• Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃挵馃毃 Chelsea imetoa ofa ya €40m kwa Barcelona ili kumsajili Fermin Lopez lakini bado Haijajibiwa.馃嚜馃嚫馃數 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 217 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 : 饾悕饾悽饾悳饾惃饾惀饾悮饾惉 饾悏饾悮饾悳饾悿饾惉饾惃饾惂 饾惌饾惃 饾悂饾悮饾惒饾悶饾惈饾惂 饾悓饾惍饾惂饾悽饾悳饾悺

    BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 : 饾悕饾悽饾悳饾惃饾惀饾悮饾惉 饾悏饾悮饾悳饾悿饾惉饾惃饾惂 饾惌饾惃 饾悂饾悮饾惒饾悶饾惈饾惂 饾悓饾惍饾惂饾悽饾悳饾悺 馃毃BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m馃嚫馃嚦 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 304 Views
  • Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+

    Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana au mlishindwa kumvumilia Captain America

    Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?

    #SportsElite
    馃毃馃毃Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+ 馃檶 Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana 馃榾 au mlishindwa kumvumilia Captain America 馃槑 Au Seria A ni ligi nyepesi sana ? #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 208 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 : 饾悈饾悮饾悳饾惍饾悵饾惃 饾悂饾惍饾惃饾惂饾悮饾惂饾惃饾惌饾惌饾悶 饾惌饾惃 饾悅饾悺饾悶饾惀饾惉饾悶饾悮

    BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..!

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    馃嚘馃嚪馃毃饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 : 饾悈饾悮饾悳饾惍饾悵饾惃 饾悂饾惍饾惃饾惂饾悮饾惂饾惃饾惌饾惌饾悶 饾惌饾惃 饾悅饾悺饾悶饾惀饾惉饾悶饾悮 馃毃 BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..! Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 263 Views
  • RATIBA YA LEO JUMAMOSI YA AGOSTI 30 - 2025

    14:30 - Chelsea FC Fulham FC

    16:30 - RB Leipzig FC Heidenhein

    16:30 - Weder Bremen Leverkusen

    17:00 - Sunderland Brentford FC

    17:00 - Wolverhampton Everton FC

    17:00 - Tottenham Bournemouth

    17:00 - Manchester United Burnley FC

    17:30 - FC Volendam Ajax Amsterdam

    馃彑 18:00 - Madagascar Morocco

    18:00 - Deportivo Alaves Atletico Madrid

    19:30 - Augsburg Bayern Munich

    19:30 - Leeds United Newcastle United

    21:00 - PSV Eindhoven Telstar

    21:00 - Al Akholood Al Ittihad FC

    21:30 - Galatasaray FK Rizespor

    21:45 - Pisa AS Roma

    21:45 - SSC Napoli Cagliari FC

    22:05 - Toulouse Paris Saint Germain

    22:30 - Sporting CP FC Porto

    22:30 - Real Madrid CF Real Mallorca

    #SportsElite
    馃毃 RATIBA YA LEO JUMAMOSI YA AGOSTI 30 - 2025 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 14:30 - Chelsea FC 鈿旓笍 Fulham FC 馃嚛馃嚜 16:30 - RB Leipzig 鈿旓笍 FC Heidenhein 馃嚛馃嚜 16:30 - Weder Bremen 鈿旓笍 Leverkusen 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 17:00 - Sunderland 鈿旓笍 Brentford FC 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 17:00 - Wolverhampton 鈿旓笍 Everton FC 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 17:00 - Tottenham 鈿旓笍 Bournemouth 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 17:00 - Manchester United 鈿旓笍 Burnley FC 馃嚦馃嚤 17:30 - FC Volendam 鈿旓笍 Ajax Amsterdam 馃彑 18:00 - Madagascar 馃嚥馃嚞 鈿旓笍 Morocco 馃嚥馃嚘 馃嚜馃嚫 18:00 - Deportivo Alaves 鈿旓笍 Atletico Madrid 馃嚛馃嚜 19:30 - Augsburg 鈿旓笍 Bayern Munich 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 19:30 - Leeds United 鈿旓笍 Newcastle United 馃嚦馃嚤 21:00 - PSV Eindhoven 鈿旓笍 Telstar 馃嚫馃嚘 21:00 - Al Akholood 鈿旓笍 Al Ittihad FC 馃嚬馃嚪 21:30 - Galatasaray FK 鈿旓笍 Rizespor 馃嚠馃嚬 21:45 - Pisa 鈿旓笍 AS Roma 馃嚠馃嚬 21:45 - SSC Napoli 鈿旓笍 Cagliari FC 馃嚝馃嚪 22:05 - Toulouse 鈿旓笍 Paris Saint Germain 馃嚨馃嚬 22:30 - Sporting CP 鈿旓笍 FC Porto 馃嚜馃嚫 22:30 - Real Madrid CF 鈿旓笍 Real Mallorca #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 221 Views
  • Chelsea wamevunja rekodi ya mauzo ya wachezaji kuwahi kutokea katika dirisha la uhamisho hili.

    Chelsea imeuza wachezaji wenye thamani ya £263M.

    Source LDN London

    #SportsElite
    馃毃Chelsea wamevunja rekodi ya mauzo ya wachezaji kuwahi kutokea katika dirisha la uhamisho hili.馃挵馃數 Chelsea imeuza wachezaji wenye thamani ya £263M. Source LDN London #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 211 Views
  • Alejandro Garnacho tayari amewasilsha London kukamilisha Usajili wake wa Kujiunga na Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032..

    Man United na Chelsea tayari wamesaini nyaraka zote za Usajili huo na Garnacho atafanyiwa vipimo leo. .

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃嚘馃嚪馃毃 Alejandro Garnacho tayari amewasilsha London kukamilisha Usajili wake wa Kujiunga na Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032.. Man United na Chelsea tayari wamesaini nyaraka zote za Usajili huo na Garnacho atafanyiwa vipimo leo. 馃敀. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 181 Views
  • OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 171 Views
  • BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    馃毃馃挵BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 220 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜! Kuna mambo mengi yamefanyika usiku kuhusu Xavi Simons;

    Spurs wametoa ushindani mkubwa na kuonyesha dalili za kumtaka Simons baada ya kupoteza Wiki kadhaa za kusubiri Chelsea.

    Spurs wako tayari kukamilisha maswali ya stakabadhi leo asubuhi na ikiwezekana 'HERE WE GO' ipatikane!

    (Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜!馃毃 Kuna mambo mengi yamefanyika usiku kuhusu Xavi Simons; Spurs wametoa ushindani mkubwa na kuonyesha dalili za kumtaka Simons baada ya kupoteza Wiki kadhaa za kusubiri Chelsea. Spurs wako tayari kukamilisha maswali ya stakabadhi leo asubuhi na ikiwezekana 'HERE WE GO' ipatikane! (Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 166 Views
  • Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m.

    Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. 鉂庯笍

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    馃毃 Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m. Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. 鉂庯笍馃數 Source The Touchline T #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 133 Views
  • Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza

    Chelsea
    Paris Saint-Germain
    Eintracht Frankfurt
    Club Brugge
    Olympiacos
    Slavia Prague
    Copenhagen
    Newcastle

    Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .

    #SportsElite
    馃毃Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza 鉂わ笍馃挋 馃敟 鉁堬笍 Chelsea 馃彔 Paris Saint-Germain 馃彔 Eintracht Frankfurt 鉁堬笍 Club Brugge 馃彔 Olympiacos 鉁堬笍 Slavia Prague 馃彔 Copenhagen 鉁堬笍 Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu 馃ザ. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 229 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! Chelsea imefikia makubaliano ya kumsaini Alejandro Garnacho kutoka Man United!

    Garnacho ili hitaji kwenda Chelsea na atasaini miaka 7 kwa ada ya £40m 馃馃徎鈿★笍

    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! Chelsea imefikia makubaliano ya kumsaini Alejandro Garnacho kutoka Man United! 馃挋馃挘 Garnacho ili hitaji kwenda Chelsea na atasaini miaka 7 kwa ada ya £40m 馃馃徎鈿★笍馃嚘馃嚪 #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 116 Views


  • Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie.

    Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha.

    Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa.
    #d1905_usajili

    #SportsElite
    馃毃馃毃 Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie. Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha. Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa. #d1905_usajili #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 233 Views
  • Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili.

    Na Be艧ikta艧 imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake.

    (Source: CaughtOffside)

    #SportsElite
    馃毃 Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili. Na Be艧ikta艧 imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake. (Source: CaughtOffside) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 166 Views
  • BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa.

    Source The Touchline
    馃毃 BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa. Source The Touchline
    0 Commenti 0 condivisioni 306 Views
  • Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    馃毃 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 馃煛 馃嚛馃嚜 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 261 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka.

    Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo.

    (Source: x/JacobsBen)

    #SportsElite
    馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka. Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo. (Source: x/JacobsBen) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 265 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 馃毃Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 255 Views
  • Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 181 Views
Pagine in Evidenza