Upgrade to Pro

  • "Hili janga la Kariakoo limeibua matapeli wengi, kuna binti anaitwa Niffer anasema mpaka jana amechangisha milioni 37, anadai anachangisha sadaka kwa ajili ya wahanga wa Kariakoo, atafutwe haraka akamatwe atuambie ni nani aliyempa kibali cha kuchangisha?. Utaratibu huo wa kujiingizia pesa kwenye simu yake amepata kibali wapi?"- Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania.
    "Hili janga la Kariakoo limeibua matapeli wengi, kuna binti anaitwa Niffer anasema mpaka jana amechangisha milioni 37, anadai anachangisha sadaka kwa ajili ya wahanga wa Kariakoo, atafutwe haraka akamatwe atuambie ni nani aliyempa kibali cha kuchangisha?. Utaratibu huo wa kujiingizia pesa kwenye simu yake amepata kibali wapi?"- Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania.
    ·25 Views
  • "My brother, nguvu yako kama mwanaume haioneshwi kwenye stamina yako katika tendo la ndoa peke yake. Eti kwa sababu unamfikisha kileleni mara tano, ambapo kimsingi haimaanishi kwamba wewe ndio kidume cha mbegu.

    Hakuna haja ya kumbilingisha sarakasi zote katika sex kitandani na kumfanya anene kwa lugha zisizofahamika chimbuko lake, ili umuoneshe kwamba wewe ni kidume haswa.

    Mwanaume yeyote anaekula lishe sahihi, au wafanyao kazi ngumu kama kupasua mbao na kubeba zege nao wanaweza kufanya hivyo. Kama unataka kumuonesha wewe ni mwanaume haswa, mthamini, mjali, provide for her na uumpe attention kwa asilimia 100!

    Kuwa mfalme wake na mfunike kwa upendo uliojawa uaminifu. Msikilize na ujivunie kuwa nae. Tambua potentiality yake aliyonao. Mlinde na umpende sana ili hata aweze kujiamini mbele za rafiki zake na kuwaambia kwamba "I'm in Love".

    Wanawake wengi wanahofia hata kuwatambulisha wanaume zao kwa sababu hawana uhakika na kesho yao.

    Achana na kasumba iliyojengeka miongoni mwa jamii zetu eti kwamba ukimpenda sana mwanamke anakufanya bwege, kwani wewe umeshikiliwa akili zako mpaka mwanamke akufanye bwege?

    Unafikiri kwa nini tunaagizwa kuwapenda wake zetu na wakati huo huo tunahimizwa kuishi nao kwa akili. Mwanaume ukifanywa bwege kisa umependa unapaswa kucharazwa viboko mpaka huo ubwege ukutoke.

    Wewe mpende na umuoneshe hilo, kuwa nae karibu anapolia hata anapocheka...tengeneza kumbukumbu bora pamoja nae..wanawake wanakumbukumbu ya haraka kwa sababu wanapenda kukumbuka yale mazuri uliyoyafanya.

    Nguvu zako kama mwanaume hazipo katika sex pekee. In fact wanawake hawapendi sana sex...na anaweza akaipata popote pale, anachohitahi ni wewe tu kuwa karibu nae na kumjali sana kwa mambo mengi na hapo hata hiyo sex ataifurahia..!

    *Can you be her man..!?*

    "A really man would be ashamed should his deeds not match his words."
    "My brother, nguvu yako kama mwanaume haioneshwi kwenye stamina yako katika tendo la ndoa peke yake. Eti kwa sababu unamfikisha kileleni mara tano, ambapo kimsingi haimaanishi kwamba wewe ndio kidume cha mbegu. Hakuna haja ya kumbilingisha sarakasi zote katika sex kitandani na kumfanya anene kwa lugha zisizofahamika chimbuko lake, ili umuoneshe kwamba wewe ni kidume haswa. Mwanaume yeyote anaekula lishe sahihi, au wafanyao kazi ngumu kama kupasua mbao na kubeba zege nao wanaweza kufanya hivyo. Kama unataka kumuonesha wewe ni mwanaume haswa, mthamini, mjali, provide for her na uumpe attention kwa asilimia 100! Kuwa mfalme wake na mfunike kwa upendo uliojawa uaminifu. Msikilize na ujivunie kuwa nae. Tambua potentiality yake aliyonao. Mlinde na umpende sana ili hata aweze kujiamini mbele za rafiki zake na kuwaambia kwamba "I'm in Love". Wanawake wengi wanahofia hata kuwatambulisha wanaume zao kwa sababu hawana uhakika na kesho yao. Achana na kasumba iliyojengeka miongoni mwa jamii zetu eti kwamba ukimpenda sana mwanamke anakufanya bwege, kwani wewe umeshikiliwa akili zako mpaka mwanamke akufanye bwege? Unafikiri kwa nini tunaagizwa kuwapenda wake zetu na wakati huo huo tunahimizwa kuishi nao kwa akili. Mwanaume ukifanywa bwege kisa umependa unapaswa kucharazwa viboko mpaka huo ubwege ukutoke. Wewe mpende na umuoneshe hilo, kuwa nae karibu anapolia hata anapocheka...tengeneza kumbukumbu bora pamoja nae..wanawake wanakumbukumbu ya haraka kwa sababu wanapenda kukumbuka yale mazuri uliyoyafanya. Nguvu zako kama mwanaume hazipo katika sex pekee. In fact wanawake hawapendi sana sex...na anaweza akaipata popote pale, anachohitahi ni wewe tu kuwa karibu nae na kumjali sana kwa mambo mengi na hapo hata hiyo sex ataifurahia..! *Can you be her man..!?* "A really man would be ashamed should his deeds not match his words."
    ·198 Views
  • "My brother, nguvu yako kama mwanaume haioneshwi kwenye stamina yako katika tendo la ndoa peke yake. Eti kwa sababu unamfikisha kileleni mara tano, ambapo kimsingi haimaanishi kwamba wewe ndio kidume cha mbegu.

    Hakuna haja ya kumbilingisha sarakasi zote katika sex kitandani na kumfanya anene kwa lugha zisizofahamika chimbuko lake, ili umuoneshe kwamba wewe ni kidume haswa.

    Mwanaume yeyote anaekula lishe sahihi, au wafanyao kazi ngumu kama kupasua mbao na kubeba zege nao wanaweza kufanya hivyo. Kama unataka kumuonesha wewe ni mwanaume haswa, mthamini, mjali, provide for her na uumpe attention kwa asilimia 100!

    Kuwa mfalme wake na mfunike kwa upendo uliojawa uaminifu. Msikilize na ujivunie kuwa nae. Tambua potentiality yake aliyonao. Mlinde na umpende sana ili hata aweze kujiamini mbele za rafiki zake na kuwaambia kwamba "I'm in Love".

    Wanawake wengi wanahofia hata kuwatambulisha wanaume zao kwa sababu hawana uhakika na kesho yao.

    Achana na kasumba iliyojengeka miongoni mwa jamii zetu eti kwamba ukimpenda sana mwanamke anakufanya bwege, kwani wewe umeshikiliwa akili zako mpaka mwanamke akufanye bwege?

    Unafikiri kwa nini tunaagizwa kuwapenda wake zetu na wakati huo huo tunahimizwa kuishi nao kwa akili. Mwanaume ukifanywa bwege kisa umependa unapaswa kucharazwa viboko mpaka huo ubwege ukutoke.

    Wewe mpende na umuoneshe hilo, kuwa nae karibu anapolia hata anapocheka...tengeneza kumbukumbu bora pamoja nae..wanawake wanakumbukumbu ya haraka kwa sababu wanapenda kukumbuka yale mazuri uliyoyafanya.

    Nguvu zako kama mwanaume hazipo katika sex pekee. In fact wanawake hawapendi sana sex...na anaweza akaipata popote pale, anachohitahi ni wewe tu kuwa karibu nae na kumjali sana kwa mambo mengi na hapo hata hiyo sex ataifurahia..!

    *Can you be her man..!?*

    "A really man would be ashamed should his deeds not match his words."

    Share
    "My brother, nguvu yako kama mwanaume haioneshwi kwenye stamina yako katika tendo la ndoa peke yake. Eti kwa sababu unamfikisha kileleni mara tano, ambapo kimsingi haimaanishi kwamba wewe ndio kidume cha mbegu. Hakuna haja ya kumbilingisha sarakasi zote katika sex kitandani na kumfanya anene kwa lugha zisizofahamika chimbuko lake, ili umuoneshe kwamba wewe ni kidume haswa. Mwanaume yeyote anaekula lishe sahihi, au wafanyao kazi ngumu kama kupasua mbao na kubeba zege nao wanaweza kufanya hivyo. Kama unataka kumuonesha wewe ni mwanaume haswa, mthamini, mjali, provide for her na uumpe attention kwa asilimia 100! Kuwa mfalme wake na mfunike kwa upendo uliojawa uaminifu. Msikilize na ujivunie kuwa nae. Tambua potentiality yake aliyonao. Mlinde na umpende sana ili hata aweze kujiamini mbele za rafiki zake na kuwaambia kwamba "I'm in Love". Wanawake wengi wanahofia hata kuwatambulisha wanaume zao kwa sababu hawana uhakika na kesho yao. Achana na kasumba iliyojengeka miongoni mwa jamii zetu eti kwamba ukimpenda sana mwanamke anakufanya bwege, kwani wewe umeshikiliwa akili zako mpaka mwanamke akufanye bwege? Unafikiri kwa nini tunaagizwa kuwapenda wake zetu na wakati huo huo tunahimizwa kuishi nao kwa akili. Mwanaume ukifanywa bwege kisa umependa unapaswa kucharazwa viboko mpaka huo ubwege ukutoke. Wewe mpende na umuoneshe hilo, kuwa nae karibu anapolia hata anapocheka...tengeneza kumbukumbu bora pamoja nae..wanawake wanakumbukumbu ya haraka kwa sababu wanapenda kukumbuka yale mazuri uliyoyafanya. Nguvu zako kama mwanaume hazipo katika sex pekee. In fact wanawake hawapendi sana sex...na anaweza akaipata popote pale, anachohitahi ni wewe tu kuwa karibu nae na kumjali sana kwa mambo mengi na hapo hata hiyo sex ataifurahia..! *Can you be her man..!?* "A really man would be ashamed should his deeds not match his words." Share
    ·212 Views
  • Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji.

    Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini.

    Kwa habari zaidi, Jiunge nasi
    Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk
    #kai #teknolojia #socialpop
    🧬 Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji. 🤖 Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini. Kwa habari zaidi, Jiunge nasi Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk #kai #teknolojia #socialpop
    Like
    1
    1 Reacties ·132 Views
  • Nimchezaji gani wayanga anaweza endan n kasi
    Nimchezaji gani wayanga anaweza endan n kasi
    Love
    Haha
    2
    ·106 Views
  • Ubora wetu eneo la Kiungo na Walinzi wa pembeni wakiwa kwenye Performance nzuri naona kuna matokeo mazuri na ushindi wa maaana leo

    Lazima wachezaji hao wawe katika Morali ya juu Mnoo kucheza hapa na pale ili kuipa timu uhai.

    Viungo wasichoke kuzua na kujaribu kushambulia kwa kasi,Beki za pembeni kasi yao na uharaka wao katika kurud kuzuia ni Muhimu Mno.

    Lakini jambo la mwisho na Muhimu kwa wachezaji wa eneo la Juu, Wasikubali kupoteza mipira kizembe wakat wa kushambulia na wasiruhusu beki za wapinzani kukaa na mipira mara kwa mara.

    Let's win it Lion's
    #paulswai
    Ubora wetu eneo la Kiungo na Walinzi wa pembeni wakiwa kwenye Performance nzuri naona kuna matokeo mazuri na ushindi wa maaana leo Lazima wachezaji hao wawe katika Morali ya juu Mnoo kucheza hapa na pale ili kuipa timu uhai. Viungo wasichoke kuzua na kujaribu kushambulia kwa kasi,Beki za pembeni kasi yao na uharaka wao katika kurud kuzuia ni Muhimu Mno. Lakini jambo la mwisho na Muhimu kwa wachezaji wa eneo la Juu, Wasikubali kupoteza mipira kizembe wakat wa kushambulia na wasiruhusu beki za wapinzani kukaa na mipira mara kwa mara. Let's win it Lion's 🦁 🔴 #paulswai
    Like
    2
    ·168 Views
  • MSIKIE KOCHA FADLU ::

    Fadlu Davids, amesisitiza nidhamu ya kiufundi na kiakili, akisema: “Tunajua ubora wa Yanga, lakini tunajiandaa kimkakati. Lazima tuwe makini kwa kila dakika, kujenga mashambulizi kwa kasi na kudhibiti safu ya ulinzi kwa umakini mkubwa.”

    Fadlu anaamini kutumia fursa chache zinazopatikana ni muhimu, akiongeza kwa kusema: “Katika mechi kama hizi, nafasi ni chache, hivyo tunahitaji kuwa bora katika kumalizia.”
    #paulswai
    🎙️ MSIKIE KOCHA FADLU :: Fadlu Davids, amesisitiza nidhamu ya kiufundi na kiakili, akisema: “Tunajua ubora wa Yanga, lakini tunajiandaa kimkakati. Lazima tuwe makini kwa kila dakika, kujenga mashambulizi kwa kasi na kudhibiti safu ya ulinzi kwa umakini mkubwa.” Fadlu anaamini kutumia fursa chache zinazopatikana ni muhimu, akiongeza kwa kusema: “Katika mechi kama hizi, nafasi ni chache, hivyo tunahitaji kuwa bora katika kumalizia.” #paulswai
    Like
    1
    ·110 Views
  • .WEWE UNAYEJISAHAU!
    Naomba Nikukumbushe!

    Umepata Maisha !
    Umejipata Sio!
    Unajiweza sana Ndugu!

    Acha Madharau Kwa Wengine!
    Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa!
    Unapigiwa Simu Hupokei!
    Unawapita Watu bila Salamu!
    Uko bize!
    Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida !
    Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa!
    Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao!

    Wewe ni Tajiri sio!
    Wewe una Mamlaka Sio!
    Wewe ni Maarufu sio!

    Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika!

    Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu).

    Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake!
    Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia!
    Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine?

    Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako!
    Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa!
    Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio!
    Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu!

    Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu!

    Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha!
    Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu!

    Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki!
    Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani?

    Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira!

    Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu!

    Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile!

    Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau!

    Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu!

    Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako!

    Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha!
    Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu!

    Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha!

    Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega!
    Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu!

    Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako!
    Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine!

    Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu!

    Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    .WEWE UNAYEJISAHAU! Naomba Nikukumbushe! Umepata Maisha ! Umejipata Sio! Unajiweza sana Ndugu! Acha Madharau Kwa Wengine! Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa! Unapigiwa Simu Hupokei! Unawapita Watu bila Salamu! Uko bize! Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida ! Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa! Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao! Wewe ni Tajiri sio! Wewe una Mamlaka Sio! Wewe ni Maarufu sio! Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika! Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu). Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake! Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia! Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine? Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako! Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa! Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio! Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu! Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu! Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha! Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu! Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki! Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani? Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira! Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu! Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile! Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau! Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu! Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako! Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha! Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu! Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha! Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega! Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu! Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako! Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine! Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu! Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    Like
    Love
    2
    ·554 Views
  • KOCHA FADLU DAVIDS:

    “Mtindo wetu wa kucheza ni wa kasi na unahitaji wachezaji kuwa na nguvu na utimamu wa kimwili. Hivyo, mechi hizi zinatufundisha nini cha kufanya, na hadi sasa niseme tupo kama asilimia 60 ya mipango ya benchi la ufundi na tukifikia 100 tutakuwa mbali zaidi,”
    #paulswai
    🎙️ KOCHA FADLU DAVIDS: “Mtindo wetu wa kucheza ni wa kasi na unahitaji wachezaji kuwa na nguvu na utimamu wa kimwili. Hivyo, mechi hizi zinatufundisha nini cha kufanya, na hadi sasa niseme tupo kama asilimia 60 ya mipango ya benchi la ufundi na tukifikia 100 tutakuwa mbali zaidi,” #paulswai
    Like
    1
    ·128 Views
  • "Hili ni balaa lingine wameleta Yanga Sc kwenye ligi yetu,

    Boka ana miguu mirefu inayo mfanya akimbie Kwa Kasi wakati wa kushambulia na kurudi kuzuia.

    Mguu wake wa kushoto una balaa sana, beki akimruhusu kupiga Kross kwenye six yard box basi ujue umekwisha.

    Huyu boka atapima wengi umri" Hans Rafael, Mchambuzi wa mpira wa miguu Tanzania.
    "Hili ni balaa lingine wameleta Yanga Sc kwenye ligi yetu, Boka ana miguu mirefu inayo mfanya akimbie Kwa Kasi wakati wa kushambulia na kurudi kuzuia. Mguu wake wa kushoto una balaa sana, beki akimruhusu kupiga Kross kwenye six yard box basi ujue umekwisha. Huyu boka atapima wengi umri" Hans Rafael, Mchambuzi wa mpira wa miguu Tanzania.
    Like
    3
    2 Reacties ·160 Views
  • MAMA YANGU NDIYE MALKIA WA NGUVU

    “Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.”
    — Kutoka 20:12 (Biblia Takatifu)

    Hongera Uliye Na Mama ,Hongera Wewe Ambaye Mama Yako Yupo.

    Polee Wewe Ambaye Una Mdharau Mama Yako
    Polee Wale Ambao Mama Zao Wakiugua Wanaweka Vikao Vya Kuchagua Aende Kukaa Kwa Nani.

    Poleni Ninyi Mnaoishi Mijini Katika Mahekalu ,Na Mama Zenu Wako Vijijini Wanaishi Katika Majumba Ambayo Paa Zake Zinauliza Niue Nisiue.

    Poleni Ninyi Ambao Mmetenga Bajeti Za Kwenda Kutanua Katika Ma club Kila Weekend Wakati Mama Zenu Wanashindia Mihogo Na Chunga La Kuchemsha Jana.

    Poleni Ninyi Ambao Mnatembelea Magari Makali Na Kuhonga Michepuko Lakini Mama Zenu Huko Vijijini Hamja Wanunulia Hata Bodaboda.

    Poleni Ninyi Ambao Mkiombwa Fedha Na Mama Zetu Mnakasirika Lakini Ya Kununulia Mkojo Wa Firauni Kwenye Ma Bar Na Kufurahia Na Marafiki Zipo.

    Poleni Ninyi Mabinti Ambao Hamzungumzi Na Mama Zenu Yapata Mwaka Wa Tano Sasa Sababu Tu Ya Maonyo Yao Yamewakwaza.

    Nawapongeza Ninyi Nyote Wenye Mahusiano Mazuri Na Mama Zetu Maana Mmetambua Thamani Ya Mama Zenu

    Mungu Awabariki Sana Na Maana Mmetenda Jambo Jema Na Tena Lenye Kumpendeza Mungu

    _Mambo Ya Walawi 19:3[Biblia Takatifu]
    “Kila mtu na amche mama yake, na baba yake, nanyi mtazitunza Sabato zangu; mimi ndimi
    Bwana, Mungu wenu.”

    Mama Yako Ndiyo Kila Kitu Katika Maisha Yako Maana Alivumulia Yote Kakubeba Tumboni Mwake Miezi Tisa,Alivumulia Shida Zote Nyakati Za Kukuzaa Alikabiliana Na Kifo Ana Kwa Ana Lakini Kwa Maombi Yake Ukazaliwa.

    Akakulea Kwa Mapenzi Yote Ambayo Mama Anastahili Kufanya Kwa Mtoto Wake ,Hata Ulipo Mnyea Hakuukata Kiganja Cha Mkono Wake Sababu Wewe Ni Mtoto Wake.

    Alichana Nguo Zake Akakubali Yeye Abaki Mtupu Ili Wewe Uweze Kusitirika ,Alikufunika Kwa Khanga Yake Moja Ili Usipate Baridi Kali Lakini Yeye Alikubaliwa Kupigwa Na Baridi.

    Mweshimu Mama Yako Maana Ndiye Kiumbe Pekee Duniani Ambacho Hubeba Maumivu Ya Mtoto Wake**
    *#Jose Bambo#*
    MAMA YANGU NDIYE MALKIA WA NGUVU “Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.” — Kutoka 20:12 (Biblia Takatifu) Hongera Uliye Na Mama ,Hongera Wewe Ambaye Mama Yako Yupo. Polee Wewe Ambaye Una Mdharau Mama Yako Polee Wale Ambao Mama Zao Wakiugua Wanaweka Vikao Vya Kuchagua Aende Kukaa Kwa Nani. Poleni Ninyi Mnaoishi Mijini Katika Mahekalu ,Na Mama Zenu Wako Vijijini Wanaishi Katika Majumba Ambayo Paa Zake Zinauliza Niue Nisiue. Poleni Ninyi Ambao Mmetenga Bajeti Za Kwenda Kutanua Katika Ma club Kila Weekend Wakati Mama Zenu Wanashindia Mihogo Na Chunga La Kuchemsha Jana. Poleni Ninyi Ambao Mnatembelea Magari Makali Na Kuhonga Michepuko Lakini Mama Zenu Huko Vijijini Hamja Wanunulia Hata Bodaboda. Poleni Ninyi Ambao Mkiombwa Fedha Na Mama Zetu Mnakasirika Lakini Ya Kununulia Mkojo Wa Firauni Kwenye Ma Bar Na Kufurahia Na Marafiki Zipo. Poleni Ninyi Mabinti Ambao Hamzungumzi Na Mama Zenu Yapata Mwaka Wa Tano Sasa Sababu Tu Ya Maonyo Yao Yamewakwaza. Nawapongeza Ninyi Nyote Wenye Mahusiano Mazuri Na Mama Zetu Maana Mmetambua Thamani Ya Mama Zenu Mungu Awabariki Sana Na Maana Mmetenda Jambo Jema Na Tena Lenye Kumpendeza Mungu _Mambo Ya Walawi 19:3[Biblia Takatifu] “Kila mtu na amche mama yake, na baba yake, nanyi mtazitunza Sabato zangu; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.” Mama Yako Ndiyo Kila Kitu Katika Maisha Yako Maana Alivumulia Yote Kakubeba Tumboni Mwake Miezi Tisa,Alivumulia Shida Zote Nyakati Za Kukuzaa Alikabiliana Na Kifo Ana Kwa Ana Lakini Kwa Maombi Yake Ukazaliwa. Akakulea Kwa Mapenzi Yote Ambayo Mama Anastahili Kufanya Kwa Mtoto Wake ,Hata Ulipo Mnyea Hakuukata Kiganja Cha Mkono Wake Sababu Wewe Ni Mtoto Wake. Alichana Nguo Zake Akakubali Yeye Abaki Mtupu Ili Wewe Uweze Kusitirika ,Alikufunika Kwa Khanga Yake Moja Ili Usipate Baridi Kali Lakini Yeye Alikubaliwa Kupigwa Na Baridi. Mweshimu Mama Yako Maana Ndiye Kiumbe Pekee Duniani Ambacho Hubeba Maumivu Ya Mtoto Wake** *#Jose Bambo#*
    Like
    1
    ·460 Views
  • Tiketi za VIP A zimekwisha.

    Namba ya ununuaji tiketi inakwenda kwa kasi. Wahi mapema kituoni ununue tiketi yako.
    #paulswai
    Tiketi za VIP A zimekwisha. Namba ya ununuaji tiketi inakwenda kwa kasi. Wahi mapema kituoni ununue tiketi yako. #paulswai
    Like
    3
    ·111 Views
  • .... 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘, 𝗚𝗨𝗘𝗗𝗘

    Jean Baleke (23) na Joseph Guede (29) 🇨🇮 ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani.

    ◉ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp.
    ◉ Joseph Guede hana kasi.

    ◉ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu.

    ◉ Joseph Guede sio presser mzuri.

    ◉ Joseph Guede ni mtulivu zaidi.
    ◉ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede.

    ◉ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede.

    Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack.

    Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC.

    Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up.

    Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga.

    Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi.

    Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi.

    Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka.

    ◉ Hafiz Konkoni.
    ◉ Joseph Guede.

    Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi.


    Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
    .... ⚙️ 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘, 𝗚𝗨𝗘𝗗𝗘 Jean Baleke (23) 🇨🇩 na Joseph Guede (29) 🇨🇮 ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani. ◉ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp. ◉ Joseph Guede hana kasi. ◉ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu. ◉ Joseph Guede sio presser mzuri. ◉ Joseph Guede ni mtulivu zaidi. ◉ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede. ◉ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede. ℹ️ Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack. Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC. Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up. Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga. Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi. Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi. ℹ️ Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka. ◉ Hafiz Konkoni. ◉ Joseph Guede. Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi. Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
    ·495 Views
  • CONFIRMED: Klabu ya Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kulia Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili.

    Kijili mwenye umri wa miaka 24 ni kijana mwenye kipaji na kasi amekuwa akitumika kuanzisha mashambulizi kutokea upande wa kulia.
    🚨 CONFIRMED: Klabu ya Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kulia Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili. Kijili mwenye umri wa miaka 24 ni kijana mwenye kipaji na kasi amekuwa akitumika kuanzisha mashambulizi kutokea upande wa kulia.
    Like
    1
    ·124 Views
  • TAFAKARI :

    Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni!

    Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote.

    "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?"

    Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie.

    "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi."

    Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu.

    "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu."

    "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni."

    Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi

    Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa.

    WITO:

    Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo.

    Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu.

    Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    TAFAKARI : Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni! Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote. "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?" Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie. "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi." Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu. "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu." "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni." Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa. WITO: Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo. Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    Like
    3
    ·643 Views
  • For the first day.. walinitazama tena hawapo!!
    Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!!
    Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!!
    So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!!!
    Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!!
    Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!!
    Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!!
    Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!!
    Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    For the first day.. walinitazama tena hawapo!! Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!! Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!! So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!!! Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!! Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!! Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!! Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!! Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    Like
    2
    ·140 Views
  • For the first day.. walinitazama tena hawapo!!
    Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!!
    Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!!
    So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!!
    Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!!
    Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!!
    Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!!
    Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!!
    Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    For the first day.. walinitazama tena hawapo!! Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!! Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!! So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!! Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!! Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!! Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!! Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!! Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    Like
    1
    ·119 Views
  • For the first day.. walinitazama tena hawapo!!
    Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!!
    Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!!
    So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!!
    Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!!
    Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!!
    Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!!
    Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!!
    Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    For the first day.. walinitazama tena hawapo!! Sikua na way.. niende kwamungu niende kula kiapo!! Nataka niache kila kitu.. kwaniaba nitakasike!!! So kuabudu tu.. mpaka nyimbo za dini niandike!! Sasa nifanye nini ili nipate kuona uwokovu!! Inabidi nifanye toba ili nisahau mengi maovu!! Tatizo langu sikugundua.. ninachokifanya nitakuja kuangukia pua!! Tatizo langu ni ubishi sikusikia.. tatizo sikujua kwamba ninatesa yangu familia!! Hili ndilo tatizo kubwa lilonikuta.. mwenzenu niliya haribu maisha naleo najuta!!
    Like
    1
    ·120 Views
  • Pesa ni tusi sasa makasisi twafa Njaa..
    Pumba bila lipumba Siasa mzimu wa Sanaa..
    Adimu kwa Muumba, kuumba kwetu Mabalaa..
    Mizimu inachanga unga, umba kwetu Mabalaa..
    Sanaa za ndotoni.. walolala ndo wasanii..
    Mzinzi waza peponi, ukiweza ni follow Me..
    Giza tanda, kipofu sioni Kipya.
    Hakuna lishe bila Wanga, Japo Pastor anapinga..
    Pesa ni tusi sasa makasisi twafa Njaa.. Pumba bila lipumba Siasa mzimu wa Sanaa.. Adimu kwa Muumba, kuumba kwetu Mabalaa.. Mizimu inachanga unga, umba kwetu Mabalaa.. Sanaa za ndotoni.. walolala ndo wasanii.. Mzinzi waza peponi, ukiweza ni follow Me.. Giza tanda, kipofu sioni Kipya. Hakuna lishe bila Wanga, Japo Pastor anapinga..
    Like
    1
    ·123 Views
  • Pesa ni tusi sasa makasisi twafa Njaa..
    Pumba bila lipumba Siasa mzimu wa Sanaa..
    Adimu kwa Muumba, kuumba kwetu Mabalaa..
    Mizimu inachanga unga, umba kwetu Mabalaa..
    Sanaa za ndotoni.. walolala ndo wasanii..
    Mzinzi waza peponi, ukiweza ni follow Me..
    Giza tanda, kipofu sioni Kipya.
    Hakuna lishe bila Wanga, Japo Pastor anapinga..
    Pesa ni tusi sasa makasisi twafa Njaa.. Pumba bila lipumba Siasa mzimu wa Sanaa.. Adimu kwa Muumba, kuumba kwetu Mabalaa.. Mizimu inachanga unga, umba kwetu Mabalaa.. Sanaa za ndotoni.. walolala ndo wasanii.. Mzinzi waza peponi, ukiweza ni follow Me.. Giza tanda, kipofu sioni Kipya. Hakuna lishe bila Wanga, Japo Pastor anapinga..
    Like
    1
    ·85 Views
Zoekresultaten