• Tottenham Hotspur bado Ina nia ya kumsaini Yoane Wissa.

    Japokuwa bado hakuna mawasiliano yoyote tangu dau lilipo wekwa bayana £50M.

    (Source: Standard Sport)

    #SportsElite
    🚨 Tottenham Hotspur bado Ina nia ya kumsaini Yoane Wissa. Japokuwa bado hakuna mawasiliano yoyote tangu dau lilipo wekwa bayana £50M. (Source: Standard Sport) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·1 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi

    Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba..

    Konaté anataka kwenda Real Madrid.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté kwenda Real Madrid, uhamisho huu unamuelekeo mzuri zaidi🤯🤯 Na Liverpool imekubali kumuuza mchezaji baada ya Konaté kukataa kuongeza mkataba.. Konaté anataka kwenda Real Madrid. #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·9 Views
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮

    ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮 ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 🇹🇿 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 👇👇 ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 🇨🇿 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 🤔
    Like
    Love
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·50 Views
  • | BREAKING

    Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29.

    Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021.

    Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING Newcastle united wameingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa Manchester city, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 29. Manchester city wanahitaji kumuuza Grealish kwa dau la £40 million baada ya wao kumsajili Kwa £100 million mwaka 2021. Tofauti na Newcastle pia kuna West Ham na Totenham ambao wapo kwenye mbio za kumuwania Grealish. #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·23 Views
  • 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Viktor Gyokeres usajili wake kwenda Arsenal utakamilika, Huku Sporting CP itavuna kiasi cha €80M

    Viktor Gyokeres 26 Anatarajia kutia saini the Gunners kama mshambuliaji mpya chini ya kocha Mikel Arteta..
    🚨 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Viktor Gyokeres usajili wake kwenda Arsenal utakamilika, Huku Sporting CP itavuna kiasi cha €80M 🔴⚪🔐⌛ Viktor Gyokeres 26 Anatarajia kutia saini the Gunners kama mshambuliaji mpya chini ya kocha Mikel Arteta..
    0 Reacties ·0 aandelen ·79 Views
  • Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?
    Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! ⚪️

    Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos.


    #SportsElite
    Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?👀 📰 Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick 🇧🇷 tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! 😳⚪️ ➡️ Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos. ⏳🤍 #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·57 Views
  • VITU VINAVYO VUTA UTAJIRI SEHEMU YA PILI.

    #isaya 1:19
    Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi

    Kutokea kwenye andiko hili tunapata kanuni ya pili ambayo ikifuatwa inavuta utajiri .


    Kanuni hiyo ni UTII

    Maandiko yanasema ili mema ya nchi ya kufuate ni lazima *ukubali na kutiii*

    Utii ni kanuni katika ulimwengu wa roho ambayo mtu akiifuata lazima itampa matokeo tu.

    Kama unamcha Mungu na utaki kumtii Mungu bsi pia kanuni inakukataa .

    Uzuri wa kanuni hizi ni kuwa hata kama mtu asali lakini amezifuata zitampa matokeo tu ,serikari inapenda watu watii matajiri wanafanya biashara na kuwaaamini na kubebana na watu watii.

    Kuna kundi kubwa sana umaskini kwao siyo pepo bali ni kwa sababu wamekataa kutii tu na dunia ya mafanikio imewatapika kabisa.

    #Mungu alipo wavusha wana islaeri aliwapa kanuni ambazo kama wakifuata na kuzitii ndipo baraka zitatufuata na kama wakitoka nje laana zitawafuata.

    Kanuni ni lazima izingatiwe ikifuatwa inakupa baraka usipo ifuata inakupa laana .

    #Torati 28:1-14

    Kumbukumbu la Torati 28:1-2
    [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;

    [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.

    Baraka zinawafuata watu watii peke yake nje ya hapo baraka haziwezi kukufuata na matokeo yake utapata laana .

    Abrahamu sababu ya kutiii alistawi sana ,aliambiwa atoke kwenye nchi aliyo zaliwa aende nje ya kwao na sababu alitii mpaka leo anaitwa baba wa mataifa na baba wa imani.

    #Mwanzo 12:1-2
    [1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;

    [2]nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;

    Napenda kuiutia moyo kuwa utiii ni kanuni na inapaswa kuwa tabia yako .

    Katika maisha ya kawaida mwanamke mwenye matokeo katika nyumba yake ni yule anaye kubali kuongozwana mume wake yaani anaye mtii mume wake .

    Ukishindwa kumtii mume wako umeshindwa kumtii Mungu uwezi pia kuvuta utajiri .

    Niwatakie jion njema na baraka tele .

    Kwa majina naitwa mwl sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry).

    Karibu katika group letu la watsap .
    Tuma neno Add kwa namba .0622625340

    #restore men position
    #build new eden
    VITU VINAVYO VUTA UTAJIRI SEHEMU YA PILI. #isaya 1:19 Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi Kutokea kwenye andiko hili tunapata kanuni ya pili ambayo ikifuatwa inavuta utajiri . ▪️Kanuni hiyo ni UTII Maandiko yanasema ili mema ya nchi ya kufuate ni lazima *ukubali na kutiii* Utii ni kanuni katika ulimwengu wa roho ambayo mtu akiifuata lazima itampa matokeo tu. Kama unamcha Mungu na utaki kumtii Mungu bsi pia kanuni inakukataa . Uzuri wa kanuni hizi ni kuwa hata kama mtu asali lakini amezifuata zitampa matokeo tu ,serikari inapenda watu watii matajiri wanafanya biashara na kuwaaamini na kubebana na watu watii. Kuna kundi kubwa sana umaskini kwao siyo pepo bali ni kwa sababu wamekataa kutii tu na dunia ya mafanikio imewatapika kabisa. #Mungu alipo wavusha wana islaeri aliwapa kanuni ambazo kama wakifuata na kuzitii ndipo baraka zitatufuata na kama wakitoka nje laana zitawafuata. Kanuni ni lazima izingatiwe ikifuatwa inakupa baraka usipo ifuata inakupa laana . #Torati 28:1-14 Kumbukumbu la Torati 28:1-2 [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Baraka zinawafuata watu watii peke yake nje ya hapo baraka haziwezi kukufuata na matokeo yake utapata laana . Abrahamu sababu ya kutiii alistawi sana ,aliambiwa atoke kwenye nchi aliyo zaliwa aende nje ya kwao na sababu alitii mpaka leo anaitwa baba wa mataifa na baba wa imani. #Mwanzo 12:1-2 [1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; [2]nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; Napenda kuiutia moyo kuwa utiii ni kanuni na inapaswa kuwa tabia yako . Katika maisha ya kawaida mwanamke mwenye matokeo katika nyumba yake ni yule anaye kubali kuongozwana mume wake yaani anaye mtii mume wake . Ukishindwa kumtii mume wako umeshindwa kumtii Mungu uwezi pia kuvuta utajiri . Niwatakie jion njema na baraka tele . Kwa majina naitwa mwl sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry). Karibu katika group letu la watsap . Tuma neno Add kwa namba .0622625340 #restore men position #build new eden
    0 Reacties ·0 aandelen ·361 Views
  • Cassius Mailula aaga rasmi Wydad AC ⚪️

    Mshambuliaji kutoka Afrika Kusini, Cassius Mailula, ameaga rasmi klabu ya Wydad AC baada ya mkopo wake kutoka Toronto FC kumalizika.

    Mailula ameushukuru uongozi wa klabu, wachezaji wenzake, na mashabiki wa Wydad kwa sapoti waliompa katika kipindi chake kifupi lakini chenye kumbukumbu ya kipekee jijini Casablanca.

    Tunamtakia kila la heri anaporejea Toronto FC kuendelea na safari yake ya soka.

    #DimaWydad #WydadAC #CassiusMailula #SokaLaAfrika #TorontoFC #HabariZaSoka

    #SportsElite
    🔚 Cassius Mailula aaga rasmi Wydad AC 🔴⚪️ Mshambuliaji kutoka Afrika Kusini, Cassius Mailula, ameaga rasmi klabu ya Wydad AC baada ya mkopo wake kutoka Toronto FC kumalizika. Mailula ameushukuru uongozi wa klabu, wachezaji wenzake, na mashabiki wa Wydad kwa sapoti waliompa katika kipindi chake kifupi lakini chenye kumbukumbu ya kipekee jijini Casablanca. Tunamtakia kila la heri anaporejea Toronto FC kuendelea na safari yake ya soka. 🇿🇦⚽ #DimaWydad #WydadAC #CassiusMailula #SokaLaAfrika #TorontoFC #HabariZaSoka #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·349 Views
  • Inavyoonekana humu kila mtu ameshajichukulia kibunda chake akasepa.....
    yaan hakuna post mpya hata kwenye popular naona zile zile tu
    Inavyoonekana humu kila mtu ameshajichukulia kibunda chake akasepa..... yaan hakuna post mpya hata kwenye popular naona zile zile tu
    0 Reacties ·0 aandelen ·97 Views
  • 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐒𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Loum Tchaouna amejiunga na Burnley kutokea Lazio kwa uhamisho wa 15 million
    Vipimo vitafuata baada ya siku cha he mbele
    🚨𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐒𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Loum Tchaouna amejiunga na Burnley kutokea Lazio kwa uhamisho wa 15 million Vipimo vitafuata baada ya siku cha he mbele🔐
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·130 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noa Lang yuko mbioni kujiunga na Napoli kutoka PSV Eindhoven kwa dau la €28 million.

    Dili hilo mda sio mrefu linaweza kukamilika na Lang huwenda akavuna €2.5 kwa mwaka hadi 2030...

    #sportselite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Noa Lang yuko mbioni kujiunga na Napoli kutoka PSV Eindhoven kwa dau la €28 million. Dili hilo mda sio mrefu linaweza kukamilika na Lang huwenda akavuna €2.5 kwa mwaka hadi 2030... #sportselite
    0 Reacties ·0 aandelen ·60 Views
  • Ombiiii.....
    iliuweze kupata pesa #SocialPop inabidi uwe na rafiki wa kuweza kukutaza na kuona kile unachofanya,nifanye kuwa rafiki ako nami nita_kufollow usisahau ku like page yangu nami nitaku_like
    Ombiiii..... iliuweze kupata pesa #SocialPop inabidi uwe na rafiki wa kuweza kukutaza na kuona kile unachofanya,nifanye kuwa rafiki ako nami nita_kufollow usisahau ku like page yangu nami nitaku_like
    0 Reacties ·0 aandelen ·170 Views
  • Risks of Using Unauthorized ED Pills

    Risks of Using Unauthorized ED Pills
    0 Reacties ·0 aandelen ·85 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Emiliano Martinez kunauwezekano wa kutimukia MAN UNITED dirisha hili!
    🚨👀 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Emiliano Martinez kunauwezekano wa kutimukia MAN UNITED dirisha hili! 🇦🇷
    0 Reacties ·0 aandelen ·82 Views
  • Nguvu iliyoko kwenye neno part 3.

    #Baada ya kusikia neno na kuanza kulitenda kazi lazima mtizamo wako juu ya Mungu ubadilishwe.

    Ukifika kipindi ambacho katika maisha kabla ujatafakari chochote unamtafakari mungu kwanza jua tayari mtazamo wako kiakiri umelikubali neno la Mungu.

    Mtazamo wako katika neno ukibadilishwa unakusaidia sana kuyajua uzuri wa mungu,mapenzi ya Mungu , ukamilifu wa Mungu na jinsi Mungu anavyo kuwazia mema.

    #Warumi 12:2
    [2]Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

    Usipo jua mapenzi ya Mungu katika maisha yako utashindwa kujua kusudi la maisha yako .

    Neno la Mungu moja ya kazi yake ni kukujulisha mapenzi ya Mungu katika maisha yako ambapo inapelekea kujua kusudi .

    #Mithali 29:18
    [18] *Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.*

    Neno lenyewe limejitosheleza kukujulisha kuwa Mungu anataka watu wanao jua kusudi lake.

    #Mtazamo ulio badilishwa inakupatia kusudi na mwelekeo wa maisha kulingana na kusudi la Mungu.

    Ukilijua neno kiasi cha kujua mapenzi ya mungu utakuwa unajua hakika Mungu anakuwazia mawazo ya amani na ustawi kila wakati.

    #Yeremia 29:11
    [11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

    Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwako na katika neno ni wewe kuwa na amani na kufanikiwa katika kila jambo.

    Shida ni kuwa ufanikiwi sababu ujui neno .

    Ngoja nikusaidie neno lenye matokeo ni lile linalo weza badilisha maisha yako lazima ulitendee mema.

    Ukisikia neno na lisikupe cha kufanya neno hilo kwako halina matokeo kwako .

    Karibu katika group

    https://chat.whatsapp.com/HhjVJc0bcdY5i5LCZnjHZ6

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka build new eden revival and restoration ministry

    #restore men position
    #build new eden
    Nguvu iliyoko kwenye neno part 3. #Baada ya kusikia neno na kuanza kulitenda kazi lazima mtizamo wako juu ya Mungu ubadilishwe. Ukifika kipindi ambacho katika maisha kabla ujatafakari chochote unamtafakari mungu kwanza jua tayari mtazamo wako kiakiri umelikubali neno la Mungu. Mtazamo wako katika neno ukibadilishwa unakusaidia sana kuyajua uzuri wa mungu,mapenzi ya Mungu , ukamilifu wa Mungu na jinsi Mungu anavyo kuwazia mema. #Warumi 12:2 [2]Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. Usipo jua mapenzi ya Mungu katika maisha yako utashindwa kujua kusudi la maisha yako . Neno la Mungu moja ya kazi yake ni kukujulisha mapenzi ya Mungu katika maisha yako ambapo inapelekea kujua kusudi . #Mithali 29:18 [18] *Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.* Neno lenyewe limejitosheleza kukujulisha kuwa Mungu anataka watu wanao jua kusudi lake. #Mtazamo ulio badilishwa inakupatia kusudi na mwelekeo wa maisha kulingana na kusudi la Mungu. Ukilijua neno kiasi cha kujua mapenzi ya mungu utakuwa unajua hakika Mungu anakuwazia mawazo ya amani na ustawi kila wakati. #Yeremia 29:11 [11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwako na katika neno ni wewe kuwa na amani na kufanikiwa katika kila jambo. Shida ni kuwa ufanikiwi sababu ujui neno . Ngoja nikusaidie neno lenye matokeo ni lile linalo weza badilisha maisha yako lazima ulitendee mema. Ukisikia neno na lisikupe cha kufanya neno hilo kwako halina matokeo kwako . Karibu katika group https://chat.whatsapp.com/HhjVJc0bcdY5i5LCZnjHZ6 Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka build new eden revival and restoration ministry #restore men position #build new eden
    0 Reacties ·0 aandelen ·485 Views
  • UMECHOKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU?

    Elfu 2 leo, elfu 3 kesho... halafu zinaisha bila huruma?

    Chukua akili mpya kabisa: SME BANDO kutoka Airtel! GB 15 kwa TZS 15,000
    GB 22 kwa TZS 20,000
    GB 35 kwa TZS 30,000
    Kwa mwezi mzima — si za siku, si za wiki. Ni full mwezi!

    Hakuna makato. Hakuna kuungua. Hakuna stress.

    Nicheki WhatsApp sasa hivi 0786 711 057

    Wengine wameshachukua. Wewe je?
    Usikose hii fursa ya #DataYaUkweli!

    #SMEBando #BandoKali #FullMwezi #SMEAPO #HustleSmart
    📣 UMECHOKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? 😤 Elfu 2 leo, elfu 3 kesho... halafu zinaisha bila huruma? 🧠 Chukua akili mpya kabisa: 🔴 SME BANDO kutoka Airtel! ✅ GB 15 kwa TZS 15,000 ✅ GB 22 kwa TZS 20,000 ✅ GB 35 kwa TZS 30,000 📆 Kwa mwezi mzima — si za siku, si za wiki. Ni full mwezi! 💥 Hakuna makato. Hakuna kuungua. Hakuna stress. 📲 Nicheki WhatsApp sasa hivi 👉 0786 711 057 🚀 Wengine wameshachukua. Wewe je? 👀 Usikose hii fursa ya #DataYaUkweli! #SMEBando #BandoKali #FullMwezi #SMEAPO #HustleSmart
    0 Reacties ·0 aandelen ·271 Views
  • Somo :NGUVU YA NENO NA KULITENDEA KAZI .

    Iko siri kubwa sana kwa mtu anaye sikia neno na akalitenda .

    Yakobo 1:22-23
    [22]Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu.

    [23]Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo.

    Ili uwe mtu mwenye matokeo lazima uwe mtu wa kulitendea kazi neno la Bwana na siyo kusikiliza peke yake.

    Mungu anakutaka unaposikia neno na kuliamini basi lazima uanze kutenda sawa sawa na ufunuo ulio upata.

    Mtu wa Mungu ili ubadilishe maisha yako lazima kila siku unapo sikia au kusoma neno lazima upate ufunuo wako peke yako ambao unaenda kuuvhukulia hatua.

    Kwani ukisikia neno na kuanza kulitenda Mungu lazima akubaliki kwa kuwa yeye a alitazama neno lake ili akutimizie haja zako.

    Wokovu umekuwa kama kitu kigumu sababu kubwa tunasikia lakini hatutendi ,tunapata mawazo lakini yanaishia kuwa mawazo tunajikuta tunabaki kuwa masikini.

    Mtu anayesikia neno na asilitende anafananishwa na mtu anaye jitazama kwenye kioo kisha anajicheka.

    Mathayo 7:26-27
    [26]Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga;

    [27]mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa.

    Kumbe ukisikia na usilitende biblia inakufananisha na mpumbavu aliye jenga nyumba kwenye mchanga.

    Unapo hubiriwa na neno likagusa moyo wako mfano kuacha umalaya unakuta unasikia na moyo wako unakwambia kabisa acha lakini unapuuzia neno unafananishwa na mpumbavu kwani wewe umepata neema yakusikia.

    Umepata neno la ufunuo kwenye uchumi na inawezekana kabisa kuanza biashara usisubiri sana wewe anza arafu utaona matokeo yanavyo kuja.

    Wapo watu walipata ufunuo juu ya biashara wakaogopa kuanza wenzao walianza leo hii wenzao wako mbali wanabaki kuona wenzao wana bahati sana kumbe hapana ni nguvu yu kuchukua hatua.

    Siyo kazi ngumu kwa shetani kuona umeota unaongoza watu arafu akakufuata ili akujaribu hata kwa kukutenda kwa akiri .

    Kuna mtu kila akijitazama anajiona ameketi na wakuu na ni kweli hata neno la Mungu linasema bwana anaandaa meza katikati ya watesi wako lakini kama utachukua hatua itabakia kuwa ndoto .

    Matendo ni muhimu sana baada ya kuliamini neno anza kuliiishi .

    Wale watenda kile neno imesema ndio wenye haki ya kupokea siyo wale walio sikia peke yake .

    Warumi 2:13
    [13]Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.

    Mungu akusaidie sana uwe mtu wa kulitendea kazi neno lake ndipo utaona ja kusimulia matokeo ya wokovu wa Bwana.

    Ahsante sana mtu wa Mungu , kipekee sana nikutakie juma pili njema yenye mafunuo na utendaji wa neno .

    Karibu katika watsap group letu
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden).

    #build new eden
    #restore men position
    Somo :NGUVU YA NENO NA KULITENDEA KAZI . Iko siri kubwa sana kwa mtu anaye sikia neno na akalitenda . Yakobo 1:22-23 [22]Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. [23]Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo. Ili uwe mtu mwenye matokeo lazima uwe mtu wa kulitendea kazi neno la Bwana na siyo kusikiliza peke yake. Mungu anakutaka unaposikia neno na kuliamini basi lazima uanze kutenda sawa sawa na ufunuo ulio upata. Mtu wa Mungu ili ubadilishe maisha yako lazima kila siku unapo sikia au kusoma neno lazima upate ufunuo wako peke yako ambao unaenda kuuvhukulia hatua. Kwani ukisikia neno na kuanza kulitenda Mungu lazima akubaliki kwa kuwa yeye a alitazama neno lake ili akutimizie haja zako. Wokovu umekuwa kama kitu kigumu sababu kubwa tunasikia lakini hatutendi ,tunapata mawazo lakini yanaishia kuwa mawazo tunajikuta tunabaki kuwa masikini. Mtu anayesikia neno na asilitende anafananishwa na mtu anaye jitazama kwenye kioo kisha anajicheka. Mathayo 7:26-27 [26]Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; [27]mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa. Kumbe ukisikia na usilitende biblia inakufananisha na mpumbavu aliye jenga nyumba kwenye mchanga. Unapo hubiriwa na neno likagusa moyo wako mfano kuacha umalaya unakuta unasikia na moyo wako unakwambia kabisa acha lakini unapuuzia neno unafananishwa na mpumbavu kwani wewe umepata neema yakusikia. Umepata neno la ufunuo kwenye uchumi na inawezekana kabisa kuanza biashara usisubiri sana wewe anza arafu utaona matokeo yanavyo kuja. Wapo watu walipata ufunuo juu ya biashara wakaogopa kuanza wenzao walianza leo hii wenzao wako mbali wanabaki kuona wenzao wana bahati sana kumbe hapana ni nguvu yu kuchukua hatua. Siyo kazi ngumu kwa shetani kuona umeota unaongoza watu arafu akakufuata ili akujaribu hata kwa kukutenda kwa akiri . Kuna mtu kila akijitazama anajiona ameketi na wakuu na ni kweli hata neno la Mungu linasema bwana anaandaa meza katikati ya watesi wako lakini kama utachukua hatua itabakia kuwa ndoto . Matendo ni muhimu sana baada ya kuliamini neno anza kuliiishi . Wale watenda kile neno imesema ndio wenye haki ya kupokea siyo wale walio sikia peke yake . Warumi 2:13 [13]Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki. Mungu akusaidie sana uwe mtu wa kulitendea kazi neno lake ndipo utaona ja kusimulia matokeo ya wokovu wa Bwana. Ahsante sana mtu wa Mungu , kipekee sana nikutakie juma pili njema yenye mafunuo na utendaji wa neno . Karibu katika watsap group letu https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden). #build new eden #restore men position
    0 Reacties ·0 aandelen ·479 Views
  • Unapoteza elfu 3 elfu 5 kila wiki kwa bando za siku?
    Wakati SME inakupa GB 15 kwa 15,000 full mwezi mzima!?

    Wahi sasa – natengeneza list ya wale wanaotaka GB nyingi kwa bei ndogo!

    SME Bando | Hakuna matata | Hakuna stress

    Tuma “SME” kwenye WhatsApp 0786 711 057

    #SMEBando #DataYaUkweli #HustleSmart #BandoYaMwezi
    Unapoteza elfu 3 elfu 5 kila wiki kwa bando za siku? 😅 Wakati SME inakupa GB 15 kwa 15,000 full mwezi mzima!? 📲 Wahi sasa – natengeneza list ya wale wanaotaka GB nyingi kwa bei ndogo! 🔥 SME Bando | Hakuna matata | Hakuna stress Tuma “SME” kwenye WhatsApp 👉 0786 711 057 #SMEBando #DataYaUkweli #HustleSmart #BandoYaMwezi
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·280 Views
  • SME BANDO

    Free
    Unapoteza elfu 3 elfu 5 kila wiki kwa bando za siku?
    Wakati SME inakupa GB 15 kwa 15,000 full mwezi mzima!?

    Wahi sasa – natengeneza list ya wale wanaotaka GB nyingi kwa bei ndogo!

    SME Bando | Hakuna matata | Hakuna stress

    Tuma “SME” kwenye WhatsApp 0786 711 057

    #SMEBando #DataYaUkweli #HustleSmart #BandoYaMwezi
    Unapoteza elfu 3 elfu 5 kila wiki kwa bando za siku? 😅 Wakati SME inakupa GB 15 kwa 15,000 full mwezi mzima!? 📲 Wahi sasa – natengeneza list ya wale wanaotaka GB nyingi kwa bei ndogo! 🔥 SME Bando | Hakuna matata | Hakuna stress Tuma “SME” kwenye WhatsApp 👉 0786 711 057 #SMEBando #DataYaUkweli #HustleSmart #BandoYaMwezi
    In stock ·Nieuw
    Dar es salaam
    0 Reacties ·0 aandelen ·310 Views
  • WATUMIAJI WA DATA WA UKWELI!

    SME BANDO YA AIRTEL imerudi kwa kishindo!

    Unatumia 5K–7K kila wiki kwa bando?
    ACHANA NAYO!

    Kwa 15,000 tu unapata:
    GB 15 za mwezi mzima
    + Dakika 500 (kama ni combo)

    Hakuna longolongo, hakuna makato.
    Data safi, muda mwingi, bei ndogo!

    Wahi kabla salio halijaisha tu sasa hivi…
    DM NIKUSAIDIE KUFUNGUA

    Piga+255786711057

    #SMEBando #DataYaUkweli #AirtelSME #BandoKali #HustleSmart
    📣 WATUMIAJI WA DATA WA UKWELI! 🚨 SME BANDO YA AIRTEL imerudi kwa kishindo! 🚨 Unatumia 5K–7K kila wiki kwa bando? 🚫 ACHANA NAYO! ✅ Kwa 15,000 tu unapata: 📶 GB 15 za mwezi mzima 📞 + Dakika 500 (kama ni combo) Hakuna longolongo, hakuna makato. 💯 Data safi, muda mwingi, bei ndogo! ⏳ Wahi kabla salio halijaisha tu sasa hivi… 📲 DM NIKUSAIDIE KUFUNGUA 💬 Piga+255786711057 #SMEBando #DataYaUkweli #AirtelSME #BandoKali #HustleSmart
    0 Reacties ·0 aandelen ·438 Views
Zoekresultaten