Klabu ya NEOM ya Saudi Arabia inatarajia kumsajili aliyekuwa mchezaji wa Marseille , Pape Gueye, kulingana na taarifa za RMC Sport. Kiungo huyo wa Villarreal tayari amewasiliana kwa mara ya kwanza na viongozi wa klabu hiyo mpya iliyopanda daraja kwenye Saudi Pro League.
#SportsElite
#SportsElite
💦Klabu ya NEOM ya Saudi Arabia 🇸🇦 inatarajia kumsajili aliyekuwa mchezaji wa Marseille 🇫🇷, Pape Gueye, kulingana na taarifa za RMC Sport. Kiungo huyo wa Villarreal 🇪🇸 tayari amewasiliana kwa mara ya kwanza na viongozi wa klabu hiyo mpya iliyopanda daraja kwenye Saudi Pro League.
#SportsElite
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·6 Views