Upgrade to Pro

  • Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje
    Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot uyo hapo chini niliyemzungushia duara.
    Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano.
    Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo

    Kwenye Squid Game Season 2 Episode ya mwisho tuseme sijui Director alijisahau au sijui ilikuwaje😃 Kwenye Ile scene ambapo baadhi ya wachezaji wa squid Game na Askari wakiwa wanarushiana risasi,,Cameraman naye akaonekana bhana akiwa anashoot 😂😂 uyo hapo chini niliyemzungushia duara🤌😅. Ndo tuseme walijisahau au na wao walinogewa na hayo mapambano. Kumbe sio bongo 2 bhana hata Kwa wenzetu wanakosea unaweza ukaona ni kosa dogo sana lkn Critics wa movie wakiliona ni kubwa sana,ata director anaweza kukosa tuzo hapo😂😂
    ·71 Views
  • HIVI UMESHAWAHI KUKUTANA NA ACCOUNT YA MTU FACEBOOK KUNA POST YENYE PICHA ZA PORN CONTENT! NA BILA YEYE KUJUA ?

    Hizo ni Phishing Links ambazo zinakuwa Designed na ni Special kupora/Grab Personal Details za Account iliyokusudiwa only kwa kutumia Link tu Mara Mlengwa atakapo Gusa Link yenye Phishing ndani Yake.

    Siku zote Phishing Links huwaga ni zile links za Kuvutia na Kumtamanisha Mlengwa aiguse ili Aweze kukipata alicho Waza angekiona Baada kugusa Link...Especially wanatumia Picha za Wanawake Wazuri Walio Naked ili Kuwavutia Vijana Wa Hovyo Waweze Kunasa Kwenye Mtego alio Upanga.

    Sasa Hutegemea target ya Link yake alitaka Kupata Taarifa gani kutoka Kwako...ila Baadhi zao Huwaga Baada ya Mlengwa Kuzigusa Hizo Links tu! Basi itamuomba Permission moja Kati ya Hizi :- Location,Gallery,Contacts,Username & Password,Camera,Notification access,run in Background...na Nyinginezo nyingi

    Mara tu Mlengwa (Targeted user) atakapo Grant Permission Moja kati ya Hizo,Automatically bila yeye kujua Hio Post yenye Maudhui ya Porn Content inaweza Kujipost Kwenye Account yake ikionekana kama Amepost yeye Kumbe wala Hana Taarifa...

    Kuwa Makini nazo Links hizo..ukiwa kama Team WOLF hutakiwi kuwa na Mawenge na hizo Phishing Links kwani una Aibisha Brand.
    HIVI UMESHAWAHI KUKUTANA NA ACCOUNT YA MTU FACEBOOK KUNA POST YENYE PICHA ZA PORN CONTENT! NA BILA YEYE KUJUA ? Hizo ni Phishing Links ambazo zinakuwa Designed na ni Special kupora/Grab Personal Details za Account iliyokusudiwa only kwa kutumia Link tu Mara Mlengwa atakapo Gusa Link yenye Phishing ndani Yake. Siku zote Phishing Links huwaga ni zile links za Kuvutia na Kumtamanisha Mlengwa aiguse ili Aweze kukipata alicho Waza angekiona Baada kugusa Link...Especially wanatumia Picha za Wanawake Wazuri Walio Naked ili Kuwavutia Vijana Wa Hovyo Waweze Kunasa Kwenye Mtego alio Upanga. Sasa Hutegemea target ya Link yake alitaka Kupata Taarifa gani kutoka Kwako...ila Baadhi zao Huwaga Baada ya Mlengwa Kuzigusa Hizo Links tu! Basi itamuomba Permission moja Kati ya Hizi :- Location,Gallery,Contacts,Username & Password,Camera,Notification access,run in Background...na Nyinginezo nyingi Mara tu Mlengwa (Targeted user) atakapo Grant Permission Moja kati ya Hizo,Automatically bila yeye kujua Hio Post yenye Maudhui ya Porn Content inaweza Kujipost Kwenye Account yake ikionekana kama Amepost yeye Kumbe wala Hana Taarifa... Kuwa Makini nazo Links hizo..ukiwa kama Team WOLF hutakiwi kuwa na Mawenge na hizo Phishing Links kwani una Aibisha Brand. 😏
    Like
    2
    ·301 Views

    3
    ·244 Views
  • mfunika camera mmemuona mambo yamekuwa mambo na si ndo yule alikuwa anamwaga dawa???????

    Kumbe hii michezo ya kufunika camera ilianza kitambo siri zinafichuka huku

    #paulswai
    mfunika camera mmemuona mambo yamekuwa mambo na si ndo yule alikuwa anamwaga dawa??????? Kumbe hii michezo ya kufunika camera ilianza kitambo siri zinafichuka huku #paulswai
    Love
    Wow
    2
    ·236 Views ·15 Views
  • UWANJA WA KMC COMPLEX UNAFUNGWA CAMERA SASA ITAKUWAJE KWA WALE NYUMA MWIKO?

    #paulswai
    UWANJA WA KMC COMPLEX UNAFUNGWA CAMERA SASA ITAKUWAJE KWA WALE NYUMA MWIKO?🤪🤪🤪 #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·247 Views ·14 Views
  • -NJE YA BOX
    Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United.

    Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:-

    A) Sababu za kiufundi ?
    B) Sababu za nje ya Uwanja au
    C) Sababu za kiuchumi?

    Kama Sababu ni za kiufundi ndio maana wamefungwa mbona wamewahi kushinda hapo hapo...walimfunga Kmc,JKT bao tano hapo hapo Chamaz?

    Kama uwanja ni mdogo pengine, huko walikoenda uwanja una ukubwa gani? Kwamba vipimo vya uwanja vilifanya goli likawa dogo Aziz Ki akashindwa kufunga penati?

    Kama sababu ni za nje ya uwanja ni zipi hizo? Au ile video iliyosambaa ikihusisha uchomaji wa Sindano? Sidhani!

    Au ni sababu za kiuchumi? Timu imeshindwa kulipia uwanja? Hii nayo sio kweli.

    NADHANI...

    Tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Mashabiki wanasema Azam Fc wanawahujumu...nadhani tatizo ni fikra za kichawi tu kwasababu mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona!

    Simba nao walihama Chamazi kwa sababu hizo hizo za kufikirika za nje ya uwanja...

    Hii inaleta tafsiri kwamba ubingwa wetu unapatikana nje ya uwanja zaidi kuliko ndani ya uwanja ndio maana pale Azam Complex wakubwa wanakimbia...

    Azam Complex wamefunga camera ili kuwaona watu wanaomwaga dawa kitu ambacho wakubwa hawataki

    Azam Complex mpaka watu wa usafi ni watu makini ndio maana hawako tayari kuona camera zimezibwa na mabomba ya sindano kwenye changing rooms...wakubwa wanaona wanabanwa!

    Hiki ndio kitu nachokiona zaidi kwenye hili sakata...

    Ndio maana unaona hawa wanahama wengine wanachukia kwasababu tayari huyu aliehama muda mrefu aliko kuna uhuru hivyo alitaka mwenzie aendelee kubanwa ili apoteze ubingwa!

    Ni uchawi tu...

    Sospeter Ilagila (Shabiki wa klabu ya Simba SC)
    -NJE YA BOX Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United. Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:- A) Sababu za kiufundi ? B) Sababu za nje ya Uwanja au C) Sababu za kiuchumi? Kama Sababu ni za kiufundi ndio maana wamefungwa mbona wamewahi kushinda hapo hapo...walimfunga Kmc,JKT bao tano hapo hapo Chamaz? Kama uwanja ni mdogo pengine, huko walikoenda uwanja una ukubwa gani? Kwamba vipimo vya uwanja vilifanya goli likawa dogo Aziz Ki akashindwa kufunga penati? Kama sababu ni za nje ya uwanja ni zipi hizo? Au ile video iliyosambaa ikihusisha uchomaji wa Sindano? Sidhani! Au ni sababu za kiuchumi? Timu imeshindwa kulipia uwanja? Hii nayo sio kweli. NADHANI... Tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Mashabiki wanasema Azam Fc wanawahujumu...nadhani tatizo ni fikra za kichawi tu kwasababu mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kila mtu anaona! Simba nao walihama Chamazi kwa sababu hizo hizo za kufikirika za nje ya uwanja... Hii inaleta tafsiri kwamba ubingwa wetu unapatikana nje ya uwanja zaidi kuliko ndani ya uwanja ndio maana pale Azam Complex wakubwa wanakimbia... Azam Complex wamefunga camera ili kuwaona watu wanaomwaga dawa kitu ambacho wakubwa hawataki Azam Complex mpaka watu wa usafi ni watu makini ndio maana hawako tayari kuona camera zimezibwa na mabomba ya sindano kwenye changing rooms...wakubwa wanaona wanabanwa! Hiki ndio kitu nachokiona zaidi kwenye hili sakata... Ndio maana unaona hawa wanahama wengine wanachukia kwasababu tayari huyu aliehama muda mrefu aliko kuna uhuru hivyo alitaka mwenzie aendelee kubanwa ili apoteze ubingwa! Ni uchawi tu... Sospeter Ilagila ✍️ (Shabiki wa klabu ya Simba SC)
    Love
    1
    3 Comments ·403 Views
  • Leo kwenye pitapita zangu humu ndani nimekutana na iyo account ina post wadada sio poa sijui yule msela huwa anatoa wapi zile picha, Au yy ndo cameraman.
    Tupeane connection wadau!
    Leo kwenye pitapita zangu humu ndani nimekutana na iyo account ina post wadada sio poa sijui yule msela huwa anatoa wapi zile picha, Au yy ndo cameraman. Tupeane connection wadau!
    Like
    2
    ·389 Views
  • Kamera Mpya
    Inayoweza Kuona Kupitia Karatasi ya 1cm

    Wanasayansi wameunda kamera mpya inayoweza kuona kupitia vipande vya karatasi hadi unene wa 1 cm. Hii inamaanisha unaweza kuona kilicho upande wa pili wa karatasi bila kuiondoa karatasi, kama vile kuchunguza vitu vilivyofichwa nyuma ya karatasi au sanduku. Teknolojia hii inaruhusu uchunguzi kupitia vifaa vya kawaida vya kila siku, bila kutumia mionzi hatari kama X-ray.

    #Hora_Tech
    #camera #ugunduzi #Karatasi #XRay
    📷 Kamera Mpya Inayoweza Kuona Kupitia Karatasi ya 1cm 🚨 Wanasayansi wameunda kamera mpya inayoweza kuona kupitia vipande vya karatasi hadi unene wa 1 cm. Hii inamaanisha unaweza kuona kilicho upande wa pili wa karatasi bila kuiondoa karatasi, kama vile kuchunguza vitu vilivyofichwa nyuma ya karatasi au sanduku. Teknolojia hii inaruhusu uchunguzi kupitia vifaa vya kawaida vya kila siku, bila kutumia mionzi hatari kama X-ray. ➤ #Hora_Tech #camera #ugunduzi #Karatasi #XRay
    Like
    1
    ·922 Views
  • Camera man
    Camera man💥🤲
    Love
    1
    ·293 Views
  • Wanauliza kwanin si post picha!!
    Coz ubongo camera na macho ayaleti fyucha!!
    Ninacho wapa ni kwa hii elimu nilo jifunza!!
    Na ukizarau cha kale kipya uwezi kitunza!!
    Huku visa vya asha ngedere nukta!!
    Wanafrahi kupewa upele alafu ninyimwe kucha!!
    Wanauliza kwanin si post picha!! Coz ubongo camera na macho ayaleti fyucha!! Ninacho wapa ni kwa hii elimu nilo jifunza!! Na ukizarau cha kale kipya uwezi kitunza!! Huku visa vya asha ngedere nukta!! Wanafrahi kupewa upele alafu ninyimwe kucha!!
    ·205 Views
  • VIVO INAUZWA
    GB 128
    RAM6
    BEI 160,000
    CAMERA
    CALL0676972568
    VIVO INAUZWA GB 128 RAM6 BEI 160,000 CAMERA🔥 CALL0676972568
    Like
    3
    1 Comments ·341 Views
  • OPPO A 37 INAUZWA
    Gb 64
    RAM 4
    CAMERA
    CALL 0676972568
    OPPO A 37 INAUZWA Gb 64 RAM 4 CAMERA 🔥 CALL 0676972568
    Like
    3
    1 Comments ·346 Views
  • From My Camera roll to yours .
    From My Camera roll to yours 💸.
    ·207 Views
  • From My Camera roll to yours .
    From My Camera roll to yours 💸.
    ·181 Views