Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
    ·324 Views
Sponsorizeaza Paginile