ترقية الحساب

  • "Unafanya kazi masaa 8 kuishi 4.
    Unafanya kazi kwa siku 6 ili kufurahiya 1.
    Unafanya kazi masaa 8 kula katika dakika 15.
    Unafanya kazi masaa 8 kulala 5.
    Unafanya kazi mwaka mzima ili kuchukua likizo ya wiki moja au mbili.
    Unafanya kazi maisha yako yote ili uweze kustaafu uzee.
    Na kutafakari tu mihemko yako ya mwisho.
    Hatimaye unagundua kuwa maisha si chochote ila ni mbishi wa kujizoeza usahaulifu wako.
    Tumezoea sana utumwa wa mali, kijamii hivi kwamba hatuoni tena minyororo"
    Maisha ni safari fupi, iishi!
    "Unafanya kazi masaa 8 kuishi 4. Unafanya kazi kwa siku 6 ili kufurahiya 1. Unafanya kazi masaa 8 kula katika dakika 15. Unafanya kazi masaa 8 kulala 5. Unafanya kazi mwaka mzima ili kuchukua likizo ya wiki moja au mbili. Unafanya kazi maisha yako yote ili uweze kustaafu uzee. Na kutafakari tu mihemko yako ya mwisho. Hatimaye unagundua kuwa maisha si chochote ila ni mbishi wa kujizoeza usahaulifu wako. Tumezoea sana utumwa wa mali, kijamii hivi kwamba hatuoni tena minyororo" Maisha ni safari fupi, iishi!
    Like
    Love
    2
    ·34 مشاهدة
  • “Safari hii hatutamani kabisa zile Hesabu za kuomba Fulani Afungwe ili tufuzu, mnakumbuka msimu uliyopita hatukuanza Vizuri Mechi yetu ya Kwanza kule Algeria, Niwambie Wanayanga Wote Safari hii tunapaswa Kuchukua pointi 3 kwenye mechi zote za Nyumbani, hivyo basi tunawahitaji sana Uwanjani siku hiyo" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    “Safari hii hatutamani kabisa zile Hesabu za kuomba Fulani Afungwe ili tufuzu, mnakumbuka msimu uliyopita hatukuanza Vizuri Mechi yetu ya Kwanza kule Algeria, Niwambie Wanayanga Wote Safari hii tunapaswa Kuchukua pointi 3 kwenye mechi zote za Nyumbani, hivyo basi tunawahitaji sana Uwanjani siku hiyo" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·40 مشاهدة
  • ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls

    Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    1 التعليقات ·351 مشاهدة
  • "Timu yetu haijawahi kufungwa mara tatu mfululizo katika rekodi za hivi karibuni, itakuwa aibu mchezo ujao tukapoteza tena, tafadhali ndugu zangu wananchi, twendeni tukapigane Vita hii Benjamin Mkapa kwa pamoja, twendeni tukawape Sapoti kubwa wachezaji wetu, twendeni tukarudishe Heshima yetu, Hii siyo kazi ya Viongozi wetu peke yao, siyo kazi ya Benchi la ufundi peke yao, ni kazi yetu sote Wananchi, Safari hii hatucheki na yoyote tunailinda Yanga yetu" Ally kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC
    "Timu yetu haijawahi kufungwa mara tatu mfululizo katika rekodi za hivi karibuni, itakuwa aibu mchezo ujao tukapoteza tena, tafadhali ndugu zangu wananchi, twendeni tukapigane Vita hii Benjamin Mkapa kwa pamoja, twendeni tukawape Sapoti kubwa wachezaji wetu, twendeni tukarudishe Heshima yetu, Hii siyo kazi ya Viongozi wetu peke yao, siyo kazi ya Benchi la ufundi peke yao, ni kazi yetu sote Wananchi, Safari hii hatucheki na yoyote tunailinda Yanga yetu" Ally kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC
    ·108 مشاهدة
  • Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli.

    Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake.

    Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob.

    Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao.

    Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno.

    Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa.

    Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu.

    Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena.

    Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!!

    Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa!

    !!
    Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli. Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake. Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob. Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao. Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno. Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa. Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu. Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena. Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!! Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa! 🔥🔥🔥🍹🍹🍹!!
    ·190 مشاهدة
  • *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.

    Share tafadhali ukipenda
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*......

    _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

    _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

    _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

    _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

    Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

    *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

    *1. KUTOKUJARIBU.*
    Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

    *2. KUTOKUJIFUNZA.*
    Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

    *3. WOGA & WASIWASI.*
    "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

    *4. KUJILINGANISHA.*
    Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

    *5. KUWEKA VINYONGO.*

    "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

    *6. UONGO*
    "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

    *7. UVIVU & UZEMBE*
    "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

    *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
    Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

    *9. LAWAMA & UMBEA*
    "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako. Share tafadhali ukipenda *UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI*...... _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_ _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._ _"Kile unachokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae kwako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_ _"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._ Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini. *Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo kama una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;* *1. KUTOKUJARIBU.* Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu' (Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa. *2. KUTOKUJIFUNZA.* Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata kama una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay) *3. WOGA & WASIWASI.* "Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. Kama hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, kama unaamini ni cha halali na kina manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea. *4. KUJILINGANISHA.* Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa kama watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote. *5. KUWEKA VINYONGO.* "Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli. *6. UONGO* "Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele" (WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini" (FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote" (Bob Marley). Ukweli kama jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha. *7. UVIVU & UZEMBE* "Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae". *8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA* Pombe, sigara, ngono, unga, bange, shisha, cocaine, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa kama una tabia kama hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,). *9. LAWAMA & UMBEA* "Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi", tupambane, tuache lawama hazisaidii chochote. Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu utazifikia ndoto zako.
    ·348 مشاهدة
  • Usikubali kuanguka na kuendelea kukaa chini huku una UWEZO mkubwa ndani yako. Hakuna aliyewahi kufanikiwa moja kwa moja tena pasipo kupitia maanguko mengi. Kila mtu unayemwona amefanikiwa leo hii ni matokeo ya kuwa chini mara nyingi alikokutana nako.

    Tofauti ni kuwa, watu waliofanikiwa wakianguka mahali hawachelewi kuinuka na wanatumia anguko lao kama sehemu ya kujiboresha zaidi kwenye safari ya maisha yao. Hii ni tofauti sana na watu wanaoshindwa katika maisha, wao wakianguka wanabaki chini wakisubiri watu wengine wawainue au kuwatia moyo, wakilia na kusononeka kwamba kwa nini wameanguka. Nataka nikuambie hata mwanafunzi wa Yesu aliyejulikana kwa jina la Petro aliwahi kuanguka kwa kuamkana Yesu mara tatu lakini alipogundua amekosea, aliinuka akatubu kisha akaendelea na safari yake dhidi ya kusudi aliloitiwa.

    Usikubali kuanguka kwenye eneo lolote kwenye maisha yako ukakubali kubaki chini pasipo kuinuka. Acha kubaki ulipo ukijilaumu na kujisemea mengi mabaya dhidi yako. Acha kuendelea kulaumu wengine kwa anguko lako. Kumbuka mwenye jukumu la maisha yako 100% ni wewe mwenyewe, hivyo inakupasa kuinuka binafsi hapo ulipo pasipo kusubiri kuinuliwa na mtu mwingine. Unahitaji KUJITIA NGUVU na kuinuka ili uweze kuifaata ndoto yako na kuifanikisha.

    Kama umeanguka kwenye masomo inuka na rudi shule tena kuendelea na masomo yako ili kufanya vizuri zaidi. Kama umeanguka kwenye biashara hakikisha unarudi kwenye biashara yako ili kuleta matokeo mapya yatakayobadilisha biashara yako. Usijikatie tamaa kwa sababu ya kushindwa mara moja. Kushindwa si kushindwa ila kukubali kushindwa ndio kushindwa. Inuka maana uwezo mkubwa wa kushinda upo ndani yako. Amini wewe ni mshindi.

    Believe It's Possible!

    #ishindotoyako
    Usikubali kuanguka na kuendelea kukaa chini huku una UWEZO mkubwa ndani yako. Hakuna aliyewahi kufanikiwa moja kwa moja tena pasipo kupitia maanguko mengi. Kila mtu unayemwona amefanikiwa leo hii ni matokeo ya kuwa chini mara nyingi alikokutana nako. Tofauti ni kuwa, watu waliofanikiwa wakianguka mahali hawachelewi kuinuka na wanatumia anguko lao kama sehemu ya kujiboresha zaidi kwenye safari ya maisha yao. Hii ni tofauti sana na watu wanaoshindwa katika maisha, wao wakianguka wanabaki chini wakisubiri watu wengine wawainue au kuwatia moyo, wakilia na kusononeka kwamba kwa nini wameanguka. Nataka nikuambie hata mwanafunzi wa Yesu aliyejulikana kwa jina la Petro aliwahi kuanguka kwa kuamkana Yesu mara tatu lakini alipogundua amekosea, aliinuka akatubu kisha akaendelea na safari yake dhidi ya kusudi aliloitiwa. Usikubali kuanguka kwenye eneo lolote kwenye maisha yako ukakubali kubaki chini pasipo kuinuka. Acha kubaki ulipo ukijilaumu na kujisemea mengi mabaya dhidi yako. Acha kuendelea kulaumu wengine kwa anguko lako. Kumbuka mwenye jukumu la maisha yako 100% ni wewe mwenyewe, hivyo inakupasa kuinuka binafsi hapo ulipo pasipo kusubiri kuinuliwa na mtu mwingine. Unahitaji KUJITIA NGUVU na kuinuka ili uweze kuifaata ndoto yako na kuifanikisha. Kama umeanguka kwenye masomo inuka na rudi shule tena kuendelea na masomo yako ili kufanya vizuri zaidi. Kama umeanguka kwenye biashara hakikisha unarudi kwenye biashara yako ili kuleta matokeo mapya yatakayobadilisha biashara yako. Usijikatie tamaa kwa sababu ya kushindwa mara moja. Kushindwa si kushindwa ila kukubali kushindwa ndio kushindwa. Inuka maana uwezo mkubwa wa kushinda upo ndani yako. Amini wewe ni mshindi. Believe It's Possible! #ishindotoyako
    Like
    1
    ·219 مشاهدة
  • Moussa Camara ameanza safari kutokea Abidjan, Ivory coast kuja Tanzania kuwahi maandalizi ya Dabi ya Kariakoo.

    Moussa Pinpin Camara amedaka michezo yote miwili dhidi ya Ethiopia kwa dakika 90 wakati Guinea ikishinda michezo hiyo yote.
    #paulswai
    Moussa Camara ameanza safari kutokea Abidjan, Ivory coast kuja Tanzania 🇹🇿 kuwahi maandalizi ya Dabi ya Kariakoo. Moussa Pinpin Camara amedaka michezo yote miwili dhidi ya Ethiopia 🇪🇹 kwa dakika 90 wakati Guinea ikishinda michezo hiyo yote. #paulswai
    Like
    1
    1 التعليقات ·115 مشاهدة
  • Jambo letu ni Jumamosi wana Simba Sc mzigo wa Tiketi unashuka saana

    Wahi tiketi yako mapema safari hii ama zetu ama zao

    #paulswai
    Jambo letu ni Jumamosi wana Simba Sc mzigo wa Tiketi unashuka saana 🔥 Wahi tiketi yako mapema safari hii ama zetu ama zao #paulswai
    Like
    2
    ·93 مشاهدة
  • 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 || Mahojiano ya Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC na waandishi wa habari kabla ya kuondoka Nchini kuelekea Libya

    Mwandishi : "Suala la Lameck Lawi limeishaje?"

    Ahmed : "Lameck Lawi ni mchezaji HALALI wa Simba SC, HALALI kabisa zingatia neno Halali kabisa"

    Mwandishi : Mbona hatumuoni katika Kikosi chenu na mlimtambulisha?

    Ahmed : " Suala lake lipo katika kamati na mtapatiwa majibu soon"

    Mwandishi : "Kwanini mmekua na sintofahamu nyingi za mikataba kwa wachezaji wazawa safari hii?"

    Ahmed : " Hiyo ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA"

    Mwandishi : "Kwa Yusufu Kagoma, Awesu?"

    Ahmed : "Ubaya ubwela tu"

    Mwandishi : "Inaonekana hamfuati taratibu za kusaini wachezaji"

    Ahmed : "Kusema ukweli Simba tuko smart sana na mikataba na tunajua tunachokifanya ila kuna watu wanajitoa akili"

    Ahmed Ally akizungumza na Waandishi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
    #paulswai
    🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 || Mahojiano ya Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC na waandishi wa habari kabla ya kuondoka Nchini kuelekea Libya Mwandishi : "Suala la Lameck Lawi limeishaje?" Ahmed : "Lameck Lawi ni mchezaji HALALI wa Simba SC, HALALI kabisa zingatia neno Halali kabisa" Mwandishi : Mbona hatumuoni katika Kikosi chenu na mlimtambulisha? Ahmed : " Suala lake lipo katika kamati na mtapatiwa majibu soon" Mwandishi : "Kwanini mmekua na sintofahamu nyingi za mikataba kwa wachezaji wazawa safari hii?" Ahmed : " Hiyo ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA" Mwandishi : "Kwa Yusufu Kagoma, Awesu?" Ahmed : "Ubaya ubwela tu" Mwandishi : "Inaonekana hamfuati taratibu za kusaini wachezaji" Ahmed : "Kusema ukweli Simba tuko smart sana na mikataba na tunajua tunachokifanya ila kuna watu wanajitoa akili" 🗣️Ahmed Ally akizungumza na Waandishi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere #paulswai
    Like
    1
    ·400 مشاهدة
  • Kikosi cha SIMBASC kimefika salama Uturuki. Leo Kitapumzika hapa na kesho kikosi kitaendelea na safari kwenda Libya.
    #paulswai
    Kikosi cha SIMBASC kimefika salama Uturuki. Leo Kitapumzika hapa na kesho kikosi kitaendelea na safari kwenda Libya. #paulswai
    Like
    2
    2 التعليقات ·198 مشاهدة
  • Safari ya kwenda Libya inaanza tukipitia Istanbul, Uturuki. #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Safari ya kwenda Libya inaanza tukipitia Istanbul, Uturuki. #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·265 مشاهدة
  • Mazoezi ya mwisho tukiwa nchini kabla ya safari kwenda nchini Libya.
    #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Mazoezi ya mwisho tukiwa nchini kabla ya safari kwenda nchini Libya. #paulswai #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    Love
    3
    ·264 مشاهدة
  • Kagoma yupo kwenye safari ya kikosi cha wachezaji Ishirini na Mbili wa Simbasc wanaoifuata Al Hilal Tripoli ya Sudan.
    #paulswai
    Kagoma yupo kwenye safari ya kikosi cha wachezaji Ishirini na Mbili wa Simbasc wanaoifuata Al Hilal Tripoli ya Sudan. #paulswai
    Like
    2
    ·159 مشاهدة
  • Safari inaendelea!!! Baada ya sare nyumbani dhidi ya Ethiopia, Taifa Stars inaifuata Guinea kwenye mchezo wake wa pili wa kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya #AFCON2025

    #paulswai
    Safari inaendelea!!! Baada ya sare nyumbani dhidi ya Ethiopia, Taifa Stars inaifuata Guinea kwenye mchezo wake wa pili wa kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya #AFCON2025 #paulswai
    Like
    2
    1 التعليقات ·185 مشاهدة
  • Safari ya Ligi Kuu ya #NBCPREMIERLEAGUE inaanza leo hii! @simbasctanzania Tabora United
    #paulswai
    🛣️ Safari ya Ligi Kuu ya #NBCPREMIERLEAGUE inaanza leo hii! @simbasctanzania 🆚 Tabora United #paulswai
    Like
    Love
    3
    ·252 مشاهدة
  • Safari ya #NBCPremiereLeague karibu inaanza

    Tunazidi kujipanga kufanya vizuri #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Safari ya #NBCPremiereLeague karibu inaanza 🔜 Tunazidi kujipanga kufanya vizuri 💪 #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    3
    ·240 مشاهدة
  • Tunaianza Safari...Mola ndiye mweza wa yote!
    Kila la kheri Wanalunyasi....
    Tunaianza Safari...Mola ndiye mweza wa yote! Kila la kheri Wanalunyasi....
    Like
    Love
    2
    ·212 مشاهدة
  • MPENDWA KABLA HUJALALA

    Daima uwe na shukrani kwa sababu Mungu anaweza kugeuza ghafla kwa niaba yako. Hata katika mapambano yako makubwa zaidi, mshukuru kwa sababu anajua kabisa kwa nini anaruhusu mapambano hayo yaje kwa njia yako. Unapokumbana na vizuizi zaidi katika safari yako, inamaanisha kuwa mafanikio yako yamekaribia sana. Usikate tamaa, Mungu atakufungulia milango mikubwa zaidi! Unapopigana vita hivyo kwa maombi, ushindi unakuwa ni uhakika. Mwambie yote juu yake, atakupa nguvu unayohitaji kushinda maumivu. Mungu akutumie muujiza utakaofuta kabisa wasiwasi na hofu zako zote.
    MPENDWA KABLA HUJALALA Daima uwe na shukrani kwa sababu Mungu anaweza kugeuza ghafla kwa niaba yako. Hata katika mapambano yako makubwa zaidi, mshukuru kwa sababu anajua kabisa kwa nini anaruhusu mapambano hayo yaje kwa njia yako. Unapokumbana na vizuizi zaidi katika safari yako, inamaanisha kuwa mafanikio yako yamekaribia sana. Usikate tamaa, Mungu atakufungulia milango mikubwa zaidi! Unapopigana vita hivyo kwa maombi, ushindi unakuwa ni uhakika. Mwambie yote juu yake, atakupa nguvu unayohitaji kushinda maumivu. Mungu akutumie muujiza utakaofuta kabisa wasiwasi na hofu zako zote.
    Love
    1
    ·409 مشاهدة
  • Mafanikio sio mashindano ,mafanikio ni safari ya mtu binafsi ,Wekeza nguvu na akili katika kutimiza malengo yako usiangalie mafanikio ya watu wengine

    #likesforlike
    #Sizophumelela
    #wayback
    #Nimuhim
    Mafanikio sio mashindano ,mafanikio ni safari ya mtu binafsi ,Wekeza nguvu na akili katika kutimiza malengo yako usiangalie mafanikio ya watu wengine ✍️ #likesforlike #Sizophumelela #wayback #Nimuhim
    Like
    4
    2 التعليقات ·554 مشاهدة
الصفحات المعززة