• #SportsElite
    #EUROPA
    #SportsElite #EUROPA
    0 Comments ·0 Shares ·14 Views
  • Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa.

    "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]
    Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa. 🗣️ "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]
    Like
    Haha
    5
    · 1 Comments ·0 Shares ·138 Views
  • Olympiakos inashinda Ligi ya Europa Conference 2024, na kutengeneza historia ya Ugiriki

    Olympiakos waliibuka washindi dhidi ya Fiorentina.
    Katika fainali iliyokosa msisimko, klabu hiyo ya Ugiriki, ikinyakua taji lake la kwanza la Uropa, iliishinda timu ya Italia katika muda wa nyongeza kwa bao la Ayoub El Kaabi.
    Kwa Fiorentina, ni kipigo kingine katika hatua hii, ikionyesha kupoteza kwa msimu uliopita dhidi ya West Ham.


    Follow page
    Olympiakos inashinda Ligi ya Europa Conference 2024, na kutengeneza historia ya Ugiriki Olympiakos waliibuka washindi dhidi ya Fiorentina. Katika fainali iliyokosa msisimko, klabu hiyo ya Ugiriki, ikinyakua taji lake la kwanza la Uropa, iliishinda timu ya Italia katika muda wa nyongeza kwa bao la Ayoub El Kaabi. Kwa Fiorentina, ni kipigo kingine katika hatua hii, ikionyesha kupoteza kwa msimu uliopita dhidi ya West Ham. 👏👏👏 Follow page
    Like
    Love
    Wow
    5
    · 1 Comments ·0 Shares ·356 Views
  • Timu ya klabu ya Chelsea itashirika michuano ya Europa Conference League baada ya timu ya Man United kutwa kombe la FA dhidi ya Man City

    Kwenye michuano hiyo, Chelsea itaanzia hatua ya Play-offs ambayo itachezwa mwezi wa nane mwishoni

    Kwangu mimi nimeona ni bora tukaanzie huko maana timu yetu naona kama bado haitaweza kupamba Europa League kwa kocha mgeni, maboss wanataka kocha ambaye atakubali kufundisha timu bila kuhusika kwenye usajili au uuzaji wa wachezaji, jambo ambalo litakuwa gumu kwa makocha wenye CV nzuri

    Mpaka sasa Chelsea inahusishwa na makocha wanne
    1. Enzo Marezsca aliyeipandisha Leicester City ligi
    kuu (EPL)
    2. Kieran McKenna aliyeipandisha Ipswich ligi ya
    championship msimu ule uliopita na kuipandisha
    tena EPL msimu huu ulioisha EPL
    3. Thomas Frank kocha wa Brentford anasifiwa kwa
    namna timu yake inacheza
    4. Kocha huyu haku wekwa wazi na timu ya Chelsea
    bali walisema tu ni kocha ambaye anasifika kwa
    kiwango cha timu yake. Kuna taarifa zinasema
    anaweza kuwa Roberto De Zerbi aliyekuwa kocha
    wa Brighton au Reuben Amorim kocha wa
    Sporting Lisbon ya Ureno. Hii taarifa haija
    hakikishwa na source kama Sky sports news au
    Fabrizio Romano

    Kwa hao makocha wote hapo juu lazima wakubaliane na falsafa ya maboss wa Chelsea ya kuwa watahusika na kufundisha timu tu basi, na siyo kuhusika na usijali
    Timu ya klabu ya Chelsea itashirika michuano ya Europa Conference League baada ya timu ya Man United kutwa kombe la FA dhidi ya Man City Kwenye michuano hiyo, Chelsea itaanzia hatua ya Play-offs ambayo itachezwa mwezi wa nane mwishoni Kwangu mimi nimeona ni bora tukaanzie huko maana timu yetu naona kama bado haitaweza kupamba Europa League kwa kocha mgeni, maboss wanataka kocha ambaye atakubali kufundisha timu bila kuhusika kwenye usajili au uuzaji wa wachezaji, jambo ambalo litakuwa gumu kwa makocha wenye CV nzuri Mpaka sasa Chelsea inahusishwa na makocha wanne 1. Enzo Marezsca aliyeipandisha Leicester City ligi kuu (EPL) 2. Kieran McKenna aliyeipandisha Ipswich ligi ya championship msimu ule uliopita na kuipandisha tena EPL msimu huu ulioisha EPL 3. Thomas Frank kocha wa Brentford anasifiwa kwa namna timu yake inacheza 4. Kocha huyu haku wekwa wazi na timu ya Chelsea bali walisema tu ni kocha ambaye anasifika kwa kiwango cha timu yake. Kuna taarifa zinasema anaweza kuwa Roberto De Zerbi aliyekuwa kocha wa Brighton au Reuben Amorim kocha wa Sporting Lisbon ya Ureno. Hii taarifa haija hakikishwa na source kama Sky sports news au Fabrizio Romano Kwa hao makocha wote hapo juu lazima wakubaliane na falsafa ya maboss wa Chelsea ya kuwa watahusika na kufundisha timu tu basi, na siyo kuhusika na usijali
    Like
    Love
    Haha
    7
    · 6 Comments ·0 Shares ·635 Views
  • Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024:

    Atalanta : wachezaji 4
    B' Leverkusen : wachezaji 4
    Roma : 2
    Marseille : 1

    #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague

    #Sportsview
    Kikosi bora cha Michuano ya Europa league msimu huu 2023-2024: Atalanta 🏆: wachezaji 4 B' Leverkusen : wachezaji 4 Roma : 2 Marseille : 1 #EURO2024#UELfinal#EuropaLeague #Sportsview
    Like
    Love
    7
    · 1 Comments ·0 Shares ·633 Views
  • Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya

    Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano.

    Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia.

    Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza.

    Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo.
    #Sports view
    Wachezaji wa Afrika wanaosaka heshima na historia Ulaya Picha,Ademola Lookman (atachuana na mchezaji mwenzake wa Nigeria, Victor Boniface (kulia) katika fainali ya Ligi ya Europa siku ya Jumatano. Mashindano makubwa ya vilabu barani Ulaya yanafikia kilele chake na wachezaji kadhaa wa Kiafrika wanatarajia kuandika historia. Kuna uwakilishi mkubwa kutoka Afrika katika fainali zote tatu za Ulaya, timu sita zinazoshiriki zote zina Waafrika katika safu zao za kwanza. Kuna wachezaji wa Afrika ambao wametoa mchango muhimu na ambao utawawekea historia katika muda wa wiki moja na nusu ijayo. #Sports view
    Like
    5
    · 0 Comments ·1 Shares ·470 Views