Upgrade to Pro

  • Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule

    Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka

    Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu

    Oya huyu dogo ni moto

    #muslehelbarcaupdates

    #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule 🙄 Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka 🔥 Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu 😂 Oya huyu dogo ni moto 🔥 #muslehelbarcaupdates 👽 #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Love
    1
    1 Comments ·197 Views
  • Hii ilikuwa mechi nyingine kali ya uwanja. Kibwana bs Kabwit
    Hii ilikuwa mechi nyingine kali ya uwanja. Kibwana bs Kabwit
    Love
    Like
    Haha
    Yay
    7
    3 Comments ·183 Views
  • YAO: SINA SHIDA NA KIBWANA

    "Niseme wazi, Kibwana ni beki mzuri na wala sina tatizo naye, lakini nikipona majeraha nitarudi kwenye nafasi yangu. Naujua uwezo wangu ila namuachia kocha ndiye atakayeamua nani acheze wapi, kwa kuwa jambo la msingi ni wachezaji wote kuisaidia timu kufanikiwa."

    🗣 YAO KOUASSI, Nyota wa Yanga SC via Mwanaspoti
    YAO: SINA SHIDA NA KIBWANA "Niseme wazi, Kibwana ni beki mzuri na wala sina tatizo naye, lakini nikipona majeraha nitarudi kwenye nafasi yangu. Naujua uwezo wangu ila namuachia kocha ndiye atakayeamua nani acheze wapi, kwa kuwa jambo la msingi ni wachezaji wote kuisaidia timu kufanikiwa." 🗣 YAO KOUASSI, Nyota wa Yanga SC via Mwanaspoti
    ·115 Views
  • Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA )

    ✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ?

    1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ?

    2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free .

    3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji

    ✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili .

    NOTE

    1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri

    2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi )

    3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses )

    4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo

    5: Bacca + Job

    6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka

    7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga )

    8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy )

    FT: Yanga 3-1 TP Mazembe

    Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA ) ✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ? 1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ? 2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free . 3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji ✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili . NOTE 1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri 2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi ) 3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses ) 4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo 5: Bacca + Job 🔥🔥 6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka🔥 7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga ) 8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 🔥💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy ) FT: Yanga 3-1 TP Mazembe
    ·235 Views
  • ✍🏻Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA )

    ✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ?

    1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ?

    2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free .

    3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji

    ✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili .

    NOTE

    1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri

    2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi )

    3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses )

    4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo

    5: Bacca + Job

    6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka

    7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga )

    8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy )
    #neliudcosiah
    ✍🏻Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA ) ✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ? 1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ? 2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free . 3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji ✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili . NOTE 1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri 2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi ) 3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses ) 4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo 5: Bacca + Job 🔥🔥 6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka🔥 7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga ) 8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 🔥💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy ) #neliudcosiah
    Like
    1
    ·266 Views
  • UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE.
    .
    .
    .

    ✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho

    1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira

    2: Walikuwa makini na pasi zao

    3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira

    4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia

    5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri )

    6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo )

    ✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ?

    1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 )

    2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia

    ✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka .

    NOTE

    1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira

    2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake

    3: Kibwana na Boka good game

    4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa

    5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making

    6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake

    FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate
    UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE. . . . ✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho 1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira 2: Walikuwa makini na pasi zao 3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira 4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia 5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri ) 6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo ) ✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ? 1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 ) 2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia ✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka . NOTE 1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira 🔥 2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake 3: Kibwana na Boka good game 🔥 4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa 5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making 🔥 6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake 🔥 FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate
    ·138 Views
  • Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu;

    - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili
    - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili

    Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu;

    1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1;

    - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni

    - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage

    - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo

    - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu

    2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa;

    - Ufanisi wa pasi
    - Combinations play
    - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks

    Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya;

    - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora
    - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora

    Set Plays siri kuu ni;

    - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls)
    - Wapigaji wazuri

    NOTE

    1: Dube magoli yanakuja na assist pia

    2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana

    3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele

    4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo

    5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi

    6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake

    FT: Yanga 4-0 Prisons

    👉 Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu; - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili 👉 Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu; 1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1; - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu 2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa; - Ufanisi wa pasi - Combinations play - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks 👉 Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya; - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora 👉 Set Plays siri kuu ni; - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls) - Wapigaji wazuri NOTE 1: Dube magoli yanakuja na assist pia 🔥 2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana 3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele 4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo 5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi 6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake FT: Yanga 4-0 Prisons
    ·283 Views
  • Maua ya Kibwana Shomari
    Maua ya Kibwana Shomari 🔥
    ·50 Views
  • HESHIMA KWAKE KIBWANA. UTADHANI HAKUWA NJE YA GAME KWA MUDA MREFU
    HESHIMA KWAKE KIBWANA. UTADHANI HAKUWA NJE YA GAME KWA MUDA MREFU
    Like
    Love
    3
    ·128 Views
  • MSIKILIZE KIBWANA
    MSIKILIZE KIBWANA
    Like
    Love
    3
    ·103 Views
  • Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ?

    Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka .

    Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) .

    Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi .

    Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga .

    Kibwana Shomari amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome

    FT : Yanga 3-2 Mashujaa

    Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na mpira kivipi ? Yanga kama dakika 30 za kwanza waliutembeza mpira kwa uharaka sana (Decision Making , runners walikuwa wengi eneo la mbele , walipata nafasi kubwa kwenye mpira (Pacome na Mzize) mda mwingi FBs wa Yanga walikuwa pembeni zaidi kwenye chaki….dhumuni ni kutafuta mapana ya uwanja na kuitanua block ya Mashujaa nafasi kwa wale namba 10 wawili + Pacome na Mzize ambao walikuwa wanaingia kwenye Half spaces zikaanza kufunguka . Mashujaa kwenye plan ya kuzuia wakiwa chini kwenye “Mid Block” then wakipora mpira haraka sana wanatengeneza mashambulizi kwa kushtukiza (Offesive Transition) na walinufaika na makosa ya safu ya ulinzi kutoka kwa Yanga (Goli la Ulomi “Defense line kusinzia , goli la pili makosa ya golikipa) . Mashujaa kuna nyakati kwenye kiungo walicheza vizuri sana , Pasi sahihi , movements lakini pia walitengeneza namba nzuri ya wachezaji (Overloads) ….. kulikuwa na nafasi kubwa kati ya kiungo cha Yanga na walinzi . Prince Dube anafunga “Hattrick” ya kwanza msimu huu NBCPL …. Ni mchezo wake bora sana tangia ajiunge na Yanga . Kibwana Shomari 👏 amecheza game bora sana , Duke akiwa na mali ni ngumu kuchukua …. Wale viungo wa Mashujaa wametoa game bora dhidi ya Yanga . Pacome 👍 FT : Yanga 3-2 Mashujaa
    ·162 Views
  • Uchambuzi wa Georgea Ambangile.

    Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo

    1: Kasi
    2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka
    3: Movements nyingi nzuri
    4: Wanashinda mipambano yao
    5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira .
    6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele

    Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay )

    Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu .

    Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo .

    Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia .

    NOTE

    1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele

    2:Kiungo cha Mashujaa kinacheza

    3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu

    4: Khomeny lile kosa aisee

    5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali

    6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea

    7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️

    FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC

    Uchambuzi wa Georgea Ambangile. Yanga walianza mechi wakionesha dhamira ya kuutaka mchezo 1: Kasi 2: Kupasia mpira kwa umakini na haraka 3: Movements nyingi nzuri 4: Wanashinda mipambano yao 5: Na wakipoteza mpira haraka sana wanaweka presha kwenye mpira . 6: Kushambulia na idadi nzuri ya wachezaji mbele Nafikiri Pacome na Mzize wingplay yao ilihitaji fullbacks ambao wapo tayari kusogea juu ( Yao na Kibwana ) ili kushambulia na mpira tena maeneo sahihi : Yao na Kibwana wana overlaps haraka sana kufanya Pacome + Mzize kudribble ndani zaidi dhidi ya fullbacks , kitu ambacho kilifungua spaces pembeni ya uwanja kwa fullbacks wao ( Good wingplay ) Ujasiri wa viungo watatu ( Dunia ,Balama na Mgandila ) kupokea mpira eneo lolote na wakati wowote iliwasaidia kupunguza ukali wa pressing ya Yanga , walianza kutoka nyuma na kupasi vizuri katikati ya mistari ya Yanga ( Playing through the lines ) , na kuwafanya Yanga kuanza kuzuia kwa katikati zaidi badala ya juu . Nafikiri kitu ambacho kocha Baresi alitamani kifanyike na vijana wake ni kuwa na uthubutu wa kuongeza idadi ya wachezaji kwenda mbele , kulikuwa na spaces nyuma ya kiungo cha Yanga , ambayo ilihitaji wingi wa wachezaji maeneo hayo . Ramovic ali react vizuri , kutumia viungo watatu dakika kama 25 za mwisho ( Aucho , Muda na Abuya ) ni kupunguza / kuondoa nia ya Mashujaa kucheza ndani zaidi : Ramovic akafanya iwe 3v3 ... uzuri kwake ni Abuya na Mudathir wanaweza kusogea juu na kurudi kuzuia . NOTE 1:Kibwana kacheza mechi nzuri , kiulinzi na kwenda mbele 2:Kiungo cha Mashujaa 🔥 kinacheza 3: Aucho atakuwa anawafikirisha sana Yanga kuhusu mbadala wake wa muda mrefu 4: Khomeny lile kosa aisee 🤔 5: Uromi spanshot . Kapiga haraka tena chini mbali 🔥 6: Pacome akiwa na mpira unaona kitu kinaenda kutokea 7: PRINCE DUBE ... Hat trick hero .! Confidence ya mshambuliaji inapatikana na magoli . ⚽️⚽️⚽️🔥 FT: Yanga SC 3-2 Mashujaa FC
    ·164 Views
  • .MAONI YA MDAU👇🏽

    NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE...

    Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo

    Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita

    Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi

    Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji

    KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap

    Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League

    So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli
    .MAONI YA MDAU👇🏽 NABI AILIACHA TIMU NZIMA IKIWA KATIKA KIWANGO BORA, KILA MCHEZAJI ALIKUWA ANA WEZA KUANZA KWENYE MECHI YEYOTE... Alipokuja GAMONDI akatengeneza KIKOSI chake Cha wachezaji 11 pekee hao ndio aliwatumia kumpatia matokeo , GAMONDI hakufanya rotation kama Nabi, GAMONDI hakuwa na mpango na wachezaji ambao sio first eleven yake, Dalili mbaya zilianza kuonekana mapema sema kwa kuwa Tayari alikuta wachezaji wapo katika ubora mkubwa hivyo hakupata shida kupata matokeo Gamondi aliwatumia wacheza mfululizo bila rotation na bila kuwapumzisha kina Yao, Aziz , Job, Bacca , Mudathir, Maxi matokeo yake hawa wachezaji wamechoka , kumbuka msimu uliopita namna tulivyokuwa na msimu mgumu wenye ratiba ngumu na mechi nyingi ngumu , Hawa wachezaji msimu huu ndio wamepungua energy matokeo yake mnaona hata yeye GAMONDI msimu ulipo anza alishindwa kuwa na Yanga ya msimu uliopita Nikisema GAMONDI ndio tatizo kubwa na kaua project nzima ambayo NABI ALIJENGA nasema kwa mlengo huo, GAMONDI anaweza akawa alishinda goli Tano Tano sawa lakini Ile Timu haikuwa ameandaa yeye aliikuta Timu ya Nabi Gamondi alishindwa kabisa kuwatumia wachezaji wapya kama Skudu, Okrah , Hafiz Konkoni , Gift Fred na akashindwa pia kuwatumia wachezaji kama Sure Boy, Farid Musa, Kibwana Shomari, as a coach naona GAMONDI alifeli kwenye development ya wachezaji KOCHA kama GAMONDI anahitaji already made player , lakini ni ukweli kwamba pamoja na mazuri mengi aliyofanya GAMONDI kwangu Mimi bado hajafika level ambayo NABI aliijenga Yanga Sc ikawa Timu ambayo hata mchezaji mmoja akosekane bado huwezi kuona gap Mara nyingine Huwa nawaza kama Nabi msimu uliopita angekuwepo Yanga pengine tungecheza FAINALI ya CAF Champions League So nikisema kosa lilikuwa kumpa GAMONDI timu ni kwa maeneo hayo ambayo GAMONDI alishindwa kuyaendeleza, Msimu huu wenyewe GAMONDI hakuwa na option zaidi ya kutumia wachezaji wale wale wa KIKOSI chake , nje na hapo GAMONDI amefeli 🙏🙏🙏
    Love
    Like
    5
    ·516 Views
  • Huyu kibabage kumbe nizaidi ya lomalisa shusha comment @soccersports
    #kibabage
    #kibwana
    #job
    #mshely
    #Nkane
    #yangasc
    Huyu kibabage kumbe nizaidi ya lomalisa🤣 shusha comment 👇@soccersports #kibabage #kibwana #job #mshely #Nkane #yangasc
    Love
    Like
    3
    1 Comments ·1K Views
  • .... Mikataba mipya ndani ya Young Africans

    Djigui Diarra
    Khalid Aucho
    Bakari Mwamnyeto
    Aziz KI
    Farid Mussa
    Jonas Mkude
    Clement Mzize
    Nickson Kibabage
    Kibwana Shomari
    Aboutwalib Mshery
    .... 🚨 Mikataba mipya ndani ya Young Africans 🇹🇿 ✅ Djigui Diarra 🇲🇱 ✅ Khalid Aucho 🇺🇬 ✅ Bakari Mwamnyeto 🇹🇿 ✅ Aziz KI 🇧🇫 ✅ Farid Mussa 🇹🇿 ✅ Jonas Mkude 🇹🇿 ✅ Clement Mzize 🇹🇿 ✅ Nickson Kibabage 🇹🇿 ⌛ Kibwana Shomari 🇹🇿 ⌛ Aboutwalib Mshery 🇹🇿
    Like
    3
    ·340 Views