Mise à niveau vers Pro


  • SIMBA NA CEO MPYA.

    Simba imemtambulisha Mwanadada Zubeda Hassan Sakuru Kua CEO wao Mpya Baada ya yule wa awali Raia wa Rwanda Franco Regis baada ya kukwama kwenye baadhi ya mambo ikisemekana kukosa baadhi ya Vibali vya kazi.

    Bi.Zubeda Hassan anaenda kuchukua nafasi hiyo Rasmi.
    #paulswai
    SIMBA NA CEO MPYA. Simba imemtambulisha Mwanadada Zubeda Hassan Sakuru Kua CEO wao Mpya Baada ya yule wa awali Raia wa Rwanda Franco Regis baada ya kukwama kwenye baadhi ya mambo ikisemekana kukosa baadhi ya Vibali vya kazi. Bi.Zubeda Hassan anaenda kuchukua nafasi hiyo Rasmi. #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    11
    4 Commentaires ·220 Vue
  • Mpaka sasa Simba Sports wanaongoza kuchukua Tuzo za mchezaji bora wa mechi ligi Kuu NBC

    Katika michezo 11, Wamebeba tuzo 8

    Jean Ahoua (2)
    Che Melone (2)
    Shomari Kapombe
    Debora Mavambo
    Moussa Camara
    Leonel Ateba

    Hii ni dhahiri Simba wana wachezaji wengi wenye ubora mkubwa

    #paulswai
    Mpaka sasa Simba Sports wanaongoza kuchukua Tuzo za mchezaji bora wa mechi ligi Kuu NBC Katika michezo 11, Wamebeba tuzo 8🙌 🏅Jean Ahoua (2) 🏅Che Melone (2) 🏅Shomari Kapombe 🏅Debora Mavambo 🏅Moussa Camara 🏅Leonel Ateba Hii ni dhahiri Simba wana wachezaji wengi wenye ubora mkubwa🔥 #paulswai
    Like
    Love
    7
    3 Commentaires ·224 Vue
  • FURAHA YA MASHABIKI WA SIMBASC BAADA YA USHINDI

    #paulswai
    FURAHA YA MASHABIKI WA SIMBASC BAADA YA USHINDI #paulswai
    Love
    Like
    Yay
    7
    ·288 Vue ·170 Vue

  • GOLI LA ATEBA ALILOFUNGA KWA MKWAJU WA PENALTY DAKIKA YA 22.

    PAMBA JIJI 0️⃣1️⃣ SIMBASC

    Game on

    #paulswai
    GOLI LA ATEBA ALILOFUNGA KWA MKWAJU WA PENALTY DAKIKA YA 22. PAMBA JIJI 0️⃣🆚1️⃣ SIMBASC Game on🔥🔥🔥 #paulswai
    Like
    Love
    4
    ·258 Vue ·142 Vue

  • HT: PAMBA JIJI 0-1 SIMBA SC
    ⚽️ Lionel Ateba

    #paulswai
    HT: PAMBA JIJI 0-1 SIMBA SC ⚽️ Lionel Ateba #paulswai
    Like
    Love
    9
    2 Commentaires ·267 Vue
  • GOOOOOOOOOOOOOAL
    DK22
    ATEBA

    PAMBA JIJI 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC

    #paulswai
    GOOOOOOOOOOOOOAL DK22 ATEBA ⚽ PAMBA JIJI 0️⃣🆚️1️⃣ SIMBA SC #paulswai
    Like
    Love
    6
    ·271 Vue
  • KIKOSI CHA SIMBASC KINACHOANZA DHIDI YA PAMBA JIJI

    #paulswai
    KIKOSI CHA SIMBASC KINACHOANZA DHIDI YA PAMBA JIJI #paulswai
    Like
    Love
    6
    1 Commentaires ·266 Vue
  • SIMBA WALIMFUNGIA MENEJA WA UWANJA KWENYE UWANJA ANAOUSIMAMIA
    SIMBA WALIMFUNGIA MENEJA WA UWANJA KWENYE UWANJA ANAOUSIMAMIA
    Love
    Like
    4
    ·296 Vue ·111 Vue
  • Mbona wanajisahau sana #simba_sc
    Mbona wanajisahau sana😁😁😁😂😂🤐🤐🤐 #simba_sc
    Like
    1
    ·77 Vue
  • Ila hawa nyumbu akili ndogo sana kama boss wao kakubali wao et hawataki #simba sc Ahmed Kodama
    Ila hawa nyumbu akili ndogo sana kama boss wao kakubali wao et hawataki #simba sc [Ahmedkodama]
    Like
    1
    ·79 Vue
  • PAMBA JIJI VS SIMBA SC November22, saa16:00 jion
    PAMBA JIJI VS SIMBA SC November22, saa16:00 jion
    Like
    1
    ·79 Vue
  • SIMBA SC VS FC BRAVOS, November 27
    SIMBA SC VS FC BRAVOS, November 27
    ·74 Vue
  • TUPO TAYARI KUMVAA PAMBA JIJI,POINTS 3 MUHIMU KWA WANASIMBA
    TUPO TAYARI KUMVAA PAMBA JIJI,POINTS 3 MUHIMU KWA WANASIMBA
    Love
    1
    ·100 Vue
  • Rock City Simba
    Rock City 💪Simba
    Like
    Love
    2
    ·79 Vue
  • VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA

    1. GUINEA
    Camara -Simba (Tanzania)
    Diakite -Cerce Bruggle(Belgium)
    Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania)
    Saidou Sow -Strasbourg (France)
    Issiaga Sylla -Montpellier (France)
    Mohamed Camara-PAOK (Greece)
    Abdoulaye Toure -Le Havre(France)
    Morlaye Sylla -Arouca(Portugal)
    Seydouba Cisse-Leganese(Spain)
    Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia)
    Serhou Guirassy -Borussia Dortmund

    2. TANZANIA
    Manula-Simba(Tanzania)
    Kapombe-Simba(Tanzania)
    Hussein-Simba(Tanzania)
    Job-Yanga(Tanzania)
    Hamad-Yanga(Tanzania)
    Yahaya-Yanga(Tanzania)
    Bitegeko-Azam(Tanzania)
    Msuva-Al Talaba(Iraq)
    Salum-Azam(Tanzania)
    Mzize-Yanga(Tanzania)
    Samatta-PAOK(Greece)

    NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA 1. GUINEA Camara -Simba (Tanzania) Diakite -Cerce Bruggle(Belgium) Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania) Saidou Sow -Strasbourg (France) Issiaga Sylla -Montpellier (France) Mohamed Camara-PAOK (Greece) Abdoulaye Toure -Le Havre(France) Morlaye Sylla -Arouca(Portugal) Seydouba Cisse-Leganese(Spain) Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia) Serhou Guirassy -Borussia Dortmund 2. TANZANIA Manula-Simba(Tanzania) Kapombe-Simba(Tanzania) Hussein-Simba(Tanzania) Job-Yanga(Tanzania) Hamad-Yanga(Tanzania) Yahaya-Yanga(Tanzania) Bitegeko-Azam(Tanzania) Msuva-Al Talaba(Iraq) Salum-Azam(Tanzania) Mzize-Yanga(Tanzania) Samatta-PAOK(Greece) NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    Like
    Love
    Wow
    8
    1 Commentaires ·400 Vue
  • Mnyama Simba SC, Jumatano ya Novemba 27 atakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akiwakaribisha FC Bravos kutoka Angola, ni mechi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

    Mchezo huu utapigwa saa 10:00 jioni

    #CAFCC #SimbaSC #FCBravos

    #paulswai
    Mnyama Simba SC, Jumatano ya Novemba 27 atakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akiwakaribisha FC Bravos kutoka Angola, ni mechi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huu utapigwa saa 10:00 jioni #CAFCC #SimbaSC #FCBravos #paulswai
    Love
    Like
    7
    ·381 Vue

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Love
    Angry
    Like
    Haha
    8
    4 Commentaires ·261 Vue ·1 Parts

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Yay
    Angry
    3
    3 Commentaires ·242 Vue
  • Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC.

    "Kwann Gamooo kafukuzwa??!

    Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo

    Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi

    Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa

    Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi

    Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye

    Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC. "Kwann Gamooo kafukuzwa??! Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    ·132 Vue
  • Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC na mchezo umeisha kwa sale ya simbasc 1-1kmc

    #paulswai
    Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC na mchezo umeisha kwa sale ya simbasc 1-1kmc #paulswai
    Love
    Like
    Haha
    4
    2 Commentaires ·195 Vue
Plus de résultats