Fc Barcelona wana nia ya dhati ya kumsajili nyota wa Marseille, Mason Greenwood na wameanza kufuatilia maendeleo yake tokea alipokuwa Getafe kwa mkopo .
Taarifa zilizopo maskauti wa Fc Barcelona walikuwepo kwenye mchezo wa Marseille dhidi ya Le Havre uliopigwa weekend hii wakifuatilia kwa ukaribu maendeleo ya Mason Greenwood.
Kwenye mchezo huo Greenwood aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6-2 huku akifunga magoli 4.
#SportsElite

0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·42 Views