.MAONI YA MDAU👇🏽
NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE...
Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo
Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita
Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi
Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji
KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap
Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League
So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli
.MAONI YA MDAU👇🏽
NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE...
Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo
Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita
Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi
Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji
KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap
Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League
So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli 🙏🙏🙏