Upgrade to Pro

  • Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..

    Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..

    SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..
    #neliudcosiah
    Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..☺️ Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..😁 SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..😁 #neliudcosiah
    Like
    1
    ·12 Views
  • Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali.

    Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu.

    Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie.

    Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote.

    Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli.

    Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye.

    Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake.

    Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea.

    Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili.

    Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye.

    Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi.

    Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu.

    N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi

    #neliudcosiah
    Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali. Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu. Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie. Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote. Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli. Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye. Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake. Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea. Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili. Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye. Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi. Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu. N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi 😀😀🙌🙌 #neliudcosiah
    Like
    2
    1 Yorumlar ·16 Views
  • Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke,akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?"

    Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo"

    "Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo"

    "Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake"

    Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema"

    Na akaondoka zake.
    Ni follow
    #neliudcosiah
    Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke,akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?" Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo" "Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo" "Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake" Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema" Na akaondoka zake. Ni follow 👇 #neliudcosiah
    Like
    1
    1 Yorumlar ·12 Views
  • Tumewasili Dodoma salama.
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Tumewasili Dodoma salama. #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    2
    ·150 Views
  • #neliudcosiah
    #morals
    #neliudcosiah #morals
    Like
    1
    ·74 Views ·25 Views
  • KAULI YA JESHI LA POLISI VURUGU BAADA YA MECHI KATI YA SIMBA SC NA CS SFAXIEN

    Leo Desemba 15, 2024 majira ya saa 11. 50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi.

    Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na "benchi" la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia.

    Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao.

    "Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki" Taarifa hiyo imeeleza.

    #neliudcosiah
    KAULI YA JESHI LA POLISI VURUGU BAADA YA MECHI KATI YA SIMBA SC NA CS SFAXIEN Leo Desemba 15, 2024 majira ya saa 11. 50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na "benchi" la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia. Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao. "Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki" Taarifa hiyo imeeleza. #neliudcosiah
    Like
    3
    4 Yorumlar ·107 Views
  • Safari ya kurejea nyumbani imeanza
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Safari ya kurejea nyumbani imeanza #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    3
    ·86 Views
  • Kwa mujibu wa mtandao wa Africa soccer zone, jezi ya YANGA imeshika nafasi ya pili kwa ubora Africa..
    N.B, Wanasema kama huioni ya kwako, ongeza ubora kwenye ubunifu
    #neliudcosiah
    Kwa mujibu wa mtandao wa Africa soccer zone, jezi ya YANGA imeshika nafasi ya pili kwa ubora Africa.🔰😂💯. N.B, Wanasema kama huioni ya kwako, ongeza ubora kwenye ubunifu 😂 #neliudcosiah
    ·72 Views
  • Hawa nyuki wa tabora mbona kama wana balaaa Hawa
    #neliudcosiah
    Hawa nyuki wa tabora mbona kama wana balaaa Hawa 😂 #neliudcosiah
    Like
    1
    ·56 Views
  • #neliudcosiah
    Vp mdau ana hoja asikilizwe!?

    #neliudcosiah Vp mdau ana hoja asikilizwe!? 🤔
    ·126 Views ·1 hisse senetleri
  • #neliudcosiah
    #neliudcosiah
    Like
    1
    1 Yorumlar ·83 Views ·12 Views