• Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .

    Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .

    Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"

    Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .

    Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake

    #SportsElite
    Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili ๐Ÿ˜Ž. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 999 Views
  • Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain

    Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. .

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. ๐Ÿฅด๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 707 Views
  • BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 529 Views
  • Marcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona.

    Rashford

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona. Rashford โœˆ๏ธ #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 402 Views
  • Ranki za FIFA

    1. Argentina
    2. Spain
    3. France
    4. England
    5. Brazil
    6. Portugal
    7. Netherlands
    8. Belgium
    9. Germany
    10. Croatia
    ๐Ÿšจ Ranki za FIFA 1. Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท 2. Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 3. France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 4. England ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 5. Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท 6. Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 7. Netherlands ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ 8. Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช 9. Germany ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช 10. Croatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท
    0 Commenti 0 condivisioni 466 Views
  • Match Day | SEMI FINAL

    โšช๏ธ UEFA Nations League

    โ“‚  Spain France
      Midnight
    EAT | 22:00 PM
    EAT | 22:00 PM
      IND | 12:30 AM
      UAE | 11:00 PM
    ZIM | 09:00 PM
    GMT | 19:00
      Live Link
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    ๐— ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜€:
    โšช๏ธ World Cup Qualification CONMEBOL

    Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
    Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
    Chile Vs Argentina 04:00 EAT
      https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    #Share

    ๐ƒ๐”๐ƒ๐”๐”_๐Œ๐„๐๐ƒ๐„๐™ V5
    โ–ถ๏ธŽ โ—โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€ 0:41
    โšก Match Day | SEMI FINAL โœจ โšช๏ธ๐ŸŸข UEFA Nations League โ“‚  Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ†š France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ“…  Midnight ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ EAT | 22:00 PM ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช EAT | 22:00 PM ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ  IND | 12:30 AM ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช  UAE | 11:00 PM ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ ZIM | 09:00 PM ๐ŸŒŽ GMT | 19:00 ๐Ÿ“บ  Live Link ๐Ÿ‘‰ https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด ๐— ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ ๐— ๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜€: โšช๏ธ๐ŸŸข World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Vs Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท 02:00 EAT Paraguay ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Vs Uruguay ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ 02:00 EAT Chile ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฑ Vs Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท 04:00 EAT ๐Ÿ‘‰  https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share โšฝ๐Ÿ”œ ๐ƒ๐”๐ƒ๐”๐”_๐Œ๐„๐๐ƒ๐„๐™ V5 โ–ถ๏ธŽ โ—โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€โ”€ 0:41
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • POUL POGBA NDIYE ALIMPAMBANIA AMAD KUREJEA MANCHESTER UNITED

    Kiungo Fundi Mwenye Asili ya Guinea Poul Labile Pogba Ndiye aliempambania Winga Amad Dialo kurejea Kwenye Kikosi Cha Manchester United.

    AMAD DIALO Alisajiliwa na Manchester United mnamo Januari 2021, alijiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United, akitokea Atalanta ya Nchini Italy.

    Kutokana na kiwango alichokua nacho Amad Dialo hakikua kizuri Kocha wa United kipindi hicho Ole Gunnar Solskjær aliuambia Uongozi Amad Atolewee kwa Mkopo kitu Ambacho Marcus Rashford Pamoja na Pogba Waliweka Upingamizi lakini alitolewa kwa Mkopo na Kwenda Rangers .

    Michael Carrick alipopewa Nafasi ya kukinoa Kikosi Cha United kwa muda Pogba na Marcus Rashford walimwambia asaidie Amad kurejea Kikosini na Carick kabla hajaondoka alitoa pendekezo hilo na Amad alirejea kama Kipaji na Eric Ten Hag alivyokua Kocha wa Manchester United alikua Hana mamlaka ya kumuondoa Amad licha ya kua alikua akimweka Benchi lakini Amd aliisaidia United hata akitokea Benchi.

    Aliwafunga Liverpool robo Fainali kwenda Nusu Fainali ya FA na United wakashinda Kombe hilo mbele ya Manchester City.

    Licha ya Marcus Rashford na Pogba kutokua na Maelewano na Makocha wa Manchester United wapya kwakua mara nyingi hupishana Kauli na Namna ya kuendesha timu lakini Amad Dialo aliambiwa akomae apambane na yeye ni Manchester United.

    Hata hivyo Amad Dialo tangu akiwa mdogo alikua ni Shabiki Wa Chelsea na Real Madrid

    Amezaliwa: July 11, 2002 (age 22 years), Jijini Abidjan, Nchini Côte d’Ivoire mama yake ni Mzungu wa Italian mama yake ni Mwafrica wa Ivorcost ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ AMAD DIALO amekulia sana kwao na mama yake kwa Sababu upande wa baba yake walikua hawamtaki kwa kile kilichosemekana kua yeye sio mzungu hivyo mimba ilitokea bahati Mbaya.

    Mpaka hapo baadae baba yake alivyomchukua na kumpeleka Kwao Italy na kuanza maisha na Mwanae na ndipo alipompeleka Shule ya Mpira ya Atalanta ambayo ni Klabu anayoishabikia pia baba yake na Amad Diallo ni Mwananchi wa Italy mwenye Asili ya Spain.

    AMAD DIALO kutokana na kukulia kwa mama yake Lugha anayoifahamu ni Kifaransa pia ana Uraia wa Nchi ya mama yake kwa Sababu ya mama yake kumpambania licha ya kidogo alichokipata Amad ni kaka wa Mdogo wake wa kike ambaye alimwacha kwa mama yake.

    Moja ya Ahadi ambayo Amad Diallo aliwahi kumuahidi mama yake ni kua atarudi kama mtu mkubwa na atarudi kumsaidia na ataichezea Nchi yake mama yake na atajitumaa sana.

    Kukubali Kujiunga na Manchester United na kuikata Chelsea ni kwa Sababu mama yake Mzazi anashabikia klabu hiyo ya Manchester United tangu akiwa Binti wa miaka 15 .

    Mama yake dini yake ni Muslim hivyo na Amad Diallo alichagua Upande wa mama yake pia aliwahi kusema anacheza kwa bidi kwenye Kila mechi anayopangwa kwa sababu mama yake Mzazi anakua Africa akimtazama ndani ya Klabu yake.

    Mara nyingi alikua akionekana na Marcus Rashford kwenye mazoezi binafsi ya Gym na mara Nyingi amekua akipokea ushauri kutoka kwa Pogba ambaye aliondolewa Manchester United.

    #JeWajua
    POUL POGBA NDIYE ALIMPAMBANIA AMAD KUREJEA MANCHESTER UNITED Kiungo Fundi Mwenye Asili ya Guinea Poul Labile Pogba Ndiye aliempambania Winga Amad Dialo kurejea Kwenye Kikosi Cha Manchester United. AMAD DIALO Alisajiliwa na Manchester United mnamo Januari 2021, alijiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United, akitokea Atalanta ya Nchini Italy. Kutokana na kiwango alichokua nacho Amad Dialo hakikua kizuri Kocha wa United kipindi hicho Ole Gunnar Solskjær aliuambia Uongozi Amad Atolewee kwa Mkopo kitu Ambacho Marcus Rashford Pamoja na Pogba Waliweka Upingamizi lakini alitolewa kwa Mkopo na Kwenda Rangers . Michael Carrick alipopewa Nafasi ya kukinoa Kikosi Cha United kwa muda Pogba na Marcus Rashford walimwambia asaidie Amad kurejea Kikosini na Carick kabla hajaondoka alitoa pendekezo hilo na Amad alirejea kama Kipaji na Eric Ten Hag alivyokua Kocha wa Manchester United alikua Hana mamlaka ya kumuondoa Amad licha ya kua alikua akimweka Benchi lakini Amd aliisaidia United hata akitokea Benchi. Aliwafunga Liverpool robo Fainali kwenda Nusu Fainali ya FA na United wakashinda Kombe hilo mbele ya Manchester City. Licha ya Marcus Rashford na Pogba kutokua na Maelewano na Makocha wa Manchester United wapya kwakua mara nyingi hupishana Kauli na Namna ya kuendesha timu lakini Amad Dialo aliambiwa akomae apambane na yeye ni Manchester United. Hata hivyo Amad Dialo tangu akiwa mdogo alikua ni Shabiki Wa Chelsea na Real Madrid Amezaliwa: July 11, 2002 (age 22 years), Jijini Abidjan, Nchini Côte d’Ivoire mama yake ni Mzungu wa Italian mama yake ni Mwafrica wa Ivorcost ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ AMAD DIALO amekulia sana kwao na mama yake kwa Sababu upande wa baba yake walikua hawamtaki kwa kile kilichosemekana kua yeye sio mzungu hivyo mimba ilitokea bahati Mbaya. Mpaka hapo baadae baba yake alivyomchukua na kumpeleka Kwao Italy na kuanza maisha na Mwanae na ndipo alipompeleka Shule ya Mpira ya Atalanta ambayo ni Klabu anayoishabikia pia baba yake na Amad Diallo ni Mwananchi wa Italy mwenye Asili ya Spain. AMAD DIALO kutokana na kukulia kwa mama yake Lugha anayoifahamu ni Kifaransa pia ana Uraia wa Nchi ya mama yake kwa Sababu ya mama yake kumpambania licha ya kidogo alichokipata Amad ni kaka wa Mdogo wake wa kike ambaye alimwacha kwa mama yake. Moja ya Ahadi ambayo Amad Diallo aliwahi kumuahidi mama yake ni kua atarudi kama mtu mkubwa na atarudi kumsaidia na ataichezea Nchi yake mama yake na atajitumaa sana. Kukubali Kujiunga na Manchester United na kuikata Chelsea ni kwa Sababu mama yake Mzazi anashabikia klabu hiyo ya Manchester United tangu akiwa Binti wa miaka 15 . Mama yake dini yake ni Muslim hivyo na Amad Diallo alichagua Upande wa mama yake pia aliwahi kusema anacheza kwa bidi kwenye Kila mechi anayopangwa kwa sababu mama yake Mzazi anakua Africa akimtazama ndani ya Klabu yake. Mara nyingi alikua akionekana na Marcus Rashford kwenye mazoezi binafsi ya Gym na mara Nyingi amekua akipokea ushauri kutoka kwa Pogba ambaye aliondolewa Manchester United. #JeWajua
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views
  • VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA

    1. GUINEA
    Camara -Simba (Tanzania)
    Diakite -Cerce Bruggle(Belgium)
    Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania)
    Saidou Sow -Strasbourg (France)
    Issiaga Sylla -Montpellier (France)
    Mohamed Camara-PAOK (Greece)
    Abdoulaye Toure -Le Havre(France)
    Morlaye Sylla -Arouca(Portugal)
    Seydouba Cisse-Leganese(Spain)
    Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia)
    Serhou Guirassy -Borussia Dortmund

    2. TANZANIA
    Manula-Simba(Tanzania)
    Kapombe-Simba(Tanzania)
    Hussein-Simba(Tanzania)
    Job-Yanga(Tanzania)
    Hamad-Yanga(Tanzania)
    Yahaya-Yanga(Tanzania)
    Bitegeko-Azam(Tanzania)
    Msuva-Al Talaba(Iraq)
    Salum-Azam(Tanzania)
    Mzize-Yanga(Tanzania)
    Samatta-PAOK(Greece)

    NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    VIKOSI VYA GUINEA VS TANZANIA 1. GUINEA Camara -Simba (Tanzania) Diakite -Cerce Bruggle(Belgium) Ibrahim Conte-UTA Arad(Romania) Saidou Sow -Strasbourg (France) Issiaga Sylla -Montpellier (France) Mohamed Camara-PAOK (Greece) Abdoulaye Toure -Le Havre(France) Morlaye Sylla -Arouca(Portugal) Seydouba Cisse-Leganese(Spain) Francois Kamano-Damac(Saudi Arabia) Serhou Guirassy -Borussia Dortmund 2. TANZANIA Manula-Simba(Tanzania) Kapombe-Simba(Tanzania) Hussein-Simba(Tanzania) Job-Yanga(Tanzania) Hamad-Yanga(Tanzania) Yahaya-Yanga(Tanzania) Bitegeko-Azam(Tanzania) Msuva-Al Talaba(Iraq) Salum-Azam(Tanzania) Mzize-Yanga(Tanzania) Samatta-PAOK(Greece) NB; TANZANIA WAMECHUKUA POINTS 6 KUTOKA KWA GUINEA. UMEJIFUNZA NINI?
    Like
    Love
    Wow
    8
    1 Commenti 0 condivisioni 926 Views
  • Madrid Spain
    Madrid Spain๐Ÿคฉ๐Ÿ˜
    Like
    Love
    Wow
    24
    6 Commenti 2 condivisioni 3K Views
  • Madrid City at spain how it look like this evening
    #socialpop
    Madrid City at spain how it look like this evening๐Ÿคฉ #socialpop
    Like
    Love
    Wow
    Yay
    22
    5 Commenti 11 condivisioni 1K Views
  • Mpk sasa matokeo EURO ni Spain 3-0 Croatia dkk 82
    Mpk sasa matokeo EURO ni Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 3-0 Croatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท dkk 82
    Like
    Love
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 702 Views
  • MECHI ZA LEO IJUMAA

    King Cup - Final:
    20:00 Al Hilal - Al Nassr

    Club Friendly:
    13:00 AS Roma - AC Milan

    Superliga - CL Final:
    19:00 FC Copenhagen - Randers FC

    Egypt Cup:
    16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna
    16:00 National Bank Egypt - Petrojet

    Euro Women - Qualification:
    18:00 Austria - Iceland
    18:00 Norway - Italy
    18:30 Czech Republic - Belgium
    19:00 Denmark - Spain
    20:30 Germany - Poland
    20:30 Iceland - Sweden
    20:45 Netherlands - Finland
    21:00 England - France

    Euro Women - Qualification:
    17:00 Kosovo - Croatia
    18:00 Serbia - Slovakia
    19:00 Turkey - Azerbaijan
    19:30 Malta - Bosnia & Herzegovina
    20:00 Switzerland - Hungary
    20:05 Scotland - Israel
    20:15 Wales - Ukraine
    21:45 Portugal - Northern Ireland

    Euro Women - Qualification:
    15:00 Armenia - Kazakhstan
    17:00 Estonia - Albania
    17:00 Greece - Montenegro
    17:00 North Macedonia - Moldova
    17:45 Faroe Islands - Andorra
    18:00 Cyprus - Georgia
    18:00 Romania - Bulgaria
    18:00 Slovenia - Latvia

    #Sportsviews
    MECHI ZA LEO IJUMAA ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ King Cup - Final: 20:00 Al Hilal - Al Nassr ๐ŸŒŽ Club Friendly: 13:00 AS Roma - AC Milan ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ Superliga - CL Final: 19:00 FC Copenhagen - Randers FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt Cup: 16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna 16:00 National Bank Egypt - Petrojet ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ Euro Women - Qualification: 18:00 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austria - Iceland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ธ 18:00 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway - Italy ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 18:30 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Czech Republic - Belgium ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช 19:00 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ Denmark - Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 20:30 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany - Poland ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ 20:30 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Iceland - Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช 20:45 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands - Finland ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ 21:00 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England - France ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ Euro Women - Qualification: 17:00 ๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡ฐ Kosovo - Croatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท 18:00 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ Serbia - Slovakia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ 19:00 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey - Azerbaijan ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฟ 19:30 ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡น Malta - Bosnia & Herzegovina ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ 20:00 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Switzerland - Hungary ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ 20:05 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Scotland - Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ 20:15 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ Wales - Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ 21:45 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal - Northern Ireland ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ Euro Women - Qualification: 15:00 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ Armenia - Kazakhstan ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฟ 17:00 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช Estonia - Albania ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ 17:00 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท Greece - Montenegro ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ช 17:00 ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฐ North Macedonia - Moldova ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฉ 17:45 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ด Faroe Islands - Andorra ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฉ 18:00 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡พ Cyprus - Georgia ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช 18:00 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania - Bulgaria ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ 18:00 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia - Latvia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ป #Sportsviews
    Like
    Love
    7
    3 Commenti 0 condivisioni 2K Views