• Olympique Marseille wamemrejesha tena Pierre kama free agent ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kwaajili ya msimu ujao

    #SportsElite
    Olympique Marseille wamemrejesha tena Pierre kama free agent ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kwaajili ya msimu ujao #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·38 Views
  • Marseille inafanya majadiliano na Lyon juu ya Malick Fofana .

    Pia anafukuziwa na vilabu vya Uingereza..

    (Source: @sebnonda & @Santi_J_FM)

    #SportsElite
    🚨 Marseille inafanya majadiliano na Lyon juu ya Malick Fofana . Pia anafukuziwa na vilabu vya Uingereza.. (Source: @sebnonda & @Santi_J_FM) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·133 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Marseille inapanga kumrudisha Pierre-Emerick Aubameyang klabuni hapo..
    Majadiliano yanaendelea baina yao

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Marseille inapanga kumrudisha Pierre-Emerick Aubameyang klabuni hapo.. Majadiliano yanaendelea baina yao #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·91 Views
  • Angel Gomes (24) amekamilisha usajili ndani ya Marseille....
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🪄 Angel Gomes (24) amekamilisha usajili ndani ya Marseille.... 😎
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·126 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Inter imefikia makubaliano ya kumsaini Luis Henrique kutoka Olympique Marseille kwa kiasi cha €25 na mkataba wa miaka 5⚫️

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Inter imefikia makubaliano ya kumsaini Luis Henrique kutoka Olympique Marseille kwa kiasi cha €25 na mkataba wa miaka 5⚫️🔵🇧🇷 #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·254 Views
  • Je wajua: Marseille ndio timu ya kwanza kushinda kombe la klabu bingwa ulaya mwaka 1993 akiwafunga milan mechi ikichezwa nchini ufaransa na ndo michuano ya kwanza ya klabu bingwa..
    Je wajua: Marseille ndio timu ya kwanza kushinda kombe la klabu bingwa ulaya mwaka 1993 akiwafunga milan mechi ikichezwa nchini ufaransa na ndo michuano ya kwanza ya klabu bingwa..
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·465 Views
  • BERTRAND TRAURÉ; Nyota kutoka Burkina Faso Bertrand trauré ( Right winger ) amesajiliwa Ajax ya Netherlands, Kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Villarreal ya Hispania.
    #sokachampions
    #junvetus
    #marseille
    #saudiarabia
    BERTRAND TRAURÉ; Nyota kutoka Burkina Faso Bertrand trauré ( Right winger ) amesajiliwa Ajax ya Netherlands, Kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Villarreal ya Hispania. #sokachampions #junvetus #marseille #saudiarabia
    Like
    Love
    5
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • AUBAMEYANG ( Gabon ); Timu ya Saudi Arabia Al qadasiya imemnasa mshambuliaji wa kati AUBAMEYANG akitokea Marseille ( ufaransa ).
    #sokachampions
    #chelsea
    #arsenal
    #premierleague
    AUBAMEYANG ( Gabon ); Timu ya Saudi Arabia Al qadasiya imemnasa mshambuliaji wa kati AUBAMEYANG akitokea Marseille ( ufaransa ). #sokachampions #chelsea #arsenal #premierleague
    Like
    Love
    5
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views
  • Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024:

    Atalanta : wachezaji 4
    B' Leverkusen : wachezaji 4
    Roma : 2
    Marseille : 1

    #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague

    #Sportsview
    Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024: Atalanta 🏆: wachezaji 4 B' Leverkusen : wachezaji 4 Roma : 2 Marseille : 1 #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague #Sportsview
    Like
    Love
    7
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·1K Views