Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje
Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot uyo hapo chini niliyemzungushia duara.
Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano.
Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo

Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje😃
Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot 😂😂 uyo hapo chini niliyemzungushia duara🤌😅.
Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano.
Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo😂😂
·67 Views