Sijui kwanini nimesikia kuandika haya , ila naamini kuna mtu atajifunza kitu na inawezekana huyo mtu akawa wewe.
Nimekuwa nikikaana watu wengi sana hasa vijana mara nyingi wananiuliza nini mtazamo wangu kuhusu mahusiano mpaka ndoa .
Leo nitaongea machache sana kabla ya kutoa mtazamo natamani ujue haya pengine utajua naelekea wapi katika kutoa mtizamo wangu.
Naomba nizungumzie vipindi vitatu muhimu vya mahusiano (ndoa).
1.love
Kipindi cha upofu wa mapenzi .kipindi kinacho anza urafiki mpka uchumba.
Ni kipindi ambacho unahisi girl/boy friend wako unamjua lakini uhalisia bado ujaanza kumjua .
Hiki ndicho kipindi ambacho unaongozwa na hisia zaidi kuliko akiri .
Ndo kipindi pekee unaweza kosana na kila mtu ili kulinda pendo lenu.
Waswahili tunakiita love bila kunyumbua lakini wagiriki walinyumbua wanakiita Eros's wakimaanisha kipindi cha mahaba wazungu wanakiita romantic love.
Kipindi cha pili kinaitwa realization.
Hiki ndicho kipindi muhimu sana katika maisha .
Kipindi ambacho unamjua mwenzako uhalisia wake wote tofauti na vile ulivyo kuwa unamuona kwa nje.
Ndo kipindi ambacho unaijionea rangi halisi ya mwenzako na wakati huo huo uko ndani ya kiapo ambacho kifo uwatenganisha .
Kipindi hiki ndicho kinaitwa kipinndi cha kuchukuliana na kuvumiliana .
Hiki ndicho kipindi ambacho familia inaweza tengenezwa kwa amani au lah.
Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
Kipindi cha tatu: Redemption period
Kipindi cha majuto ,hiki ndicho kipindi kigumu sana katika mahusiano au ndoa .
Ni kipindi kinacho tokea na makosa yaliyo zalishwa zaidi na kipindi cha kwanza kabisa yaani love .
Hiki ndicho kipindi unakuwa na machaguo mawili tu moja uamue kuacha ufe kiroho au uamue kuvumilia ili uwe imara zaidi.
Kutokea hapo ndipo neno mwili mmoja linakamilika kwa maana ya kuchukuliana na mwenzako katika madhaifu yake kama yako na yako kama yake.
Nimeandika kwa uchache sana lakini kwa mtazamo wangu vijana kutokujua vipindi hivi ndio matokeo ya migogoro katika ndoa au mahusiano
Mfano ukishavuka kipindi cha uhalisia (, realization) unapasw usiingie katika majuto bali uingie kipindi cha kuchukuliana na kuvumiliana mtazaa kitu kinaitwa kutendeana na hapo ndipo upendo wa kimaisha ule usio na sababu unazaliwa .
Nashusha karamu yangu chini ila nakukumbusha kabla ujawaza kuoa au kuolewa au hata kama umeshaolewa au kuoa tambua vipindi hivi na anza kuishi uku ukiwa na maarifa ya kila kipindi ili uje uinusuru familia yako kesho.
Take care,, naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden ministry)

#build new eden
#restore men position

0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·14 Views