• *Roho mtakatifu kama mlinzi wetu*

    Isaya 4:5-6
    [5]Tena juu ya makao yote ya mlima Sayuni, na juu ya makusanyiko yake, BWANA ataumba *wingu na moshi wakati wa mchana, na mwangaza wa miali ya moto wakati wa usiku;* kwa maana juu ya utukufu wote itatandazwa sitara.
    .
    [6]Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya hari, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua.


    Wingu linalozungumzwa hapo kwenye agano la kale ni *Roho mtakatifu*

    Kumbe ukimkubali Kristo na kuuoshi wokovu roho wa Bwana anakuwa ndani yako na kazi moja wapo ya huyo *roho ni kukulinda wewe ulieamini*

    Mtu aliye mshika kristo ns kumuamini na kumpokea roho wake wakati wa mchana anafunikwa na kutulizwa na *Bwana na wakati wa usiku anamulikwa na Bwana*


    Kumbe kama roho wa Mungu anatumulika na kutukinga nini kinafanya watu wa Mungu tushindwe kuziishi ahadi ,*tumemuwekea mipaka roho mtakatifu* tukiamini *kunena kwa lugha ndo kipawa na jukumu la roho mtakatifu*

    Sasa tukitizama wakati taifa la islaeri limetoka misri lilikuwa linaongozwa na wingu la Bwana.

    Kutoka 13:21-22
    [21] *BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia*; na usiku, *ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru*; wapate kusafiri mchana na usiku;*

    [22]ile nguzo ya wingu *haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku,* mbele ya hao watu.

    Hivi ndivyo roho wa Mungu anavyo paswa kukuongoza wakati wa mchana na wakati wa usiku .

    Ukiwa na roho wa Bwana na akawa rafiki yako na kiongozi wako utafanya biashara kwa kubahatisha badala yake yeye atakuongoza uza kitu chenye wateja.

    Unaweza mkaribisha jirani yako kujifunza neno na sisi kwa kujoin link hapa chini
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Walokole tunakosa jicho la kuona fursa sababu tumemuwekea mipaka roho mtakatifu na wakati mwingine anatupa wazo tunalizimisha kwa kuto kujiamini na matokeo yake tunabaki jinsi tulivyo.

    Mtu aliye okoka na *akakubali kutii ndiye anayepaswa kula mema ya nchi* lakini imekuwa tofauti na uhalisia mtu ameokoka anaoshi dhana ya kuamini kuwa atakula kwa jasho iyo ilifanya kazi kabla ya wewe kuokoka saizi wewe unakula kwa wazo la kiMungu linalo shushwa na roho mtakatifu na wewe ukichukua hatua linageuka na kuleta matokeo .

    Musa aliijua siri hii ndo mana pasipo wingu akuenda mbele au kurudi nyuma.

    Kutoka 40:37
    [37]bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.

    Cha kujiuliza mimi na wewe ni hatua ngapi yumepiga bila kuongozwa na roho mtakatifu na tukapelekea kupoteza thamani zetu .

    Iko haja turudi kuitafuta toba kwani ni hatua tulienda mbele lakini kumbe ni shetani *alitutenda tu kwa akiri*

    Ni kweli tuliyaona matokeo lakini hayakuwa ya bwana turudi tuitafute tona kwani ya matokeo ya Bwana yanakuja.

    Unasema na sema nini muulize samweli alipo enda nyumbani kwa mzee Yese aliletewa watu 6 ambao ni expert na ni mashujaa kwa kuwaona na yey mwenyewe akazani kuwa yupo mmoja wapo lakini msikie bwana alivyo mwambia

    1 Samweli 16:7
    [7]Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.

    Samweli aljvyo mtazama Abnadabu aliona sifa zote za kuwa mfalme lakini roho akuona kama samweli alivyo kuwa anaona.

    Kumbe hata sisi hatupaswi kuingia kazini ,au kwenye biashara hata kwenye kilimo sababu tu watu wamesema kilimo cha matikiti kinatoa tunapaswa kutazama *Bwana anasema nini*

    Yakobo alimtazama bwana na bwana akamwambia nenda nami nitakuwa pamoja nawe na kukurejesha tena .

    Ok ahsante sana tusiache kuomba toba ungana nami toba hii

    *BWANA YESU TUNAKUJA MBELE ZAKO KUNA HATUA NILISOGEA BILA WEWE ROHO NAOMBA TOBA NISAMEHE YESU NA TANGU LEO NAOMBA ROHO WAKO MTAKATIFU ATEMBEE NA MIMI KAMA MUSA NA WANAISLAERI WALIVYO TEMBEA NA WINGU LAKO WAKATI WA MCHANA UNIPE KIVULI NA WAKATI WA USIKU UNIPE MWANGA SAWA SAWA NA KWENYE MAISHA YANGU* .AMEN

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

    Unaweza mkaribisha jirani yako kujifunza neno na sisi kwa kujoin link hapa chini
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    #Restoremenposition
    #build new eden
    #youth reformation and revival
    *Roho mtakatifu kama mlinzi wetu* Isaya 4:5-6 [5]Tena juu ya makao yote ya mlima Sayuni, na juu ya makusanyiko yake, BWANA ataumba *wingu na moshi wakati wa mchana, na mwangaza wa miali ya moto wakati wa usiku;* kwa maana juu ya utukufu wote itatandazwa sitara. . [6]Kisha kutakuwa na hema kuwa uvuli wakati wa mchana kwa sababu ya hari, na kuwa mahali pa kukimbilia na kujificha wakati wa tufani na mvua. Wingu linalozungumzwa hapo kwenye agano la kale ni *Roho mtakatifu* Kumbe ukimkubali Kristo na kuuoshi wokovu roho wa Bwana anakuwa ndani yako na kazi moja wapo ya huyo *roho ni kukulinda wewe ulieamini* Mtu aliye mshika kristo ns kumuamini na kumpokea roho wake wakati wa mchana anafunikwa na kutulizwa na *Bwana na wakati wa usiku anamulikwa na Bwana* Kumbe kama roho wa Mungu anatumulika na kutukinga nini kinafanya watu wa Mungu tushindwe kuziishi ahadi ,*tumemuwekea mipaka roho mtakatifu* tukiamini *kunena kwa lugha ndo kipawa na jukumu la roho mtakatifu* Sasa tukitizama wakati taifa la islaeri limetoka misri lilikuwa linaongozwa na wingu la Bwana. Kutoka 13:21-22 [21] *BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia*; na usiku, *ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru*; wapate kusafiri mchana na usiku;* [22]ile nguzo ya wingu *haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku,* mbele ya hao watu. Hivi ndivyo roho wa Mungu anavyo paswa kukuongoza wakati wa mchana na wakati wa usiku . Ukiwa na roho wa Bwana na akawa rafiki yako na kiongozi wako utafanya biashara kwa kubahatisha badala yake yeye atakuongoza uza kitu chenye wateja. Unaweza mkaribisha jirani yako kujifunza neno na sisi kwa kujoin link hapa chini https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Walokole tunakosa jicho la kuona fursa sababu tumemuwekea mipaka roho mtakatifu na wakati mwingine anatupa wazo tunalizimisha kwa kuto kujiamini na matokeo yake tunabaki jinsi tulivyo. Mtu aliye okoka na *akakubali kutii ndiye anayepaswa kula mema ya nchi* lakini imekuwa tofauti na uhalisia mtu ameokoka anaoshi dhana ya kuamini kuwa atakula kwa jasho iyo ilifanya kazi kabla ya wewe kuokoka saizi wewe unakula kwa wazo la kiMungu linalo shushwa na roho mtakatifu na wewe ukichukua hatua linageuka na kuleta matokeo . Musa aliijua siri hii ndo mana pasipo wingu akuenda mbele au kurudi nyuma. Kutoka 40:37 [37]bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena. Cha kujiuliza mimi na wewe ni hatua ngapi yumepiga bila kuongozwa na roho mtakatifu na tukapelekea kupoteza thamani zetu . Iko haja turudi kuitafuta toba kwani ni hatua tulienda mbele lakini kumbe ni shetani *alitutenda tu kwa akiri* Ni kweli tuliyaona matokeo lakini hayakuwa ya bwana turudi tuitafute tona kwani ya matokeo ya Bwana yanakuja. Unasema na sema nini muulize samweli alipo enda nyumbani kwa mzee Yese aliletewa watu 6 ambao ni expert na ni mashujaa kwa kuwaona na yey mwenyewe akazani kuwa yupo mmoja wapo lakini msikie bwana alivyo mwambia 1 Samweli 16:7 [7]Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo. Samweli aljvyo mtazama Abnadabu aliona sifa zote za kuwa mfalme lakini roho akuona kama samweli alivyo kuwa anaona. Kumbe hata sisi hatupaswi kuingia kazini ,au kwenye biashara hata kwenye kilimo sababu tu watu wamesema kilimo cha matikiti kinatoa tunapaswa kutazama *Bwana anasema nini* Yakobo alimtazama bwana na bwana akamwambia nenda nami nitakuwa pamoja nawe na kukurejesha tena . Ok ahsante sana tusiache kuomba toba ungana nami toba hii *BWANA YESU TUNAKUJA MBELE ZAKO KUNA HATUA NILISOGEA BILA WEWE ROHO NAOMBA TOBA NISAMEHE YESU NA TANGU LEO NAOMBA ROHO WAKO MTAKATIFU ATEMBEE NA MIMI KAMA MUSA NA WANAISLAERI WALIVYO TEMBEA NA WINGU LAKO WAKATI WA MCHANA UNIPE KIVULI NA WAKATI WA USIKU UNIPE MWANGA SAWA SAWA NA KWENYE MAISHA YANGU* .AMEN Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) Unaweza mkaribisha jirani yako kujifunza neno na sisi kwa kujoin link hapa chini https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #Restoremenposition #build new eden #youth reformation and revival
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·66 Views
  • Umrah Package: My Journey from Houston to the Holy Cities Booking an umrah package was the best decision I made this year. Living in Houston, I was surrounded by endless options, but choosing the right one felt overwhelming. I knew I wanted something spiritual, smooth, and sacred without stressing over logistics. This blog is a reflection of that journey, and I hope it guides others from Houston seeking a similar path. vist :https://blogg-booster.com/best-umrah-packages-from-usa-for-dallas-pilgrims/
    Why Houston Is a Great Starting Point for Umrah
    Houston is a vibrant city with a large Muslim community. That makes it easy to find packages that cater to every need.
    From visa assistance to direct flights, everything is well-organized here. Many Houston-based agencies offer packages departing from major airports, which reduces travel hassles. I personally appreciated the direct access to seasoned travel consultants who understood my expectations.
    What Makes a Good Umrah Package?
    Not all packages are created equal. I realized this the hard way.
    A good umrah package should cover more than flights and hotels. It should be a comprehensive experience spiritually enriching and logistically seamless. My focus was on finding a plan that included:
    Visa processing
    Roundtrip airfare
    Hotel accommodation near Haram
    Ground transportation
    Daily guidance or group leaders
    It took some comparing, but I found the best one with transparent services.
    Exploring August Umrah Packages: Ideal for Families
    August Umrah Packages are incredibly popular, especially for families.
    This is often a time when school breaks or work flexibility allow families to travel together. I noticed many agencies offer tailored plans during this month. Some even include group pricing and children-friendly facilities. The summer break also means fewer crowds in some weeks, making it peaceful for personal worship.
    One of the best things I enjoyed was seeing families doing tawaf together, united in faith.
    Budgeting Your Umrah Trip from Houston
    Let’s talk money because it's important.
    My umrah package included everything from flights to accommodations, and the total cost was surprisingly affordable. I didn’t opt for luxury, but I didn’t compromise on cleanliness or proximity to the Haram either.
    Booking early helped me get better rates. A few friends who waited until the last minute paid significantly more. I’d recommend comparing three to four packages before making a decision.
    Choosing Between Group and Solo Umrah Packages
    Both options have their perks.
    Group packages from Houston often include guided tours, fixed itineraries, and companionship. For first-timers, this brings a sense of security. On the other hand, I preferred solo travel. Having the flexibility to schedule my day around my energy and spiritual focus felt empowering. It wasn’t lonely; it was liberating.
    If you're a confident traveler, solo might be your calling.
    My Experience Booking with Hajj Umrah 4U US
    I booked my umrah package through Hajj Umrah 4U US, and the entire process was smooth.
    From the initial inquiry to the post-arrival support, their professionalism stood out. They handled the documentation efficiently, guided me on packing essentials, and even checked in after I returned. That extra layer of care made a big difference.
    No unnecessary delays, no hidden costs just genuine service.
    Best Travel Tips for Umrah from Houston
    Always carry a small power bank and extra Ihram
    Learn basic Arabic phrases to navigate easily
    Choose a hotel within walking distance to the Haram
    Carry your own prayer mat
    Hydrate often, especially during August Umrah Packages
    These small steps made my trip easier and more focused.
    What I Gained Beyond the Rituals
    Performing Umrah wasn’t just about the rituals.
    It was about the transformation I felt inside. Walking through Masjid al-Haram at dawn, seeing the Kaaba for the first time it moved me beyond words. The silence between prayers, the kindness of strangers, the spiritual clarity these moments left a lasting mark.
    The convenience of the umrah package allowed me to focus on these experiences rather than logistics.
    Houston Umrah Options Are Expanding
    Every year, more travel agencies in Houston join the market.
    That means better services, competitive pricing, and more package types. Whether you want a basic plan or something VIP, there’s an option for you. Some even offer female-led groups or youth-oriented plans.
    I’m already planning to go again next year, insha’Allah.
    Final Thoughts: Make It Your Journey
    Your spiritual journey is yours to shape.
    While August Umrah Packages offer great value, it’s not just about deals it's about preparation, intention, and presence. Find a package that supports your spiritual goals, not just your schedule.
    If you're in Houston, you're in the right place to begin.
    Frequently Asked Questions
    1. How early should I book my Umrah package from Houston?
    I recommend booking at least 2–3 months in advance, especially if you're aiming for August Umrah Packages.
    2. Can I customize my Umrah package?
    Yes, many agencies allow customization whether it’s flight class, hotel level, or trip duration.
    3. What documents are required for an Umrah visa from the US?
    You’ll need a valid passport, passport-sized photos, a vaccination certificate, and a confirmed return ticket.
    Umrah Package: My Journey from Houston to the Holy Cities Booking an umrah package was the best decision I made this year. Living in Houston, I was surrounded by endless options, but choosing the right one felt overwhelming. I knew I wanted something spiritual, smooth, and sacred without stressing over logistics. This blog is a reflection of that journey, and I hope it guides others from Houston seeking a similar path. vist :https://blogg-booster.com/best-umrah-packages-from-usa-for-dallas-pilgrims/ Why Houston Is a Great Starting Point for Umrah Houston is a vibrant city with a large Muslim community. That makes it easy to find packages that cater to every need. From visa assistance to direct flights, everything is well-organized here. Many Houston-based agencies offer packages departing from major airports, which reduces travel hassles. I personally appreciated the direct access to seasoned travel consultants who understood my expectations. What Makes a Good Umrah Package? Not all packages are created equal. I realized this the hard way. A good umrah package should cover more than flights and hotels. It should be a comprehensive experience spiritually enriching and logistically seamless. My focus was on finding a plan that included: Visa processing Roundtrip airfare Hotel accommodation near Haram Ground transportation Daily guidance or group leaders It took some comparing, but I found the best one with transparent services. Exploring August Umrah Packages: Ideal for Families August Umrah Packages are incredibly popular, especially for families. This is often a time when school breaks or work flexibility allow families to travel together. I noticed many agencies offer tailored plans during this month. Some even include group pricing and children-friendly facilities. The summer break also means fewer crowds in some weeks, making it peaceful for personal worship. One of the best things I enjoyed was seeing families doing tawaf together, united in faith. Budgeting Your Umrah Trip from Houston Let’s talk money because it's important. My umrah package included everything from flights to accommodations, and the total cost was surprisingly affordable. I didn’t opt for luxury, but I didn’t compromise on cleanliness or proximity to the Haram either. Booking early helped me get better rates. A few friends who waited until the last minute paid significantly more. I’d recommend comparing three to four packages before making a decision. Choosing Between Group and Solo Umrah Packages Both options have their perks. Group packages from Houston often include guided tours, fixed itineraries, and companionship. For first-timers, this brings a sense of security. On the other hand, I preferred solo travel. Having the flexibility to schedule my day around my energy and spiritual focus felt empowering. It wasn’t lonely; it was liberating. If you're a confident traveler, solo might be your calling. My Experience Booking with Hajj Umrah 4U US I booked my umrah package through Hajj Umrah 4U US, and the entire process was smooth. From the initial inquiry to the post-arrival support, their professionalism stood out. They handled the documentation efficiently, guided me on packing essentials, and even checked in after I returned. That extra layer of care made a big difference. No unnecessary delays, no hidden costs just genuine service. Best Travel Tips for Umrah from Houston Always carry a small power bank and extra Ihram Learn basic Arabic phrases to navigate easily Choose a hotel within walking distance to the Haram Carry your own prayer mat Hydrate often, especially during August Umrah Packages These small steps made my trip easier and more focused. What I Gained Beyond the Rituals Performing Umrah wasn’t just about the rituals. It was about the transformation I felt inside. Walking through Masjid al-Haram at dawn, seeing the Kaaba for the first time it moved me beyond words. The silence between prayers, the kindness of strangers, the spiritual clarity these moments left a lasting mark. The convenience of the umrah package allowed me to focus on these experiences rather than logistics. Houston Umrah Options Are Expanding Every year, more travel agencies in Houston join the market. That means better services, competitive pricing, and more package types. Whether you want a basic plan or something VIP, there’s an option for you. Some even offer female-led groups or youth-oriented plans. I’m already planning to go again next year, insha’Allah. Final Thoughts: Make It Your Journey Your spiritual journey is yours to shape. While August Umrah Packages offer great value, it’s not just about deals it's about preparation, intention, and presence. Find a package that supports your spiritual goals, not just your schedule. If you're in Houston, you're in the right place to begin. Frequently Asked Questions 1. How early should I book my Umrah package from Houston? I recommend booking at least 2–3 months in advance, especially if you're aiming for August Umrah Packages. 2. Can I customize my Umrah package? Yes, many agencies allow customization whether it’s flight class, hotel level, or trip duration. 3. What documents are required for an Umrah visa from the US? You’ll need a valid passport, passport-sized photos, a vaccination certificate, and a confirmed return ticket.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·981 Views
  • #SportsElite
    #NBC YOUTH Ligue
    #SportsElite🇹🇿 #NBC YOUTH Ligue
    Yay
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·428 Views
  • #SportsElite
    #NBC YOUTH Ligue
    #SportsElite🇹🇿 #NBC YOUTH Ligue
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·408 Views
  • YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA

    RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika,

    👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6
    👉🏿Wameshinda 5
    👉🏿Wamedroo 1
    👉🏿Wamevuna alama 16

    FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS,

    RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
    YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA 🏆 RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika, 👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6 👉🏿Wameshinda 5 👉🏿Wamedroo 1 👉🏿Wamevuna alama 16 FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS, RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·548 Views
  • IJUMAA na MAAJABU YAKE #ansaarmuslimyouthcentre #rawdhamedia
    IJUMAA na MAAJABU YAKE #ansaarmuslimyouthcentre #rawdhamedia
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·744 Views
  • Zaira ya ki da'wah Ansaar Muslim Youth Center
    Zaira ya ki da'wah Ansaar Muslim Youth Center
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·292 Views
  • Youth is beauty, even in cattle
    Youth is beauty, even in cattle
    Like
    Love
    7
    · 2 Commentarii ·0 Distribuiri ·416 Views